JINSI YA KUISHINDA DHAMBI YA UZINZI-SEHEMU YA TANO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
- Mfululizo huu wa Mada ya Jinsi ya Kuishinda dhambi ya UZINZI inayofundishwa na Mwalimu Dickson C Kabigumira wa Kanisa la ABC, Utakuwa ukikujia kupitia chaneli hii, Tafadhali subscibe kwenye chaneli yetu uwe wa kwanza kupata mafundisho mapya kila yakiwekwa.
Eneo la Nafsi limeshikilia eneo kubwa sana la maisha ya mwanadamu,asante Mwalimu acha tupone hakika
Amen Ubarikiwe sana Pastor nimejifunza kitu kikubwa sana na nitazidi kukifanyia kazi
Hiyo ni kweli kabisa.
Ubarikiwe sana Pastor
God bless you pastor
Mungu nisaidie
Ameen sana baba
Amen amen
Nimekupenda bure..bwana Yesu akutunze
Yes
Umemsema Kikwete!!
Ndio Maana Nicola Tesla hakuoaYusufu alijua atapotea,Martin Luther The Apostle of Reformation, Albert Einstein alichelewa kuoa,Yesu , Paul , Daniel,they never Married Their Assignment were too huge To Marry!!
Naamu, Daudi katika 1Sam.11 na sura ya 12
Bless you
Wakora waitu
You better be systematic and truthful. Tittle inasema jinsi ya kushinda dhambi ya zinaa ila wewe umeeleza madhara ya zinaa. Two different things. Ulitakiwa uteneze video ya madhara ya zinaa na nyingine ya jinsi ya kushinda dhambi ya zinaa
Kujua ndio kushinda,
Amen