Sholo Mwamba - Ghetto La Bibi (Official Video) SMS SKIZA 7917926 to 811
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 ธ.ค. 2019
- #SholoMwamba #viral #trending #hot #video
SMS VCT 10246763 To 15577 Vodacom Tz
(C) Slide Digital
Ghetto La Bibi OUT NOW WORLD WIDE
ffm.to/sholomwamba
Seif Mwinyijuma Haji is a multi-award winning artist from Dar es Salaam Tanzania. Commonly known as Sholo Mwamba to many, he is famous for his unique music Singeli, which is a very popular genre of music in Tanzania. Being one of the few artists that made Singeli music a big hit, his popularity not only goes far beyond Tandale, his birth place but has also granted him great fan base throughout Tanzania and all of Africa.
Follow Sholo Mwamba on:
/ officialsholomwamba
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz - เพลง
Kwasisi tunao penda singel bila kuchagua mssnii gani namanisha atuna ubaguzi gonga like tumeipokea sholo
Wauniiiiiiiiii.... kama kuna alie sikia ...MWAZI KUBWA BOLO MDOMONI 😂😂😂😂like hapa twende sawa
Ramadhani Pambo 🙆🙆🙆
Pozi kubwa ugolo mdomoni.
@@wafaidaconnection3470 sikiliza vzr Mzee utapata jibu
Hhh
Hahaha
Tunaenjoy Sana hapa tz nakubali shoromwamba
Alo we aloo tena
Ukiingia utalitamani
Together Kama Mambo hayaend nenda ww🤷♂️🤷♂️🤷♂️🤷♂️🤷♂️
Wa4 kukomenti kamaunamkubali king of singeli gonga 👍👍👍 iv
Nako 2 nako atuwezi
Huyu ndo mfalme wa singeli,maana hajawahi kuishiwa halafu akitoa kitu lazima kihit.
Shooo kari baba angu nakubariana wewe baria
Huyo dance mwenye kibeg mpe shikamoo yake maana style zake ukiiga hauna nyongaa
Kwakweli Yuko vizurii Sana 🥰🥰🥰
sana
Mshamba uwezi ukaelewa
Asante kwa bonge la ngoma mkali wangu namba 1 wa singeli
Ngoma naipenda sana hii siichoki kuiyangalia nakuisikiliza
Wwe ndomm
Uko vzr kwny singeli mzee baba kwangu mim hakuna kama we kwenye muzik wa singeli tz
Director kakosea ki2 kimoja 2 mkali wang sholo mwamba kuweka geto la bibi
Daaaah mfalme wa singeli good idea
Na kukubali sana
Napenda nyimbo zk sholo mwamba oyooooooo geto la bibi
Anaweza
Aloooo weee. Alooo tena
Msanii wa singeli unaongoza kwa kupiga pamba
Balaa na nusu mwamba😄😄😄✌️
Watoto wa D1 Done....sholo hapa nimeelewa we ni noma
Nomaaa sanaa big up ##shoro mwambaa
Amni day
Am from somalia and i love sholo mwamba
Sholo bhnaa big up sana singel kali
Ukiona maishayako hayaendi basinenda mwenyewe nakubaliana nawewe king of singeri mwambageu
Nakubali baba lao hii kalikuliko moja ile ilio pita hii kali zaid
Aloooo weeee nakubiliana na ww Sholo Devils umetishaa umeua snaa
hii ngoma angemshilisha mzee wa bwax shoro angekunya
Unagongwa hiv kidogo au co
Sholo ulipotea wap wangu
Tisha Sana ...
We jamaaaaaaaaaa nouma nanusu mamae
I'm not tired of looking at rock sharks you know you're hot🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mfalme wa singeli baada ya msaga like
Sholo mwamba mtu mbad
shoro killer amin kwamba yule yule
Kazi nzuri sana
Nice sana ngoma Kali mesen mkali
Nomaaaa
Bonie Chindola NC
Ngoma iko pouaa kinouma
Unahambiwa saf na salaama
Geto halikuonekana
Kama ya mamton good✓
Geto la bibi
Safiiiii sana
mwamba mwamba nishida
Gheto la bibi 💥💥
💥💥💥💥💯🎤
hapa aliye uwa ni MENSEN SELEKTA ila mistali ya jamaa ni ya kawida sanan a haina maana yoyote ila kwenye beat za singeli huyu jamaa ni htali sana big up mensen
Balaa
yebabaaaaaa
Big up broo
Video Kali sana broh
U yo mdada danc yko vzur
We k msenge umeua leo nimekuelew xholo yeleyeleyeleyeleeeeeee3eeee
Sholo mwamba Geu.. Ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kama video ya rayvanny vileee.... hahahah sholo kasha fichua idea...
#Kondegang4everybody
Moto fere💥💥💥 niatari
Kalii
Mwamba mfalme 🔥
Sijarara
Shoro mwamba uko vizur ila biti uzo tumia haziko kisengeli ni madebe tu imeisha iyoo
Haruni Mfaume We ujui singeli wewe
@@kingbaloziattitudekings7410 hahaha daaaah sawa baba ila labda sjui kupga biti ila bit mzur za singeli angalia nyimbo zake za zamani na biti zake kabla ajaingia kwa meseni na sasahivi uon utouti kuna nyimbo mpyaa ya meja kunta imetoka kwa meseni angalia ilivyo poaaa na biti lake madebe ukweli dj tito na wengine wa kitambo ni bora zaid kwenye kutoa bint mm mziki niupendao ni sengetu nyimbo 1500 kwenye flash nyimbo 1200 zoote singeli sasa ww unae jua powaa
Chumaaa
🔥🔥
Mwamba your dangerous big up
Mwamba
Nice song , creativity , movement a pure uswahilini beat ,like it
P1
Kali
Pozi kubwa ugoro mdomoni
Nice one
Nic sholo
hatari sana "GETO LA BIBI"🔥🔥🔥🔥
Umechinja
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 hatar sana geto la Bibi.....
Aty nini ghetto la bibi
🔥🔥 Nakubali wakwetu
Sholo we love you so much from kenya.karibu Xmas mwamba
Ckupingi mkuu
Dh
💪💪💪💪 aipingw
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌
Xaf
Sholo devil
😁😁🙃💪💪🔥🔥🔥
Mambo vp
sholo yule yule
Nakubliiii
👑
🤔🙆♂️
Rimex LA babu Gusa link th-cam.com/video/DvSYv1aEoxQ/w-d-xo.html Kuona sengili hatari
Video event cjapenda Nimeona Madensa tu where is Gheto la bibi
Safiiiii sana
Video Kali sana broh