VITU VINAVYOSABABISHA VIDONDA VYA TUMBO | DALILI ZAKE | DAWA YA VIDONDA VYA TUMBO

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 71

  • @rukiamziwanda7458
    @rukiamziwanda7458 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu mama mwenye miwani hajui utangazaji ana makelele sana

  • @enezaelinnko-gr5cp
    @enezaelinnko-gr5cp 2 หลายเดือนก่อน +2

    Je vidonda vya tumbo husababisha choo kigumu adi kutokwa dam sehemu ya aja kubwa

  • @salhapeter5520
    @salhapeter5520 11 หลายเดือนก่อน +4

    Umetuelekeza dawa ya vidonda vya tumbo tunaomba na maelekezo kamili asali unatumiaje na kwa mda gani au mafuta ya Nazi unatumia kwa mda gani tusaidie tupone tuishi hapa duniani Kama watu wengine 😭🙏

    • @user-gy1lb9fo2b
      @user-gy1lb9fo2b 9 หลายเดือนก่อน

      😂nimecheka

    • @elibarikimollel7149
      @elibarikimollel7149 3 หลายเดือนก่อน

      Hakika Dr.Shaka wewe ni daktari genius. Umetupatia bure dawa za aina 3, uwatu, asali mbichi,na mafuta ya nazi. Barikiwa...

  • @mkambaselemani-ej7np
    @mkambaselemani-ej7np 2 หลายเดือนก่อน

    Dr plz unatumia kiac gn Cha unga wa uwatu?

  • @user-ky9be8mp5i
    @user-ky9be8mp5i 5 หลายเดือนก่อน

    NAMBA Yake Kuwasiliana

  • @abdallahfurah238
    @abdallahfurah238 2 วันที่ผ่านมา

    NAOMBA KUULZA JE PALACHICHI UNAWEZA KULA?

  • @hatmanjema
    @hatmanjema 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nawaka moto tumboni mwenzenu

  • @user-nz3rd2zn6g
    @user-nz3rd2zn6g 7 หลายเดือนก่อน

    Dr naweza kuagiza doz nkatumuwa mi npi dodoma

  • @mdathirhassan2187
    @mdathirhassan2187 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo mwanamke mdarai sana hupati faida kwa daktari

  • @AngelineSaidi
    @AngelineSaidi 12 วันที่ผ่านมา

    Docta tumeshuhudia mana waganga wengine hawezemi ukweli wanaomba pesa tu sasa sisi kigoma mbona hizo dawa hatuzifahamu tunafanyaje tumeteseka tumetumia dawa nyingi hatuponi

  • @user-wk8wu3hd9d
    @user-wk8wu3hd9d 5 หลายเดือนก่อน

    Docter mie nasumbuliwa na kizunguzungu na kila nikila haragwe ndo inatokea hivyo nasumbuka sana

  • @aminachiziamina
    @aminachiziamina 11 หลายเดือนก่อน

    Mm nko nazo alisasslkini nkiwa skukulaa kutoka jion ndo naskiaa halii siyopow uyuu don't niukweleee so juuu mm kila alivyoo ongea mm nkovivyohivyooo soo niukweliii❤❤❤❤❤❤

  • @matildamati9222
    @matildamati9222 4 หลายเดือนก่อน

    Hapa ni kusikiliza tu na ufuatize kama unaamini lakini namba ya Dr mwaka huwezi ipata wala madeali hayajibiwi hapa vinginevyo uende kwenye clinic yake

  • @mkambaselemani-ej7np
    @mkambaselemani-ej7np 2 หลายเดือนก่อน

    Unatumia Kia's gan Cha uwatu?

  • @innocentmmary6441
    @innocentmmary6441 7 หลายเดือนก่อน

    Dokta naomba kutambua Jambo moja swali langu nikwamba vidonda vyatumbo vinaweza kuasirii mwanaume kushindwa shuhuli yake kwa mwenza wake

  • @praxedarutaselw4076
    @praxedarutaselw4076 6 หลายเดือนก่อน

    Mimi nakuwa nasikia kama mafua yanabana sana puani kwa ndani lakini ayatoki je ni madonda maana nilikuwa nayo nkatumia dawa nkapona sasa ndo hali inajitokeza iyo

  • @mahijaspear4648
    @mahijaspear4648 10 หลายเดือนก่อน +1

    Tunashukuru dkt kwa ushauri ila watangazaji mnaongea Sana kuliko dkt kah! Too much muwe mnampa nafasi ya kuongea mnapo alika mgeni

  • @archkeels3753
    @archkeels3753 7 หลายเดือนก่อน

    Sawa mkuu

  • @aminachiziamina
    @aminachiziamina 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nko kenyaq je ukuhizii dawa ziko kwelii qma ni Tanzania pekee nachoka nahii halii mm waa hakii vimenikaaa sanaa

    • @danielamosi6871
      @danielamosi6871 24 วันที่ผ่านมา

      Ulizia huko kwenu kenya

  • @mwanakomboomary7609
    @mwanakomboomary7609 4 หลายเดือนก่อน

    😢😢

  • @NasibuJuma-zv5ox
    @NasibuJuma-zv5ox 4 หลายเดือนก่อน

    Sisi watu tunaoishi inchi zingine kama Burundi matibabu tutayabata vip

  • @neemamwijage
    @neemamwijage หลายเดือนก่อน

    Docter naomba namba yako nina madonda sugu

  • @user-xg8nc5nb2s
    @user-xg8nc5nb2s 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba ya dokta mwaka

  • @suniahjerry5985
    @suniahjerry5985 ปีที่แล้ว

    Ivi vidonda vinapelekea kupata dege dege.

  • @user-dk3ss9ts7n
    @user-dk3ss9ts7n 28 วันที่ผ่านมา

    Bia ya kilimanjaro glas moja kabla yakula siku 14

  • @GiftMaiko
    @GiftMaiko 2 หลายเดือนก่อน

    Nimeelewa dockita

  • @user-du7be4fb6s
    @user-du7be4fb6s 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi Nina uia nimeshakuywa dawA ila nikipima nakuta Bado nisaidie kwa anaejua dawa nyingine hata mitisha mnambie

  • @christinajohn3718
    @christinajohn3718 ปีที่แล้ว

    Asali mbichi unaitumiaje

  • @user-up1fi9ce9n
    @user-up1fi9ce9n 3 หลายเดือนก่อน

    Mm ninavyo lakini natumiaga dawa hazinisaidii

  • @user-up1fi9ce9n
    @user-up1fi9ce9n 3 หลายเดือนก่อน

    Dawa zake zinagarimu kiasi gani chapesa

  • @ShigongoMahuma-jv6hm
    @ShigongoMahuma-jv6hm 7 หลายเดือนก่อน

    Mimi nikinywa pombe naumwa tumbo je nidalili au

  • @salhapeter5520
    @salhapeter5520 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asali unatumiaje

    • @salhapeter5520
      @salhapeter5520 11 หลายเดือนก่อน

      Doktar mwaka tunaomba jibu au mafuta ya Nazi unatumia kwa mda gani

  • @Jacklin-bt3ic
    @Jacklin-bt3ic หลายเดือนก่อน

    Doctor naomba kuuliz chembea moyo nayo husababishwa n nin mim nina vidonda ila huwa nanapata maumiv makali saan chin kidogo y kifua yanayoenda mpk tumbon

  • @NasibuJuma-zv5ox
    @NasibuJuma-zv5ox 4 หลายเดือนก่อน

    Sisi watu wa inchi za kigeni dawa hizo tutazibata vipi dawa zenu

  • @user-fo4gf6my1n
    @user-fo4gf6my1n 6 หลายเดือนก่อน

    Je? Katika hizodawa doctor ulizotutajia nizote lazma utume Yan mchanganyo au mojawapo

  • @user-hm1ml8kh8f
    @user-hm1ml8kh8f 8 หลายเดือนก่อน

    Unaweza kuchanganya asali na uwatu au kuchanganya na mafuta ya nazi

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa kiboko kama alipishana na mashehe

  • @phidonphillibert1504
    @phidonphillibert1504 7 หลายเดือนก่อน

    Dr mm nasumbuliwa tatizo la asidi kwenye koo

  • @user-ry3fi8vl3c
    @user-ry3fi8vl3c 8 หลายเดือนก่อน

    dokta nina asidi nitapata tiba

  • @Atb300
    @Atb300 6 หลายเดือนก่อน

    Mafuta ya nazi hata ya dukani?

  • @yeanyaen3663
    @yeanyaen3663 8 หลายเดือนก่อน

    Dr.naomba no yako

  • @rebeccapallangyo
    @rebeccapallangyo ปีที่แล้ว +1

    Na je kwann kazi ya kabichi tumbon ni nn??na je maumivu ya chembe ya moyo na kichwa n nn?? Na je kuharisha kunasbabishwa na nn??

  • @SaibShaib
    @SaibShaib 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba kuuliza mimi naumwa na vidonda naumia mpk nyuma ya mgongo inakuwaje

  • @VeronicaSisimbi-dv3bn
    @VeronicaSisimbi-dv3bn 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi tumbo linavuta

  • @muadhmirza
    @muadhmirza ปีที่แล้ว +1

    Jamani Mimi hady ss nasumbuliwa na Hy alisa au hypoory

    • @margaretbarasa1627
      @margaretbarasa1627 10 หลายเดือนก่อน

      Mm nasumbuliwa na vidonda vya tumbo na nko Kenya naweza pata aje hizo dawa

  • @gracekavishe9823
    @gracekavishe9823 5 หลายเดือนก่อน

    Nimekuja kwenye Hospitali wanakupa Dawa mchanganyiko kitunguu saumu malimao tangawizi inazidisha asidi

  • @PerisiperisiKingi
    @PerisiperisiKingi 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwanamke hata anakera mtu unataka kuskiliza dawa wao n kelele tu

    • @user-jn9cx7zh1j
      @user-jn9cx7zh1j 3 หลายเดือนก่อน

      Yaani wanaudhi!!! asali hajatwambia inatumikaje wanamkatisha kelele tu

  • @user-vx8vv8ft2i
    @user-vx8vv8ft2i ปีที่แล้ว +1

    Mim vimeisha niasiri sana

  • @user-dm2gn7rb1s
    @user-dm2gn7rb1s 9 หลายเดือนก่อน

    Mimi napata maumivu kitkat yakifua je hivipia nividonda vya tumbo

    • @husnasaeed6353
      @husnasaeed6353 6 หลายเดือนก่อน

      Nenda hospital kapime

  • @muadhmirza
    @muadhmirza ปีที่แล้ว +1

    Mimi hd ganzi mkononi

    • @omanoman4313
      @omanoman4313 ปีที่แล้ว

      Unatumia. Dawa. Gani. Nijuze. Mwenzio. Nasumbuka

    • @milkaondimu1684
      @milkaondimu1684 ปีที่แล้ว

      ​@@omanoman4313aki pia mimi 😢😢