"SIMAMISHENI HUU UJENZI" WAZIRI SILAA AWAKA UJENZI WA KITUO CHA MAFUTA MOSHI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 69

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 11 หลายเดือนก่อน +18

    Uzuri Wizara imempata... Mswahili atawanyoosha.....Safi Wazirii.

    • @julianapeason6254
      @julianapeason6254 5 หลายเดือนก่อน

      huyu sio mswahili ni mchaga wa Moshi

    • @julianapeason6254
      @julianapeason6254 5 หลายเดือนก่อน

      yaani ni mmachame 100% sema kazaliwa Uswahilini kakulia uswahilini, thats how we behave wasomi wachaga wenye discipline zao

  • @mohdkhalifa8828
    @mohdkhalifa8828 11 หลายเดือนก่อน +7

    EBWANA MASHA ALLAH UNAONGEA KIAKIL KIONGOZI NA SIO KUPIGA ZOGO MAANA HUTUMII NGUVU NA SAUT NA MTU ANAKUELEWA KAKA WW NI MSOMI

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 5 หลายเดือนก่อน

    Mh.waziri naoma nifanye kazi ya kufagia uwanja wako nyumbani maana.sina lakisema Mungu akulinde ❤❤❤

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 11 หลายเดือนก่อน +6

    Yaani mambo ya hovyo sana yamefanyika kwenye hiyo wizara!

  • @user-dc1qh3nm5s
    @user-dc1qh3nm5s 11 หลายเดือนก่อน +6

    Safi sana waziri pambana wanachukuwa maeneo ya wazi

    • @isaliisu3408
      @isaliisu3408 5 หลายเดือนก่อน

      Mbona ccm maeneo mengi wamejenga Ofisi zao mbona hamunji

  • @johnmlay4759
    @johnmlay4759 11 หลายเดือนก่อน +3

    Safi sana waziri nyoosha kote kulikopindapinda

  • @user-gr9px4pi2w
    @user-gr9px4pi2w 11 หลายเดือนก่อน +2

    Tunataka mawaziri wa mfano huu,,,ongera sana mh jerry

  • @roseshirima9365
    @roseshirima9365 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana waziri wa watu, mwika sokoni, mchanganyiko huohuo

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 5 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana silaa uko vzr

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ivi samia sijui alijua uy sijui ndo fani yake mama pongez kwakwerrrr

  • @Tg.7_7
    @Tg.7_7 5 หลายเดือนก่อน

    Imagine unakua na mawazari wa 5 tu kama hawa, ambao hawafanyi kazı kisiasa Bali nia ya dhati ya kuleta masuluhisho kwenye jamii na Taifa letu. Mungu akubariki sana Jerry🙏

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu kiongozi yupo safi sana tatizo wanakuja mda umeenda saana tunapo kalibua uchaguzi

  • @johnmlay4759
    @johnmlay4759 11 หลายเดือนก่อน +2

    Una kazi nzito ya kufanya waziri, pambana na pambania haki waziri

  • @hatibukazembe4055
    @hatibukazembe4055 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri waziri

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 4 หลายเดือนก่อน

    Mwili mdogo akili kubwa god bless u

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mh. Waziri njoo na Mkoa wa Singida kuna vituko vya Ardhi.

  • @knight6757
    @knight6757 11 หลายเดือนก่อน +3

    Ujanja ujanja.....😢 inasikitisha 😢

  • @thomassalvatory7905
    @thomassalvatory7905 5 หลายเดือนก่อน

    slaaaa yatakukuta unasimamia sheria sana watu hawataki sheria watu wanataka ujanja ujanja ila safi i like smart people kweli

  • @jeniphagabriel7262
    @jeniphagabriel7262 8 หลายเดือนก่อน +1

    Duu!Mungu saidia

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 3 หลายเดือนก่อน

    Waziri temeke pare wamejenga sehemu ya wazi wanajeenga gorofa pare hatuerewi

  • @magrethmeela154
    @magrethmeela154 11 หลายเดือนก่อน +3

    Waziri huko moshi kuna maeneo mengine yananyima watu njia ya kuingia kwenye mijengo yao na magari.tusaidie waziri.

  • @user-yj7uf3zq7b
    @user-yj7uf3zq7b 5 หลายเดือนก่อน

    Muheshimiwa waziri njoo mwanagati viwanja vya umma vimeuzwa hususan viwanja kwa ajili ya shule na masoko

  • @thomassalvatory7905
    @thomassalvatory7905 5 หลายเดือนก่อน

    kuna haja ya kuangalia mnaajiri watu gani serious vipanga wote wako private mabunju yako gov haya sasa ndio yanatokea haya angalia slaaa anavyosikitika aiseeee aiseee

  • @user-vd2jl7cw3k
    @user-vd2jl7cw3k 5 หลายเดือนก่อน

    Atoke na kenya yake huyo mjinga

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 5 หลายเดือนก่อน

    inatakiwa waziri aanze na maafisa wao

  • @YaeLondon-xy7sh
    @YaeLondon-xy7sh 11 หลายเดือนก่อน

    Waziri Karatu Bibi yangu tajiri kujenga pamoja na kusimamishwa mkuu wa wilaya na mkuu mkoa kunanjama kwa tajiri na viongozi

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 5 หลายเดือนก่อน

    Mama Samia hapa umepata waziri, wengine wako wapi? Au mpaka makonda awashtue

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 11 หลายเดือนก่อน +1

    Waziri ana kazi kubwa,

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kiwanja cha kada wa CCM ibra line.Hapo alikuwa ameweka ofisi za mabasi kukata ticket na kuweka mizigo akavunja last month tu. Rushwa inalimaliza hili taifa, CCM shame on you.

  • @user-rs4vz2vt9z
    @user-rs4vz2vt9z 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona hapa majengo kuna kituo kipya hata hakijafunguliwa hakuna hata robo kilomita kutoka kingine na kiko eneo LA makazi ya watu.

  • @machaggechacha243
    @machaggechacha243 11 หลายเดือนก่อน +1

    Vituko vya waswahili. Maneno meeeengi kazi hakuna.!!!!

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 5 หลายเดือนก่อน

    Pumu imepata mkohozi.. au ngoma kaipata kenge mamba mbona mtajuta.

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 11 หลายเดือนก่อน

    Sikuweke sheria moja tu ni inchi moja hii .

  • @mzalendotaifa-zv2gn
    @mzalendotaifa-zv2gn 10 หลายเดือนก่อน

    waziri njoo simanjiro uone vituko vya ardhi huku kuna watu wanamiliki mpk ekari 4000 na haijulikani walizipata vipi

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa anaupiga mwingi,naona Kuna kitu anatafuta,amenifurahisha sana

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 11 หลายเดือนก่อน

    Aende na Magogoni Kigamboni atrmbelee na mkondo wa Bahari unaoanzia Mikadi beach.

    • @hajjiomary2383
      @hajjiomary2383 11 หลายเดือนก่อน

      Tena kule hata sielewi

  • @swaleherashidimayunga4891
    @swaleherashidimayunga4891 8 หลายเดือนก่อน

    Muheshimiwa waziri na jimboni kwako kata ya kivule mwenyekiti wa serikali anatoza kodi ya mtu yeyote anaetaka kujenga au kuendeleza jengo anatakiwa kwenda kulipa hela kwake na amepanga kundi la migambo kupita kukagua majengo yanayo endelea kujengwa au yanayojengwa pesa zinazotozwa hazijulikani sababu

  • @jituakilimali15
    @jituakilimali15 11 หลายเดือนก่อน

    Wizi wizi ujambawazi ujambawazi kila kukicha mama anaupiga mwingi huwezi kumuamini mtu mmoja aongozi watu milioni sitini bila Ya kufata sheria

  • @waluohopaulo2116
    @waluohopaulo2116 11 หลายเดือนก่อน

    Badilisheni sheria za municipal na ardhi Tanzania mzima kwa sababu wanainchi wanaongezeka na ardhi aiongezeki.

  • @salmanmagwe222
    @salmanmagwe222 11 หลายเดือนก่อน

    Muheshimiwa waziri wa Ardhi njoo Singida uone madudu jinsi watu walivyovyamia hifadhi ya barabara kuanzia Mrumbani kuelekea Kinyeto na Mrumbani barabara ya Arusha n.k,na sijawahi kuona maeneo ya wazi

  • @ramamasenda6637
    @ramamasenda6637 11 หลายเดือนก่อน

    Mor kimejengwa kwenye stend yamkoa kabisa naniametoa Kibali?

  • @anwarKhan-gn6yt
    @anwarKhan-gn6yt 5 หลายเดือนก่อน

    Raisi mtarajiwa miaka kadhaa mbele

  • @Burner_Acc
    @Burner_Acc 11 หลายเดือนก่อน

    Nchi ya hovyo sana hii

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 6 หลายเดือนก่อน

    Mawaziri wote wangekuwa kama ww dah migogoro inge kwisha

  • @greenwellnsyukwe4729
    @greenwellnsyukwe4729 8 หลายเดือนก่อน

    Sasa hao watu wa ardhi hapo Manispaa Ina maana hawaelewi chochote, au?.

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 5 หลายเดือนก่อน

    Sasa hao wanashitakiwa mhe waziri? Wamezidi kila mkoa madudu

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 11 หลายเดือนก่อน

    Mwamvuli huo... Kuna mtu wamegongana ki biashara hapo... Yaani hapo ndo eti Iko kazini....!? Waziri huyo

  • @ernestmahodanga6495
    @ernestmahodanga6495 11 หลายเดือนก่อน

    Iyumbu Jiji la dodoma viwanja vya shulevimevamiwa pia

  • @user-te7bi3yz1o
    @user-te7bi3yz1o 11 หลายเดือนก่อน

    Mulipe garama sake asara nikubwa sana inauma musamee atelee nakasi tiyo uwekesaji kuliko dubahi

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 11 หลายเดือนก่อน

    Eti luluvu alimuda hiyo Wizara ililuwa kuwa ni kusifia kitu bure tu ila Jerry Silaa.ndio anaonekana ataiweza hii.Wizara

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 11 หลายเดือนก่อน

      Acha ukichaa wakumsema vibaya lukuvi otaonekana huna akili umezidiwa na uchadema

  • @DaimaNyakunga-jb6do
    @DaimaNyakunga-jb6do 10 หลายเดือนก่อน

    Hii imekaje Kwa mfano

  • @albertbunyinyiga7581
    @albertbunyinyiga7581 11 หลายเดือนก่อน

    Fungeni hayo mapiga madili

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 11 หลายเดือนก่อน

    Ukiendelea ivi nitaanza kukuelewa

  • @dicksonmatulile1523
    @dicksonmatulile1523 11 หลายเดือนก่อน

    Ukishapewa chako tu unapoa

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 11 หลายเดือนก่อน

    NAONA HUYU BWANA SLAA ANA MATATIZO!!
    KITUO CHA KUJAZA MAFUTA HATA SQM 200 INATOSHA PUMP AENDE NAIROBI AKAJIFUNZE!!
    HALAFU UMBALI WA KITUO NA KITUO HAIMHUSU,WAJENGE VITUO ILIMRADI WALIPE KODI,!!

    • @AjiaMohamed-rt5pb
      @AjiaMohamed-rt5pb 10 หลายเดือนก่อน

      Ww ndio bwege kweli uko kenya nchi ya mabepali wanafanya chochote kwa kupindisha kisa pesa aende akaone nn ss unaona sawa mtaa mzima uwe na vituo vya kwenye makazi ya watu

    • @salmanmagwe2612
      @salmanmagwe2612 8 หลายเดือนก่อน

      Kenya ndio nchi ya hovyo kuwahi kutokea Afrika,siku nyigine usituletee mfano wa hiyo nchi kabisa,kwani ninaijua mijini na vijijini

    • @bundaman8542
      @bundaman8542 4 หลายเดือนก่อน

      Juzi kati ilitokea ajali ya kuungua kituo Cha mafuta kipo katikati ya makazi wakabaki wanajishangaa ilikuwaje kibali Cha Ujenzi. Kenya Rushwa imeharibu nchi yao

  • @user-te7bi3yz1o
    @user-te7bi3yz1o 11 หลายเดือนก่อน

    Achani mutu alete maendele

  • @user-oh6pc7zd4s
    @user-oh6pc7zd4s 5 หลายเดือนก่อน

    FIDDA HUSSEIN NI MWIZI WA NYUMBA ZA WANYONGE DAR