DHAMBI YA UZINZI INA ANGAMIZA FAMILIA-MWL GOODLUCK MUSHI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2021
  • Mwalimu Goodluck Mushi anafundisha kupitia maandiko matakatifu juu ya dhambi ya uzinzi na uasherati inavyoadhiri familia, huduma na shughuli za kiuchumi.
    anatolea mfano ROHO YA YEZEBELI (THE SPIRIT OF JEZEBEL) jinsi ilivyotingisha falme.
    hadi sasa roho ya Yezebeli inaendelea kuwakumba wanadamu kwa namna mbalimbali.
    endelea kufuatilia na hakika utapata kitu.
    hii ni sehemu ya masomo yanayoendelea yenye kichwa
    UMUHIMU WA KUOMBEA NJIA YAKO DUNIANI
    KATIKA MAJIRA MAPYA
    MWANZO 6:12;20:1-3,17-18
    WARUMI 6:23
    KUTOKA 20:14
    RUMI 7:19-20
    1KOR 6:18
    1KOR 6:16
    HESABU 25:1-3
    Kwa mlio mbali karibu Subscribe ili tuungane pamoja kupitia TH-cam Channel yetu (KKKT KARIAKOO) katika ibada zetu zote #LIVE. Pia waweza kufuatilia mafundisho mafupi mafupi kupitia Instagram (@lutheran_kariakoo)
    ~-~~-~~~-~~-~
    Please watch: "Moto@KKKT KARIAKOO "
    • Moto@KKKTKARIAKOO
    ~-~~-~~~-~~-~

ความคิดเห็น • 42

  • @peninahgody2949

    Ubarikiwe sana mtumish wa mung na mung atuponye na kutuokoa🙏

  • @esthertarimo3221

    Hakika hili neno ni dhahiri kabisa, ubarikiwe sana mtumishi. 🙏🙏🙏

  • @user-hq3ut3dg2c

    Amen 🙏🙏 ubarikiwa na ww na mung

  • @sararasmamwamapupa3577

    Amina mtumishi Mungu atuhurumie

  • @giftngwalo8730
    @giftngwalo8730 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana mafundisho mazuri

  • @nestorymrosso4848
    @nestorymrosso4848 ปีที่แล้ว

    ubarikiwe sana kwa neno zuri mtumishi wa Bwana,, natamani kupata mawadiliano kwa mashauri na maombi zaidi kuhusu neno hili🙏🙏

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 ปีที่แล้ว

    Amen barikiwa kw neno zuri la Mungi

  • @amosimangowi8250
    @amosimangowi8250 2 ปีที่แล้ว

    Somo zur Sana mtmsh, umaskini unaingiza watu kwny uzinz, kwa sababu ya kutokujua Neno, tuanzishe madhabahu ya maombi usio zimika, iwe yakupokezana maombi ili watu wapate kulielewa Neno la Bwn wakiongozwa na Roho wa BWANA.

  • @geitandelwa299

    Ameni dhambi yauzinzi ni chafu.mno sio ubaya

  • @KKKTKARIAKOO

    Jiunge na group letu leo

  • @jesusgirl9416
    @jesusgirl9416 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante mtumishi kwa msisitizo huu wa neno.

  • @dorcasmoshi5140
    @dorcasmoshi5140 ปีที่แล้ว

    Mungu tunaomba huruma yako

  • @Ester-fd1wz
    @Ester-fd1wz ปีที่แล้ว

    Amen,ubarikiwe sana

  • @brysonuronu5862
    @brysonuronu5862 2 ปีที่แล้ว

    Apaaa ndede miaka nyanya kwiiruuya kii mmbe ...Kwaash Mushi.

  • @Maureenlindah9516
    @Maureenlindah9516 2 ปีที่แล้ว

    Mafundisho mazuri sanaa...

  • @barakanatus5676
    @barakanatus5676 2 ปีที่แล้ว

    Amen nimepata kitu hapa.

  • @mackdonaldmbuya64
    @mackdonaldmbuya64 2 ปีที่แล้ว

    Naomba kujua je nikizini naweza kuleta madhara kwa kumpoteza mke wangu

  • @nckmwack
    @nckmwack 2 ปีที่แล้ว

    Hatari sana dhambi ni mzigo

  • @brysonuronu5862
    @brysonuronu5862 2 ปีที่แล้ว

    Duu somo kubwa sana

  • @rehemasaid3535
    @rehemasaid3535 2 ปีที่แล้ว

    Amen mtumishi ni kweli