DJ WA SHOLO MWAMBA ALIVYOPIGA SUKARI, TETEMA NA ZINGINE KWENYE SINGELI NDANI BIG SUNDAY LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 357

  • @noelmarapachi1808
    @noelmarapachi1808 3 ปีที่แล้ว +73

    Unaweza kumtoa Mswahili USWAZI, lakini huwezi kuutoa USWAHILI ndani yake! What a performance, what a chemistry

  • @aishaabdallah6232
    @aishaabdallah6232 3 ปีที่แล้ว +12

    Show zoteee hiii nimeipendaa alafu ndo kajua kutimbwizaaa salut kwakooo chol mwambaaa &DJ tito 😍😍😍😍😍😍😍😍 na wanachuo mme jua kunogesh pls like kama ume pend kama mm na comment ❤❤❤❤❤👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻🔥🔥🔥

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 3 ปีที่แล้ว +53

    Hii ni zaidi ya chemistry... DJ Tito na sholo mwamba ni 🔥🔥🔥

  • @fedrickeliezer5521
    @fedrickeliezer5521 3 ปีที่แล้ว +44

    Uyo DJ Tito ana zaidi ya talent yani iyo skillss ni hatari kwamza hakuna dj aliewah fanya iyo mixing apa tz big up to you tito and sholo mwamba

    • @japhetoctavian7287
      @japhetoctavian7287 3 ปีที่แล้ว +1

      Big up xana kwa wasafi kwa kuanzisha big Sunday live inatupa raha sana

    • @samybaro3428
      @samybaro3428 3 ปีที่แล้ว

      Dj tito ni hatariii

  • @iddikazimoto2247
    @iddikazimoto2247 3 ปีที่แล้ว +20

    Yani Kwa huu ubunifu nyie hamna mpinzani tena kwenye singeli, mmetisha, 🔥🔥🔥🔥🔥😁😁😁

  • @willysmalls7130
    @willysmalls7130 3 ปีที่แล้ว +29

    Niko Kenya lakini napenda wimbo za singeli am a huge fan,good job sholo mwanga na DJ wake

  • @younglovedii1065
    @younglovedii1065 3 ปีที่แล้ว +35

    Tiiiiiiiiittoooooooooooo shikamoooooo ulipo Wana johannesburg tunakupa Salam na shikamoooooo 🇿🇦🇿🇦🇿🇦

  • @khadijasultan1653
    @khadijasultan1653 3 ปีที่แล้ว +18

    Awwwwww TITOO UMEUWAAAA SANAAAAA SANA TUMEONAAAA BABA♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @frankjoshua1888
    @frankjoshua1888 3 ปีที่แล้ว +6

    Jaman huyo dj akaze nibaraaa zidi ya kimbunga I love you Dj tito

  • @MwigaKatumpula-mi3zt
    @MwigaKatumpula-mi3zt ปีที่แล้ว

    Nataka liwekwe battle la DJ Tito na DJ Miso misondongoma tuone itakuaje Hilo vibes lake maana hawa viumbe ni Moto 🔥 wa kuotea mbali sana kwenye hiii nchi 🇹🇿😀🔥🔥💪💪💪😃😃

  • @ngaribaonline9271
    @ngaribaonline9271 3 ปีที่แล้ว +10

    Huyu tito mungu anamuona

  • @millardtz6493
    @millardtz6493 3 ปีที่แล้ว +13

    Kuna dj afu Kuna Titto💥💥💥

  • @rajimadope6465
    @rajimadope6465 3 ปีที่แล้ว +28

    Daaah mamaee hii ndio showa Kali kuliko zote ambazo zimewah kutok on the stage of big Sunday We tito weee ni nyokooo

  • @robinhomesuza9263
    @robinhomesuza9263 3 ปีที่แล้ว +17

    Huu ndio music wetu sio sjui amapiano kwendraaaa

  • @cazoramahussein1998
    @cazoramahussein1998 3 ปีที่แล้ว +14

    Moja y vitu ninavyi proud kuwa mswahili n singer since 2009 nimekuwa fans wa mziki huu mpaka sasa

  • @yuzotv458
    @yuzotv458 2 ปีที่แล้ว +1

    Huu unyama walioufanya sio wanchi hii big up sana Sholo mwamba pamoja Super talented Dj Tito🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Omariabdalla-d1k
    @Omariabdalla-d1k ปีที่แล้ว +1

    Haha mambo zamani sana mnaoona mageni kwa missomisondo 😅😅

  • @chrissinyinza1172
    @chrissinyinza1172 3 ปีที่แล้ว +23

    Titooo piga mala mbili nikwonee fyatuuuuu big up brother shoro mwambaaaaaa show ya kibabeeeeeee

  • @obeidboaz2637
    @obeidboaz2637 3 ปีที่แล้ว +10

    Samahani na shida Sana na kupata mawasiliano ya shollo mwamba nina event , naombeni Sana.

  • @hassanabdulrahman7332
    @hassanabdulrahman7332 3 ปีที่แล้ว +38

    Big up djtotoh & sholo mwamba 🔥🔥🔥🔥🙌

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 3 ปีที่แล้ว +23

    Sholo mwamba mkali sana. Big Rasta.

  • @footy_genius
    @footy_genius 3 ปีที่แล้ว +27

    Oya weeee 😂😂
    Singeli usichukulie poa ni hatari fire!!

  • @straightkonect1613
    @straightkonect1613 3 ปีที่แล้ว +10

    Sholo kama Mwamba.kuvaa dera sio kazi kazi kulishika.shikaaaaaa

  • @kapesamjenga5168
    @kapesamjenga5168 3 ปีที่แล้ว +14

    Mamaeee huyu Dj wa shollo ni nyokooo Anajuaaaaaa

  • @maishahalisitz1505
    @maishahalisitz1505 3 ปีที่แล้ว +10

    Big Sunday haijawahi pigwa show kali kama iyo 👏👏👏👏👏👏👏

  • @kessymnumbile7540
    @kessymnumbile7540 3 ปีที่แล้ว +15

    Hii noma sana mmefunika aijawaitokea kwa wasanii wote waliopitia kwenye kipindi cha big sunday

  • @happyjpaul3301
    @happyjpaul3301 3 ปีที่แล้ว +23

    Bonge la shoo mamaae titooo kamfanya sholo ubora wake uwe juu zaid

  • @sdiketz3053
    @sdiketz3053 3 ปีที่แล้ว +4

    Irudiwe irudiwe dah 🔥🔥🔥 Ngoma naiangalia tena leo tarehe 30/12/2021

  • @lucymoris1707
    @lucymoris1707 3 ปีที่แล้ว +16

    Watu wanakubl singer, hakika huu wimbo wa kitanzania

  • @hamadnassor6185
    @hamadnassor6185 3 ปีที่แล้ว +29

    Izo ndo ngoma zetu uzungu wabaki NAO wenyewe 🇹🇿 taifa moja💪

    • @JumaJuma-fu7ji
      @JumaJuma-fu7ji ปีที่แล้ว

      Uzungu hauwez kuukimbia ukitaka uukimbie uzungu basi yatumike malimba nangoma zakubana zamiti ili ivi vinanda midundo bado wazungu

  • @minjacsd1874
    @minjacsd1874 3 ปีที่แล้ว +5

    Singeli imekuwa sana Bongo tunasubili ivuke boda 2

  • @fizomedia5112
    @fizomedia5112 3 ปีที่แล้ว +3

    Ah sema sholo uliuwa huyu Jamaa kumbe fundi🤭🤭😂😂et dj tito piga tena!??🤣🤣🤣jamanii ee hashtag dj tito__ #djtito

  • @mansourussi1612
    @mansourussi1612 2 ปีที่แล้ว +2

    Hii ndo icon yetu sio amapiano big up titoo big up sholo🙌

  • @oscarmponzi1597
    @oscarmponzi1597 3 ปีที่แล้ว +37

    sholo n live show killer& DJ TITO bigg talent

  • @wazirihamdu6106
    @wazirihamdu6106 3 ปีที่แล้ว +9

    Ingekua kwa wenzetu wazungu muasisi wa muziki huu wa singeli angewekwa kwenye record ambazo haziwezi kusahaulika dunia ila hapa bongo wengine haya hawamjui muanzilishi na mbunifu wa singeli ambae kwa upande mwengine amezid kuleta ajira kwa vijana wenzake

    • @kudramzee5769
      @kudramzee5769 ปีที่แล้ว +2

      Kweli kabisa yaani MSAGA SUMU NA KHARID KAPALA hawa ndio waanzilishi wa singeli

    • @JumaJuma-fu7ji
      @JumaJuma-fu7ji ปีที่แล้ว +1

      Msaga sumu apewe heshima zake jamaa mwazilishi wa singeli afu ata alingi na haongei sehem yyte katulia tu

    • @JumaJuma-fu7ji
      @JumaJuma-fu7ji ปีที่แล้ว

      @@kudramzee5769 msaga sumu afu alingi na haongei sehem katulia apewe heshima yake

  • @dullykarim6657
    @dullykarim6657 3 ปีที่แล้ว +40

    Hii Show irudiwe.... Best show ever 🙌

  • @hasionshekiondo6633
    @hasionshekiondo6633 3 ปีที่แล้ว +4

    Tito kama ni utundu wako tu bas unaweza ni jambo lakumpa MUNGU shukrani maana ni zaid ya talent kaka

  • @johnewakitaa3755
    @johnewakitaa3755 3 ปีที่แล้ว +9

    Izzzzooo home boye imepita adi uku south Africa. Shoro awa kambaza

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 3 ปีที่แล้ว +23

    Dj Tito hatari sana show irudiwe🔥🔥🔥🔥🔥💪💪😀😀😀😀🇹🇿.

  • @ramcymosungu4700
    @ramcymosungu4700 3 ปีที่แล้ว +6

    Hujawahiiii niangushaa Broo ukiwaaa na DJ himself TITOOOOOOOOOOOOOO,,,,balaaaaaaaa tabu palepaleeeee

  • @lucasmsogoti3435
    @lucasmsogoti3435 3 ปีที่แล้ว +17

    Hahahahahahahahahahahahahah Dj Tito kafanya massacre daah salute sana kwa tito na sholo mwamba

  • @keizerkaundila8805
    @keizerkaundila8805 3 ปีที่แล้ว +25

    Sholo mwamba na DJ Tito mumeuwaa atarii sana

  • @MsambaaMweusiamani
    @MsambaaMweusiamani ปีที่แล้ว +1

    Safi kaka huna baya kwa mashabiki wako, tupo pamoja

  • @africanfamilyculturetvonli7639
    @africanfamilyculturetvonli7639 3 ปีที่แล้ว +23

    😂😂😂😂😂 Kucheza Singeli. Tamaduni ya Tanzania.

  • @eddyeddy2907
    @eddyeddy2907 3 ปีที่แล้ว +21

    Kumamamakeeeeeeeeee 💥💥💥

  • @didashmessi2528
    @didashmessi2528 3 ปีที่แล้ว +7

    wooow talented TITOOOO

  • @amirymohammed4229
    @amirymohammed4229 3 ปีที่แล้ว +5

    Nakubali umewawashia moto sanaaA

  • @azaliamiti6755
    @azaliamiti6755 3 ปีที่แล้ว +4

    Tito😱 wat a perfomance

  • @shabanimaarifa9678
    @shabanimaarifa9678 3 ปีที่แล้ว +2

    yaaa nakubali mgaigai Tito izooooo

  • @omarychande4840
    @omarychande4840 3 ปีที่แล้ว +16

    appliciate DjTitoh & SholloMwamba Hatari sanaaaaaaa✊💥💥

  • @ridhiwanikitogo1647
    @ridhiwanikitogo1647 3 ปีที่แล้ว +10

    Huyu tito sio pw 🔥🔥🔥

  • @hassamtht124
    @hassamtht124 3 ปีที่แล้ว +6

    Dj Tito ni nyoko🙌🙌🙌🙌

  • @bombaman925
    @bombaman925 3 ปีที่แล้ว +23

    Singeli msiichukulie poa 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mohamedfadhilisadick3912
    @mohamedfadhilisadick3912 3 ปีที่แล้ว +10

    Kumamake uyu Tito 🔥

  • @zaqiamhando6522
    @zaqiamhando6522 2 ปีที่แล้ว +1

    Nmerudia tena may 2022😅😅 I real enjoy this show

  • @emexchaka6646
    @emexchaka6646 3 ปีที่แล้ว +26

    Huyo Tito mamae 💥💥🚨⚡

  • @mathayodaimonsala551
    @mathayodaimonsala551 3 ปีที่แล้ว +6

    Tito ni 🔥🔥🔥

  • @tidefitness1677
    @tidefitness1677 3 ปีที่แล้ว +4

    Dj tito ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @karisfavour4048
    @karisfavour4048 3 ปีที่แล้ว +4

    I like wasafi and I love wasafi bt I don't no when wasafi can sign me in

  • @chumaboy3507
    @chumaboy3507 2 ปีที่แล้ว

    Sholo m huw nakubali singel zako atar

  • @mbozzoboy2441
    @mbozzoboy2441 3 ปีที่แล้ว +6

    Tito unajuwa bro nyota ndo Mchawi

  • @oscarmadoladola3061
    @oscarmadoladola3061 3 ปีที่แล้ว

    Titto ni konyoo Daaah Respect kwake

  • @yahayakhalifan2843
    @yahayakhalifan2843 3 ปีที่แล้ว +3

    Best show kwa upande ya all time

  • @videozaaj1069
    @videozaaj1069 3 ปีที่แล้ว +10

    Balaaa na nusu🔥🔥🔥🔥🔥

  • @HabibaBb-d3s
    @HabibaBb-d3s 3 หลายเดือนก่อน

    Uwa sichoki kutazama video ❤❤Dj tito akunag kama ww❤❤makofi kwako❤💪🔥💉💉

  • @avelinmaiko2455
    @avelinmaiko2455 3 ปีที่แล้ว +9

    Huyu DJ TITO, NI MOTOOOOO🔥🔥🔥🔥🔥

  • @willdmalya3544
    @willdmalya3544 3 ปีที่แล้ว +4

    Dj titooo noma 😂😂😂😂🤞🤞🤞

  • @villanboss6828
    @villanboss6828 3 ปีที่แล้ว +33

    R.I.P DULLA MAKABILA 🙌

    • @alicenice1711
      @alicenice1711 3 ปีที่แล้ว +2

      🙄 Unasemaj?

    • @lucymoris1707
      @lucymoris1707 3 ปีที่แล้ว +1

      Nn ww

    • @patrickmgata9574
      @patrickmgata9574 3 ปีที่แล้ว +2

      Dulla kila akihimba kidogo mikono juu anazinguwa sana imba sio mikono juu siuna sholo mwamba apo anaimba kazi kazi

    • @samuelmwaipopo1302
      @samuelmwaipopo1302 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwani dullah makabila anaimba singeli!? au kula daku!!?😂

  • @merikiolngasa9775
    @merikiolngasa9775 2 ปีที่แล้ว +1

    Kumamakeee uyu dj Tito balaaaaa

  • @leonwalker5678
    @leonwalker5678 ปีที่แล้ว

    Namuona Mdogo wangu Tito kwenye one and two safiii sana kijana

  • @edwardpaulo3351
    @edwardpaulo3351 3 ปีที่แล้ว +3

    Umetisha sanaaaaa Yani unaenjoy mwanze mpk mwisho

  • @victorkiiru1237
    @victorkiiru1237 3 ปีที่แล้ว +6

    Hii ingekua simba day ingekua baraha hadi kufa

  • @sophiabalali682
    @sophiabalali682 3 ปีที่แล้ว +4

    Tiiitooooooo umeua 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jamejunior6715
    @jamejunior6715 3 ปีที่แล้ว +12

    Huyu Dj Tito sio wa mchezo mchezo 🔥🔥

  • @carloskallomo7953
    @carloskallomo7953 3 ปีที่แล้ว +3

    Titoooooooooo u kill it Brooooo🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @fadakemambilinyi4603
    @fadakemambilinyi4603 3 ปีที่แล้ว +9

    live by dj tito to play NOBODY ya ANJELA WASAFI Big up......tito

  • @barakamkono6563
    @barakamkono6563 3 ปีที่แล้ว +4

    Aise Noma sana dj Tito ametisha

  • @antoinekatembo8520
    @antoinekatembo8520 ปีที่แล้ว +3

    A true definition of a happy people is a happy nation.

  • @kibeginiblue7188
    @kibeginiblue7188 3 ปีที่แล้ว +10

    Sholo mtu wa vibe sana

  • @NgelaTZ
    @NgelaTZ 3 ปีที่แล้ว +5

    Tishaa sana dj titoo

  • @chameeydewizy1956
    @chameeydewizy1956 3 ปีที่แล้ว +21

    He's so talented💪💪💪

  • @gaspersoka6111
    @gaspersoka6111 3 ปีที่แล้ว +9

    Mziki mtamu sana huu

  • @ridhiwanikitogo1647
    @ridhiwanikitogo1647 3 ปีที่แล้ว +15

    Nyiee huyu Tito qumamae sio pw

  • @snyzermontana5192
    @snyzermontana5192 3 ปีที่แล้ว +3

    Noooooomaaaaa sanaaaa 💥💥💥💥💥💥💥💥

  • @hendryprosper9950
    @hendryprosper9950 3 ปีที่แล้ว +10

    Atarii saaanaaaaaa hawaaaaa majamaaaaaa

  • @enockmwilongo5771
    @enockmwilongo5771 3 ปีที่แล้ว

    Dj tito ni waya ya stima kwamb ni noma wawanoma kwawanoma zaidi

  • @masoudmsangi8365
    @masoudmsangi8365 3 ปีที่แล้ว +6

    Good bless sholo mwamba na Dj titoooo

  • @haroubabuubakar6277
    @haroubabuubakar6277 3 ปีที่แล้ว +5

    Titoooooooo,💪💪💕

  • @maumbakasanga2203
    @maumbakasanga2203 3 ปีที่แล้ว +2

    Dj Tito arudishweee aiseee

  • @godfreymatiasimabula8744
    @godfreymatiasimabula8744 3 ปีที่แล้ว +6

    Noma San dj Tito

  • @enockrwehumbiza3555
    @enockrwehumbiza3555 3 ปีที่แล้ว +20

    DJ TITO IS THE BEST NA SHOLO MWAMBA KAUWAAAAAAAAAAAA

    • @Kymodollie
      @Kymodollie 3 ปีที่แล้ว +1

      Respectfull

  • @iamdjgunz1414
    @iamdjgunz1414 2 ปีที่แล้ว

    Huku quma ana pumziii mamaaeh🙌🏼🙌🏼😂😂😂😂😂😂

  • @juliusedward5808
    @juliusedward5808 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah Titooooo kauwaaaaa

  • @cbegram6161
    @cbegram6161 3 หลายเดือนก่อน

    Can you believe this is 3 years?

  • @erickselis8234
    @erickselis8234 3 ปีที่แล้ว +10

    Keep it Up my Gee Deejay Tittoh

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 3 ปีที่แล้ว +11

    🔥🤟🔥

  • @fahadfifa4190
    @fahadfifa4190 3 ปีที่แล้ว +14

    Very creative 🔥🔥🔥🙌

  • @likungaduu6445
    @likungaduu6445 3 ปีที่แล้ว +3

    Wanangu hawa..Mwamba

  • @gwajetheentertainer363
    @gwajetheentertainer363 3 ปีที่แล้ว +15

    Hayo ndio mambo vijana wanapenda siku hizi ila waambie kufanya kazi na kusoma sasa utatukanwaaaa😂😂😂😂

  • @mrramadhanimsangi7073
    @mrramadhanimsangi7073 3 ปีที่แล้ว +3

    Dj tito ni noma