Yeah, juu ya yote hayo lazima uwe na kwa kuanzia. Kwa namna flani kuna walioanzia na kua wezi... pia kutambua position uliopo na kufanya yale unayopaswa kufanya ukiwa kwenye hiyo position. Wengine walifanya ushirikina, wengine wameiibia serikali... wengine walifanya biashara ya madini wakatoa kafara za kutosha, wengine walipata maisha hayo kwa jitihada na uwezo wao na kwa kudra za mwenyezi Mungu....
Ni kupambana mimi 13yrs back nilikuwa napenda mbeni sina pesa 2023 nimununua Mbweni nimefanya kazi kama mtumwa… hamna kinachoshindikana bidii ndio muhimu
Also if you get the chance maybe you will add your youtube to Kenya residence or US so that you can make the full monetization profits. Till Tanzania is added to the TH-cam Partner Program
@@explorewithbertin yes because TH-cam partners with countries that it sees many youtubers and viewers. They pay a larger amount to those youtubers from partner countries. You get to share a bigger portion of the revenue collected from ads. If you know someome from US or Kenya or Uganda or know of a way, You should look for a way to set your account to one of those countries. Because it allows more money to be paid to you
@@explorewithbertin since people from different areas watch you i am sure it will increase your earnings. If you google TH-cam Partner program you will be able to read more about it. This program is how people make loads on TH-cam. Usually after 1000 subscribers YPP youtubers are able to fully monetize.
Hello this video is fantastic Naomba pia ufike znz uwahoji wenye mijengo km hiyo mbweni mazizini chukwani na tunguu watueleze wamefanyaje na kuwa matajiri Video km hizi za kuwafunza vijana ndio nzuri.
When cash intersects opportunity, no matter how modest the sum, it's an investment waiting to blossom. They rich just gave you the basics, cant tell you really how to go about it. I am talking of the majority
you should've asked them what do they do for living,,, good content though coz hata mm sijajipata lakini ukinipa chance yakuongea hapo nitakupiga motivation hizo sio mchezo,,, kuna huyo mzee wa tiktok sio kwake apo,,, kuna huyo anasinzia anaonekana mlinzi
Great video. 100% inaccurate in saying vijana wa siku hizi hawajikubali. I've got more money than everyone in this video combined, so calling us failures is measurably false. I'm younger than everyone in this video and I exceed them in assets. Does that mean I'm special? Nope. All it means is nilifocus kwenye kipaji and the results have been outstanding. The truth is, a bunch of 'vijana' don't have skills. Huo ndio ukweli ambao penda msipende, ni ukweli. Hawana utaaluma and as a result, they have nothing of significant value to offer to the world. But grouping all of us into a folder of failures is just upuuzi. We're not all challenged and incompetent when it comes to skills and money. Sio wote ambao ni mazero!
1. There is a difference between middle class and rich 2. Are they owning these homes? 3. Unalazimisha kuongea Kiingereza wakati wao wanataka kuongea Kiswahili. Unatuchanganya.
Sometimes i feel like to many of our people, socialist roots are still very alive even if it is more than 30years into mixed economy. Ushauri wa hawa watu ni very golden.
Hao wote ni waongo, hawasemi ukweli Kwanini wasiseme kwamba iliuwe tajili Tanzania lazima uwe ni Mwizi, zulumati, uwe muujumu uchumi. uwe serikalini na uwe mwanachama wa CCM. My be evil worshipers ( freemasonry, etc...)
I like to visit one day Tanzania beautiful city I'm from Ethiopia🇪🇹🇪🇹
You are welcome
You're welcome
Your best video to date kaka❤ even as a black American living in tanzania i can relate to this video ✊🏾 thanks
Thanks
YOU ARE IMPROVING NOW DOGO, WELL DONE , THAT IS AWESOME MOVE OF INTERVIEWING RESIDENTS
Thanks
huyu ndo mwanamke mwenye kujituma na bidii zake ongera sana sister God bless you 🙏🌺
Yeah, juu ya yote hayo lazima uwe na kwa kuanzia. Kwa namna flani kuna walioanzia na kua wezi... pia kutambua position uliopo na kufanya yale unayopaswa kufanya ukiwa kwenye hiyo position. Wengine walifanya ushirikina, wengine wameiibia serikali... wengine walifanya biashara ya madini wakatoa kafara za kutosha, wengine walipata maisha hayo kwa jitihada na uwezo wao na kwa kudra za mwenyezi Mungu....
Ni kupambana mimi 13yrs back nilikuwa napenda mbeni sina pesa 2023 nimununua Mbweni nimefanya kazi kama mtumwa… hamna kinachoshindikana bidii ndio muhimu
I have enjoyed the whole video. Thank you for sharing
You are welcome
Glad you enjoyed it
Also if you get the chance maybe you will add your youtube to Kenya residence or US so that you can make the full monetization profits. Till Tanzania is added to the TH-cam Partner Program
What are those full monetization profits? Is YTP of Kenya different from that of Tanzania? I really need more education about that
@@explorewithbertin yes because TH-cam partners with countries that it sees many youtubers and viewers. They pay a larger amount to those youtubers from partner countries. You get to share a bigger portion of the revenue collected from ads. If you know someome from US or Kenya or Uganda or know of a way, You should look for a way to set your account to one of those countries.
Because it allows more money to be paid to you
@@explorewithbertin since people from different areas watch you i am sure it will increase your earnings. If you google TH-cam Partner program you will be able to read more about it. This program is how people make loads on TH-cam.
Usually after 1000 subscribers YPP youtubers are able to fully monetize.
@@LocalK5000 Thanks
@@explorewithbertin Tanzanian i am not sure they are inside the YPP yet? when i check it says it's not
Bertin, this is exellent!, haya ndo mambo tunataka kuona!.
Thanks mkuu. Mambo mazuri yanakuja
Great video, I support
Thanks
Hello this video is fantastic
Naomba pia ufike znz uwahoji wenye mijengo km hiyo mbweni mazizini chukwani na tunguu watueleze wamefanyaje na kuwa matajiri
Video km hizi za kuwafunza vijana ndio nzuri.
Soon
Huyu jamaa ni wa dar tu bana usituharibie content
Unamsemea ww na mwenyewe alishacomment kuwa atakuja?
Good video , nimeipeda hii video
Ahsante mkuu
Nice nyumba nzuri sema sasa hiyo miundo mindu ya hiyo sehemu ovyo kabisa
The place is still developing. Considering the place is surveyed. All roads will be built
Punguza wivu
Nice stuff, it would be great to hear their personal stories of success.
When cash intersects opportunity, no matter how modest the sum, it's an investment waiting to blossom. They rich just gave you the basics, cant tell you really how to go about it. I am talking of the majority
Love their answers ❤
Rich people are always honest and welcoming. Some welcomed me to their party
Huyu msee wa asome ana akikosa ajira aende abroad akasome...😂😂 sisi wote tuondeke Africa
This is the best of all contents umefanya
BEST VIDEO BROTHER
KEEP IT UP🔥🔥
THIS WAS REALLY HELPFULLY🔥
Thanks Jovin
Very nice neighborhood and great advice given...
you should've asked them what do they do for living,,, good content though
coz hata mm sijajipata lakini ukinipa chance yakuongea hapo nitakupiga motivation hizo sio mchezo,,, kuna huyo mzee wa tiktok sio kwake apo,,, kuna huyo anasinzia anaonekana mlinzi
True people need to work hard, but some of them wapigaji mafisadi wa mali za uma tuh.
The majorities aren't tells the truth. Many works hard but don't achieve that capacity but it's the same old stories. "Speak english" it's a joke
This is good video idea, keep up the good work
Thanks
A big lesson from this video is . Big things need time . Imagine mtu anajenga nyumba yake kwa miaka kumi sisi tunaona ni rahisi tu
Very neighbourhoods
Great video.
100% inaccurate in saying vijana wa siku hizi hawajikubali. I've got more money than everyone in this video combined, so calling us failures is measurably false. I'm younger than everyone in this video and I exceed them in assets. Does that mean I'm special? Nope. All it means is nilifocus kwenye kipaji and the results have been outstanding.
The truth is, a bunch of 'vijana' don't have skills. Huo ndio ukweli ambao penda msipende, ni ukweli. Hawana utaaluma and as a result, they have nothing of significant value to offer to the world. But grouping all of us into a folder of failures is just upuuzi. We're not all challenged and incompetent when it comes to skills and money. Sio wote ambao ni mazero!
Ur broke brooo ..u earned ziro dis year acha sifa..money never writes pages
@@FreeGod368 Tell me you have no skill without telling me you have no skill.
@@FreeGod368 still waiting on your reply champ! Don't hide!
@@FreeGod368 Where you AT? Do you need money to get online?
AAAAAA NDO MAANA HARMONIZE KWENYA NYIMBO YA ANAJIKOSHA ALITA JA MBWENI KWA WATU WENYE PAPER PAPER
Yes. Mbweni is the richest neighborhood in Dar. Forget those Masaki, etc that are having poor roads and bad sewage systems in someparts
1. There is a difference between middle class and rich
2. Are they owning these homes?
3. Unalazimisha kuongea Kiingereza wakati wao wanataka kuongea Kiswahili. Unatuchanganya.
Ok. They own those homes.
Sidhani kama amekosea kuongea kwa kingereza maana watu wa mataifa mbali mbali wanatazama thats why anaweka subtitles pia
His target audience is not Swahili speakers..
Huyu babu wa Tiktok anakaa Magomeni pale bado anaishi kwa baba😂 Sasa nae amekuwa taita ghafla?
Patience ,Discpline
🦅
Sometimes i feel like to many of our people, socialist roots are still very alive even if it is more than 30years into mixed economy. Ushauri wa hawa watu ni very golden.
Kabisa
Hao wote ni waongo, hawasemi ukweli
Kwanini wasiseme kwamba iliuwe tajili Tanzania lazima uwe ni
Mwizi, zulumati, uwe muujumu uchumi.
uwe serikalini na uwe mwanachama wa CCM.
My be evil worshipers ( freemasonry, etc...)
Thanks for watching
😂😂😂 tafuta hela kijana, hapo ndio unspofeli kwamba kuwa tajiri lazima uwe mwizi, uende kwa waganga. Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe
Unatangaza upumbavu mtandaoni
@@BadoMartense
yamekugusa nini, are you one of them?
shame on you!
@erycah
Bado upo dunia ya mwaka 47 ya kutafuta hela, pole. Nowadays, pesa inatafuta watu, sio watukutafuta pesa........Amka wewe!!( kalaga bao)