Wanajeshi wanne wakamatwa wakituhumiwa kwa jaribio la mapinduzi nchini Burkina Faso

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • Mamlaka nchini Burkina Faso inasema imewakamata maofisa wanne wa jeshi siku moja baada ya serikali ya kijeshi kusema kwamba imetibua jaribio la mapinduzi.
    (Imehaririwa na John Mbalamwezi)
    #AzamTVUpates #BurkinaFaso

ความคิดเห็น • 5

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 ปีที่แล้ว +2

    Hapo asilimia 💯 Ufaransa na Marekani wamehusika kutaka kuichukua tena Burkinafaso

  • @josephmulula440
    @josephmulula440 7 วันที่ผ่านมา

    Application Burkinafaso militarily chance 2024 jeshi kujiunga na jeshi Burkinafaso nitayari

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx ปีที่แล้ว +1

    Wataanza kutuma vikosi vyao janja wido , boko harm namakundi mengine ya kihalifu ili ionekane Ufaransa walikuw wanasababisha amani hivyo warudishwe tena.

  • @victorbatista659
    @victorbatista659 ปีที่แล้ว

    Hujaeleweka msoma taalifa sisi tunataka lipo ya huyu jama iwe lisaa lizima we unawek dk1 pnd