Amen amen| Mbarikiwa Mwakipesile ( video music).

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 135

  • @anafikamugisha8834
    @anafikamugisha8834 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mbarikiwa amen Mtumishi wa Mungu mwalimu wa mfano Barikiwa sana

  • @denismlwati3285
    @denismlwati3285 ปีที่แล้ว +8

    Ee Mungu unishike kwani nasikia kuogopa sana kwani nilipo kuwa nausikiliza na kuutazama huu wimbo, nikajikuta najiuliza ndani yangu kuwa Mungu ulikusudia nini kwangu kumfahamu huyu mtu Wa MUNGU katikati ya kizazi hiki kilicho haribika ee Mungu niwezeshe kufikia kusudilako.

  • @shukranimpomwa7460
    @shukranimpomwa7460 ปีที่แล้ว +5

    Nakupenda baba, Mahubili na Nyimbo zako, zimekuwa daraja kwenye maisha yangu ya Wokovu.
    Uishi miaka miiiiingi baba

  • @elizabethmsyani1844
    @elizabethmsyani1844 ปีที่แล้ว +2

    Ameni ameni kwa kila kitu....

  • @isaacsanga9707
    @isaacsanga9707 ปีที่แล้ว +4

    HADI HAPA NI AMENI TU...🙌🙌🙌

  • @eppiemodest
    @eppiemodest ปีที่แล้ว +2

    Kwa kweli kwa huduma hii twabarikiwa. Hata watu rahisi kuokolewa. Hapo Mtumishi wa Mungu unani bariki sana. Naona uwepo wa Roho Mtakatifu.
    😇😇😇.

  • @EmmanuelNjunduki-yj7dp
    @EmmanuelNjunduki-yj7dp ปีที่แล้ว +2

    Baba nyimbo zako zinatunjega sana mungu akulinde sana baba

  • @obedimunguachiza8434
    @obedimunguachiza8434 ปีที่แล้ว +3

    Kuna watu wako mwa hii dunia kwa kusudi maalumu ya Mungu, Tz ilinde sana neema hii ambayo mumeipewa bure kesho msije sema Mungu mbone umetuacha?
    Sisi wengine huku hatujuwi tulikula cha nani hata tuzaliwe ktk vita tunazaa watoto wetu ktk vita Baba zatu walikufa wanatuacha ktk vita! Tunajiuliza je Mungu nasisi tuache watoto wetu ndani ya vita? Hasha Bwana tuonee huruma 🙏 wewe ni Mungu msemaji wa mwisho 😭😭🇨🇩

  • @peterkaale6977
    @peterkaale6977 9 หลายเดือนก่อน +2

    Regarding from USA 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸 am so sorry for your daughter najua hili lilikuumiza sana ila simama na mungu wa kweli atakutia faraja wimbo wa utakaso hiiu

    • @angelitapaulo
      @angelitapaulo 6 หลายเดือนก่อน

      MUNGU awe nguvu yetu

  • @eligiuselias4469
    @eligiuselias4469 ปีที่แล้ว +4

    Shalom Shalom Mtumishi wa Mungu
    Hii video nimekuwa nikiisubili amen amen aleluyaaaaa 👏

  • @annahaule7775
    @annahaule7775 ปีที่แล้ว +2

    Amina mtumishi nyimbo zako zinanivusha sana katika maisha yangu ubarikiwe baba

  • @maggie25023
    @maggie25023 4 หลายเดือนก่อน

    barikiwa mwakipesile. walifikiri umeisha kumbe Mungu alikuwa nawe. tuendelee kukemea dhambi

  • @catherinemutindi5031
    @catherinemutindi5031 ปีที่แล้ว +4

    Ameni kwako Yesu Kwa Yote ambayo umetuvusha ,umetutetea na kule ambalo hunatupeleka zidi kutupigia maana ni wengi ambao wanatuotea mamba ya.aamenn Tena yesu

  • @FranciscoKihombo
    @FranciscoKihombo ปีที่แล้ว +3

    Hakika MUNGU yupo pamoja na wewe. Natamani japo siku Moja nikuone baba

  • @ajualupembe4900
    @ajualupembe4900 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe baba tunaishi kwa Bwana na tukifa twafa kwa Bwana. Na hii ndiyo injili halisi acha dunia ikuchukie ila mbingu zikukubali. Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen

  • @EvanceMgimba-k9l
    @EvanceMgimba-k9l วันที่ผ่านมา

    Amen mtumishi wa Mungu na ubarikiwe

  • @leonardjamson-tb4jj
    @leonardjamson-tb4jj 6 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali mchungaji kwa msimamo wako hakika ww ni mtumishi wa ukweli wa mungu

  • @EliaPetro-sv9vq
    @EliaPetro-sv9vq ปีที่แล้ว +6

    God be with you in all situation my favorite pastor

  • @elitusgeofrey5104
    @elitusgeofrey5104 ปีที่แล้ว +3

    Na iwe hivyo atakavyo.Hii nyimbo niliusikia kwenye moja ya clip zako nikatamani kuupakua.Asante Sana shujaa

  • @CatherinePaul-nl2dc
    @CatherinePaul-nl2dc ปีที่แล้ว +3

    Ameen napenda Sana sauti yako unavoimba

  • @magrethlubimbi4055
    @magrethlubimbi4055 11 หลายเดือนก่อน

    Naishia kutokwa machozi nisikilizapo nyimbo hii hasa nikijifunza shuhuda kuu juu ya mtumishi wako mwakipesile

  • @MariiJulii-qi3ef
    @MariiJulii-qi3ef ปีที่แล้ว +1

    Amen nyimbo zako zinanibariki pastor zinauwepo wa MUNGU hallelujah

  • @jofreymbembela7810
    @jofreymbembela7810 ปีที่แล้ว +1

    AMEEEN amen nasikia kusonga mbele zaidi baba a

  • @happymhelela936
    @happymhelela936 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda Sanaa mtumishi wa mungu unanibariki mnooo

  • @selestinimassawe3601
    @selestinimassawe3601 ปีที่แล้ว +3

    Yesu akupiganie mtu wa Mungu

  • @zahakiosward1575
    @zahakiosward1575 ปีที่แล้ว +1

    YESU mtetezi wako yu hai na pamoja nae utashinda ❤

  • @blessabbykyando2496
    @blessabbykyando2496 11 หลายเดือนก่อน

    Una heri mtumishi wa Mungu

  • @EsterSwilah-hv5kb
    @EsterSwilah-hv5kb ปีที่แล้ว +1

    Mpaka hapa ni amen amen 🙌🙌🙌 kamanda

  • @Gaynor1234
    @Gaynor1234 3 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi wa Mungu.

  • @masterhptv4065
    @masterhptv4065 ปีที่แล้ว +2

    Ameni Mungu akubariki

  • @edwardhoney4854
    @edwardhoney4854 ปีที่แล้ว

    AMEENI AMEEENI yawe ivyo utakavyo BABA

  • @geofreyjonas1287
    @geofreyjonas1287 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana, Mungu azidi kukutumia huduma yako ya uimbaji inawabariki wengi mnoo

  • @miriamwangari7417
    @miriamwangari7417 ปีที่แล้ว +3

    Amani ya Bwana idumu ndani yako mtumishi.
    Bwana akurejeshee maradufu. Barikiwa na Yesu. Ni wakati wa urejesho kwako ndugu.

  • @PauloNzowah
    @PauloNzowah 8 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mtumishi. Mungu awe jawabu la kila gumu unalopitia sasa.

  • @AthumaniJuma-gn9df
    @AthumaniJuma-gn9df ปีที่แล้ว +5

    Holyyyyyyyy Ghost holy spirit,oh Lord Jesus your most high all amen.Blessed the giant of faith.I feel annoint to pray.

  • @KhairatkSarah
    @KhairatkSarah ปีที่แล้ว

    Amen kwakweri mungu Antananarivo kua mumutuu

  • @user-vt1hr7vm6p
    @user-vt1hr7vm6p 7 หลายเดือนก่อน

    Hizo nyimbo nikwa waliojazwa na roho mtakatifu2 kama wewe baba barikiwa sana

  • @ugalidona-cs2yn
    @ugalidona-cs2yn ปีที่แล้ว +1

    Uku sasa ndo kumtukuza MUNGU; hata kama sasa simpendi MUNGU, mh!, Sasa nitahanza kumpenda MUNGU Unaemwabudu na mimi hivi leo,Amina.

    • @emmanuelmutakyahwa3274
      @emmanuelmutakyahwa3274 ปีที่แล้ว

      Pole nikusihi usimkasirikie Mungu hata kama anakupitisha katika magumu lakini mwisho utapata farajanna uzima wa milele, endelea kumpenda Mungu usimwache

  • @user-no7mi9id6g
    @user-no7mi9id6g 10 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeen ameeeen ameeen

  • @cathelinematondo3992
    @cathelinematondo3992 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeeen Ameeeeen Ameeeeen kuishi ni kristo na kufa ni faida 😭😭🙏🙏

  • @maryswai3403
    @maryswai3403 7 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi mti wenye matunda ndio unaopigwa ili wachume matunda endelea kumwambia Bwana atakutetea hata ukiwa mahakamani au vita hicho nikipimo Cha Imani kwamba unampenda Baba, yaani YESu. Mwana wa MUNGU.

  • @mariamnyaumba9285
    @mariamnyaumba9285 7 หลายเดือนก่อน

    Ameni Ameni Forever❤❤❤

  • @marianyalusi259
    @marianyalusi259 ปีที่แล้ว +1

    Mubarikiwa wewe ni muimbaji siyo mhubiri kaa kwenye nafasi yako muweke mhubiri mwingine wewe kaa kama Asikofu

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  ปีที่แล้ว +1

      Wote wenye midhambi - midhambi huchukia maonyo na kukemewa. Ndio mnafurahia vinyimbo visivyokemea uchafu wenu. Maelfu waliofurahia kukemewa wameacha uzinzi, kujichua, wizi, bangi nk. Kawaulize wameacha kwa nyimbo kama hizi au kwa kukemewa uovu unaoita sio karama ya Mbarikiwa? Hizi nyimbo tunaimba dua kwa Mungu wala si za kufurahisha midhambi yenu.

    • @julianambilinyi3341
      @julianambilinyi3341 ปีที่แล้ว

      Amina kizazi hiki hakitaki maonyo .

  • @edinamyalla8622
    @edinamyalla8622 ปีที่แล้ว

    Kuishi ni kristo na kufa ni faida ,Ameen Mtumishi .

  • @happymhelela936
    @happymhelela936 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 tuuu kwa mungu wetu

  • @anafikamugisha8834
    @anafikamugisha8834 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana Kamanda WA Yesu

  • @ukendpyuza
    @ukendpyuza ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen 🙌🙌

  • @anafikamugisha8834
    @anafikamugisha8834 9 หลายเดือนก่อน

    Kila nisikiliza nyimbo hii huwa mchozi unanitoka kulingana na Mambo uliyokuwa unapitia Simama na Mungu huko uliko awe nawewe Daima

  • @janetmwachoki
    @janetmwachoki ปีที่แล้ว

    Good one,be blessed man of God .Mungu amekushindania.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @jofreymbembela7810
    @jofreymbembela7810 ปีที่แล้ว +1

    KUISHI NI KRISTO, KUFA NI FAIDA AMEEEEEEEN AMEEEEEN AMEEEEEEENN

  • @thomasjohn7176
    @thomasjohn7176 ปีที่แล้ว

    Aaaamen aaamen aaamen aaamen Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu

  • @IreneSilayo-hb6sd
    @IreneSilayo-hb6sd ปีที่แล้ว +1

    Ameeeeeeeeen

  • @devothakalanda9740
    @devothakalanda9740 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde mtu wa Mungu,unagusa WENGI japo hawajitokezi,umewekwa kusudi maalumu KWA WAKATI ufaao ambao ni SASA.

  • @eliudimsyani127
    @eliudimsyani127 ปีที่แล้ว +1

    MZEE WETU UKO SAYALI YAKO KABISA, YAANI SIJUI NISEMEJE

  • @magesaneema1903
    @magesaneema1903 ปีที่แล้ว

    Nyimbo zako huwa zinanipa faraja sana mtumishi

  • @PASTOR_SHITINDI
    @PASTOR_SHITINDI ปีที่แล้ว +1

    Ameni ameni baba

  • @stevinedson
    @stevinedson ปีที่แล้ว +1

    AMEN👏👏👏👏na iweeeeeeeee👏👏👏👏

  • @user-sn8zz1fk6o
    @user-sn8zz1fk6o 7 หลายเดือนก่อน

    Baba ubarikiwe nyimbo zako zinanipa kosonga mbele katk halizote naitakuwa

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 ปีที่แล้ว

    Nyimbo za huyu mchungaji zinajaza imani.Zimenipa kuutafakari ukuu wa Mungu na kuniongeza misuli ya imani.Kweli Mungu yupo na wenye haki wataishi kwa imani

  • @shidasanga5134
    @shidasanga5134 10 หลายเดือนก่อน

    Ameen ameen

  • @user-re1gd8ne6x
    @user-re1gd8ne6x ปีที่แล้ว +8

    Huu ndio upentecoste muda mwingi uko kwa bwana unamwimbia sifa nyimbo malaika wanashuka roho mtakatifu anakuongoza barikiwa mtumishi huko jikite Sana hatakugusa mtu Ila ovu limulike live

  • @maryluhaga1589
    @maryluhaga1589 10 หลายเดือนก่อน

    Amina amina

  • @BoaziWilisoni-sv1ub
    @BoaziWilisoni-sv1ub 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen

  • @daudirubibi9601
    @daudirubibi9601 ปีที่แล้ว +2

    Hadi hapa ni AMEEN AMEEEN AMEEEN TU.
    KUISHI NI KRISTO NA KUFA NI FAIDA

  • @jofreymbembela7810
    @jofreymbembela7810 ปีที่แล้ว +3

    AMEEEN AMEEEEEN ❤❤❤

  • @cassiandomina7183
    @cassiandomina7183 ปีที่แล้ว

    mubarikiwe sanawatumishi wa Mungu

  • @jofreymbembela7810
    @jofreymbembela7810 ปีที่แล้ว +3

    Ameeeeeen amen

  • @louismlowoka7966
    @louismlowoka7966 ปีที่แล้ว +1

    Amen❤

  • @dorisgesare7707
    @dorisgesare7707 7 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @user-br5yb2uf4o
    @user-br5yb2uf4o ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi🙏🙏

  • @user-jb3yo2pd9j
    @user-jb3yo2pd9j ปีที่แล้ว

    Mungu wetu akupe maisha marefu sanaaa

  • @user-yp9bl2qw9b
    @user-yp9bl2qw9b 8 หลายเดือนก่อน

    Ameeren!!ameeen

  • @thresphorykijuka-uv4ol
    @thresphorykijuka-uv4ol ปีที่แล้ว

    Amina sana mtumishi wa Bwana

  • @techcharlesandrea33
    @techcharlesandrea33 ปีที่แล้ว

    Nyimbo halisi ikiisikikiza tu chozi linabubujika lenyewe. MUNGU HADI HAPA ACHA TUSEME AMEEN

  • @abelmwebraniammennonite
    @abelmwebraniammennonite ปีที่แล้ว

    Hakika mbingu zimekuamini baba,
    Ameen ameen

  • @petermwasyika
    @petermwasyika ปีที่แล้ว +2

    Amen Ameen Ameen

  • @cathelinematondo3992
    @cathelinematondo3992 ปีที่แล้ว +1

    Amen ameni ameni ameeeeeeen 😭😭😭🙏

  • @maryswai3403
    @maryswai3403 7 หลายเดือนก่อน

    nainua 3:50 macho kutazama juu mbinguni msaada wangu watoka kwa Bwana

  • @user-ds4gn7zj9y
    @user-ds4gn7zj9y ปีที่แล้ว

    Ameni

  • @EsterSwilah-hv5kb
    @EsterSwilah-hv5kb ปีที่แล้ว +1

    Amen amen 😭😭🙌🙏🙏🙏

  • @emmymatigula4870
    @emmymatigula4870 ปีที่แล้ว

    🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤

  • @hindahnambela6628
    @hindahnambela6628 ปีที่แล้ว +1

    Powerful 🙏🙏

  • @denisjoel2833
    @denisjoel2833 ปีที่แล้ว +1

    May God be with you

  • @atupelemwitiki
    @atupelemwitiki ปีที่แล้ว +2

    Songa mbele Jasusi la mbinguni.

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 ปีที่แล้ว +1

    AMEN AND AMEN FOR EVERYTHING

  • @cornelgwarda3849
    @cornelgwarda3849 ปีที่แล้ว +1

    Hadi nasikia kulia mmmmm

  • @jofreymbembela7810
    @jofreymbembela7810 ปีที่แล้ว

    KWA HAPA NI AMEEEEN AMEN

  • @charlesjackson-zx5zg
    @charlesjackson-zx5zg ปีที่แล้ว +1

    Hakika huyo sio Mbarikiwa halisi,but God in fresh, huduma zako zinatubariki isivyo elezeka.Amani ya Bwana wetu Yesu kristo iwe nawe daima, nakupata nikiwa Mozambique.

    • @estherluvanda1192
      @estherluvanda1192 ปีที่แล้ว

      We unakufuru

    • @estherluvanda1192
      @estherluvanda1192 ปีที่แล้ว +1

      Sema tu unabarikiwa na huduma yake inatosha ukianza kumfananisha na Mungu hapana, GOD is so big aiseeee! Hata akimtumia mtu kiasi gani mwanadamu atabaki kuwa mtu na Mungu atabaki kuwa Mungu!

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  ปีที่แล้ว +1

      @Esther Luvanda ,Hujasoma andiko linalosema ninyi ndinyi miungu? Au biblia yako inasemaje ,ukifanya vizuri utapongezwa ndugu.

    • @obedimunguachiza8434
      @obedimunguachiza8434 ปีที่แล้ว +1

      You're right my dear mimi huyu mtumishi namheshimiaka vya ajabu nikijuwa kama huyu ni lengo la Mungu kwa kizazi hiki ❤

  • @sayunimkongwa9830
    @sayunimkongwa9830 ปีที่แล้ว

    Ameeeeeeeni ameeeeeeeni 🔥🔥

  • @daudirubibi9601
    @daudirubibi9601 ปีที่แล้ว +1

    Nasikia KUBUBUJIKA

  • @HappyGerald-zo7fz
    @HappyGerald-zo7fz ปีที่แล้ว

    Ameeen amen

  • @alunekyusa4905
    @alunekyusa4905 ปีที่แล้ว

    Ameniiii kamnda

  • @keziakisaka4212
    @keziakisaka4212 ปีที่แล้ว

    Aminaa 🙏 🙏

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 ปีที่แล้ว

    👌👌🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mwakasagule
    @mwakasagule ปีที่แล้ว +2

    Amen, Amen, Amen. Ukifanya vema lazima tukupongeze. Hilo halipingiki.

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  ปีที่แล้ว

      Mafarisayo mnachukia maonyo. Ndio maana mnafurahia nyimbo zisizosema uchafu wenu. Hizi Mungu hauruhusu kama chambo. Ila Mbarikiwa ni huyo. Yaani anafanya kinachotakiwa kufanyika wala sio kile mtakacho machawa wa wazungu.

    • @mwakasagule
      @mwakasagule ปีที่แล้ว

      @@Mbarikiwa_Mwakipesile Nilikuwa nalisubiria hilo. Lakini kama umekwazika kwa hilo, pole sana. Ila Kwa kauri hiyo Inaonyesha bado umekwamia shimoni. Hata hivyo Mbingu haiwezi kufanana na dunia.

    • @MzalendoOfficial-oj5hu
      @MzalendoOfficial-oj5hu ปีที่แล้ว

      @@mwakasagule ila waafirka bwana. Yaan unakoment kwa mtego.

    • @mwakasagule
      @mwakasagule ปีที่แล้ว

      @@MzalendoOfficial-oj5hu kwani yeye hajacoment kwa mtego?

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  ปีที่แล้ว

      @@mwakasagule chawa

  • @jofreymbembela7810
    @jofreymbembela7810 ปีที่แล้ว

    SONGA SONGA CDF WA MBINGUNI BABA.

  • @edepatrick2883
    @edepatrick2883 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @denismlwati3285
    @denismlwati3285 ปีที่แล้ว +1

    Ameen ameen

  • @ukendpyuza
    @ukendpyuza ปีที่แล้ว

    Amen Amen 🙌🙌

  • @abelmwebraniammennonite
    @abelmwebraniammennonite ปีที่แล้ว

    Amen amen