Ila wazazi mnaoachana mmoja unachukua watoto kwa nguvu ili kumkomoa mwenzako na bado hauwalei watoto ipasavyo😭😭😭 Mungu awakemee,mmetufanya tumeshindwa kufikia ndoto zetu kwa wakati,tumeumizwa sana huko mtaani tukiwa tunatafuta tonge tu😭😭😭😭 Naamini Mungu analipa mwenyewe awalipe hata kama mmefariki😭😭 Coy Keep it up Mungu si maanandamu. Ma afisa ustawi mnaogawa watoto wa wenzenu bila kufuata haki kwa kupewa chochote na baba😭
Daaaaaaa aise nimeumia sana na hii story yallab naomba unijalie uhai mrefu nilee watoto wangu ASANTE SANA NIMEJIFUNZA KITU HAPA JAMN HAPO KWENYE STORY YA KUMCHUKUA UYO MTOTO WA MTAAN NA KUMLEA DAAA NIMEJIFUNZA KITU AISE AUNA MAISHA MAZULI LAKIN UMEAMUA KUJITILEA KWAKUWA WEWE PIA UMEPITIA HAYO MAISHA YA MTAAN
Ila wazazi mnaoachana mmoja unachukua watoto kwa nguvu ili kumkomoa mwenzako na bado hauwalei watoto ipasavyo😭😭😭 Mungu awakemee,mmetufanya tumeshindwa kufikia ndoto zetu kwa wakati,tumeumizwa sana huko mtaani tukiwa tunatafuta tonge tu😭😭😭😭 Naamini Mungu analipa mwenyewe awalipe hata kama mmefariki😭😭 Coy Keep it up Mungu si maanandamu
Ila wabibi wazaa baba sijui kwanini huwaga hawana mapenz na wajukuu wa watoto wao wakiume 😭😭😭😭 eeeeh mwenyezi Mungu nifanye kuwa bibi mwema endapo nitapata kibali cha kuishi😢
Kitu ambacho mnazingua ni kutoweka namba za mahojiono kwamba mmeanzia wapi mnaenda wap ? Nyuma mlikuwa mnaweka part 1 hadi part labda 3 ama 4 saivi mnatuchanganya
NIimeelewa kwanini huyu jamaa ana roho nzuri, very inspiration
Nilikuwa ckufagilii coy but now nimejifunza kitu nakuheshim Sana God bless u
Kwann ulikuwa humfagilii
😂😂😂 ndio muache kuwa hukum watu vibaya
"Many of us we see the Glory but we don't know the story".....tupendane na kuombeana inatosha
Coy story yake kama movie!
He z supposed to write the Script
Atoe movie aisee noma sna
😮😮hii story ya Coy imeniliza sana na imenifundisha kitu katika maisha yangu
Nyieeee achen Mungu aitwe Mungu coy I love you
Real man never lie🤐🤐🤐
Congratulations mr coy
Bibi yangu Ishii sana umenilea kwa upendo mkubwa mno mbapa nikija upendo wako Mungu akutunze sana
Yaan clip fupi ya TikTok imenileta huku the story is so touching 😢
Maisha ni safari ndefu sana
Umenipa nguvu ya kunyenyuka tena bro maana nilijiisi kukata tamaa kabisa thanks god bless you kaka😢
Kwel kabisa
Mungu wangu. Siamini ninachokisikia. Poleni sana. Mwenyenzi MUNGU aendelee kuwalinda.
Mungu awatangulie sanaa duuh inaumizaa sanaa 😢
Kabisa yn😢
Mama yako alikuwa mpambanaji sana Coy.. 🙌🏻
Naziki kuamini kuwa Mungu yupo na anatenda kwa watoto wake wanaomtegemea. Zidi kumtumikia Mungu kaka yangu
Mungu ni mwema Kila wakati.What such interesting story😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ya rabbi naomba unipe uhai mrefu niwalee wanangu😭
Ndo usije uka wakimbia sas amuchelewagi
Amin
So sad,
Namkumbuka pale mtongani aliajili mpaka watu wa kumsaidia kutengeneza mawigi mpaka wigi la yeboyebo❤
Mungu ni mwema, pole kwa mapito na hongera kwa hatua.
Dah mama mawig apewe maua yake jamni khaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 bonge la mpambanaji aiseeee
Pole sana kwa changamoto kubwa ya malezi ilokupata maisha ya coy ni funzo kubwa tunatakiwa tusikate tamaa katika haya maisha
God God God have many ways to lift up his people
Daah watu wametoka mbalii❤❤
Wow😢 its quite a story
Yaani nilivyosikia kuhusu hiko kituo cha dorcas kukusaidia nimefurah sana,,jana tu tulikuwa pale kumpa mama bishop moyo
Sijui kwanini nalia sema maisha haya tumepitia wengi MWENYEZI MUNGU atusimamie
Mungu wetu wambinguni ni mwema sana wengi wanapita ktk majalibu makubwa sana ila yeye ndio kila kitu kwetu
Daaaah Mungu wangu wambinguni naomba ninyamaze nisije nikakufuru 😢😢
Coy mungu aendele kukutunza ajili ya kusaidia wengine
Mungu akutunze uish kwa ajil ya wengne
Best story ata movie unatoa apo
Allah Akbar ❤ salute bro Ciy 😢🎉❤
Daah bibi yako Mungu amsamehe
hata mimi nina bibi kama uyu wa koi dah ila namuombea amsamehe
Ila wazazi mnaoachana mmoja unachukua watoto kwa nguvu ili kumkomoa mwenzako na bado hauwalei watoto ipasavyo😭😭😭
Mungu awakemee,mmetufanya tumeshindwa kufikia ndoto zetu kwa wakati,tumeumizwa sana huko mtaani tukiwa tunatafuta tonge tu😭😭😭😭
Naamini Mungu analipa mwenyewe awalipe hata kama mmefariki😭😭
Coy Keep it up Mungu si maanandamu.
Ma afisa ustawi mnaogawa watoto wa wenzenu bila kufuata haki kwa kupewa chochote na baba😭
😢hii story ifanye iwe documentary au kitabu. Kwaajili ya watu wengi kama Mimi kujifunza.
Kwelii
Kabisa yn😢
Duuuh nimejifunza mno asieee...😢😢😢tuwalee watoto wetu jaman hizi tofauti za wazazi zinawaumiza watoto
Ipo siku ntasema yangu, ila nangoja ikamilike qanza. Dah Ila Mungu yupo ktk hali yyt tunayopita yupo na anatuwazia Mema sana😊
Pole sana
Naomba uandike kitabu
Napata uchungu sna mbka machoz yanatoka dah maisha haya 😭😭
Bongo moja ya movie hii story kal sana
Mungu ni mwema sanaa 🙏🙏🙏
Daaaaaaa aise nimeumia sana na hii story yallab naomba unijalie uhai mrefu nilee watoto wangu ASANTE SANA NIMEJIFUNZA KITU HAPA JAMN HAPO KWENYE STORY YA KUMCHUKUA UYO MTOTO WA MTAAN NA KUMLEA DAAA NIMEJIFUNZA KITU AISE AUNA MAISHA MAZULI LAKIN UMEAMUA KUJITILEA KWAKUWA WEWE PIA UMEPITIA HAYO MAISHA YA MTAAN
Duuuh😢
Duh!! Usione vyaelea ujue vimeundwa.
Ila wazazi mnaoachana mmoja unachukua watoto kwa nguvu ili kumkomoa mwenzako na bado hauwalei watoto ipasavyo😭😭😭
Mungu awakemee,mmetufanya tumeshindwa kufikia ndoto zetu kwa wakati,tumeumizwa sana huko mtaani tukiwa tunatafuta tonge tu😭😭😭😭
Naamini Mungu analipa mwenyewe awalipe hata kama mmefariki😭😭
Coy Keep it up Mungu si maanandamu
Acha uchawi shukuru ata upo hai
Pole sana broo kwa ulio yapitia😢
Kumbe ndo mana mungu amekuinua hakika umepitia mengi magumu
God bless coy""
Kumbe mama mawingi ni mama yake kwel nilijua ni comedy tu
Heshima yangu kwa huyu jamaa imekuwa a million folds kwa huyu jamaa.
Mungu yupo jaman
Hadi machozi yanidodoka maskini mungu amekutoa mbali
Mmmmmh mr coy story yako imenifunza mambo mengi😢
Dunia ina Mambo 🙊
Interested story
Story inasisimua na inafundisha🥰
Itengenezee movie based on true story
Watu wema still exists 😢
Story nzuri sanaa inafunza mnoo
Aliondoka akakiachaaa chakula kichakani hadi wa leo😂😂
Story taller🙌
Polekaka❤❤❤😢😢
Duuu sijui kwanini siku zote nilikuwa sijaisikiliza hii story
Ila wabibi wazaa baba sijui kwanini huwaga hawana mapenz na wajukuu wa watoto wao wakiume 😭😭😭😭 eeeeh mwenyezi Mungu nifanye kuwa bibi mwema endapo nitapata kibali cha kuishi😢
Inategemeana mm nililelewa na bibi mzaa baba alinipenda sana
Iv nan ambae hajalia
Hii story imeniponya maumivu yangu😢
Muendelezo hadi Leo atuoni
story nzuri ila kama hakuna chumvi hata kidogo basi hii ni moja kati ya story nzuri sana ya maisha
Nimejifunza kitu kubwa sana
Mama yako sijui ht unampa nini hapa duniani
Dah
Wewe sister umezeeka usiseme elfu mbili juzi 😂😂😂😂
Ni kweli wakati demu wa 2000 ni mkubwa na ana miaka 24
😭😭😭😭 dah!,
Tunasubiri Part 2 mnachelewa sana
Mama mawigi yule wa cheka tu au?
Eti mwaka 2000 juzi tu hapa miaka 24 imepita
😂😂😂umegundua eeeh Kama Mimi 😂 kajichanganya alidhani 2020😂
hahahahahahaaha
2:50 mbna aiendelei
Sorry but hi interview ingefaywa na Milan Ayo ingekuwa nzur sana
Kwan apo ina ubaya gan
Sasa atamtafute nae
Japo kuna mkanganyiko wa miaka kwenye story ila Kongole ni story inayogusa sana
Kitu ambacho mnazingua ni kutoweka namba za mahojiono kwamba mmeanzia wapi mnaenda wap ? Nyuma mlikuwa mnaweka part 1 hadi part labda 3 ama 4 saivi mnatuchanganya
Painful
Du pole sana
BUHEMBA nyumbani kabisa
mzee alijiscreeshot 😢😢
Mbn aiendelei
Huyu jamaa sikuwaga namuelewa kabsa asee but now🙌🙌Maisha Ni Safari asee
Stor tamu yakujifuz
Nimejikuta nalia sana
Coy hiyo tamthiliya unatoka lini
Huyo bibi alikua mchawi
😢😢😢
Ila huyu mama. 😅😅😅
Mmmh
Wanawake kaen chini mlee watt wenu
Huna akili
Maisha ni fumbo.
Tuleteyag kamahizi zakujifuz
23:49
46:34
Coy ni mjaluo?!
Muhaya
Mjaluo huyu