KIPYENGA CHA MWISHO 26/09/2024 | Osman Kazi azigusa Ken Gold Vs Yanga, Simba Vs Ahly Tripoli

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 61

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 หลายเดือนก่อน +1

    Ndio Zao Simba Hata Jana Magoli Yote Mawili Ni Ofseid Yasimba Watakwwnda Kuwajibika Hiyo Siku

  • @allyiddakizimana7103
    @allyiddakizimana7103 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga na Ken Gold n GOLI HALAL KBSA

  • @mycotv2020
    @mycotv2020 หลายเดือนก่อน

    Iv macho yangu hayaone vzur mbona mstali mnachora tofauti na kiwanja kilivyo

  • @mojakatundu
    @mojakatundu หลายเดือนก่อน

    Mnasema kipyenga cha mwisho, neno( kipyenga ) linatokana na kitendo cha kupuliza (filimbi) cha ajabu kwenye logal zote zinazo wakilisha kipyenga cha mwisho hamna nembo ya filimbi,, siwaelewi

  • @stevenmhina7222
    @stevenmhina7222 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo mistari ya kivuli ya Azam inayochorwa kuonesha ni offside au siyo offside waiangaliye vizuri, haichorwi kwa usahihi. Inavyochorwa mimi naiona upande mmoja ipo far distance na upande mwingine ipo near distance. Inatupotosha ukilinganisha na mstatiri wa kiwanja

  • @OmaryKiduka
    @OmaryKiduka หลายเดือนก่อน +1

    Jamani like goli kamera zenu bado

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyi Nikamaele Ya Ahlia ya Libya Waliozulumiwa wakapewa Simba frekike Walisadiwa Washukuru Simba ile Ndio Iliwapa Safari Simba Kwenda Makundi

  • @JobnManase-gh2fp
    @JobnManase-gh2fp หลายเดือนก่อน

    Acha kuingilia kazi aendelee

  • @jumamohamed4804
    @jumamohamed4804 หลายเดือนก่อน +1

    Sijawahi kumsikia Othman kaz anapata kigugumiz goli au si gili la can Gold wakati mpira ulivuka mstari na goalkeep anaonekana mkono wake na mpira ulipopita kazi kuwa mkweli kwa Kila kitu na kuendelea uchambuzi mzuri ww ndio tunakutegemea ss kuwa waz

  • @fareedkhalipher3590
    @fareedkhalipher3590 หลายเดือนก่อน

    Mhhhhhhhhhh ili la ken gold lilikuwa gol kabsa na mschukulie kigezo Cha kuingia kwenye nyavu Kumbuken nyavu syo sehemu la kiwanja

  • @SaidMana-dp4et
    @SaidMana-dp4et หลายเดือนก่อน

    Hapo tusidanganyane aucho ameotea live hata kipofu anaona tena tunadanganyana hata kama hakufunga yeye lakini yupo offside na upigwe msitali tuone ameotea au hakuotea?hata ninyi kipenga cha mwisho mnatudanganya bora ije a v r kwa sababu marefa. Watakua zaidi ya. Mmoja

    • @KajunaJovinary
      @KajunaJovinary หลายเดือนก่อน

      Kajifunze mpira uache ubishi! Jambo dogo sana kuhoji unatia aibu

  • @kbjr1115
    @kbjr1115 หลายเดือนก่อน

    Ila mguu wa bacca umezidi, hebu uangalieni vizuri.. umezidi wachezaji wote wa kengold

  • @JobnManase-gh2fp
    @JobnManase-gh2fp หลายเดือนก่อน

    Hasan unatukwaza sana interfearace hiyo ,unatukata kwa vicheko vyako

  • @leonardmabula9472
    @leonardmabula9472 หลายเดือนก่อน

    Mpira ukiwa umeeleajuu utaonekana kama upon Daniel lakini ukigusa mstari ndoumeonekanana vizuri

  • @salimuhashimu1908
    @salimuhashimu1908 หลายเดือนก่อน

    Hilo la ken gold ni goli ukitaka kujua angalia mguu wa diara uko wap kisha chukua maamuzi

  • @Immamuhina
    @Immamuhina หลายเดือนก่อน

    Siangalii tena kipyenga

  • @GabrielPius-u3f
    @GabrielPius-u3f หลายเดือนก่อน

    Tujuze utata wa goli la ngoma dhidi ya azam

  • @jeremiamtawa3481
    @jeremiamtawa3481 หลายเดือนก่อน

    Mechi imeisha sasa sasa hiyo ni kujifinza TU ila haiwezi kurekebisha matokeo ya waamuzi

  • @kilongolajuma6224
    @kilongolajuma6224 หลายเดือนก่อน

    Huyu Hassan ni kama Ahmed ally kipind kile yupo kweny kipenga mwisho wote wabishi kuelewa

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 หลายเดือนก่อน

    Sio Goli Ulikuwa Upo Juu Wewe Unahisi Uko Ndani Sio Goli Unaona Ulipo Tuwa Chini..Mtakufa Nahamu Zenu Kama Muaa Mlikuwa Nahamu Hilo Nigoli

  • @NassibAbdalla
    @NassibAbdalla หลายเดือนก่อน +1

    Hilo ni goli usitudanganye kazi

  • @jeremiamtawa3481
    @jeremiamtawa3481 หลายเดือนก่อน

    Hivi inagusaidiajekipenga Cha mwisho

  • @mojakatundu
    @mojakatundu หลายเดือนก่อน

    Ninacho kiona ni kibendera, kadi nyekundu, kadi ya njano, filimbi haipo, na filimbi ndio inayo sababisha kipyenga, ni mawazo yangu mtindo wa ushauri.

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 หลายเดือนก่อน

    Hamna mpakango inafaida Gani

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 หลายเดือนก่อน

    Kweli Ateba alijua atapewa kadi ya njano kwa kufanya vile

  • @allyjuma9661
    @allyjuma9661 หลายเดือนก่อน +2

    Ahmed habari ya kazi kaka, last season Othman alisema msimu huu Kuna V.A.R lakn mbona haipo?

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน +1

      INATAKIWA MAREFA WASOMESHWE WAKIHITIMU WAPEWE LESENI YA KUITUMIA LABDA MZUNGUKO WA PILI

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 หลายเดือนก่อน +1

    MCHAMBUZI UMEMWI HYU OSMAN KAZI KSHA UNAONGEA WEWE C UACHE AONGEE ILI ATOE JIBU?ATEBA ALINYIMWA GOLI. UWE UNAMWACHIA NA YEYE AONGEE USIWE UNAMWINGILIA ANAPOONGEA. ACHA ATOE JIBU. SASA HATUJUI JE NI GOLI AU HAMNA?MPE NAFASI ATOE JIBU

  • @RaibomakasarMakasarrachid
    @RaibomakasarMakasarrachid หลายเดือนก่อน

    Ofsaid munaweka msital vip iyo amuweki

  • @salumumussa9528
    @salumumussa9528 หลายเดือนก่อน +1

    Nasubr kwa hama kuona uhalal Wa goliza mziziima derby

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 หลายเดือนก่อน

    Ila usimtegemee refer wala linesman kuhukumu mchezaji kuotea bali kimbia naye filimbi ikukute katika jitihada ya kuzuia usifungwe

  • @mohedali7033
    @mohedali7033 หลายเดือนก่อน

    WEWE HUNA KITU,,NA HUJUI KITU,BALI UNA OGOPA KAZI YAKO NA AZAM,,

  • @boniventuresingino7405
    @boniventuresingino7405 หลายเดือนก่อน

    Hamna kitu hapo anazingua tuu!! Sema tu hujajiandaa

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 หลายเดือนก่อน

    Niukweli Kwani Hujuwi Sianaasili Huwi Lazima Apitishe

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo หลายเดือนก่อน

    Huyu naye hana cha maana

  • @FabiaoTomasTomas
    @FabiaoTomasTomas หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji mbona unamuingilia mchambuzi?uliza swali kisha muachie uhuru mchambuzi ,maana apa tunaona mabishano tu na mwisho tunatoka tupu bila kuelewa kitu.

  • @SaidZawela-t6s
    @SaidZawela-t6s หลายเดือนก่อน

    Mnatumalizia mb ilo goli kabisa

  • @EliasSimkonda
    @EliasSimkonda หลายเดือนก่อน

    Hamna huyo naye ameshakuwa GSM.Unaawezaje kusema unadhani ? Kuna utalamu kweli.?

  • @Immamuhina
    @Immamuhina หลายเดือนก่อน

    Mmezingua hilo goli

  • @MagooPenu-xe3cv
    @MagooPenu-xe3cv หลายเดือนก่อน

    Kipindi anavua jezi alikuwa ameva nn dani

  • @nashirkamugisha9425
    @nashirkamugisha9425 หลายเดือนก่อน +1

    Tumewazoe kutoa uchambuzi mkichora mistari vipi kwa yanga hamkufanya hivyo

    • @JobnManase-gh2fp
      @JobnManase-gh2fp หลายเดือนก่อน

      Kumbe wote nyie wote ni mashabiki mnatuchanga nyuma ya keeper nini kinaendelea?????

    • @JobnManase-gh2fp
      @JobnManase-gh2fp หลายเดือนก่อน

      Nyuma ya keeper ni mwisho wa kiwanya au hata hapo kuna bahasa??

  • @mohedali7033
    @mohedali7033 หลายเดือนก่อน

    ULE MPIRA ULIPIGWA KABLA YA YULA KUWA OFF SIDE,,ULIPO PIGWA NDIO AKONEKANA KAZIDI ,,ILA HIYO MSATRI UMEWEKWA BAADA YA KUFIKA TUU...WACHA UNAZI WEWEEEEE.

  • @djjumamasu
    @djjumamasu หลายเดือนก่อน

    Mwalabu wa tipol ana kitu apo

  • @hamadshembago7647
    @hamadshembago7647 หลายเดือนก่อน

    looooooooool
    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mpira umepita nyuma ya kipa tena free kabisa inakuaj hapa?vp kuhusu zile kona zinazopigwa na kuambiwa ni free kick🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hii ndo bongo football

  • @LinusKyando
    @LinusKyando หลายเดือนก่อน

    Nguzo za goli siku zote ziko nyuma ya kipa,acha maswali ya kijinga

  • @stanleymavurastanleymavura9295
    @stanleymavurastanleymavura9295 หลายเดือนก่อน

    Kumbe hata hichi kipindi na cha hovyo hata kazi kumbe ni wale wale , hili ni goli halali kabisa

    • @hamishasan7737
      @hamishasan7737 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kweli kabisa huyo kazi ni yanga lialia

  • @bestman3651
    @bestman3651 หลายเดือนก่อน +9

    Hii kipyenga cha mwisho faida yake ni nini? Uchambuzi wake unawezabadili matokeo?

    • @boazgodfrey865
      @boazgodfrey865 หลายเดือนก่อน +3

      Hapana,huyu ni mwalimu,marefarii wanamfatilia na kuzidi kujifunza kwake😊

    • @muhammadmuhammad5043
      @muhammadmuhammad5043 หลายเดือนก่อน +1

      Faida Yake Wahusika Wakipindi Wanapata Kazi ili Wapate Mlo 😂😂😂Nipo Paomoja Nawewe Nibobo Wanasema Wapemba Kwani Yeye Huyo Othman Namjuwa Mimi Wakati Wake..

    • @rajaitv1712
      @rajaitv1712 หลายเดือนก่อน +1

      Elimu ndogo

    • @costantineMazoya
      @costantineMazoya หลายเดือนก่อน +1

      Faida yake ni kuwapa uelewa watu kuhusiana na makosa ya kimpira

    • @bestman3651
      @bestman3651 หลายเดือนก่อน

      @@costantineMazoya wabheja

  • @KiteteKitete-n2q
    @KiteteKitete-n2q หลายเดือนก่อน

    𝐀𝐳𝐚𝐦 𝐢𝐧𝐚𝐭𝐮𝐦𝐢𝐤𝐚 𝐤𝐮𝐢𝐡𝐮𝐣𝐮𝐦𝐮 𝐲𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐡𝐢𝐥𝐢 𝐧𝐢 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢