PART1!NILIMUUA MKE WANGU NA MWANANGU/NILIKUNYWA DAMU/SUFURIA ILIONGEA/NILILALA NIKAJIKUTA BARABARANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 165

  • @utapatatabusanautanyooka2600
    @utapatatabusanautanyooka2600 4 ปีที่แล้ว +35

    Kama wamkubali Sana Davstar mata Kama Mimi gonga like yako hapa ajue kwer twamkubali

  • @ngwanafabian7532
    @ngwanafabian7532 4 ปีที่แล้ว +15

    Yesu anasema " tafuteni kwanza ufalme wa mbinguni na haki yake na hayo mengine mtazidishiwa"

  • @towettcheptoo3047
    @towettcheptoo3047 4 ปีที่แล้ว +20

    Iav been following your shows, but nimejua hata hizi pesa wanadhani kuzipata hivi hivi zina ugumu na masharti makali heri kufanya kazi na kumuomba mungu tu..maana naye mungu hubariki kazi ya mikono zetu

  • @marywambui519
    @marywambui519 4 ปีที่แล้ว +1

    Davistar napenda sana kukufwatilia lakini mziki unaboa sana tuache tuskie sauti zenu bila kelele zingine zisizo na haja all the way from 254

  • @alawitv2843
    @alawitv2843 4 ปีที่แล้ว +5

    Kama unaikubali DAVISTAR MATA MEDIA gonga like yako hapo tujuane

  • @esterelias8189
    @esterelias8189 4 ปีที่แล้ว +2

    Abae ana tabia kama yangu tujuwane wapendwa..nasikiliza huku nasoma comment

  • @noonelike6382
    @noonelike6382 4 ปีที่แล้ว +8

    Davista .. nakutabiria makubwa katika tasnia yako.. good job ✍️✍️✍️

    • @DavistarMataMediaDM
      @DavistarMataMediaDM  4 ปีที่แล้ว

      Ameen Shukrani

    • @noonelike6382
      @noonelike6382 4 ปีที่แล้ว +1

      @@DavistarMataMediaDM Amina!.
      Ubarikiwe Sana. Tunza hyo comment yangu.

    • @esterelias8189
      @esterelias8189 4 ปีที่แล้ว

      Namuona mbali zaidi ya millardy Ayo..Mungu akubariki!

  • @vaniahrehema6194
    @vaniahrehema6194 3 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji na mhojiwa bigup saut zipo claer hazichoshi😘😘

  • @masibosvlogmasibos9738
    @masibosvlogmasibos9738 4 ปีที่แล้ว +2

    Story nzuri Sana pesa za sumbua watu jamani

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 4 ปีที่แล้ว +3

    Tamaa mbaya sana,Mungu atuepushie roho za kupenda rizki za haramu.

    • @hamisihamso3699
      @hamisihamso3699 4 ปีที่แล้ว

      Khadija Juma wewe ni wa mombasa ama reply pliZ

  • @niaanthony9588
    @niaanthony9588 4 ปีที่แล้ว +7

    Pls vijana tuache tamaa za kutafuta pesa kwa waganga maana pesa za hivo ujijue tu iposiku zitakurejesha kwenye umaskini wako tofauti na pesa unayotafuta kwa Jasho lako na ni halali

  • @ichukagaum9732
    @ichukagaum9732 4 ปีที่แล้ว +6

    Nakupenda Mata unavyomhoji kwa kina

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 4 ปีที่แล้ว +4

    MTAKOMA KUFANYA USHIRIKINA KWA NINI MNAKWENDA KUOMBA UTAJIRI DUNIYA YA TATU INNALILAHI WAINNAILAIHIRAJIUN TAMAA YA UTAJIRI

  • @mrsochu-hv7bm
    @mrsochu-hv7bm 4 ปีที่แล้ว

    Davistar mi nakupenda bule

  • @monicamonica4597
    @monicamonica4597 4 ปีที่แล้ว

    Tamaa mbaya tulizike na tunachopata ata Kama nikidogo ndicho mungu alichokujalia shukuru mungu tu

  • @zuriathkajwangya1724
    @zuriathkajwangya1724 4 ปีที่แล้ว

    Fanyeni kazi vijana acheni kutafuta utajiri wa kichawi

  • @professormpakistanimweusi5766
    @professormpakistanimweusi5766 4 ปีที่แล้ว +1

    Mambo Vp kaka Davista, Swali ni moja tu kaka, Vp unaamua kumficha mtu Sura ila unamuuliza Jina lake na anajitambulisha,pia kulingana na sauti yake ni raisi sana kwa jamii kuweza kumtambua ni vyema,ningekusii ukificha uso wa muusika,basi ficha pia utambulisho wake,na pia jaribu kuibana sauti katika hali ya ambayo itakuwa sie wasikilizaji tunaweza kuiskia na wala iwe haikeri.Shukran maoni yangu ni hayo

  • @rahmakhassani4148
    @rahmakhassani4148 4 ปีที่แล้ว +7

    Wale wa kutamani utajir wa ghafla tuache jamani hivi tulivyo pumzi safi maji tunakunywa na kidogo tukipatacho twala ni utajiri tosha

    • @kilolomaselemani9706
      @kilolomaselemani9706 4 ปีที่แล้ว

      Rahma Khassani
      M lm
      Hello l
      Hello Alm uko yuh I b
      N’ by I’ll nvuijaajwj
      Well
      Mm mummy wewe

  • @enessisosten7814
    @enessisosten7814 4 ปีที่แล้ว +1

    Da utajili huuu bola nife masikini mm jamani khaaa

  • @avierastevens5141
    @avierastevens5141 4 ปีที่แล้ว

    Nimecheka kama mazuri vyombo vinaongea. Story hizi jomoni davistar Mata love u

  • @saumrashid8086
    @saumrashid8086 4 ปีที่แล้ว

    Kapigwa maskin😀😀😀😀😀😀😀

  • @saumrashid8086
    @saumrashid8086 4 ปีที่แล้ว +2

    Sasa hawa waganga wanakuwa wanafanya upuuz wao bila ya wao kujua jmn maana ctor zte likitokea jambo ndio wanajua jmn tamaa hzi fanyen kaz vijana achen nguvu za giza 🙄👌

  • @likeothers2498
    @likeothers2498 4 ปีที่แล้ว

    🔥🔥kama vipi mpige uyoo

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akupandishe juu zaidi kaka Amina Asante kwa kubuni kipindi kizuri asante

  • @Footballer-1992
    @Footballer-1992 4 ปีที่แล้ว +2

    Waaau! Kind of terrible story! Please part 2 ikuje! Watching from Japan 🇯🇵

  • @saumrashid8086
    @saumrashid8086 4 ปีที่แล้ว

    Kofi😂😂😂😂bora ucheke mtangazaji

  • @demitrahawkins5457
    @demitrahawkins5457 4 ปีที่แล้ว +2

    Ati sufiria iliongea!🤣🤣🤣so funny

  • @zoey2635
    @zoey2635 4 ปีที่แล้ว +2

    Kijiji hicho nakiskiaga

  • @nushirathkhasim6638
    @nushirathkhasim6638 3 ปีที่แล้ว

    Duuuh Allah SW atusamahe jamni make wanaume mnaangaika Sana Ila kwanin mnataka vitu vya haraka jamni hangaikeni Mia Mia hizo zinatosha,ridhiki anatoa mungu tu

  • @OmarAli-dn8cn
    @OmarAli-dn8cn 4 ปีที่แล้ว

    Inasikitisha sana

  • @abdullahrashed4817
    @abdullahrashed4817 4 ปีที่แล้ว +1

    bora ni uze nyanya zangu kuliko kwenda kufanya hayoo mambo

  • @princesssway1396
    @princesssway1396 4 ปีที่แล้ว

    Pole nimecheka kwa nguvu eti vyombo vinasema mpige uyo . pole ndugu yangu

  • @Ryoof-qo7if
    @Ryoof-qo7if 4 ปีที่แล้ว

    Mbona sauti ya fanana na yule wa kulala na babake miyaka 3 .hivi story nikweli mana mm nipenda kufatiloya sana.. yako kweli haya duniya ni mana naona km story 2 mm

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 ปีที่แล้ว +4

    Mhh yaani ninempenda sana huyu kijana na simulizi yake,anaongea vizuri kwa ufasaha.basi mtangazaji tuletee story hii mapema zaidi,kwani inasisimua.

  • @umikulthumhamisi8311
    @umikulthumhamisi8311 4 ปีที่แล้ว +1

    Kheri kufa masikini kuliko utajiri wa majini nifunzo kwa wengine, pole lakini tama mbaya 254

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 4 ปีที่แล้ว

    Au Kibabu Kilitaka Kikutoe Sadaka Isipokua Mungu Alipenda Ubaki Salama Ivi Sijajua Iyo Mitihani Kama Mwenzio Ilimpata

  • @davidmongi1550
    @davidmongi1550 4 ปีที่แล้ว

    Nzuri sana

  • @vandelinaugust4372
    @vandelinaugust4372 4 ปีที่แล้ว +2

    Bro si ue unaweka yote full mtu ukikaa kuangalia unaelewa kulko vpande vpande inabid kurudia tena il kuweza kupata continuity, Though hongera kwa kutuelmisha baadh ya vijana tamaa tutazshinda kuptia story kama hiz

  • @zainabukabura9876
    @zainabukabura9876 4 ปีที่แล้ว

    Nzambe mangal haahaa urichapwa

  • @kuchiethephenomenal7879
    @kuchiethephenomenal7879 4 ปีที่แล้ว

    Mazombi hayo yalikuw yanakuchezea

  • @gullaalex6590
    @gullaalex6590 4 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂S ya kucheka lkn nimejikuta nacheka, pole Sana

  • @odatysharon8267
    @odatysharon8267 ปีที่แล้ว

    jaman sehemu ya 2 aiyonekani😌

  • @phineruge3480
    @phineruge3480 4 ปีที่แล้ว

    Dunia ina Mambo

  • @abdallagakweli6366
    @abdallagakweli6366 4 ปีที่แล้ว +2

    Shortcut xku zote zinamadhara sana ila Mungu atuongoze na hatuepushie njia za rahisi rahisi manake hatujui kesho yetu itakuwaje

  • @aliykibabe9033
    @aliykibabe9033 4 ปีที่แล้ว

    chunga tamaaa mbaya aiseee

  • @sophiebanga9533
    @sophiebanga9533 4 หลายเดือนก่อน

    Muendelezo please

  • @rahmasuweyd827
    @rahmasuweyd827 4 ปีที่แล้ว +1

    Part 2 davista mata please

  • @aboudjuma523
    @aboudjuma523 4 ปีที่แล้ว

    Davistar usogope maana naona unamuogopa jamaa😅😅😅

  • @georgenkanawa7156
    @georgenkanawa7156 4 ปีที่แล้ว +1

    Wa 6🔥🔥

  • @mcheshcomedy5809
    @mcheshcomedy5809 3 ปีที่แล้ว +1

    Davistor TUPIA GAMBOSHI EPSODE 13

  • @annajoseph9955
    @annajoseph9955 4 ปีที่แล้ว +1

    Vijana tamaa zitatuua jaman tutafte kwa jasho sio kupenda kitonga mungu hapendi

  • @jamilaally3172
    @jamilaally3172 4 ปีที่แล้ว

    Dah kwer

  • @babarama6274
    @babarama6274 4 ปีที่แล้ว

    Mtanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿 naeishi🇱🇷🇱🇷🇱🇷nakukubali sana dogo 💪💪💪💪

  • @rajabukidiza9831
    @rajabukidiza9831 4 ปีที่แล้ว

    Mzigula mnyetukwindakala

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wangu hivi kuna BINADAMU wanatesa hivi wenzao mmm😢

  • @abdallahrenatus6677
    @abdallahrenatus6677 4 ปีที่แล้ว

    Pamoja saana. Davistar

  • @annajoseph9955
    @annajoseph9955 4 ปีที่แล้ว +1

    Nitatafta kwa jasho langu lakn sio kwenda kwa waganga

  • @joycedzuya2330
    @joycedzuya2330 4 ปีที่แล้ว

    Aky Mungu atawasamehe

  • @fadhiliswalehe9286
    @fadhiliswalehe9286 4 ปีที่แล้ว

    Money money zimesababisha watu wasoteee

  • @wahidashabaz5982
    @wahidashabaz5982 4 ปีที่แล้ว +1

    Maisha ukiwa unayatafuta unatakiwa kutuliza akili sana dah!

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 4 ปีที่แล้ว

    Mhuuuuu

  • @brownmakaveli545
    @brownmakaveli545 4 ปีที่แล้ว +2

    Enjoying from Kenya...ila part 2 wachelewesha sana kaka

    • @isabellasanga9185
      @isabellasanga9185 4 ปีที่แล้ว

      Nakufatilia Sana da v kweli wew unakipaji Cha utangazaji maana unamuhoji mtu vizuri sana mpaka mm mxikilizaji nakuelewa

    • @wambokimani682
      @wambokimani682 3 ปีที่แล้ว

      Hats mm natafuta part 2 ....#kenya

  • @alawitv2843
    @alawitv2843 4 ปีที่แล้ว

    Nakubali sana wale team data mpoooooo

  • @momymood4341
    @momymood4341 4 ปีที่แล้ว

    Dah jamn pesa hzi shida sana. Dav mwendelezo wa mchungaji uko wap

  • @cartmation7978
    @cartmation7978 4 ปีที่แล้ว

    Mimi wangapi

  • @agnesssanga5327
    @agnesssanga5327 4 ปีที่แล้ว +1

    Part 2 ya mchungaji wa mbeya tafadhar

  • @saidjuma25
    @saidjuma25 4 ปีที่แล้ว +2

    Broo pesa ni ngum Sana kuipata sio kirahisi rahisii .lazima upambane

    • @demitrahawkins5457
      @demitrahawkins5457 4 ปีที่แล้ว

      Said Juma wewe ulipambana? Basi tuambie

    • @saidjuma25
      @saidjuma25 4 ปีที่แล้ว

      @@demitrahawkins5457 ndio tunapambana kwa kuzitafuta pesa

  • @babugsafari281
    @babugsafari281 4 ปีที่แล้ว

    Jamani Muendelezo

  • @babymansouth1164
    @babymansouth1164 4 ปีที่แล้ว

    Shortcut hizoooo jamnaiiiUtajiri bora ubarikiweee+254

  • @goldshukri86
    @goldshukri86 4 ปีที่แล้ว

    Ni hatari

  • @ZainabZainab-tv9ir
    @ZainabZainab-tv9ir 4 ปีที่แล้ว

    Subhanallaah dunia inamambo

  • @bmoa3538
    @bmoa3538 4 ปีที่แล้ว +2

    Part 2 usicheleweshe davistar

  • @butondodavid2105
    @butondodavid2105 4 ปีที่แล้ว

    Hahaaaa nilichapwa

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 4 ปีที่แล้ว

    Mambo ya waganga yataka moyo pole kwa mitihan kwel pesa kuipata vigum😥😥

  • @utapatatabusanautanyooka2600
    @utapatatabusanautanyooka2600 4 ปีที่แล้ว

    Muendelezo Lin Tena kk

  • @wilsonkakili2481
    @wilsonkakili2481 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwa watumishi wa MUNGU MSISIKILIZE stori za davistar mwisho wa stori zake hazimpi Yesu utufu ,na zitakuretea mazara kwenye maisha yako

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 4 ปีที่แล้ว

    Dah hyo babu mitihani yake si midogo kuifaulu nikazi kubwa san

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 4 ปีที่แล้ว

    sio mchezo aisee

  • @machinefannatic99
    @machinefannatic99 4 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa muoga

  • @karrolleschon3986
    @karrolleschon3986 4 ปีที่แล้ว +1

    Ndanii

  • @angelshonza8236
    @angelshonza8236 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbona kataja jina na eneo alipokuwa anaishi hivyo watu walioko maeneo hayo watamjua au ndugu zake watamjua

  • @mazonaone7708
    @mazonaone7708 4 ปีที่แล้ว

    KING MATA

  • @wambokimani682
    @wambokimani682 3 ปีที่แล้ว

    Is part 2 out?

  • @jossmuigai5441
    @jossmuigai5441 4 ปีที่แล้ว

    Babu vipi

  • @allymtamilwa6899
    @allymtamilwa6899 4 ปีที่แล้ว

    inaumaa

  • @mariamdimosso621
    @mariamdimosso621 4 ปีที่แล้ว +5

    Watu tuache tamaa za kijinga

  • @oscarlemamaringo8081
    @oscarlemamaringo8081 4 ปีที่แล้ว

    Kwadkwazu moja

  • @vonsidertz8405
    @vonsidertz8405 4 ปีที่แล้ว +1

    Bro uwe unaweka zote part one na two
    Mtu hawez kuangalia part two bila part one so zote zitafatiliwa kwa wakati

    • @deelissa2746
      @deelissa2746 4 ปีที่แล้ว

      Umeona eeeh sasa hapo mpk uje kupata part 2 umeshasahau ulipoishia😂

    • @vonsidertz8405
      @vonsidertz8405 4 ปีที่แล้ว

      @@deelissa2746 ndiooo

  • @user-uk8ot2lx5v
    @user-uk8ot2lx5v 4 ปีที่แล้ว

    muendelezo samahan

  • @demitrahawkins5457
    @demitrahawkins5457 4 ปีที่แล้ว +2

    This man is very coward... wealth is not for everyone

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 4 ปีที่แล้ว

    Mtu Ukimjua Hata Akigeukia Wapi Utamjua Tu Na Kuusu Utajili Wa Kichawi Nilazima Utengenezwe Uwe Kama Chizi Fuleshi Uchawi Noma

  • @neemakoka599
    @neemakoka599 4 ปีที่แล้ว

    Hizi pesa duuh

  • @hajirinibakari25
    @hajirinibakari25 4 ปีที่แล้ว

    Kuna story ujamalizia ile ya mchungaji tulikua tunasubiria muendelezo ila leo umekuja na mpya ..tumalizie ile kwanza

  • @ichukagaum9732
    @ichukagaum9732 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji unalala kweli maana hizi story zatisha

    • @deelissa2746
      @deelissa2746 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂me niliwai kuwaz ivy ivy maan nahis kama anatafuta vita na wachaw na hv hawanaga dogo sijui kajichanja na nini uyo😆

    • @ichukagaum9732
      @ichukagaum9732 4 ปีที่แล้ว

      @@deelissa2746 😂😂😂pole Sana mie nikiwa pekeangu naona kama namtu pemben loh lkn zinatufunza tusiwe na tamaa za pesa

  • @nancychissamo379
    @nancychissamo379 4 ปีที่แล้ว

    Doh!! Sufuria inaongea tena,,dunia ina mambo hii kha!!🙄🙄🙄

  • @alawitv2843
    @alawitv2843 4 ปีที่แล้ว

    Bonge la story tuletee vitu mzee baba tunakukubali

  • @witneyjerry1293
    @witneyjerry1293 4 ปีที่แล้ว

    Davie jitahidi kumaliza story iliyopita ndy uweke mpya ,mfano ile ya mchungaji uliyotoa wiki iliyopita haujamaliza,plzzz davie fanya kumaliza kwanza

    • @DavistarMataMediaDM
      @DavistarMataMediaDM  4 ปีที่แล้ว +1

      Sawa hakuna shida

    • @witneyjerry1293
      @witneyjerry1293 4 ปีที่แล้ว

      @@DavistarMataMediaDM uko makini sana ,kumbe unasoma comments 😂 nimefurahi sana sijuti kusabscribe kwenye chanel yako

    • @bernardmallya2967
      @bernardmallya2967 4 ปีที่แล้ว

      @@witneyjerry1293 kijana Davistar yuko makini

  • @ayubutewele5241
    @ayubutewele5241 4 ปีที่แล้ว

    Mimi ninakupa ushauri wa bure, ninadhani urudi kwenye stori zile za mwazo za kuamsha udadisi hizi stori za watu hazivutii, nenda kwenye makala za historia

    • @bernardmallya2967
      @bernardmallya2967 4 ปีที่แล้ว

      Zinavutia mbona na zinatoa fundisho kubwa sana kwa vijana wenye kutaka mafinikio kwa shortcut...

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 ปีที่แล้ว +1

    Anatamaa ila muoga hatari

  • @elizanjeri5455
    @elizanjeri5455 4 ปีที่แล้ว

    Mbona usi post kitu ikiwa full