@@witneyjerry1293 Yaani mmhhhh mimi ningekuwa Davistar ningewaowa wote mnaonitaka alafu sitoi matumizi kwenu..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣... Mimi nina mkasa nae wa siku nne Davistar kuja uone.
Sasa tangia lini padre akajua kuomba 😂😂😂😂si unaona na yy akatumia nguvu za giza ....kweli maandiko ayadanganyi tuliambiwa tusome Daniel na ufunuo wa yohana utaelewa maana ya aho mapadree
Leo nimewah japo sio sana Tujuane tunao sikilazaga simuliz za #Davista huku tukisoma comment Tujuane hapa kwa like na comment
Allah akbar❣❣❣❣ndio nimesikia
Marando huku kwetu ni mlandoo🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
Wachawi wanaķazi kulanyama yaaliekufaa kongereni Kula nyama yabinadamu zambi hixoo 🤗🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️ati mmefanikisha kugawanyama kichwaa mtu anaongea songa nayo tujue kiliongea vip
Mh yadunia yamenishosha kwakweli daa nawachawi awanaga ufaham mungu awa nusulu waludi walio potea amina
Mr DM... thanks Sana kwa vitu n masomo zaidi...wale watu wangu wakupenda za kijini mpoo
Mfate Instagram utampta fresh DAVISTAMATA
Tupo
Aloona🤣🤣 huyo kaka kafanana na kakaetu Davistar achia like hapaaaaaaaaa
Umeonaeeh...😆😆😆🧐🧐🧐
@@beatricekweka6683 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
@@irenepatrickdavid5891 🤣🤣🤣🤣
Hahaaaa 😁
Davistar umefika kwetu Kigarama Karibu Sana Ndizi Samaki Na Dagaa
Mtu makini ukiskia adhana ni vyema kungoja hio dakika moja ,adhana ikamaliza.
Naskia adhana mzuri
SubhanahAllah, wachawi sio watu wazuri yani nyumba baadhi ndio zinapata mvua
Nimechelewa hatariii...inavutiaaa itakua nzuri hiii.....💪💪🤗🤗🤗🤗🤗🤗
Kusema la kweli mm ilikuwa inanichanganya coz sauti ya adhana ipo juu mlikuwa msubiri adhana imalize kwanza
Kagera Moja hyo
Asante kaka kwakazi zako yani unatuburudisha sana
Wanga wanashida mpka mnampima padri imani yake yani kijijihakitaki wageni kwaujumlaa nilazima mtuakiingia mgeni atumiwe mauzauza popo jamani mnyama wakuonekana usiku waletwaa kumekuchaa
Hii story ni noma. Part 2
Halafu huyu kaka story yake mbona kama vile anachapia papo kwa hapo?! Eti kichwa kinaleta purkushan
nasıkıa adhana ıkısomwa kwa mbaliii sana
Dav ukısıkıa adhana n bora ukasubırıa ııshe kwanza n vızurı zaıd !
Allah akbar
No1
Siafu bado wanamtembea mbona atulii
DM karibu Kagera mimi kwetu ni Bukoba mjini huko kigarama ni wilaya ya Bukoba vijijini ila bahati mbaya sijawaifika.
Perfect bro Devistar mata appreciate ur story from +974 Qatar
Yani mm napenda hivo anavohoji davisatar yani anachangamsha story unapata ham ya kusikiliza 😂😂😂
Haaaaaa
Adhana jamani mungu mkubwa
Nakuja kukusaidia kakaa Mr Fact....
Mtu makin upo nyumbani kagera. Big up mzee
Wahubiri sina imani nao kabsa
Daaaaah story yatishia Sana , dunia ina Mambo kweli . Kutoka Kenya twawatazama kabisa.
Pombe msibani jamani 😳😳😳
Ningekupa story nzuri davida Master ila ndo nipo mbali
Dunia ina mambo kweli but tunaomba part 2 plz
Hodi humu ndani kaka Dv
Kwenye kaburi kunamea viazi tamu balaa aiseee
Mumee kazi nzuri❤❤
Mmmmmh hii story nomaaaa
Davistar hii kazi inakupa usingizi kweli ??
Nakupenda lakin
6 leo
Davi angalia nawewe wasije wakakujaribu huko wachawi sio watu wazuri😂😂😂😂.
Aise mapacha bdo kidg mufananeee
Party2 davista npo nasubir
Lihimidiwe jina la Yesu jina lipitalo majina yote
Amina
Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli endelea kutusomesha wanafunzi wako tunaelewa bila ya kutuchapa viboko
please send me the instrumental in these videos.so soothing
Davista naona upo na ndug yko
Xema hii nchi htr kuna watu wnaroga mpk bc
Etimlaza siku 3 au 5 ilimfiwa azoee kifiwa😂😂😂😂kufiwa kunazo eleka😁😆😁😁😁🤣🤣🤣
Da da daaa.. hatari sana watu wa pamde zakagera mpoo...
Weka viashiria video ikiisha ya part 2 maana nasumbuka kurudi kutafta part 2 za video nyingine, unakuta mtu yu aruka ruka
sawa
Namba 4 ngoja nipite nakuja badae
Mmmh.atar
duuu duniani kuna mengi
Davistar ni mependa shat lako
Indian Shirt....
Huyu angalau anaoneka mkwel ila yule jamaa wakuchukua ela kwny ndoto mhhhh
Noma sana
Mr Facts Pamoja bro 🇸🇪🇸🇪🇹🇿🇹🇿
Marando ni nini
Tupo pamoja wp wanaoiga unacho fanya
Jamaa anajipara to au ndio siafu bado wapo wanamtekenya tekenya . Mana wanga mahabithi kweli
😆😆😆
🤣🤣🤣
Mdogo wako huyo mmefanana
Unataka no. Yake unamkasa ama veepee hahaha anamke huyo namimi ndiyo Mrs. Wake official 😂😂 no. Haitok apa
Mke huyo lazima tule mrs Davistar..
Naomba number yake mpnz.
Hata mi nampenda naomba niwe mrs no3 😂
@@witneyjerry1293 karibu sana nafasi zipo....lakini mrs Davistar hataki kutoa number ya baba wtt wake..🤣🤣🤣🤣
@@dorcaskidoti249 namm nazitaka jamen ,kisa changu ni davista 😂 haaaaa mama fact ukuje huku
@@witneyjerry1293 Yaani mmhhhh mimi ningekuwa Davistar ningewaowa wote mnaonitaka alafu sitoi matumizi kwenu..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣... Mimi nina mkasa nae wa siku nne Davistar kuja uone.
Nimepitwa
Shuhuli za wachawi hizo.sasa mtu utakulaje binaadam aliezikwa hiyo nyama in test gani hapo kwa mfano
SubhanaAllah?!
Ama kweli hii dunia Ina maajabu yake eeh Mungu twakuomba utupe ulinz wako bila ya wewe sisi hatuwez
Hatare nanusu
Siafu,,
Hii ya Leo balaa
Matangazo yako ya coca ayo yananiuz jmn Bora hata ujawek mwanzi tukianz stor iwe moja kwa moja
Huyo jamaa mmefanana nan kaona
Santa. Mvua ilinyesha kiubalozi. Yani ilinyeshea nyumba za kuhesabu tu.
Hahaha
Sasa tangia lini padre akajua kuomba 😂😂😂😂si unaona na yy akatumia nguvu za giza ....kweli maandiko ayadanganyi tuliambiwa tusome Daniel na ufunuo wa yohana utaelewa maana ya aho mapadree
Nguvu zipi za giza alizo zitumia
Acha ujinga ww kama hujui au hujaelewa jitulize
Nimechelewa jmn
Alafu davista huyo mskaji mumefanana kwa mwekweli
Tuko hewani tunawafata from CAPE
Yesu wangu ndoano whaat?
Huyu jamaa mbona hatulii
Usicheleweshe hii davista
Hii ya leo kali
No 7
Wacha niangalie kwanza
Mmh 🤔inasisimua
Part2
Mmh
Mtu makini kuna mtu asiyejua malando kweli!
Mie wa kwanza ndo Kwanza nimeyjua hapo
Tupo makini sana
Huyu analeta story za vijiweni na ameshashtua gongo kidgo 😂
Dhana mbaya
😂😂 kweli
Wa 8
Wa 37😔
Hii kibogo duniani
Me niwaulize nyie wachawi inamana huwa mnakosa chakula hadi mnakula nyama za watu au marehemu??
Yan ata mm nashangaa
Asante kaka wacha tuwatch tupate kuelimika zaidi
Tupumzike wale wazee wa mwanzaaa 😏😏😏😏😏
Kabsa daa
@@dorcaskidoti249 huwataki
@@ayshamahariq6665 niwaongooooo wale mhhhh wanatuharibia kipindi chetu
ᴜʏᴜ ᴊᴀᴍᴀᴀᴀᴀ ɴɪ ᴍᴄʜᴀᴡɪ ᴍᴡᴀɴᴀᴄʜᴀᴍᴀ
ᴍʙᴏɴᴀ ᴀɴᴀᴢɪᴊᴜᴀ sᴀɴᴀ sɪʀɪ ᴢᴀᴏ ɴᴀ ᴍᴀᴛᴜᴋɪᴏ ᴡᴀʟɪᴏғᴀɴʏᴀ ᴀᴛᴜᴀ ᴋᴡᴀ ᴀᴛᴜᴀ?
Like hapa zakuchelewa pamoja sana
Hodi humu ndani kaka Dv
Allahu akbar