PART1:MWANAUME ALIEFANYA MAPENZI NA MAMA YAKE ILI APATE UTAJIRI NA KUMUUA BABA YAKE NA WATOTO WAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 244

  • @abdulhalimhumud1917
    @abdulhalimhumud1917 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atulinde katika maisha yetu na atuepushe na tamaa izi mbaya ni bora kupata kdg chenye Amani kuliko kikubwa chenye karaha Mungu peke anatosha kutegemewa mr facts pamoja kaka 🇹🇿🇸🇪❤️

  • @mwesigwaannte6751
    @mwesigwaannte6751 4 ปีที่แล้ว +3

    Davistar Thank you dear big up utajiri utajiri 🤔 Tamaa Tamaa 🤦‍♀️

  • @lilianochieng4347
    @lilianochieng4347 4 ปีที่แล้ว +2

    Ombi langu,eeee mungu usinirusu nichekelewe juu ya hali yangu ila unipe yakunistiri, usinipe kingi nikaharibikiwa .amen.

  • @babugsafari281
    @babugsafari281 4 ปีที่แล้ว +1

    Story nzuri saana kabisa kijana ana simulia vizuri

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 4 ปีที่แล้ว +6

    Mungu wanusuru hawa watoto wetu wa vizazi hivi

  • @Blackie_blackie9327
    @Blackie_blackie9327 4 ปีที่แล้ว +1

    Duh hadi Musoma....
    Kazi nzuri🔥

  • @saidabrahman588
    @saidabrahman588 4 ปีที่แล้ว +49

    Yani kuna watu humu hawali mpaka davistar arushe kitu kipya gonga like kama ni wewe

  • @fettyanthony8107
    @fettyanthony8107 4 ปีที่แล้ว +1

    Nikiwa na mb moja kwa moja kwenye story zako upo vizuri davistar

  • @sabrinaibrahim8274
    @sabrinaibrahim8274 3 ปีที่แล้ว +2

    Kuwa makini tu....ipo siku utaoji jini🤣🤣🤣🤣🤣

  • @nadyasalim7956
    @nadyasalim7956 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante Davistar Matar kwa kutuelimisha na kutuburdisha

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว +1

    Tupe ile ya mungu bonge jamani na malkia wa kuogelea dam

  • @badymsuya6093
    @badymsuya6093 4 ปีที่แล้ว +2

    Yes

  • @sharonchristian3711
    @sharonchristian3711 4 ปีที่แล้ว +2

    Nibora niendlee kukopesha vijora mtaani nachokipta kinanitosha tamaa mby

  • @omarsalim6330
    @omarsalim6330 4 ปีที่แล้ว +2

    Mr DM nakukubali Sana mtu wangu makini Sana.... duuuh huyoo jama ukitoa tamaa n roho mbaya pia anayoo .. duuuh

  • @nusaebahkeis6774
    @nusaebahkeis6774 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atuhifadhi amin

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 4 ปีที่แล้ว +3

    Goodluck uko Wapi, Nimekumiss tu sana story zetu hizi

  • @allyjuma142
    @allyjuma142 4 ปีที่แล้ว +1

    David tuko pamoja brother

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 ปีที่แล้ว

    Vyashetan havidumu unge komaana maisha yako ya kawaida

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 4 ปีที่แล้ว +2

    Jambo linalokatazwa na mungu yaani ogopa Sana shiriki mbaya Sana na matokeo yake mabaya mungu atunusuru wallahi

  • @mwamurekadenge2161
    @mwamurekadenge2161 4 ปีที่แล้ว

    Appreciate you Devistar mata nakufatilia sana bro kipindi chako hongera sana

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 ปีที่แล้ว +4

    Shida zote hizo kunyolewa,kukatwa kucha na chele zote ulikuwa saloon na ww😄😂😂😂

  • @estatekisombola9251
    @estatekisombola9251 4 ปีที่แล้ว

    Siwezi kulala bila kucheki hii channel davistar mtu wangu waukweli love from Australia 🇭🇲🇭🇲🇭🇲

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว

    Mungu Atunusuru 🤗

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 4 ปีที่แล้ว +8

    Ya Allah wanusuru vijana wetu 🤲

  • @francineciza1888
    @francineciza1888 4 ปีที่แล้ว

    Mimi nisemetuhivi nduguzangu haliyoyote unayo walamimininao turizishwe nahiyohiyo tunayo alafhu tumutanguze mungu mbere kwakuwa yeyendiemutowa riziki nandie weweanaejaliamtunautajili

  • @asantielmoshi6545
    @asantielmoshi6545 4 ปีที่แล้ว

    Mwendelezo Davistar bas

  • @kiguabakari6863
    @kiguabakari6863 4 ปีที่แล้ว +1

    Wa 10

  • @alifujo4153
    @alifujo4153 4 ปีที่แล้ว +1

    Yote Haya nikwa sababu ya umaskini...but Ndivyo dunia ilivyo lazima tujikubali sisi kama sisi na hali tulizonazo.

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 ปีที่แล้ว +6

    Leo nimeiwahi,haya mambo ya kutaka utajiri wa haraka mwishowe majuto

  • @halimamangala6731
    @halimamangala6731 4 ปีที่แล้ว +2

    Part 2 plz

  • @rosemarierevis380
    @rosemarierevis380 4 ปีที่แล้ว +5

    Ooh first1🙌

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 4 ปีที่แล้ว +9

    Mr fact,,,pliiz uswe unawauliza hao watu wa hv anatoka wapi,,,akisema msoma2 inatosha maana ushaamua kumficha tyr,,,,hz str za aibu hata tuswajue kwa kweli😥

    • @wilsonmatunda4937
      @wilsonmatunda4937 4 ปีที่แล้ว

      Tuonyeshe mgongo wako tuone hizo chanjo!

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 4 ปีที่แล้ว +5

    Santee..🔥🔥 mniombee am not Good but..tuko pamojaa..Familia ya DM

  • @pendomkumbo8262
    @pendomkumbo8262 4 ปีที่แล้ว +1

    Tamaa mbele ...mauti nyuma

  • @youngmoon33
    @youngmoon33 4 ปีที่แล้ว +1

    Nomaaa kakutana na masheitani

  • @veeinn7965
    @veeinn7965 4 ปีที่แล้ว

    Daa maisha mtihani kweri pole kaka

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว

    Mpkaaa anashindwaaa kuangalia mwanaume mwezake yani ulishindwaa kulima vibarua ukapata riziki yani ulitaka pesa nyingi ujinga sana haya ushaharibu ndounajirudi

  • @mariammgombayeka1824
    @mariammgombayeka1824 4 ปีที่แล้ว

    Innalillah wainnalillah raajuin

  • @jonassilvester4325
    @jonassilvester4325 4 ปีที่แล้ว +1

    Duh hihatari sana

  • @halimamangala6731
    @halimamangala6731 4 ปีที่แล้ว +14

    I'm the first watching from zambia

  • @sapnaabdallah1084
    @sapnaabdallah1084 4 ปีที่แล้ว +2

    WA Saba 🙌🙌🙌🙌

  • @yohanasanga6852
    @yohanasanga6852 4 ปีที่แล้ว

    Atali sana

  • @subiramohd1895
    @subiramohd1895 4 ปีที่แล้ว +1

    Tunatakiwa tujifunze tu kwa sababu hakuna anayetumia hii mali maisha yote lazima ufilisike ya nn sasa

  • @marymary6758
    @marymary6758 4 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @neemadamian5638
    @neemadamian5638 4 ปีที่แล้ว +1

    Pls davista usiwe unauliza majina yahao watuinaweza kuleta shida Sana kwajamii

  • @rasjamal9854
    @rasjamal9854 4 ปีที่แล้ว

    Respect Devistar Mata kila kukicha ni mitihani

  • @rosepeter8996
    @rosepeter8996 4 ปีที่แล้ว +1

    mimi hizi story zaniogopesha kwa waganga milele hakufai😂.heri amtumainiye mungu heri nife kwa shida lakini nisipitie hayo waaah🤔🤔🤔

  • @nooor1120
    @nooor1120 4 ปีที่แล้ว +5

    Wenzangu tupunguze tamaa kwani tukiwa maskini kuna ila gani? Hlf kwann tunauwa kwajili tupate utajiri kwani utajiri na uhai utadumu?turidhike tulivoekwa na Allah

  • @leylahloo5863
    @leylahloo5863 4 ปีที่แล้ว +1

    Duh hatari

  • @tayanabenard4392
    @tayanabenard4392 4 ปีที่แล้ว +2

    Kumekucha! Kumekucha!

  • @tifababynchimbi8454
    @tifababynchimbi8454 3 ปีที่แล้ว

    Maduuu! huyo ewaaaa!

  • @AbdulAbdul-pr9qe
    @AbdulAbdul-pr9qe 4 ปีที่แล้ว +6

    10 bora kama kawaida

  • @witneyjerry1293
    @witneyjerry1293 4 ปีที่แล้ว

    Mi ndy nafika huku sahizi,nmechelewa vibaya

  • @lsha97utingo21
    @lsha97utingo21 4 ปีที่แล้ว

    Mungu atamsaidiy🇴🇲🇹🇿

  • @salumbunga240
    @salumbunga240 4 ปีที่แล้ว

    Davistar kijan wak hp mtu mwenye utu wang respect 👊

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว +5

    Daah🤨🤨🤨

    • @aishahemedi7869
      @aishahemedi7869 4 ปีที่แล้ว

      🙏 kaka hongera sana kaka 😘

  • @أبوحاتمطلحةخميسعلي
    @أبوحاتمطلحةخميسعلي 4 ปีที่แล้ว +2

    Wakwanza

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 4 ปีที่แล้ว

    Kitu ninacho wauliza HAWA vijana wanao kuwa NA tamaa mpaka wakaingia kwenye haya mambo ya ushirikina wa pesa za uchawi huyo mtu anae mipa hayo masharti YEYE anaitajiri gani hata nyinyi vijana mkamwani hajuwi kuwa huyo mganga anamipeleka motoni mungu wangu tusitili yaarabi NA hii tamaa💔💔😭😭

  • @mwashumcubwa1928
    @mwashumcubwa1928 4 ปีที่แล้ว +4

    Muendelezo wengine atulalagi

  • @subiramohd1895
    @subiramohd1895 4 ปีที่แล้ว +1

    Mm kwa mganga mwisho kombe

    • @burudani145
      @burudani145 4 ปีที่แล้ว

      Hahahahahahaha dah wew mtoto ni tatizoooo

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 4 ปีที่แล้ว +1

    jama ananichekesha sana jinsi anavyo ongea 😅😅

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      😹😹😹😹😹mwache bhana smkurya au hujui taarime

  • @evasaimon2101
    @evasaimon2101 4 ปีที่แล้ว

    Tumwamini mungu

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

    Pale mzee akaniambia pale eheeee umefka 😹😹😹😹😹mtani wangu jamani mkurya kanifurahisha nkanyolewa nywele zote kucha zote nkachanjwa chale mwili MZMA 😹😹😹😹😹waganga jamn mmemchanja mpk kwenye tundu la kwampalange

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 ปีที่แล้ว +9

    Utajiri wa shetan lini ulidum jaman? Mola tuepushe na haya

  • @mkubwahaji7458
    @mkubwahaji7458 4 ปีที่แล้ว

    Daah

  • @babyboss2886
    @babyboss2886 4 ปีที่แล้ว +1

    Leo sijachelewa Sana yani mimi WA sitini Leo Asante DM kwa kazi nzuri

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣🤣 wa 60

    • @babyboss2886
      @babyboss2886 4 ปีที่แล้ว

      Angalau top 60 😅😅😅🤣🤣🤣

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 ปีที่แล้ว

      @@babyboss2886 nimecheka kweli

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว

    Kumbe ulijua kijijini kulima ndo issue sasa nn kilikufanyaa tamaa upate pesa nyingi umechanjwaa bado tuu wataka hela loo utajiri waushetani nani alikuambia unadumu kama sikuangamizaaa family

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 ปีที่แล้ว +2

    Ss unafanya biashara vizuri badala ya kukaa ufanye unakuwa na tamaa, ndio manake tamaa ikiwa nyingi hivo badae watu huingilia ushoga

  • @mwitamarwa2277
    @mwitamarwa2277 4 ปีที่แล้ว

    Kwa nin shetani akupe vyote vya dunia, mali na utajiri ambao hupati raha, huna amani ya moyoni. Wazazi na ndugu zako wameuawa kisa mali!! Jamani muombe Mungu ongeza bidii omba ushauri kwa watu sahihi utatoka sio kwa wasanii na walimbukeni

  • @maryamomary9596
    @maryamomary9596 4 ปีที่แล้ว

    Yaraab tuepushie NA tamaa

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 4 ปีที่แล้ว +7

    Kwa haraka haraka wanaume wengi wanapitia hii Mikasa kuliko wanawake unafikiri nnini sababu?au wametuzidi kafika utafutaji?au hawana moyo wa subira katika hili..

    • @nusaebahkeis6774
      @nusaebahkeis6774 4 ปีที่แล้ว +1

      Maisha hata wa wanawake hawajitokezi tu wanaona haya

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 4 ปีที่แล้ว +1

      Ni moyo wa uvumilivu ndio hawana

    • @butondodavid2105
      @butondodavid2105 4 ปีที่แล้ว +4

      Ukimuona mwanaume kwamganga ujue utajir Ila mwanamke ujue mapenz

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 4 ปีที่แล้ว

      @@butondodavid2105 hapo umesema

    • @beatricekweka6683
      @beatricekweka6683 4 ปีที่แล้ว

      @@butondodavid2105 😂😂 wacha wee

  • @hamishamis6508
    @hamishamis6508 4 ปีที่แล้ว

    Part two mbona siiyonagi😌😌

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 ปีที่แล้ว +2

    SubhanahAllah, unaenda tafuta utajiri na unakubali kabisaa kuuwa watoto wako,babako na mwisho unamlala mamako mzazi

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 4 ปีที่แล้ว +1

      Namshangaa sasa izo pesa atatumia na nani wakati family yote kaipoteza kwa ninavoamini mm raa ya dunia wazazi

    • @abdulhalimhumud1917
      @abdulhalimhumud1917 4 ปีที่แล้ว

      Fatma Alrshdii Ck zote utajiri huu haudumu sbb ni wa masharti na mbaya zaid unakosa vyote vyote Allah tunusuuru na tamaa izi Amen 🙏

    • @farhathamdansalum9725
      @farhathamdansalum9725 4 ปีที่แล้ว

      @@fatmaalrshdii7615 ndio hapo, huo ni ujinga mtu anafanya bila kufikiria yakimfika badae anadai ameacha

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 4 ปีที่แล้ว +1

      @@abdulhalimhumud1917 nikweli mwenyenzimungu atupe Mwisho mwema in shaallaa

    • @abdulhalimhumud1917
      @abdulhalimhumud1917 4 ปีที่แล้ว

      Fatma Alrshdii Allahuma amin

  • @abdularuffin9308
    @abdularuffin9308 4 ปีที่แล้ว

    Nguvu za shetani ni mbaya tuache ndiyo maana kuna Q'ur'uan na bibilia mwangozo upo huko kuupata utajiri kwa nini uteseke

  • @fearlessdinah6611
    @fearlessdinah6611 4 ปีที่แล้ว

    Part 2 lini🤤

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli ulipo Nipo ndugu yangu dm angalia uyu jamaa naona bamsa asije akakutoa meno ya sebuleni ninamashaka nae mmmm

  • @RahmaRahma-xp9jr
    @RahmaRahma-xp9jr 4 ปีที่แล้ว

    Duuh atali jamani tulizike naunacho kipata

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

    Mungu bonge lkn anakisauti kidogo km mtt

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว

    🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄unamoyoo unakubali kirahisii usijue nn unaambiwaa

  • @firstfather2136
    @firstfather2136 4 ปีที่แล้ว

    we davistar acha maswali mengi ambayo hayana point

  • @rosekingalu4403
    @rosekingalu4403 4 ปีที่แล้ว +7

    Hii stori inaelekea itakuwa tamu 🤣

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 4 ปีที่แล้ว

    Ganda landizi bwana noma

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 ปีที่แล้ว +1

    Tupo sana makini

  • @athumanisudi891
    @athumanisudi891 4 ปีที่แล้ว

    Hakuna aliyewekeza kwa shetani hakafanikiwa hata cku moja tuache tamaa ya mali jamani.

  • @almasright1092
    @almasright1092 4 ปีที่แล้ว

    DDDD MAISHA haya jamani mugu atusaidiye

  • @princesssway1396
    @princesssway1396 4 ปีที่แล้ว

    Story nzur

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว

    Kaka upo wp tunakusubilia ukuuu notification IPO on kwa ajili yko

  • @subiramoshi7199
    @subiramoshi7199 4 ปีที่แล้ว

    Sasa kazi yenyewe ya saloon ndo unaiendea kwa mganga? Alafu inaonekana mvuta bangi

  • @jumanneswalehe1118
    @jumanneswalehe1118 4 ปีที่แล้ว +1

    Jaman hii nimara yakumu bwan devist na kuambia tutafutie kilekisa ulicho anza nach yul jamaa kasha maliza miezi mitatu tunahitaj kujua maish yak yakoj

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 4 ปีที่แล้ว

      Hata na mie natamani kujuwa

    • @DavistarMataMediaDM
      @DavistarMataMediaDM  4 ปีที่แล้ว +2

      Wengine nikiwafatilia kujua hali zao huwa siwapati

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 4 ปีที่แล้ว

      @@DavistarMataMediaDM hatujambo alhamdulilah

    • @gadafimasoud310
      @gadafimasoud310 4 ปีที่แล้ว

      Kama awapatikani nakushauli uwaulize majirani kujua hali zao,mfano yule aliyesema kuwa amebakiza muda mchache wa kuishi kwa kupita utajiri wa mkataba. Jitahidi kutupatia feed back ili isionake baadhi ya story zako ni za uongo.

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 4 ปีที่แล้ว

    P2 pls

  • @karrolleschon3986
    @karrolleschon3986 4 ปีที่แล้ว

    🙌🙌🇰🇪🇹🇿

  • @nadyasalim7956
    @nadyasalim7956 4 ปีที่แล้ว

    Sijachelewa sana leo

  • @partrickmakao946
    @partrickmakao946 4 ปีที่แล้ว

    Hatar

  • @philipoluzege3200
    @philipoluzege3200 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtu akikuambia niliaza na mtaji wa buku mbili muagalie Kwa macho ma4

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 4 ปีที่แล้ว

    Chakushangaza muonekano wakitajir hamna, umeshauwa watu wako wa karibu sasaiv unahangaika, uyo shetani Hana utajiri wa kumpa mtu ndo maana anatoa mashart magumu, Nia Yao watupoteze binaadamu

  • @kiliarodgers3768
    @kiliarodgers3768 4 ปีที่แล้ว

    Mbaya zaidi sio kulala na mama yake,lakini kuwaua watoto wake.

  • @azizasayi97
    @azizasayi97 4 ปีที่แล้ว

    Tuko pamoja kaka Dv

  • @seadogs4460
    @seadogs4460 4 ปีที่แล้ว

    jamaa wacheni tamaa

  • @nasibubalonzizubusa3449
    @nasibubalonzizubusa3449 4 ปีที่แล้ว

    Davst naona unatamba na nguo ya docta mtimkavu

  • @khadijahussein3089
    @khadijahussein3089 4 ปีที่แล้ว +1

    37 minutes mtu wa 234 doh mko faster kweli big up DM