WANAWAKE MNAKWAMA WAPI/DADA WA KAZI AKIMCHUKUA MUMEO POVU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024
  • #UTAMUWAPWANI
    #THINKERSTV

ความคิดเห็น • 33

  • @ukhtykaudhary3815
    @ukhtykaudhary3815 2 ปีที่แล้ว +2

    nawapenda

  • @anithaumukundwa2510
    @anithaumukundwa2510 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante dada zetu tumejefuza

  • @johnreemgard4991
    @johnreemgard4991 4 ปีที่แล้ว +5

    Mpo vizuri Thinkers tv.

    • @ThinkersTVOnline
      @ThinkersTVOnline  4 ปีที่แล้ว

      Asante sana!! Subscribe kwa kazi nzuri zijazo 🙏🏼🙏🏼

  • @naimasaid563
    @naimasaid563 4 ปีที่แล้ว +8

    Hamjawapata tu hawo wanaume jmni mwanmme unamulz kistarabu ila yy majibu yke

  • @rosefrancis2043
    @rosefrancis2043 ปีที่แล้ว

    Aisee Acha na sie ambao bado hatuja ingia kwenye ndoa. Tujifunze maana ni changamoto kwa kweli kwa sisi wanawake tunajisahau sanaaaaaaaa!

  • @khadijahomankweliyamjahaya7421
    @khadijahomankweliyamjahaya7421 4 ปีที่แล้ว +2

    Swadakt yan ni kweli jmn looo!!! Yapo sana

  • @lydiaakimana7988
    @lydiaakimana7988 4 ปีที่แล้ว +5

    Pambeeee 🔥🔥🔥🔥

  • @mankamallya848
    @mankamallya848 4 ปีที่แล้ว +10

    Kuna wanaume wabishiiii wanavaa vile wanataka wao, hamjakutana nao tu

    • @hilwanicky9610
      @hilwanicky9610 4 ปีที่แล้ว

      Kweli Dadaa

    • @Nyamisango
      @Nyamisango 4 ปีที่แล้ว

      😂🤣😂🤣😆😂😂

    • @nooor1120
      @nooor1120 4 ปีที่แล้ว

      Yapo hayo

    • @mayasajuma6955
      @mayasajuma6955 3 ปีที่แล้ว

      Umexema kweli wapo tofaut ila unatk kumfanya hili mda huu anakwambia baadae. Na akinitunza ntamtunza axiponitunza Xaxa najitunza mimi2 naende hvhv rafu😀😀😀

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau8307 4 ปีที่แล้ว +2

    Swadakta maneno ya kweli

  • @jenipherstanley8002
    @jenipherstanley8002 3 ปีที่แล้ว +1

    Pambeee_👌👌

  • @ashourahsaleh8958
    @ashourahsaleh8958 3 ปีที่แล้ว +1

    Hatare

  • @zuhuramwawimo997
    @zuhuramwawimo997 3 ปีที่แล้ว +1

    Hapo ushasema mama mume ni mume🙋

  • @rosevictorlive6184
    @rosevictorlive6184 4 ปีที่แล้ว +6

    Mnatwambia au mnatuchamba 😀😀😀

  • @gwijisirengo
    @gwijisirengo 3 ปีที่แล้ว +1

    Hapo sasa

  • @simonwakhule61
    @simonwakhule61 3 ปีที่แล้ว +2

    Hawa dada wanaongea Yale ninapitia.Ni Kama wamefika kwangu.

  • @winledsakia3448
    @winledsakia3448 4 ปีที่แล้ว +2

    woyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

  • @samohazakwani6899
    @samohazakwani6899 4 ปีที่แล้ว +4

    Assalaam alaykum. Asanteni kwa mafunzo yenu, lkn mengine wahurumieni hao wanawake hasa wanaokwenda kazini wao pia ni binaadamu wanachoka. Mwanamme smart na mwenye huruma na mapenzi kwa mke wake hangojei kufanyiwa yote hayo na mkewe, bali ni wajibu wake yeye pia kumsaidia mkewe. At least ajihudumie mwenyewe, mke ana shughuli nyingi kwenye nyumba. Hata katika mafunzo ya dini hakuna sheria zote hizo, wameusiwa wanaume wawe na huruma juu ya wake zao maana mwanamke ni kiumbe dhaifu. Mwanamme bwanyenye ndie anaesubiri afanyiwe kila kitu na mkewe. Maisha ya ndoa ni kushirikiana hata kazi za nyumbani mwanamme anasaidia. Kiigizo chema ni mtume wetu Muhammad Alaihi Salaam, kaamrisha na kuonesha mfano jinsi ya kukaa na wanawake. Wasome wanaume historia yake.

    • @winledsakia3448
      @winledsakia3448 4 ปีที่แล้ว +2

      wewe umezungumza kwa dini yako ila kwa dini nyingine unasema MWANAMKE MPUMBAVU HUIVUNJA NYUMBA YAKE MWENYEWE . so kwamba Mungu hakujua hiyo numba ina mwanaume hat akiutamaduni mama ni kila kitu tutakatta tutakubali wanawake wengi niwabuvu sana wakiulizwa wanasingizia kazi mama zetu walikuwa wanalima na nyumba zao wanaangalia ninyi mnashinda ofisini lakini nguo za mumeo anafua dada

  • @halimanasihu1200
    @halimanasihu1200 4 ปีที่แล้ว +4

    Hahaha shuka ina wiki tatu hahaha chums kna fondogooo

  • @medi222alrajhi9
    @medi222alrajhi9 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwawaonea wivu tu hamkusoma ugali wa mchana hamna wawacheni wenye kisomo chao wainjoi atanunua piza

  • @MunaMuna-tn3go
    @MunaMuna-tn3go 4 ปีที่แล้ว +1

    Msitufokee

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 4 ปีที่แล้ว

    Nawapenda