Mpina ni katika wabunge ambao nawatizama sana katika bunge letu la Tanzania ni mtu mzuri sana katika kutetea hoja. Mawazir wanamchukia kwa sababu ya ukweli wake hafichi mambo. Big up Mpina my role modal.
Za huko kwao sizijui lakini mchango wake kitaifa bungeni ni first class. Naona CCM wenzake wengi humchunia bungeni anaposhusha nondo lakini hawafiki mbali. Mpina ni hazina ya taifa. Mpeni maua yake 🎉
I love you Mpina you are a Jembe continue with your work we are together with you.
Mpina ni katika wabunge ambao nawatizama sana katika bunge letu la Tanzania ni mtu mzuri sana katika kutetea hoja.
Mawazir wanamchukia kwa sababu ya ukweli wake hafichi mambo.
Big up Mpina my role modal.
Hongera
Hongera sana Mpina kazi Yako ni njema
Mm chadema ila kwa mpina ❤❤❤❤❤❤❤
Hongera sana unachapa kazi
Ni jibu zuri sana kwa wanaokubeza. Chapa kazi.
Mimi ijapokuwa mimi ni mpinzani,lakini kwa Mpina namkubali. Mpina hoyeeeeeee
Shida ccm najuwa jina lako halipo sijuwi kama utaludi labda uje chadema
Sana mpina
Njoo chadema
Chapa kazi achana na wapumbavu msaidiezi mama wahenge walisema usibishane na ,,,,,, msomi unajuwa
Wabeja bagika
Aite mkutano wa ke.tuone
Tatizo upo CCM njoo Chadema
CCM is dead ongea ukweli hoja zako Bungeni majibu ulishapata au tuseme wewe hakili hauna maana hakuna ambae anakuunga mkono kila ukiibua hoja.
Wabeja wazuba
Wewe ni machine tata huna propaganda
Kazi ya Moina Kwa taifa hili binafsi naiunga mkono natamani aje upinzani itapendeza asipowekewa mpinzani
Za huko kwao sizijui lakini mchango wake kitaifa bungeni ni first class. Naona CCM wenzake wengi humchunia bungeni anaposhusha nondo lakini hawafiki mbali. Mpina ni hazina ya taifa. Mpeni maua yake 🎉
2025 tunajua watakukata jina lako ila ww unauzika chama chochote
@@Brunn-mh2bq
Mpina anajielewa hataki kuwa chawa sisi huku tusio wanasiasa tunapenda wanaotutetea.
@@Brunn-mh2bq
I wish angekua Mbunge wetu.
Wabunge wote wangekuwa kama ww Mpina daaa tungekuwa mbali sana we ni jembe
Jembe
Uyu jamaa yupo pouwa ana mambo ya propaganda anajielewa anachotakiwa kufanya juu ya WA Tanzania.
Ww ni jembe