Tunapaswa kumuomba Mungu sana atulinde maana watu tunaoishi nao hatuwajui wanatuwazia nini ila kwa neema ya Mungu atatusaidia pole sana dadangu Mungu akusaidie 🙏🙏🙏
Duu pole sana 🤭🤭🤭🙆♂️🙆♂️dunia hii, some people are wicked because of their selfishness desire and most of the time the person you trust the most can harm you, may God see them through. Davistar part two please 🙏🙏
Tanga wachawi ni wengi 😂😂😂 Ukitaka ulinzi wenye nguvu hatari kuliko nguvu zote Dawa ipo tena ni ya bure na ni ya watu wote dunia Dawa ni Yesu Kristo pekee.
Subhanallah , kumbe wote baba na mama wamewafanya watoto wao hivyo sasa huo utajiri wao sio kwa watoto wao ? wanatafuta utajiri kwa manufaa yao bila ya.watoto ni washenzi .
wa africa maboya sana aise, wako na power zakila namna ila jaajabu wazungu wali tu enslave, wakatuibia mali zote nawanaendeleya nakutuibia mala adi sasa, naakuna mtu anae wazuiya tutaacha kuuwa lini ili tuanze kuilinda africa
Dawa za kubatirisha uchawi zinapatikana wapi?mhh humu duniani mbona kuna mambo mengi ya kichawi,hivi wachawi wana pata raha gani kumtesa binaadam mwenzio alieumbwa.
@@twaibumikidadi7377 acha kihelehele nchefuu ww..unataka nikuombe ww fanya yako sawa usinibugudhi kbs tena koma...Niache na imani yangu sijakulazimisha umfate YESU.
Ester Elias sasa wapi ktk bible kuwa yesıu alsema mm n mungu mbona mnafuata mkumbo wla hamsomi bible yote hıyoo dada yangu ww yesu alvyotesqa msalaban alilia kisha akamuomba mungu amsaidie sasa leo ww unasema yesu n mungu dahhh! wakat yesu mwenyewe anasema *Mnataka kuniuwa mim mtu * Au hili handıko halipo ktk bible???? naomba majibu
Haki pole dada ila sisi binadamu hata sielewi tunalekea wapi jameni hata kwenye vitabu mungu Alisha sema kuwa nyie wana wa Adaam kuwa sheitwani niadui yatu sisi wanawa Adaam kisha sisi tuna fanya urafiki na hawo watu washindwe
Yani apo kama angekuwa uyu binti ni ndugu yangu yani tunge itana wana family wote tunge mchukua uyu binti tunge mpeleka uyu binti kwa uyo mama na tunge mkabiz mtoto na tungemwambia kama mtoto wetu akifa basi sikuiyo tutazika misiba 3 alafu we binti ivi uyo mama ako mzazi anahakili zote au yani ktk mahelezo yako inaonyesha mama ako alichukulia poa tu duh wazazi wengine pasua kichwa sana all in all pole .
Nguvu zagiza safanya kazi ndoakampigia bi mukubwaa kama umefika naalikuonea huruma mana kama alipiga sim bs hata kukudhuru angekudhuru nausingefika kwamamayako na uchawi wake Mkali yani nguo inashika mwili pole mwaya
Tunapaswa kumuomba Mungu sana atulinde maana watu tunaoishi nao hatuwajui wanatuwazia nini ila kwa neema ya Mungu atatusaidia pole sana dadangu Mungu akusaidie 🙏🙏🙏
Ukiwa mzima hii dunia sema alhamdulillah 🤲🤲 😭😭nimepitia madhila ila haya munguu akuponyeee dadangu
Kweli kabisa
Kabsa
Mhh Mungu tulinde na hawa wachawi ,sijui uchawi wanautengeneza na kitu gani,yaani mambo ya ajabu na mauzauza matupu .pole sana.
Mr Facts nakubali sana Kazi zako Mungu akubarik mzee amen 🙏 tunamuomba Allah atulinde na Mtihani Ya kidunia na awangamize wachawi wote amen
Amiin
Duu pole sana 🤭🤭🤭🙆♂️🙆♂️dunia hii, some people are wicked because of their selfishness desire and most of the time the person you trust the most can harm you, may God see them through. Davistar part two please 🙏🙏
Tanga wachawi ni wengi 😂😂😂
Ukitaka ulinzi wenye nguvu hatari kuliko nguvu zote
Dawa ipo tena ni ya bure na ni ya watu wote dunia
Dawa ni Yesu Kristo pekee.
Mungu atusaidie kwa kweli mana hali inatisha
Subhanallah Allah akuhifadhi
Duu mtiani pole sana
Subhanallah subhanallah
Yesu wangu .Dunia hii hatari sana
Nilisubilia sana kwa leo kila muda nacheki bado ,pamoja sana mzee baba
Eti bdooo?
Subhanallah , kumbe wote baba na mama wamewafanya watoto wao hivyo sasa huo utajiri wao sio kwa watoto wao ? wanatafuta utajiri kwa manufaa yao bila ya.watoto ni washenzi .
Dada pole xana, mungu u nawe
kunaye jina lenye linatikiza mpaka kuzimu Jina La Yesu .Muite Mungudamu ya Yesu ilimaliza yote
Nzur😍
😪😪😪😪mungu wangu huyo boss mchawi alitaka kumzukula
Mmh pole sana
Subhanallah
Duuh pole xan my dear Ila mungu yupo utapon kikubwa zidi kumuomb mungu na IPO cku utapon Ila pole kwa mateso unayopitia mpk moyo unaum xna
Mungu hajawahi shindwa dadangu mrudie nae atakusafisha na kukufanya kuwa mpya tena
Awe na imani dada..hasa sie tunaofanya kazi ndani kwa watu...YESU ni mwema kwa imani ataninusuru.
@@esterelias8189 uko wap ester
@@zakiaothman7175 Oman
@@esterelias8189 huko mm nakuogopa sitaki hata
@@zakiaothman7175 mbona wakuogopa
Pole Dada na mitihani ya Dunia
Waaaaa!!! kuna watu wauaji kwa kweli kwanza hawa matajiri wanavindumbwa sana
Nimewai kidogo camini kweli
Nimewahi wa kwanza
Davistar ongeza muda hata dk 30 pls.
Wachaaaaaaaaaa weeeeeeeeeeeee Akiongeza tutakeshaaaaaaaaa
Kweli kabisa
Pole sana
Tupo pamoja saana
wa africa maboya sana aise, wako na power zakila namna ila jaajabu wazungu wali tu enslave, wakatuibia mali zote nawanaendeleya nakutuibia mala adi sasa, naakuna mtu anae wazuiya tutaacha kuuwa lini ili tuanze kuilinda africa
Mungu wangu,,🇰🇪🇰🇪
Unbelievable...
Davistar kijan wako hp mtu mwenye utu wang respect 👊
Waiting.....nice job👌👌
Uyo mfanyakazi mwenzako atakuwa anamasharifu Yana mrinda siyo kwa machare ayo
Maombi yanapo ombwa yy anasikia maumivu aiseee asante Yesu ukuu wako unaonekana
Ndio maana tunaambiwa tukipa unguo mpya kwanza unaifuwa kisha unaisomea duwa ndio uivyaa
Pole sana dada kunadawa za kubatirisha uchawi
Dawa za kubatirisha uchawi zinapatikana wapi?mhh humu duniani mbona kuna mambo mengi ya kichawi,hivi wachawi wana pata raha gani kumtesa binaadam mwenzio alieumbwa.
@@mariamfritsi9761 zipo ikizihitaji dunia inamambo mtu akufanyie mikazi nabado umroge
@@kalssambaboo9705 ww acha tu Mungu aninusuru mie nafanya izo kazi..
Pole ndugu
Davistar nakuombea kila la Kheri kaka hakika nimesikia mengi toka nimeanza kufuatilia visa vyako.
WA Kwanza Leo naomba like name😁🤗
Mm mm mm
🖤
🙂🙂🙂
Be healing in Jesus Christ Name
Mwendelezo jamani🇰🇪
Dav ndg yng nakushaur naww ujikinge maana hao wabaya wanaozungumzwa wanajickia vbaya kuwa makini bro
Hakika jaman
pole sana dada
Kuropoa ni nini?
Mmm alafu wazazi wako wapo ww watembea pekeako kwenye shida izo mmmm nawanolea panga hao mbona mi nlichoka na kizazi changu😭😭😭
Davista duh!! Unakutana na mambo ya ajabu
Eeee Yesu tunusuru na kila nguvu ya kichawi..Amina!!
yesu
mwenyewe almuomba mungu amsaidir
sasa ww tena unamuomnçba yy atakusaıdıaje
@@twaibumikidadi7377 acha kihelehele nchefuu ww..unataka nikuombe ww fanya yako sawa usinibugudhi kbs tena koma...Niache na imani yangu sijakulazimisha umfate YESU.
@@twaibumikidadi7377 Kama kitu hakikuhusu pita kushoto fyuuuuuu
Ester Elias
sasa wapi ktk bible kuwa yesıu alsema mm n mungu
mbona mnafuata mkumbo wla hamsomi bible yote hıyoo dada yangu
ww yesu alvyotesqa msalaban alilia kisha akamuomba mungu amsaidie sasa leo ww unasema yesu n mungu dahhh!
wakat yesu mwenyewe anasema
*Mnataka kuniuwa mim mtu *
Au hili handıko halipo ktk bible????
naomba majibu
@@twaibumikidadi7377 Ahsantee YESU.
yani mtu anakuroga huku unamjua ni nani haki mungu atakulipia
Haki pole dada ila sisi binadamu hata sielewi tunalekea wapi jameni hata kwenye vitabu mungu Alisha sema kuwa nyie wana wa Adaam kuwa sheitwani niadui yatu sisi wanawa Adaam kisha sisi tuna fanya urafiki na hawo watu washindwe
Wa kwanza leo
nimewahi leo 22
Kaka mbona hutumalizii kisa kimoja kwanza ndo u move to the next one?
Wakwanza
Bongo bwana dhhaa kumbe Burundi pazuri
Uyu Dada kaongea lakn cjamwelewa namsikia 2 Mara baba
Davista mbona stori nyingine hujamalizia? Kama dereva tax,mtoto wa mchungaji na nk?
Wachawi wabaya sana na wakikamatwaga wanavyotia uruma utadhani walitumwa kua wachawi kumanina zao
Yaan hawa wachaw jaman wananivuruga akil Sana yaan hakuna watu wanaorudisha wenzao nyuma Kama wachaw...cjui hata wanapataga faida gani nawachukia sana
ukıtuwekea dak chache chache tutakukimbia dv.
kuna simuliz mix tumesha aanza kuzkimbia maana wanaweka vitu vcvyoeleweka .
Km hana miguu vidole vitoke wapi
mm nmeshka nilvyoo sikia hivi
Allah atunusuru, 🙏🙏🙏
ndio mie ninaona mawenge amamtandio unabadili rangi
Mwendelez davista
Maskini mungu atakusaidia dada
Mmmh dunia simama nitelemke, tutasikia mengi jmn.
Yani apo kama angekuwa uyu binti ni ndugu yangu yani tunge itana wana family wote tunge mchukua uyu binti tunge mpeleka uyu binti kwa uyo mama na tunge mkabiz mtoto na tungemwambia kama mtoto wetu akifa basi sikuiyo tutazika misiba 3 alafu we binti ivi uyo mama ako mzazi anahakili zote au yani ktk mahelezo yako inaonyesha mama ako alichukulia poa tu duh wazazi wengine pasua kichwa sana all in all pole .
Inaonesha huyo mama yake pia mchawi
Hivi watu wanatoaga nguvu wapi unaaza watoto wawiliwenyewe tena unawafanya msukule hivi hixo Mali ninani atakaekula jamani
Nguvu zagiza safanya kazi ndoakampigia bi mukubwaa kama umefika naalikuonea huruma mana kama alipiga sim bs hata kukudhuru angekudhuru nausingefika kwamamayako na uchawi wake Mkali yani nguo inashika mwili pole mwaya
Mwendelezo jmn
Dunia ina mambo, yarrab 2nusuru.
mbona kabadilisha mtandio gafla
😅😅😅😅
Top five leoo
😂😂😂😂 Tuned 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Pamoja 🤝🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nikejifunza kitu
Kitu gani
Mbona mtihan huo jaman
😀😀ungo wa mchele
Mziki umezidi mtangazaji punguza
Sasa ndio nini kuwatesa watoto wa wenzie bila sababu
Pesa, Shilingi yaua, tena maua😳
Huu mtandio mbona unabadilika badilika
Kk davist MTU makini kabisa
Kumbe ata mabosi ni wachawi sio wafanyakazi tu....mhhhh
Mbn Davista video nyingi hazina sauti
Wana nzengo hahaha munalala na davista nin maana mpo chap Kwa haraka kwer wana harakati ampoi
Part 2harakaaa
First
Kuna muda nilihisi Kama davistar unaniangalia🤭
Endelea maombi Mumgu atakusaidia
Davi, vp.. Mbona sipati notification?
Nimewahi...hizi story naogopa kuzikiza usiku hata mchana...Wana Tisha Hawa...
Yesu ni gome na mwamba mwamini kwa nguvu na moyo wote.....Usiogope mchawi hata siku moja ukimuogopa ndo unampa nafasi ya kukushambulia..
@@esterelias8189 .Amen
@@bettyowiti397 kabla hujangaliwa uwe unasali alafu unaendelea kusikiliza mpenz.
sawa 12 mie leo
😢😢😢😢😢😢😢
Kwao na mmewako hao walikuwa wachaw Itakuwa
Sasa Dada Ndege Watakua Vipi Na Vidole Ikiwa Awana Miguu
Hapo sasa
Njoo nikuombee Dada 0712862066...Nina hakika Mungu atakuponya kabisa
Duniani kuna mazito
Devi mambo
Huogopi izi interview unazofanya? 😂
Aogopi davista ako na zindiko
Dv kwikwi nini