Dc magot mungu akubarki kwa kuwasaidia wtu na shidazao mungu akutunze watuwanapata shida sana tanzania hii kutokana na viongozi wasio na utu katka kuwahudumi wananchi
Stephen Masanzu wivu ndio unakusumbua tu ndugu yangu. Anayejaribu mtie moyo, huyu DC amejaribu kwa kiwango chake huyo Makonda naye anauwezo wake. Wote tuwapongeze wanafanya vizuri. Mimi niko Kigoma ila nakoshwa na utendaji wao.
Hongera kwa kiongozi Mh Magoti tayari nafatilia kazi zake
Waaaoooo...!!!
Watu dizaini ya Makonda kumbe hii Nchi ni wakumwaga daaa...
Magotti Wewe ni Mtu na 3/4
Dc magot mungu akubarki kwa kuwasaidia wtu na shidazao mungu akutunze watuwanapata shida sana tanzania hii kutokana na viongozi wasio na utu katka kuwahudumi wananchi
Kiongozi uko vizuri God bless you
Mungu akujalie kaka
Hadi raha
Mh Dc na mimi nije?nipate mkopo.
Serikal ina mzigooooo. Mungu ambariki mama samia na dc wetu magot.
Hongera mkuu magoti
Jamaa anajua sana
Jamani hiyo mikopo naitaka naipataje
Duuuh pwani mmenishinda tabiaaa
Good bro how deal publicity
Kazi kweli kweli 😂😂
Ingia ccm upewe piki bob
Stephen Masanzu wivu ndio unakusumbua tu ndugu yangu. Anayejaribu mtie moyo, huyu DC amejaribu kwa kiwango chake huyo Makonda naye anauwezo wake. Wote tuwapongeze wanafanya vizuri. Mimi niko Kigoma ila nakoshwa na utendaji wao.
Magoti unajua kuongea na watu vizur
Magoti unaupiga mwingi mtu wangu
Tanzania siyo pakuhama.
Muwafuatilie hao maarifa wenyewe wateja nikopoa wananchi hatuzioni
Dc hivyo vipindi wanaenda viongozi wachini yako wenyewe
Magoti ulitakiwa kuwa mkuu wa mkoa
Unampa pikipiki jamaa yupo fresh kimapato pikipiki ya bure ama
Ya mkopo, acha kutumia akili yako vibaya
Serikali mm naona iko dar, mikoani miyeyusho. Nilikaa bunguruni nikaona vjna wamekopeshwa m20 wakafungua m.pesa ya uhakika walikiwa watu 10
Wewe bado sana kwa makonda
Kila mtu na uwezo wake. Tutajie DC aliyefanya mkutano kama huu.
Kwan ni mashindano?Kaiga jambo jema Kwa Makonda big up
Kwani kuiga jema kuna ubaya gani?? Muache jamaa apige kazi
Hapohapo alipofanya DC magoti ameonyesha uzalendo kilamtu n vile anavyokua na mtazamo wake hawawezi kulingana
😂😂😂😂
😂😂
😂😂😂