Sholo Mwamba Ft Wanne Star - Asili Yetu (Official Video) SMS SKIZA 7918799 to 811
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ค. 2021
- #SholoMwamba #viral #trending #hot #video
SMS VCT 10461144 To 15577 Vodacom Tz
(C) Slide Digital
Asili Yetu OUT NOW WORLD WIDE
ffm.to/sholomwamba
Seif Mwinyijuma Haji is a multi-award winning artist from Dar es Salaam Tanzania. Commonly known as Sholo Mwamba to many, he is famous for his unique music Singeli, which is a very popular genre of music in Tanzania. Being one of the few artists that made Singeli music a big hit, his popularity not only goes far beyond Tandale, his birth place but has also granted him great fan base throughout Tanzania and all of Africa.
Follow Sholo Mwamba on:
/ officialsholomwamba
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz - เพลง
Mizimu ndio ngoma langu la kwanza na ndio chaguo langu...tunae kubali goma hili gonga like chin
Nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaasana kaka umetisha
Yupo vizuli wane nimesomanae tangu tupo shule ya msngi alikuwa mtu wasanaa
Who else come back after the award winning
Mimi aisee😀😀
And I like the intro twende twende tukatambike mizimu
Heshima yako Mesen Selekta, kitaa kinakutambua umeitoa wapi Singeli.
Mwamba kakomba tuzo nyimbo sio views aisee
Biga
Sasa nimekuelewa sholo🙏✍️
Sijawahi kuona mcongo kupenda singeli song kama Mimi Mhh?? Yaaani hizi ngoma waga zinaniuwa kweli .
Basi wewe kama niMcongo naumemkubali mwamba geeu naomba usipite hapo chini bila kuweka like yako hapo chini .👍
nakubali sholo we ni 👑👑 wa singeli
Safi sana wakushi nasikiaga raha sana kusikilizia hizi songi
Umetisha sholo the Rock video Kali sana 100%
Kichupa kimeweza!!
Umetisha kaka
Aloooo weeehhhh
Kichupa cha kibabe respect mwamba geu
Mwendo ule ule Shoro mwamba kiasili zaidi
Kweli Kabisa Yako Majini Yanavuta Sigara Pombe Hata Matambiko Pia Pombe Zinakuepo Baazi Ya Mizimu
Nakubar the rock dua! Xan ujawai kufer
Mmhh?? Mwamba yaani hiii kali kuliko
Ebwna moto sna bro good job👏👏🔥
Atari Atari lakni salama
You deserve to got 3 awards my brother, aloowe alooo tena😁
Nimeikubali
Chorus killer
Mwamba geu #SHAROCK
mwamb wa singer🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥
Captain ..ume mwona peter kapita 🙌🙌🔥🔥
Sanaaaaaaaa
I came here baada ya kumwona ameshinda Tanzanian Music Awards! first knew of him from Kamaliza ya Harmonize! Such a star🔥
Hata mm pia🤣🤣🤣
@@magrethlehao5927 Ndio maana tuzo muhimu sana, Inafanya unajuwa artists tofauti Wakali ambao ulikuwa uwajuhi!
Nyimbo nimeipenda san imenfanya nijifunze jambo ila co hzi za mapenz kila kukicha nimeipenda san nce job broh sholo
King of singeli ni mmoja tu Tanzania 💪💪
Mizimu inataka fegi 🤣🤣🤣✅
Sholomwamb
Sholo Mwamba aka mwamba geu salute sana kwako
Nimeutafuta na kuuangalia huu wimbo baada ya zile tuzo.kweli umesitaili kuzipata Hongera mwamba umeupiga mwingi.
safi sana imetulia
Wekaaaaaaaaa ai
Shola mwamba well done 👍 Guy wonderful song 💞💞 I love it, keep moving forward with special mizimwi very very nice 💕 thanks ❤️!!**
🔥🔥
Very good my brother
Nimeiangalia baada ya kukomba tunzo 3 hongera sana mpenzi
Safiiiii bro sholo gonga nyingine ya mfumo huu itapendeza zaidi
My favorite singeli of all time😂😂💣💣mwamba geu👑💥💥💥
More 🇹🇿🍻🚬fire
Kazi nzur yenye maadili hamna tusi lolote mwamba geu uko vizur
Mizimu inataka bia😂😂😂 sio mizimu ya Pierre liquid kweliiii
Asili kweli .
Mwamba geu naona akuna chura Mhh?
Back 2,Back 🎙️🎙️🎙️🎙️🎙️🎙️🔊🔊🔊🔊🔊🔊🙏🙏🙏🙏🙏
Nakubari sana. 💪
Umeua mwanangu
Mwamba kwel mwamba kipande cha kwanza ngoma yake naikumbuka yoteh2015 hiyo sjui
Una chemistry Sana na mesen... Tunakutegemea kwenye singeli... Hope mnaheshimiana....tunataka kazi nyingine😻😻😻
Good mwny singel yke
Hii ngoma kali sana
Kizazi mwamba geu
Mizimu inataka bia Mmhh? Kweli hii niatari lakini salama bariaaa
nimerudi kuitazama hii nyimbo kwanza baada ya usiku wa tuzo kuchukua tuzo tatu ( 03 ) kwa wakati mmoja na nyimbo hii ikikupatia tuzo mbili ( 02 ) ila all in all hongera sana sholo umestahili tuzo mzee
Mwenye amekuja baada ya album ya harmonize
I love u
Wekaaa
Bip up sholo mwamba , so tactics song your so skillful , congratulation broo
Nyimbo kalii asili yetu👏👏
Noma na kilo tano🥂🥂🥂🥂🥂🥂
Oyoooo karibu mzee wetu waasili tumekumisi asante sholo maana saivi nyimbo nimapenzi tu
Audio
Sholo mwamba on fire 🔥
Salute
Show shoooooow mwamba wa mizimu
Good idea mwamba geu
In the world
𝐇𝐮𝐦𝐨 𝐡𝐮𝐦𝐨🔥🔥🔥🇨🇩
Ulicho ongea Leo kwny gengefc ni uhakika 2meeona na kwl brooo 2meona uhalisi wa single
Excellent
Safi sana sholo mwamba umewakumbka hawa jammaaa
Nakubali Sholo mwambaaaaaa
Mwamba Geuuu🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nice
Safiiiiiiiiiiiii Sana kka
Sijawai kukupinga mganga wangu mwamba jjjjjjj nitakusaini lebo yangu
respect you king of singeliii #sholomwamba nakukubali pia mwalimu wangu wanne star we are together 👑👑👑💫
Respect👍👍
Iam watching from #Buguruni City Centre Dar ......... kazi iendeleee 🔥🔥🔥🔥🔥 🙏🙏🙏
Bonge moja la ubunifu MWAMBA
Love this
Aloo wee🔥🔥🔥🔥
Hata kama ni Remix, jamaa amewaaribia nyimbo yao sasa mizimu inataka fegi tena😁😁😁
It deserve to be of the year🙌🏾🙌🏾🙌🏾💯🚀
Sana mwamba geu
Creativity of a very high level 👏👏👏
Noma
That perfect bro good job
Noma sana sholo mwamba
hii video kubwa saana
Ipo vizur sana
Alo wee Alo tenaaa💥💥
Mesen ana balaa
Kazi nzuri kaka
Aloo weeeeeh
Kalii sanaa hii❤
Nomaaa
Aujawai kukosea sholo