Viongozi wa Kijeshi Mali, Bukina Faso na Niger Waunganisha Nchi Zao, Waunda Shirikisho la Sahel

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ค. 2024
  • Jumamosi ya Julai 6, 2024 viongozi wa kijeshi wa mataifa ya Naija, Bukina Faso na Mali wametia saini makubaliano ya kuunda Shirikisho la Nchi za Sahili yaani Alliance of Sahel States.
    Makubaliano hayo yaliwekwa saini na Jenerali Abdourahmane Tchian wa Naija, Kepteni Ibrahim Traore wa Bukina Faso na Kanali Assimi Goita wa mali katika sherehe zilizofanyika jijini Niamey nchini Naija baada ya mkutano wa wakuu hao wa nchi.
    Lengo la shirikisho hilo jipya wameeleza kuwa ni kujenga utengamano mpya wa uchumi, siasa na ulinzi wa nchi hizo za Afrika magahribi.
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

ความคิดเห็น • 38

  • @nunikayuni6394
    @nunikayuni6394 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Freedom to Africa

  • @user-zz6vf8ry2p
    @user-zz6vf8ry2p 15 วันที่ผ่านมา +5

    Nchi za kiafrika ambazo Marais wao Bado wanajipendekeza kwa wazungu inabidi wananchi tuwatoe madarakani kwa nguvu

  • @user-it7ih1it3m
    @user-it7ih1it3m 14 วันที่ผ่านมา +2

    Inabidi nchi zote za afrika zitengeneze shirikisho la kijeshi na tutengeneze mabomu ya atomic ya shirikisho

  • @user-ol2vd1zv7u
    @user-ol2vd1zv7u 13 วันที่ผ่านมา +2

    good job❤

  • @nunikayuni6394
    @nunikayuni6394 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Congo msaidieni naye ajiondowe huko aliko

  • @abdullahhashimu2380
    @abdullahhashimu2380 14 วันที่ผ่านมา +2

    Safi sana

  • @samuelndungukaranja5627
    @samuelndungukaranja5627 7 วันที่ผ่านมา

    Ruto must go

  • @BakariMsoka
    @BakariMsoka 7 วันที่ผ่านมา

    Wametisha sana

  • @hizzasheshe3209
    @hizzasheshe3209 14 วันที่ผ่านมา +2

    hawa vingozi wan niazakweli kwa wananchiwoa

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo 12 วันที่ผ่านมา +1

    Kongole sana umoja ní nguvú,ibra,goita,show show,babylon out,,,,,allahu barik

  • @TozzyMay
    @TozzyMay 16 วันที่ผ่านมา +1

    Nimefurahi kupata hii habari
    Walichokifanya Mungu wa Afrika awatangulie
    Akili nzuri hii

  • @damaspmtz1018
    @damaspmtz1018 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mwenyezi Mungu awatangulie

  • @MwigaAdam
    @MwigaAdam 15 วันที่ผ่านมา +7

    Zanzibar tunatafuta njia ya kutoka ktk muungano usio na maslah na ss

    • @Kingstonbagamoyo
      @Kingstonbagamoyo 12 วันที่ผ่านมา +1

      ❤❤❤❤❤❤🎉

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 11 วันที่ผ่านมา +1

      KABISA KIJANA hivi sasa ni miaka 60 hatuoni faida ya Muungano ❤

    • @user-cg1vd5jr8t
      @user-cg1vd5jr8t 8 วันที่ผ่านมา

      Hami j we kula urojo tu Kisha ulale

    • @LugomeRisasi
      @LugomeRisasi 3 วันที่ผ่านมา

      Wewe jamaa hauna hakili waafrika inatakiwa tuungane ili tuwe na nguvu ili tuweke Sheria zetu zitakazo ilinda Africa wewe unataka tugawanyike

    • @LugomeRisasi
      @LugomeRisasi 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@OmerSuley-gl7gowanzazibar hamuoni faida ya muungano kweli mbona ninyi mnamiliki aridhi huku bara lakini wa bara hawamiliki Zanzibar kuweka na akili basi Mimi binafsi naunga mkono tuweke Sheria ya kulinda watu wa Africa

  • @kaguripenina63
    @kaguripenina63 15 วันที่ผ่านมา +1

    Nmeipenda hii

  • @medsonulendo4221
    @medsonulendo4221 15 วันที่ผ่านมา +1

    Respect 💪

  • @DrLachi19
    @DrLachi19 13 วันที่ผ่านมา +1

    Magharibi na sio mangaribi

  • @hizzasheshe3209
    @hizzasheshe3209 14 วันที่ผ่านมา +1

    eweemola wahaki wajaalie waja wako hawa wenye nia yazati ya kufuua uchumi wa nchizao wafanikiwe

  • @dbamwenzaki
    @dbamwenzaki 15 วันที่ผ่านมา +1

    Naamini raia hawateswi chini ya uongozi wa kijeshi.

  • @gervas58
    @gervas58 10 วันที่ผ่านมา

    Nimeipenda sana

  • @amournassorsaid7694
    @amournassorsaid7694 16 วันที่ผ่านมา +1

    Viva sahel

  • @medsonulendo4221
    @medsonulendo4221 15 วันที่ผ่านมา +1

    Watu weus tuache kudanganywa na waxungu ili waendelee kutunyonya

  • @user-vf8wv8hi5b
    @user-vf8wv8hi5b 16 วันที่ผ่านมา +1

    Nimewapende hao wanajeshin

  • @islamsultan8563
    @islamsultan8563 11 วันที่ผ่านมา

    Hii Safi Sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @EsterPaul-jt5im
    @EsterPaul-jt5im 15 วันที่ผ่านมา +1

    Saruti wakuu

  • @ayubumoha6313
    @ayubumoha6313 11 วันที่ผ่านมา

    Good

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 15 วันที่ผ่านมา +2

    Rais Rutto ndo Kwanza Kaenda kuwafuata wamagharibi na wamarekani Kuja kujenga base East Africa 😂😂😂 Africa hii sijui nani katuroga

    • @leahmgunda4154
      @leahmgunda4154 12 วันที่ผ่านมา +1

      Toa boriti jichoni mwako ndipo uone kibanzi kwa jirani.

    • @godfreyfrugence4176
      @godfreyfrugence4176 10 วันที่ผ่านมา

      Mim ningekuwa ndo rais wa Tanzania namim ningeenda kuungana na mrusi mali niger na burkinafasso vile vile ningeleta base ya jeshi la russia nchin mwangu kwaajili ya mafunz mapya kwa jeshi langu kudhibit magaid watakajitokeza nchin mwangu

  • @RajaaRajaa-id5wx
    @RajaaRajaa-id5wx 16 วันที่ผ่านมา

    Og sn

  • @WillyNzowa
    @WillyNzowa 14 วันที่ผ่านมา +1

    Nchi zingine za afrika zijifunze apa