PART1!TAJIRI WA MABASI YA MKOANI ASIMULIA WALIVYOKUWA WANATOA KAFARA AJALI ZA MABASI NA KUUA ABIRIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 160

  • @kisurangusa554
    @kisurangusa554 3 ปีที่แล้ว +2

    Davistar wewe ni hatari sana, hauna mpinzani wengine wanaogopa kuhoji watu ila wewe umejitolea mungu akubariki kwa kazi nzuri,

  • @videozaaj1069
    @videozaaj1069 4 ปีที่แล้ว +18

    "sikuamimi kwenye Yesu kristo sababu hatukufunzwa kwenye misingi ya kidini" nmependa sana hili jibu coz lina tupa funzo kuwa kuna umuhim sana kuwalea watoto wetu chini ya mwamvuli wa Bwana wetu YESU ili Hata majarbu kama hy yakija yasitushinde

  • @hellenmanzi4740
    @hellenmanzi4740 4 ปีที่แล้ว +33

    Sametimes ukiwa unaspirit ya kuwa tajiri mkubwa saaana lazima uwe mchawi Mana mama angu alinambia!! majumba ya kifahar na magar mazuri mengi yao n mali ya shetan

  • @otiliahaule5180
    @otiliahaule5180 4 ปีที่แล้ว +3

    Duh pole sana brother ila nakusihi achana nahayo mambo okoka tunakukaribisha Jumamosi kanisani

  • @rahmasuweyd827
    @rahmasuweyd827 4 ปีที่แล้ว +10

    Davista part 2 ije by 6: 00 pm bwana please stry tamuuu

  • @mishidede5473
    @mishidede5473 4 ปีที่แล้ว +2

    Davistar mm toka nianze kufatilia storia zako za Hawa watu,Daah yaani nimejua watu wengi wanao kufa sio kwa kutaka mungu,😢😢Ni shetani amechukua Nafsi zao, wallaih, mpaka nimekuwa muoga sanaaaa😥😥😥😥

  • @leahchelagat2782
    @leahchelagat2782 ปีที่แล้ว

    May God bring light where there is darkness...Asante Davistar...u brought light to the world bblessed,Change the world Mr Mata,I give you credit

  • @leahchelagat2782
    @leahchelagat2782 ปีที่แล้ว

    Davistar, you're a preacher man , Change people, save them from darkness to light..JESUS CHRIST ..heaven is real.

  • @naimanurdin8984
    @naimanurdin8984 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah Atujalie kutuongoza kulea Vizazi vyetu kwenye Misingi Ya Kidini Ameen

  • @mgenirasimi7771
    @mgenirasimi7771 4 ปีที่แล้ว +7

    Stor nzuri sana hebu nashauri uwe unawapa muda wanaanza kujielezea wenyewe kwanzia mwanzo wake mpaka alipo...nasema hiv sabab unapomuuliza maswari kuna vitu anaviruka

    • @adamsafari6443
      @adamsafari6443 4 ปีที่แล้ว

      yah ni kweli kabisa

    • @sosbrayantbenjamin9701
      @sosbrayantbenjamin9701 4 ปีที่แล้ว

      Kwel kabsa amuache ajieleze kama anavyo fanya salama jabir

    • @hasnasaif1075
      @hasnasaif1075 4 ปีที่แล้ว

      Maswali yawe mwishon baada ya stori

  • @monicabh1668
    @monicabh1668 3 ปีที่แล้ว

    Eeee MUNGU wasamehe vijana wako juu hawajui watendalo na uweke hofu ya kukuogopa ndani yao daaah 🙌🙌🙌🙌DUNIA hii 😭😭😭

  • @dullamburu1718
    @dullamburu1718 4 ปีที่แล้ว +1

    Tuko pamoja davistar Kwa mastori yetu na mafunzo tuyapatayo ktk maisha yetu ya kila siku

  • @mdeeboy846
    @mdeeboy846 4 ปีที่แล้ว +6

    Vip mr fact? Leta yale madude yako ya kiitelegensia.
    1st one today to like& comment

  • @superwomen6506
    @superwomen6506 4 ปีที่แล้ว +4

    Aisee itabid tuwafundishe watoto wetu kuzitii Imani na kuwa na hofu ya Mungu

  • @apolinemalungano9302
    @apolinemalungano9302 4 ปีที่แล้ว +4

    Ndomana hajali ninyingi sana

  • @rizickalexander7634
    @rizickalexander7634 4 ปีที่แล้ว +3

    big up sana mr. facts

  • @teddyelieza9780
    @teddyelieza9780 4 ปีที่แล้ว +1

    Ila nimegundua utajiri una siri kubwa sana Mungu tusaidie

  • @towettcheptoo3047
    @towettcheptoo3047 4 ปีที่แล้ว +1

    Bigup bro for this unique information. Waiting for part 2,,big love 4u from 254city

  • @happyoshea
    @happyoshea 4 ปีที่แล้ว +1

    Yeah . Umetisha Davistar

  • @shammybeybe1825
    @shammybeybe1825 4 ปีที่แล้ว

    😘😘😘 Davi⭐⭐⭐MTU makini

  • @abdulhalimhumud1917
    @abdulhalimhumud1917 4 ปีที่แล้ว

    Mr Facts Mungu akubariki Kazingua mikono yako amen 🙏

  • @kimsamir965
    @kimsamir965 4 ปีที่แล้ว

    Mambo vp mtangazaji ndugu nakukubali sana

  • @enestinajosephat1269
    @enestinajosephat1269 4 ปีที่แล้ว

    Davista nakukubali Sana aiseee

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 4 ปีที่แล้ว +1

    Heti Oyooo Tumefika🤣🤣🤣Aaaah hatari dooo

  • @marymary6758
    @marymary6758 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa stor

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 4 ปีที่แล้ว +1

    Wewe Tatizo Pati2 Mbona Uweki Kwa Wakati Ili Tujue Stol Kamili Kwanini Unacherewesha Sana Ikiwa Watoa Stol Uko Nao Mwanzo Mwisho

  • @angelshonza8236
    @angelshonza8236 4 ปีที่แล้ว

    Neno la Mungu linasema fedha na dhahabu ni mali ya Bwana, na andiko lingine linasema yy aliekuwa tajili alifanywa maskini ili sisi tuwe matajili . Yesu ndie aliekubali kufanywa masikini na alichukua tabu zetu pale msalabani Utajili unapatikana kwa Bwana shida ss niwavivu wa kuomba na sio watoaji na sio waanilifu ktk kumtolea Mungu sehem ya mapato yetu so utahili sio ushetani ni haki yetu kuupata

  • @asiakilea2590
    @asiakilea2590 4 ปีที่แล้ว

    Jamani bora upambane tu mwenyewe izo pesa za kwawaganga Mmh hatar

  • @rashidjuma144
    @rashidjuma144 4 ปีที่แล้ว

    Davistar mata mkasa was kijana alopofuka macho kwa mazingara ya Giza na huyu kaka nae ni nomaaaa sanaaa inaonekana kaua Sanaa arudi kanisani☠️🥃🍾🍷⛪⛪⛪

  • @nyagawarichard3638
    @nyagawarichard3638 4 ปีที่แล้ว +4

    aloo itaendelea lini mbona kama bonge la stori

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 4 ปีที่แล้ว +1

    Uchu wa Mali na umaarafu umeponza wengi dunia hii....Kweli Ibilisi kateka wengi tu!

  • @angeljasson4376
    @angeljasson4376 4 ปีที่แล้ว +3

    Dah waja tunamambo mengi

  • @jacksonnyange5334
    @jacksonnyange5334 4 ปีที่แล้ว +5

    Mwache mtu ajieleze mwenyew maswal yako yanaaribu story...mpe mtu muongo ajieleze mwenyew

  • @hawakihomile9273
    @hawakihomile9273 4 ปีที่แล้ว

    Davistar nakuzingatia sana bro..❤👌

  • @tullyedward435
    @tullyedward435 4 ปีที่แล้ว

    kaka hongeraaa sanaaaa

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 4 ปีที่แล้ว

    Jamaa Maswali Yako Kwanini Yamebenzi Kunakotakiwa Tujue Mwisho Mtamu Unamludisha Nyuma Uku Pati 2 Aijulikani Unaeka Lini Unaboa Kidogo Kidogo Jamaa

  • @rahmasuweyd827
    @rahmasuweyd827 4 ปีที่แล้ว +4

    Yani Allah atustiri jamani

  • @ibrahimrukundo3064
    @ibrahimrukundo3064 4 ปีที่แล้ว +2

    tuache imani za kishirikina tuweke IMANI zeetu kwa mung.

  • @annajoseph9955
    @annajoseph9955 4 ปีที่แล้ว +3

    Vijana wadogo hawapend kazi za kutumia nguvu wanapenda slope duh

    • @jossmuigai5441
      @jossmuigai5441 4 ปีที่แล้ว

      Huko Tz mambo hayo ni mob sana,, Kenya hamna

    • @annajoseph9955
      @annajoseph9955 4 ปีที่แล้ว

      @@jossmuigai5441 tamaa sio kitu kizur yan mtu haliziki na kipato chake halali mmmh

    • @patrickmgata7231
      @patrickmgata7231 3 ปีที่แล้ว

      Na kazi ngumu kumbuka unapata pesa ya kula na maladhi hivyo vijana wengi wanataka mafanikio ya halaka na kumbuka pesa pesa ya halali inahitaji uvumilivu sana

  • @cyantess8423
    @cyantess8423 4 ปีที่แล้ว +1

    prt 2 leo priss coast bus KE is has killed too many people i want to understand why

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 4 ปีที่แล้ว

    Pati On Zinakua Nyingi Sana Kuliko Pati Tu Sasa Hao Watu Awakusimuliaji Stol Yote We Jamaa Hau Vipi Tena Pati On Ninyingi Sana

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 ปีที่แล้ว

    Kitembezwa masaaa yotehayo jamani walijua kuwakomesha🤣🤣🤣

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว

    Mbona ice zenu zatoa hela kidogo sana hela mtoto jamani
    Kwani hujafunzwaa ukiwa mdogo watu husalimia??ndomana mkapewa adhabu Bora mngepewa zaidi yahiyo ndokesho msalimiegee

  • @rahmasuweyd827
    @rahmasuweyd827 4 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣mutajua hamjui,,,,aliwapa kichapo Cha kihekma mlitembea mpaka mkajua hamjui🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    👊✌️

  • @bellahyuzzomylife4428
    @bellahyuzzomylife4428 4 ปีที่แล้ว +1

    tuoneshe tuuu sura tuwajue maana wengine tumekoswakoswa huko mbeya😐

  • @emmanelly6864
    @emmanelly6864 4 ปีที่แล้ว +1

    254 locked

  • @hellenmanzi4740
    @hellenmanzi4740 4 ปีที่แล้ว +1

    Iv ile ya kibofu imeisha???

  • @nginamugwe8093
    @nginamugwe8093 4 ปีที่แล้ว +1

    Jameni hii dunia haikalika afathali kupaa kwa anga tukae huko yale nayasikia kwa hii Davister mata nimeogopa kila mtu dah!

  • @gmdecoration6044
    @gmdecoration6044 4 ปีที่แล้ว

    Iko pouwa Sana mr mata mbeya mpaka chunya mjini NI kilometa 37 Part2

    • @hamadshein498
      @hamadshein498 4 ปีที่แล้ว +1

      Chunya mbeya nauli Elfu 3.

  • @hurremsultana9762
    @hurremsultana9762 4 ปีที่แล้ว +3

    Davistar mata tuko sambamba kabisa

  • @najmanajma2901
    @najmanajma2901 4 ปีที่แล้ว

    Khaaaa hii dunia

  • @sosbrayantbenjamin9701
    @sosbrayantbenjamin9701 4 ปีที่แล้ว

    Unamkatisha sana kwa maswali muache ajiachie

  • @chazgunda5823
    @chazgunda5823 4 ปีที่แล้ว +2

    Ivi ikitokea siku msimulizi akisema ajawai kusoma shule yoyote ataluhusiwa kuendelea kusimulia?

    • @jossmuigai5441
      @jossmuigai5441 4 ปีที่แล้ว

      Mwisho wa story 😊😁😀

  • @neemakoka599
    @neemakoka599 4 ปีที่แล้ว

    Wewe davister duuuh unatembea mpaka mbeya duuuh

  • @neemasita136
    @neemasita136 4 ปีที่แล้ว

    Duh ni hatari kwakeli

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 4 ปีที่แล้ว

    Jamani yaan Mbeya yetu ina mambo mengi sn km hya.

  • @enestinajosephat1269
    @enestinajosephat1269 4 ปีที่แล้ว

    Davista muendelezo vipi

  • @raphaelgadau2783
    @raphaelgadau2783 4 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @matheothomas1891
    @matheothomas1891 4 ปีที่แล้ว

    Mjooomba Ela haimilikiwii hivi hivi wanao miliki wana Siri zao

  • @naomiakoth2958
    @naomiakoth2958 4 ปีที่แล้ว

    Part 2 plz

  • @iddypandu4285
    @iddypandu4285 4 ปีที่แล้ว

    Pamoja mkuu

  • @amriyalibent8441
    @amriyalibent8441 4 ปีที่แล้ว

    Dah part2 please

  • @ngwenjumedia8537
    @ngwenjumedia8537 4 ปีที่แล้ว +1

    Wa 7

  • @elizamasilayo8090
    @elizamasilayo8090 4 ปีที่แล้ว +2

    Kaka unamoyo ww jmn sa mlivokuwa mnauwa hizo roho za watu haziwalili jmn

    • @teddyelieza9780
      @teddyelieza9780 4 ปีที่แล้ว

      Wawe wanashtakiwa jamani kwakweli wameua sana watu

    • @elizamasilayo8090
      @elizamasilayo8090 4 ปีที่แล้ว

      Yan m mpk naogopa kulala na yy hana ht wasiwas anavyosimulia

  • @ibucwayves8440
    @ibucwayves8440 หลายเดือนก่อน

    Wongo mtupu. Wewe Davista una akili yakujuwauyu mtu anasema wongo. Angaliya miaka yake.ame nunuwa wapi, pesa ngapi.

  • @marthamshana9050
    @marthamshana9050 4 ปีที่แล้ว

    Muache mtu aongee mwenyewe una wahoji sana kuna vitu wanaruka

  • @mashaelieazer6120
    @mashaelieazer6120 4 ปีที่แล้ว +1

    Ndio mana ukiingia kwenye haya magari au ukisafiri kila Mara ukiwa garini omba huku ukitaja jina la yesu,lina nguvu,linaokoa,linaponya

  • @mercikatate9033
    @mercikatate9033 4 ปีที่แล้ว

    Part 2 kk

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 4 ปีที่แล้ว

    Atari sana

  • @norbertmafioso3213
    @norbertmafioso3213 4 ปีที่แล้ว +1

    nimewahi kidogo 111🤣

  • @maryamoman1370
    @maryamoman1370 4 ปีที่แล้ว +2

    Nawasikiliza wazee wa kuwahi

    • @hamadshein498
      @hamadshein498 4 ปีที่แล้ว

      Maryam said.kef haleshi.

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 4 ปีที่แล้ว

    Maswali mengi mpaka BAADHI ya maneno anayaruka ruka

  • @relaxingnaturegreen
    @relaxingnaturegreen 4 ปีที่แล้ว

    davista wapi Part 2 ya hii story bro

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 4 ปีที่แล้ว +1

    Kuna Ile story ya kipofu Huja eka part two why 😥

  • @fasanitzfasanitz9631
    @fasanitzfasanitz9631 4 ปีที่แล้ว

    Leo unahoj vzur kaka mata

  • @neemaabdallah3567
    @neemaabdallah3567 4 ปีที่แล้ว

    Nasubiria ya 2

  • @yushuaissa467
    @yushuaissa467 3 ปีที่แล้ว

    hais ni nini?

  • @allyissa7770
    @allyissa7770 4 ปีที่แล้ว

    Hawa jamaaa matajiri xio poa wanatatumalizaaaa

  • @jossmuigai5441
    @jossmuigai5441 4 ปีที่แล้ว

    Itaendelea lini????

  • @mrsochu-hv7bm
    @mrsochu-hv7bm 4 ปีที่แล้ว +1

    Davistar npe tuzo kila cku wakwanza mie

    • @DavistarMataMediaDM
      @DavistarMataMediaDM  4 ปีที่แล้ว

      Hongera nitakupa

    • @rahmasuweyd827
      @rahmasuweyd827 4 ปีที่แล้ว

      Hahahhahahaha jamani,sisi wengine hatuwahi kwasababu ya kazi,Ila siwwzi kosa kumuangalia davista npenda bure from Dubai

    • @tatukizunga1191
      @tatukizunga1191 4 ปีที่แล้ว

      @@DavistarMataMediaDM love u💕

    • @mrsochu-hv7bm
      @mrsochu-hv7bm 4 ปีที่แล้ว

      @@rahmasuweyd827 hata mi npo oman my ila davistar akituma wakwanza mie

    • @mrsochu-hv7bm
      @mrsochu-hv7bm 4 ปีที่แล้ว

      @@DavistarMataMediaDM poa kaka yangu nakupenda bule

  • @agastinnjoka9404
    @agastinnjoka9404 4 ปีที่แล้ว

    Mwendelezo uko wap

  • @dotosalim5090
    @dotosalim5090 4 ปีที่แล้ว

    Wakumi leo

  • @brightonoficial4368
    @brightonoficial4368 4 ปีที่แล้ว

    Uwe unaacha usenge unauliza maswali kidogo watu tufaidi mb zetu mnauz bana

  • @khadijaomar8427
    @khadijaomar8427 4 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣anawatia adabu

  • @kiparaabel3474
    @kiparaabel3474 4 ปีที่แล้ว

    Ungepitia nikununulie mi sugarcane hapa kwa road

  • @shabanmohamefi8915
    @shabanmohamefi8915 4 ปีที่แล้ว

    Duh hatar

  • @habibafeithal4014
    @habibafeithal4014 4 ปีที่แล้ว

    Alafu tuletee yule aliyegeuka shoga kisa mali, imekuwaje

  • @igurusitv6553
    @igurusitv6553 4 ปีที่แล้ว

    Nimezaliwa Igurusi na nimesomea hapa, huyu jamaa mbona simjui? OK ngoja nimalize kumsikiliza

    • @wintonnicholas9062
      @wintonnicholas9062 4 ปีที่แล้ว

      Story za kutunga hizi

    • @patrickmgata7231
      @patrickmgata7231 3 ปีที่แล้ว +1

      Utamjuaje wakati sula yake ujaona mdau mbona watudanganya

    • @igurusitv6553
      @igurusitv6553 3 ปีที่แล้ว

      @@patrickmgata7231 sawa ngoja nikuache

  • @serahjosephine674
    @serahjosephine674 4 ปีที่แล้ว

    Duuuu majanga

  • @mariamukingazi3668
    @mariamukingazi3668 4 ปีที่แล้ว

    Punguza kuuliza maswali

  • @tumabhay8576
    @tumabhay8576 4 ปีที่แล้ว

    Mlikua mnalima mpunga na mchele.

  • @momymood4341
    @momymood4341 4 ปีที่แล้ว

    pamoj

  • @shebaminde7656
    @shebaminde7656 4 ปีที่แล้ว +7

    Duh wa 10 nawapa like wote mlio niwah siku nikiwa wa 1 mnipe like nyingi,😂🙄

  • @rahmasuweyd827
    @rahmasuweyd827 4 ปีที่แล้ว

    Waaaaa kumbe😳😳😳😳😳

  • @jossmuigai5441
    @jossmuigai5441 4 ปีที่แล้ว

    Naogopa za buree

  • @patrickm1056
    @patrickm1056 3 ปีที่แล้ว

    Mwandishi boya kweli unauliza maswali ya kijinga ..

  • @user-uk8ot2lx5v
    @user-uk8ot2lx5v 4 ปีที่แล้ว

    muendelezo

  • @demitrahawkins5457
    @demitrahawkins5457 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂

  • @josephgregory9843
    @josephgregory9843 4 ปีที่แล้ว

    Kwa mara ya kwanza na subscribe youtube chanel,hiki ni chuo cha mafunzo na hakika umekuja na idea nzuri sana!hongera