JARIBIO LA KUMPINDUA TRAORE LAGONGA MWAMBA|ASEMA YUPO IMARA MUDA WOTE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 34

  • @ShabaniMbwana-fz3rm
    @ShabaniMbwana-fz3rm 3 วันที่ผ่านมา +5

    Mungu akulinde kamanda Traore uwashinde mabeberu wote insha allah

  • @anny19988
    @anny19988 3 วันที่ผ่านมา +10

    Kumpindua Traore labda uwaue raia wa Burkina Faso. Mwamba anapendwa na wananchi hadi sio poa

  • @MateusPius
    @MateusPius 3 วันที่ผ่านมา +9

    África hoooeeee 🇲🇿 Ibrahim Mimi nakupenda sana kutoka Moçambique 🇲🇿

    • @JULIUSJASTINCHARLES
      @JULIUSJASTINCHARLES 3 วันที่ผ่านมา +1

      Hata mimi nampenda sana natamani angekua raisi wetu tanzania ❤❤❤ najua ccm inge nyooka

    • @BanilaMshoto-fp4iu
      @BanilaMshoto-fp4iu 43 นาทีที่ผ่านมา

      Msumbiji na kiswahili wapi na wap

  • @japethmwendwa2868
    @japethmwendwa2868 3 วันที่ผ่านมา +4

    African 👑 TRAORE

  • @NgunoSangano-j2q
    @NgunoSangano-j2q 3 วันที่ผ่านมา +7

    Thanks president traole Tanzania 🇹🇿tunakufatilia very

  • @emmanuelkanyela275
    @emmanuelkanyela275 3 วันที่ผ่านมา +7

    huyu jamaa amejitoa kwa nchi

  • @MashauriTengule
    @MashauriTengule 3 วันที่ผ่านมา +4

    Nakukubali

  • @saimongilala8938
    @saimongilala8938 3 วันที่ผ่านมา +2

    Amen 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @BeatriceBeat-hk5cy
    @BeatriceBeat-hk5cy 3 วันที่ผ่านมา +6

    Allah akulinde njama za manyang,au izo

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid 3 วันที่ผ่านมา +6

    Mungu amlinde ndugu yetu inshalla is a good man for reel

  • @PapaabdouAli
    @PapaabdouAli วันที่ผ่านมา +1

    EWE BWANA MUNGU walinde mashujaa Wetu ( 3 ) Hawa Kwanguvu zaako , Yaaa ARIHAMA . RRAHIMIN . Ali Adam . Visiwa vya KOMORO. VIVA AFRIKA ❤

  • @aminielimushi8709
    @aminielimushi8709 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kamanda ukae madarakani mihula mitatu uijenge nchi yako,,iwe mfano kwa viongozi wengine Africa

  • @abdonesrom5009
    @abdonesrom5009 วันที่ผ่านมา

    MUNGU akupe maisha marefu na ulinzi wa kutosha na akulinde dhidi ya manyang'au wanaokuwinda troule tunakuombea kaka from Tz

  • @nassoromfumya7319
    @nassoromfumya7319 2 วันที่ผ่านมา

    Hongera mtangazaji. Unatangaza vizuri.
    Allah atamlinda

  • @DavidNdaha
    @DavidNdaha 2 วันที่ผ่านมา +1

    Is nice president

  • @christiankambuga9338
    @christiankambuga9338 2 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hiyo ni ukimuua mwenzio kwa upanga na wewe utakufa kwa upanga

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 3 วันที่ผ่านมา +1

    Warusi mlindeni huyu mtu

  • @LameckLuciani
    @LameckLuciani 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hata tokea Tena raisi Kam huy

    • @Sakina-q2v
      @Sakina-q2v 2 วันที่ผ่านมา

      Nitakuja kuwa mimi hapa

  • @luciasteven3314
    @luciasteven3314 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    RAIS WANGU ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @NjikeNjike-k9x
    @NjikeNjike-k9x 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asantesana

  • @MikeSairo
    @MikeSairo วันที่ผ่านมา

    Mwamba 😢😅

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 วันที่ผ่านมา +1

    Duh Yesu amtunze jmn

    • @muhammadhariz1100
      @muhammadhariz1100 2 วันที่ผ่านมา

      Mwenyezi Mungu ndie mlinzi peke yake hakuna kiumbe atakae mlinda nabii Isa nikiumbe chake na mtume

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 วันที่ผ่านมา

    💪💪💪💪

  • @RIDHIWANLEMA
    @RIDHIWANLEMA 3 วันที่ผ่านมา

    AHSANTA

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 วันที่ผ่านมา

    Awe makini tu na huyo wa iran
    Yaani siwaanimi kabisa hawa watu

    • @muhammadhariz1100
      @muhammadhariz1100 2 วันที่ผ่านมา

      Unao waamini ndio hawalali usiku na mchana wapanga kumu uwa. Allah amlinde

  • @PiusiVistusindasiki
    @PiusiVistusindasiki 3 วันที่ผ่านมา

    Yaani huyo kwa jinsi anavyoifanya hiyo nchi na kuwapa hao wazungu ili wanrinde atatowa visingizio saana.

  • @PiusiVistusindasiki
    @PiusiVistusindasiki 3 วันที่ผ่านมา

    Yaani huyo kwa jinsi anavyoifanya hiyo nchi na kuwapa hao wazungu ili wanrinde atatowa visingizio saana.