Sholo Mwamba - Anataka Uma (Official Video) SMS SKIZA 7918572 to 811
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ค. 2018
- #SholoMwamba #video #viral #trending #hot #trending
(C) Slide Digital
Anataka Uma OUTNOW WORLD WIDE
ffm.to/sholomwamba
Seif Mwinyijuma Haji is a multi-award winning artist from Dar es Salaam Tanzania. Commonly known as Sholo Mwamba to many, he is famous for his unique music Singeli, which is a very popular genre of music in Tanzania. Being one of the few artists that made Singeli music a big hit, his popularity not only goes far beyond Tandale, his birth place but has also granted him great fan base throughout Tanzania and all of Africa.
Follow Sholo Mwamba on:
/ officialsholomwamba
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz - เพลง
goma kali.....namuona ibra kamongo apo ameifnyia vema dance
video yangu ya kwanza kal na nzuri ktk mziki wa singeli #HONGERASANAA_SHOLOMWAMBA
acha like mdau wangu
Nasubir nyengine
Tuongeze views kwa hii nyimbo ni hatari sana....Mombasa we appreciate Sholo
Nakubali sholo kazi nzuri
Kwa washabiki wa sholo like hapa
kama bd unaikubal hii ngom 2024 ngonga like
Ww ndio mwamba geu dua kaka
Nyimbo naikubali sanaii
Hapa 254 tumeipitisha hii mbele mbele🔥🔥🔥
Umekuja tena,umekinukisha tena, wataelewa tena
Singeli hizi nazipendaga sana kuliko zile OYA BAHAAAAALIAAAAAA TIMUA VUMBI TIMUA VUMBI.. MTIE PANGA LA KICHWA OYAAAAAA MVUE CHUP* HUYO ABAKI NA DERA dah... hii hata Baba Mkwe unasikiliza nae kabisa #BIG_UP_CHUMA_STILL_WIRE
Nani anae itazama hii video 2023 mwisho wa mwaka
Uya nakula xn ili dude mzee uwa napenda vilivyopo umo noma xn mwamba
Daaa hii yimbo nzuri kweli
Sana mzee @sholo mwamba ubunifu wa hali ya juu.
Ngoma kali sichoki kuangalia sasa pale anaposema cheza upande upande mimi ndo hoi kabisa
Nice mzee baba nakubali
2tabambia sana watoto wazur maana cc wenyewe tunataka uma
Safiiii mzeee wakazii
Utisha sholo mwamba ase yan nimeipnda mbaya
umefanania kua masai brother kazi nzuri
Apo sasa naanza kuiona singeli kimataifa safi mzee baba(by baba reshma)
Oa tu mzee baba kichupa kimetulia
Hii ngoma iko pour sana
weka bahariaaaaa kama unamkubali #shollomwamba basi gonga like yako hapa
sio poa sholo na kukubal
Captain hii ngoma homa babu 🇹🇿 one
Hii singeli kwakweli ni shid bongo LA biti naiyangaliaje kila mda
nice
Mimi ni mzee wa kupita tu na kuangalia comment za watu na zipo ngapi dah akili zangu nazijua mwenyewe
Inogileeee.. Ngoma
Kubali sana shoro mwamba kaka
Hii video ni ya mwaka umebuni vizuri saaana kama unamkubali shollo mwamba gonga like chini hapa
ngoma iko safii
Ngoma kali sana
Uma sio Uma kumbe msela anataka k
Hingoma kalikuliko sana
Uma sio uma kumbe msela anata k
Kwa haya machupa singeli inasonga kudadeki mkovzur 😊
Nakubali iyo michano.. bombclat
sholo mwamba utakujaaa kuuua waaatu
Kwa mara ya kwanza kwangu. Hongera.
Hip iko poa sana anataka uma
Umetisha mwanga geu hujawahi kukosea mwamba #kingofsingeli
Nice song
hii ngoma kali sana mzee ...Umetisha Mwamba 👏👏👏👏👏👏
Ungejuwa wamasai ndo watu wakuowa usinge sema
Baada ya kiitikio cha kazi kazi ya prof jay..! Hii pia niapa five star ⭐️.! Video kal 👏🏼
Sholo unaleta sana mapindiz ya singeli unajua kinoma
Hii video ni hatariii😎😎😎😎
Nomaaaa hii video
ngoma siichoki kila mda nairudia aichokeshi ii Kali
waaaaoooooh napenda saana brother Bing up
hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiikii
Nlkua nakusikirza kupitia kiss fm dah chupa lko poa
bola nioe mmasai waniite mama yoyooo
Nakubal mwamba geu
kwa Mara ya kwanza Sholo mwamba umetoa nyimbo Kali
Kama umeielewa hii NgoMa Ebu Gonga 👍 Likes ya Upendo hapa Tuende sawa 😎
Dah... mwanangu umetisha Sana
Na aisha
oya wee sio poaaaa ii bakora aigi mtu unu
Daaah sema leo mwembe yanga umeuwa mzee baba yani konk!!!!???
Wekaaaaa bahalia sholooo🔥🔥🔥🔥
Nom San mzee baba
hakunaga kama sholo kwenye singeri
Oohh umeuwaa mzee wa show kideo chenyewe iko mule mule umelenga
umetisha baba samak awez liwa gizan Mzee Wa kazi
kitu qonk unangaa ngoma kal
Nakubali mzee baba wanakwambia anataka what umaaaaaa
Mapinduzi kwenye singeliii nayaonaaaa
Ivu Wavikwazodod
dj tito hatak uma kumbe anataka ........... unazingua mwamba jeu hahahhaa noma mzeee baba like zako mwamba jeu
Aise Bonge LA ngoma kaka angu
Hii ndo ngoma sasa iko good
sana 2
Njoo ujigunze lugha ya kichina...
Nkubal mwambaa jeu
frexh xanaaaaaa!!!!!!Ngoma kali
NAkubali mze baba kichupa kitam kumamakeeeeeee
show kalii mzee baba
#Sholoo Diamond level unajuwa Uma sio Uma mesen anataka k
Imepenya iyo achuzi angu.!🙏
atar!!!!!! nakubal mwambaaaaa
Ngoma ni Kali na kichupa kikali mzee baba...mfalme wa singeli
Kaziii ikooo poaaaa sanaaa
shoro mzee baba unajua
saf sholo ime bamba wendo kinala wa singeli
noma sanaa
Weeeeeeeeeeeeweeeeeeeeeeee🎉
that good staff iko poa
Hiyo kali sana kwanza video imependaza
Si unajua mwamba Beat kali kinoma Si unajua mwamba😃...keep it up
Mwanba geu
Like nyingii
Ngoma kali
Weeeeka bahalia
Chura
Ngoma kali mwamba
Yaaaani mwamba ni mwamba tyu hata kama ukipasuliwa ma nn
Mwenye nguvu mwite power Ujui kukosea
Kaz kaz
Ngoma iko 🔥 🔥 🔥
Kazi mikazo sholooo nqkukubali sana janangu
Kwel kabis
kaama bado unaikubali hii ngoma 2023 gonga like yako hapa
Umetunga uchii nn ngoma kali kinoma
Eroo Masai Iko poa na rubegaaaaaa
Hawa jamaa isingekua basata wangekua wanatukana sana kwenye nyimbo zao iz za kihuni
kaluta abeid h h h h haaaaah Mana hapo neno halis sio uma bal ni..... h
Nzurii
sholomwamba wewe mwamba kweliiïiii
Sholo mwamba umetixha
bora nioe masai wanitee baba yoyooooo
heshima baba 🏆🏆🏆🏆🏆