Kurunzi ya Leo: Jinsi ya kutibu maumivu ya uti wa mgongo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 มิ.ย. 2016
  • Kurunzi ya Leo: Jinsi ya kutibu maumivu ya uti wa mgongo
    Watch KTN Live www.ktnnews.com/live
    Watch KTN News www.ktnnews.com
    Follow us on / ktnnews
    Like us on / ktnnews

ความคิดเห็น • 48

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 5 ปีที่แล้ว

    Hongereni saana kwa maelezo mazuri Mbarikiwe

  • @mausseinsheith2235
    @mausseinsheith2235 7 ปีที่แล้ว +4

    Kenya wako juu ktk Huduma za Kihospitali kuliko sisi Watanzania wanatibu vitu vingi vigumu,hongera kwao

  • @JM-qi6bw
    @JM-qi6bw 4 ปีที่แล้ว

    Shukran mama mungu akusaidie katika kazizako

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 4 ปีที่แล้ว

    Waaww.. bless you

  • @raheebraheeb-vd7qv
    @raheebraheeb-vd7qv 2 หลายเดือนก่อน

    Nambar yako iko wapi lpeas mam niko kaz nilanguka nikaumia kiuno des mpaka leo bado

  • @agnesmushi8118
    @agnesmushi8118 3 ปีที่แล้ว +1

    Samahani Nina shida na pingili za mgongo pingili zimetoka nje mnaweza kunisaidia aje?

  • @jacksonndutu4024
    @jacksonndutu4024 2 ปีที่แล้ว

    KTN fanyeni kuweka Contacts za huyu Mama

  • @christemba5028
    @christemba5028 2 ปีที่แล้ว

    Mimi niko Tanzania Dar es Salaam nawezaje kupata huduma au msaada wa matibabu kutoka kwako

  • @rhodaareba1018
    @rhodaareba1018 5 ปีที่แล้ว

    Ukiwa unasikia uchungu wa shoulders na creaking sound inatoka apo shida itakuwa ni nini plz

  • @mariamsuleiman7159
    @mariamsuleiman7159 7 ปีที่แล้ว

    hogera sana mama umetu amsha

  • @mariamdaudi2788
    @mariamdaudi2788 ปีที่แล้ว

    Nimesumbuliwa na mgongo kwa muda mrefu, nipo Tanzania nahitaji huduma

  • @belindaemuyumia2667
    @belindaemuyumia2667 8 ปีที่แล้ว +3

    Tafadhali nina swali ,mimi huwa nahisi maumivu ya mgongo wakati wa usiku ,hasa kupinduka ni uchungu sana .shida ni nini?

    • @evodproneth874
      @evodproneth874 6 ปีที่แล้ว

      ulikuja kupona nakam ulipona ulitumia daw gani

  • @ruthkamene5064
    @ruthkamene5064 3 ปีที่แล้ว

    Tafadhali ningeomba namba za dactari na anapatikana wapi

  • @user-fp1gc7gf3y
    @user-fp1gc7gf3y 10 หลายเดือนก่อน

    wekeni contacts

  • @nabilfahad5084
    @nabilfahad5084 4 ปีที่แล้ว

    mm nipo Zanzibar nitapata vipi matibabu yalo

  • @amoursalum3585
    @amoursalum3585 5 ปีที่แล้ว +1

    mimi ninamatatizo ya mgongo nilikua nahitaji namba ya huyo Dr

  • @nasrawandi8045
    @nasrawandi8045 4 ปีที่แล้ว +1

    soryy nesi unatumia nini ili kumkanda mgongo?

  • @estersiame2876
    @estersiame2876 3 ปีที่แล้ว +3

    Naomba msaada wa namba za cm za doctor or email ili iwe rahisi kumpata endapo nitafika nairobi coz natokea tanzania am really need of this.....

    • @estersiame2876
      @estersiame2876 2 ปีที่แล้ว

      @Tinner healthcare ahsante sana nakutafuta whtp sasa ivi

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 ปีที่แล้ว

      @@estersiame2876 Habari je uliwasiliana na hiyo namba je amekusaidia?

    • @estersiame2876
      @estersiame2876 2 ปีที่แล้ว

      @@leokamil6284 niliwasiliana nao niwakarim sana mpaka leo nawasiliana nao na wana tawi dar.

    • @estersiame2876
      @estersiame2876 2 ปีที่แล้ว

      @@leokamil6284 yaani wakotofauti sana wanacare nzuri mno yaan mpaka sasa uwezi amini wananijulia hali kwa njia ya whatp.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 ปีที่แล้ว

      @@estersiame2876 Samahani wanatibu kwa njia gani?

  • @yonaandrew277
    @yonaandrew277 4 ปีที่แล้ว

    Msaada zaidi je?

  • @alinshff4587
    @alinshff4587 3 ปีที่แล้ว +1

    Habar zenu,,,,,mm huwa naskia maumivu ya kichwa upande wa kushoto anpata maumivu kwenye uti wa mgongo mpk koo yauma,,,je hii husababisha na uti wa mgongo

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 7 ปีที่แล้ว

    vipi ali manzu siniitueke no zahuyo mama plz

  • @shizedshized6613
    @shizedshized6613 4 ปีที่แล้ว

    Jamani Mimi Niko hoi sana nitakupataje

    • @winfridahnyatich3189
      @winfridahnyatich3189 ปีที่แล้ว

      Mko wapi mnishaindie Mimi naumwa na,... kichwa, vidonda vya tumbo, na mgongo na nyonga pia chini ya miguu hata kulala ni shida naomba ya inbox please

  • @mausseinsheith2235
    @mausseinsheith2235 4 ปีที่แล้ว

    Nairobis mnapatikana wapi naomba namba yahiyo Clinic

  • @jepsharon9008
    @jepsharon9008 2 ปีที่แล้ว

    Nisaidie namba dactari

  • @khamismohd7445
    @khamismohd7445 5 ปีที่แล้ว

    Mma kuna mtu kavunjika

  • @danieljane8925
    @danieljane8925 3 ปีที่แล้ว +1

    Where can I get u?

  • @happynesselisha2048
    @happynesselisha2048 4 ปีที่แล้ว

    Docta tutakupataje??

    • @samuelhealthcare3791
      @samuelhealthcare3791 4 ปีที่แล้ว

      Happyness Elisha kama hujapata msaada na suluhisho wasiliana nami kwa whatsapp namba +255743358024

  • @jepsharon9008
    @jepsharon9008 2 ปีที่แล้ว

    Dactari,aki naomba Niko na shida Uti wa mgongo,aki naomba unisaidie

  • @sarahmackenga7705
    @sarahmackenga7705 5 ปีที่แล้ว +2

    Mimi naumwa Sana na shingo na kichwa Chau ma Sana

    • @upendopeter6007
      @upendopeter6007 4 ปีที่แล้ว

      Mimi naumwa chin ya Ziwa kidogo km kwenye mbavu na mgongoni nini

    • @neemaeppah2992
      @neemaeppah2992 3 ปีที่แล้ว

      Upendo pole hiyo ni gess itakuwa

  • @victorialeonard9988
    @victorialeonard9988 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamn mm nimeambiwa pingili zimepishana naomba msaada please nateseka 0716197240 namba yangu