PART 2 - Nilikatwa MAPANGA na VISU wakidhani ni MWIZI, MFUPA wa mkono ulitoka Nje nikauvuta kwa Meno

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Namba ya simu ya Salim ni +255786368114
    Simulizi hii itakutoa Machozi, Kijana huyu akutana na Mtihani uliopelekea kumpa Ulemavu, ashambuliwa vibaya wakidhani kuwa yeye ni Mwizi, apoteza baadhi ya viungo vyake mwilini, anaishi maisha Magumu sana kwasasa.

ความคิดเห็น • 47

  • @timboboytv5760
    @timboboytv5760 2 ปีที่แล้ว +12

    Story Kali Sana ii yaani nimesubiria part 2 kila time Niko online nimethani part 2 ndo mwisho kumbe Bado iko na kiendelezo mkuu weka io part 3 tujifunze mambo kijana na busara zake huyu

  • @deborapeter9188
    @deborapeter9188 2 ปีที่แล้ว +8

    Jamaa anasimulia vzr hatetereki anajiamini sana

  • @janeongala6684
    @janeongala6684 ปีที่แล้ว +2

    Story nzur sana all the wey from india 🇮🇳

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 ปีที่แล้ว +1

    Hii story inasikitisha na ina funza huyu kijana alikua anapata pesa ila wazo la kujenga hakua nalo ,,, pia km ana uchangamfu flani hivi ambao ni ule ukipata unasahau mengine yarrab tujalie vijana rizki ya halali na tuwekeze ili kesho yetu iwe.njema na tuepushe na mitihani

  • @emmanuelmjeda2029
    @emmanuelmjeda2029 2 ปีที่แล้ว +3

    Brother anaonesha furahaa ila anaongea kwa uchungu sana

  • @timboboytv5760
    @timboboytv5760 2 ปีที่แล้ว +5

    Mkuu vip io part 3 tunasubiria kijana anasimulia story utathni naangalia kwa TV hki

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว

    Shetani akiona kuna kipawa kwa mtoto uleta talaka kwa wazazi Ili akisambaratisha kipawa cha Mtoto.
    Huyu jamaa angekuwa mtu mkubwa Sana maishani, shetani akawaingia wazazi wake wasijue umuhimu wa elimu.

  • @rossemaryeliya6113
    @rossemaryeliya6113 2 ปีที่แล้ว +1

    Daa stori inahisia halafu huyu kaka hajijui ana kitu ndani ,,comediani pia ni msanii haswaa hiki nimekiona

  • @zuenampandeni3347
    @zuenampandeni3347 2 ปีที่แล้ว +5

    mtangazaji mkono si unachoka kuweka hiyo mik

  • @hadijamms488
    @hadijamms488 2 ปีที่แล้ว +1

    Msambaa mwenzangu allh akufanyie wepes inshallh mtanga mpenz

  • @matthewpaddy6444
    @matthewpaddy6444 2 ปีที่แล้ว +1

    Eee jmn kujenga nayo ni zawadi hela zote hizo kiwanja hukupata kununua daah! Simlizi inaumiza hii jmn.

  • @sosoalsos9912
    @sosoalsos9912 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana kakangu munga atkuponya

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 2 ปีที่แล้ว +3

    Waaa..pole sana

  • @dariuskasitu5594
    @dariuskasitu5594 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaha pesa yote hiyo ulio pata ila hela za migodini sio hela

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa kweli ana akili sana

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว

    Ukiona tu roho ya talaka au kuachana inakuingia tambua katika watoto wako shetani ameona kipawa kikubwa Sana nataka kukipoteza. Roho ya talaka haiji kama hamjazaa

  • @jpkkakudji9402
    @jpkkakudji9402 2 ปีที่แล้ว +3

    Esko esko part3 3333333333 jamani esko esko 🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว

    Ndo shida ya wachimba wa kibongo awaangalii kesho wao ni leo na starehe.

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว +2

    Subhannallah, Maisha haya mmmmh.

  • @hasterjuma5203
    @hasterjuma5203 2 ปีที่แล้ว +3

    Broo hadhisi nzuri tuwekeye part 3

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 2 ปีที่แล้ว +3

    Hukupata wazo la kununu hata kiwanja dah!mkwanja wote huo.

  • @tabithasalimu3617
    @tabithasalimu3617 2 ปีที่แล้ว +2

    Msambaa mwezangu unasotoli ndefu sana

  • @amonpilimo
    @amonpilimo 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii inafaa kutengenezea move aiseee

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 2 ปีที่แล้ว +1

    Duh pesa zote izo ata kiwanja huna 😓🙌🏻

    • @magrethmhangwa8940
      @magrethmhangwa8940 2 ปีที่แล้ว

      Kwa apo kwenye maji umedanganya korogwe hakuna shidà ya maji kiivyo kaka apo umejua kudanganya

    • @shadrackdamiani1418
      @shadrackdamiani1418 2 ปีที่แล้ว +1

      @@magrethmhangwa8940 wewe uliza Ni mwaka gan

  • @ashasaid5061
    @ashasaid5061 2 ปีที่แล้ว +2

    ESCO ASANTE KWA STORY

  • @lizzygabriel9601
    @lizzygabriel9601 2 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣sijui anabahati au ndio alikua na bahati mbaya

    • @florarose1626
      @florarose1626 2 ปีที่แล้ว

      Zote yani mbaya na nzuri

  • @emmanueljosephati3192
    @emmanueljosephati3192 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali poli ninoma najua

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 2 ปีที่แล้ว +1

    😟😟🤨

  • @valentinetesha8536
    @valentinetesha8536 2 ปีที่แล้ว +3

    so sad dunia ina mambo magum sana asee

  • @halimamohammed4108
    @halimamohammed4108 2 ปีที่แล้ว +2

    Daah

  • @damasmkyahoka7986
    @damasmkyahoka7986 2 ปีที่แล้ว +1

    Very similar my boy

  • @pendojeremia3150
    @pendojeremia3150 2 ปีที่แล้ว +1

    😥😥😥😭😭😭😭😭🙏

  • @neemamapenzi6960
    @neemamapenzi6960 2 ปีที่แล้ว +2

    Part 3, iko wapi

  • @ashasaid5061
    @ashasaid5061 2 ปีที่แล้ว +1

    Esco tuletee part 3

  • @dorcaskahwarakaliza8190
    @dorcaskahwarakaliza8190 2 ปีที่แล้ว +2

    😭😢😢😢

  • @calzy8167
    @calzy8167 2 ปีที่แล้ว +2

    Hii hadithi yaonesha kama paaukwaa pakaawaa

    • @cristinasofla5090
      @cristinasofla5090 2 ปีที่แล้ว

      Kweli aelewek kumalizia watu bando tuu

    • @aminakipande5645
      @aminakipande5645 2 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂watu tuna mambo ht mm sielewiii

  • @happymchomvu6766
    @happymchomvu6766 2 ปีที่แล้ว +4

    Part 3 jaman IkO wapi

  • @user-cp2xe4rv8d
    @user-cp2xe4rv8d 2 ปีที่แล้ว +1

    3 lini

  • @kharidikibakulikibakuli9223
    @kharidikibakulikibakuli9223 2 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🇹🇿

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌

  • @benjaminahadi5926
    @benjaminahadi5926 2 ปีที่แล้ว +1

    Usitizame filamu iyi ukiwa n'a watoto 🔥🔥th-cam.com/video/KFawskkVrXM/w-d-xo.html