WAZIRI SILAA ACHARUKA WALIOVAMIA MAENEO MBEZI BEACH NA MIKOCHENI, ATOA MAAGIZO MAZITO KWA KAMISHNA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 3

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 8 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda vile huu waziri lazime afike sehem husika 👏👏👏

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hao watendaji ndio wanao kwamisha ni majambazi na serikali inawaangalia makosa yote yanafanywa na hao nyumba zimebanana utadhani watu wa ardhi hawajaaenda shule bora ya mkoloni sehemu zote walizopima viwanja ipo sawa anaibisha aje abishe

  • @kayombotv9758
    @kayombotv9758 8 หลายเดือนก่อน

    Siyo Wizara ya Ardhi tuu hata Wizara zingine kama Elimu na Maendeleo ya Jamii watendaji wao wanasababisha vurugu sana kwenye Jamii huhalalisha shule hata hazistahili na wanajua kabisa zipo kwenye makazi ya watu. Wizara ya Mazingira iingilie kati shule hizo maana tunateseka sana kelele hazina tofauti na mabaa yanayopiga mziki.