#PART

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 309

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  4 หลายเดือนก่อน +5

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @saudalilingani9264
    @saudalilingani9264 4 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera sana sana saaaana, Mwenyezimungu akuepushe na husda na hasada
    Kila la heri katika ndoa yako.
    Inshaalah Mungu akulinde na akusimamie ili yote yapite na kuisha Salama.

  • @DxbYae
    @DxbYae 4 หลายเดือนก่อน +7

    Allah akusimamie kwenye kila hatua ya maisha yako tunakuombea uludi omani

  • @SwahiliSister-o5v
    @SwahiliSister-o5v 4 หลายเดือนก่อน +6

    Harusi oyeee hongera Allah akubarik

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 4 หลายเดือนก่อน +6

    Hongera mwaya niliona vidio zake za ndoa umeupiga mwingi❤❤❤

  • @JanethJaneth-b5f
    @JanethJaneth-b5f 4 หลายเดือนก่อน +3

    DAAH💔💔💔UMEONGEA POINT SANAAAA HUKOO MWISHONI MPAKA NINESIKIA UCHUNGU,MUNGU AKUBARIKI SANA❤❤❤🙏

  • @asiamohamedy2643
    @asiamohamedy2643 4 หลายเดือนก่อน +4

    Umenichekesha mume Ninae mume natamba naye ❤❤❤

  • @sophiakonyo
    @sophiakonyo 4 หลายเดือนก่อน +3

    Shem tunaye na tunatamba naye ❤❤❤

  • @elizabethmassawe694
    @elizabethmassawe694 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera 🎉mwaya mungu amekupa hitaji la moyo

  • @kilungumsabaha3891
    @kilungumsabaha3891 4 หลายเดือนก่อน +2

    Aweeeeeh shoga yangu sema sema 😄🙌🤣 mume mwenyewe wa kishashi jamaniiii 🥰😍

  • @SadaKhamis-j8b
    @SadaKhamis-j8b 4 หลายเดือนก่อน +4

    Na mjuwa zanini huwataki ujinga simtu mbaya msema kweli mara nyingi anaonekana mjuaji maana watu wanapenda kufumbia macho

  • @MariamKhamis-c3j
    @MariamKhamis-c3j 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwakutufikishia ujumbe ktk nchi yetu

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 4 หลายเดือนก่อน +2

    Dada ufanyekazi kujifungulia na jujijengea maisha yenu.lkiwa ana yatima ufunguo ni KAZI

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 4 หลายเดือนก่อน +6

    Bahati zipo tupo wengi tulopata ndoa kutokea oman😂😂❤❤

    • @QUEENBEEOG
      @QUEENBEEOG 4 หลายเดือนก่อน

      Na mm nipe connection basi nipate kazee kangu😂😂

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@QUEENBEEOGUkipata nambie mpenz wng namie nipo ila nasikia kuna maagent sipesho wa kunganisha vibabu😂😂😂

    • @Naw89
      @Naw89 4 หลายเดือนก่อน

      Kuuuumbe baas itakua wanalipwa pesa nyingi kweli​@@dorcaskidoti249

    • @TakiabakarTakiabakar-pj5sk
      @TakiabakarTakiabakar-pj5sk 4 หลายเดือนก่อน

      Mnawapata wap

    • @QUEENBEEOG
      @QUEENBEEOG 4 หลายเดือนก่อน

      @@dorcaskidoti249 sasa vipi tuungane tutafute hao ma agent 😂😂 pesa ya usumbufu tuta lipa au nene dayday

  • @majabiali973
    @majabiali973 4 หลายเดือนก่อน +2

    Allah akujalie ufanikiwe utud tena kujatunza ndoa yako kipen

    • @imranahmed-lf9ny
      @imranahmed-lf9ny 4 หลายเดือนก่อน +1

      Namshukuru mungu nina miaka saba nipo na maboss vizuri kabisaaa

  • @rahymaaa4357
    @rahymaaa4357 4 หลายเดือนก่อน +3

    Parfect

  • @AminaMbindo
    @AminaMbindo 4 หลายเดือนก่อน +8

    Kama mnamuona mungo nenda na wewe ukajaribu

  • @Maryamiddijuma
    @Maryamiddijuma 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera zako dada zanini mungu akufanyie wepesi inshallah na ndoa yako Allah aitie nuuru ndoa yako muenzi shemeji yetu kiroho safi ujilie vyako wee wanosema na was waseme muhimu yako yakuendee

  • @ummuwawili
    @ummuwawili 4 หลายเดือนก่อน +9

    mwaya Allah akubarikie ndoa yako .....usiendelee kujielezea kwa kutaka kuwaridhisha binaadamu ni jambo haliwezekani hata ck moja.....muhimu Allah hajakataza kuolewa na mtu mzima bari wewe zidisha ibada na dua sana maana Hassad ni nyied na hv ulivoweka wazi wengi wetu tunaumia .....hatutakiani kheri ndoa ni baraka haijalishi umeolewa wapi muhimu ni dini tu .....kama utasima hii comment yangu nataman sana ukae kimya usijbu wala kuongea chochote tena kuhusu ndoa yako.....wasiliana tu na mumeo na familia yake bas neema yako wewe kaa nayo kimya Inshaa Allah utarud kwa mumeo lkn hv ukiendlea kusema hata hao maadui nawpa na sya uendlea kukukomoa kwa kukufanyia uzito kwenye mambo ya Hcho kibali cha ndoa....KUNA USHINDI KATIKA KUKAA KIMYA habibty

    • @asiamohamedy2643
      @asiamohamedy2643 4 หลายเดือนก่อน

      Ewaaaaa

    • @ala1608
      @ala1608 4 หลายเดือนก่อน

      Wallah umemushauli vizuli San ndugu yangu ❤

  • @SaidiCharahani
    @SaidiCharahani 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akufanyie wepesi

  • @asiamohamedy2643
    @asiamohamedy2643 4 หลายเดือนก่อน +1

    ASSALAM ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH NAKUSIKIZA DADA ZANINI ALLAH ÀKUFANYIE WEPESI KWA KILA JAMBO LAKO NINA HISTORY YANGU PIA NIKIJA NITAKUPA FULL HISTORY KIPENZI

  • @nasramasoud9449
    @nasramasoud9449 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwel aunt me nakubaliana na wew kutokana na maisha tunayoishi Oman tunadhalilika na istoshe hatupewi mshahara ambao unahitajika kiukwel me inaniuma sn pia pole kwa changamoto ulizopitia 😢ambaye hajapitia haya hawezi kujuwa chcht Hadi upitie haya tunayopitia pole sn dada angu mung akufanyie wepes inshallah😢

    • @FathiyaAlshidhani
      @FathiyaAlshidhani 4 หลายเดือนก่อน

      Bora urudi tu dadaangu ukafanye kazı za ndani Tz

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s 4 หลายเดือนก่อน +6

    Kama sojakosea huyu ni mzaramo😂😂maana dah km charahani yakudarizi

    • @MariamMarco-z7r
      @MariamMarco-z7r 4 หลายเดือนก่อน

      Mshenzi sana hamtaki kuambiwa ukweli

    • @FatmaHamad-g6s
      @FatmaHamad-g6s 4 หลายเดือนก่อน

      @@MariamMarco-z7r mshenzi mwenyewe

    • @FatmaHamad-g6s
      @FatmaHamad-g6s 4 หลายเดือนก่อน

      @@MariamMarco-z7r tena ww mshenzi ulie kubuhu na umeota nabu mbwa kamili na nguruwe mchanganyiko

    • @FathiyaAlshidhani
      @FathiyaAlshidhani 4 หลายเดือนก่อน +1

      Yani mdomo hasa

    • @kijamshana4744
      @kijamshana4744 4 หลายเดือนก่อน

      Kaza buti ....pambana mwanangu...gia ni hi0 hio .usiitoe no 1 ...panda mlima utafika omani ....saluti 😅​@@FathiyaAlshidhani

  • @BarkaNesto-vd3fh
    @BarkaNesto-vd3fh 3 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah Dada angu Allah akuongoze

  • @hafsa05adil32
    @hafsa05adil32 4 หลายเดือนก่อน +7

    Changamoto zipo nyingi sana nahatuna misaada kutoka ubalozi

    • @faumarley5707
      @faumarley5707 4 หลายเดือนก่อน

      Semagaa wewe

    • @aboudijaaboudija
      @aboudijaaboudija 4 หลายเดือนก่อน +1

      pale wanasaidia kwakujuana hasa utoe utelezi😅😅nilisota pale na kaz nikajitafutia mwenyew ila pesa ya boss walikuula

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ubalozi hausadii nishidatu pale

  • @AminaYussuf-m8e
    @AminaYussuf-m8e 4 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu dada limbukeni kweli wangap wanaolewa ugaibuni na hawajitangazi mitandaoni ushamba kazi kweli kwelo

    • @NassirAliy
      @NassirAliy 4 หลายเดือนก่อน

      Ww ndio mshamba mambo ya ughaibuni huyajui

  • @LailaLaila-kg2qd
    @LailaLaila-kg2qd 4 หลายเดือนก่อน +2

    Jmn sio wote mi nipo muda tu alhmdulillah napokea mia 30 nilipo naishi vzur tu nyumba sio kubwa na familia yao pia sio kubwa alhmdulillah siwezi kkubishia lkn sio wote

  • @AhmedAhmed-xz2hn
    @AhmedAhmed-xz2hn 4 หลายเดือนก่อน

    Dada napenda maneno yako kikubwa duwa tu mungu akufa Nye wepes kw sababu syo kawaida yasimba kuwa jibu mbwa

  • @setiseti5281
    @setiseti5281 4 หลายเดือนก่อน +1

    Maashaallah

  • @SwaumuMohammed-w2l
    @SwaumuMohammed-w2l 4 หลายเดือนก่อน +9

    Nasoma koment zote nimeona watu wanawivu kama umalaya kafanya yeye kaolewa yeye babu wake yeye haya munatesekanini afazali yeye kaolewa ameshakua mtumzima hao warabu waswahili wameolewa na vizee wakiwa wadogo na mpakawanajiona wao ndio waoman kupitia wazeehaohao

    • @liljammacha7806
      @liljammacha7806 4 หลายเดือนก่อน

      Waeleze maana wana wivu balaa na chuki 😂😂

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 4 หลายเดือนก่อน +1

    Khaaaa hiyo nzuli nzuli mwenzangu kweli wewe jitu la mbangala kukaa kote oman ht Kiswahili bado kinakushinda badala ya nzuri unasema nzuli😢

  • @tatutatu1570
    @tatutatu1570 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana dada😊

    • @faumarley5707
      @faumarley5707 4 หลายเดือนก่อน

      Asante kwaniaba 🙏

  • @sophiakonyo
    @sophiakonyo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Shoga angu mie chanja mbuga niko nyuma yako, sema yote nikija namalizia❤❤❤

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 4 หลายเดือนก่อน +2

    Haaaaa wastafu piga kelele haaa kumbe umeolewa kwa masirahi ya watoto Ila Sio kupenda Babu yangu WA miaka 66 Aya pambana bongo kwanza maana saivi watu WA embassy wataka Sana mikataba Sio izo njia za Panya

  • @SaadEbrahim
    @SaadEbrahim 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wanawake wa Ki-Tanzania hawawezi kufanya kazi za ndani uarabu kazi wanazo weza kufanya hizo ni wanawake wa ki-Filiphino sio Wanawake wa Ki-Tanzania hawawezi hizo kazi .

  • @SubiAbdallah
    @SubiAbdallah 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ujatikiaha ubatozi bali imefunga ndoa kinyume na shelia kwani ata ubarozi wako aujui je upo kwenye ndoa ukija kupata tatizo utakimbilia wapi acha kujigamba ujanga

  • @MwanaidiPapuu
    @MwanaidiPapuu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asntee da zanen kpnz Allah akusimamieee tuteteee mpenz

  • @asmaalghafri449
    @asmaalghafri449 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ungepata taabu ungekuwa hivyo tumbo limekutoka toa siri yako mwenyewe ulivyo fanya usitukane wa omani na ubalozi wako ubalozini walishindw kukusaidia na kesi zako naona huyo akirudi oman hawo watoto wa huyo mume mungu awasaidie biro kaa huko utafute mzee mwezio uisho huko kweny amani usijikere na Oman haikuhusu

  • @Husnasalim-f2g
    @Husnasalim-f2g 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kma shangingi lik hap hap ulip nyew shanging mnatama san tamaa za mali za waarab 😂😂😂😂😂😂😂

  • @rukiyamohammed2945
    @rukiyamohammed2945 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo wanaingia nchi za watu halafu huendi kwenye balozi yako wakakutambua uwepo wako, sasa unakaa ukipata shida balozi inakukataa...

  • @asiamohamedy2643
    @asiamohamedy2643 4 หลายเดือนก่อน +3

    Umenichekesha neno kuzichapa 😂😂😂😂 jmn

    • @JanethJaneth-b5f
      @JanethJaneth-b5f 4 หลายเดือนก่อน +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mix kuchimba nyumba bila jembe

  • @SaidMohamed-xt9yr
    @SaidMohamed-xt9yr 4 หลายเดือนก่อน +2

    Alaf unapokaa kusema watu wa oman si watu wazuri unakosea
    Kwasababu kosa la mtu mmoja unawatia kasoro waomani woote
    Kwani Muhindi mmoja akiwa mlevi wahindi wote ni walevi?
    Haya matatizo hata nyumbani yapo

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmmhhhh natamaa yakuolewa umangani tuache Mimi walinibembeleza niolewe na mzee wakimanga nikawakatalia kabisa bora nifanye kazi siku ukigeukwa utakuta mungu akujaalie ndoa yako idumu bi dada

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mama na watoto wake

  • @zayanazayana5518
    @zayanazayana5518 4 หลายเดือนก่อน +1

    Halafu si yaya si mke hakuna atakae muweza
    Gume gume limeshindana na mitume

  • @RayaRashid-dc2hn
    @RayaRashid-dc2hn 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli huku 2mechoka kusugua hammam😂😂😂😂😂😂

  • @ZinabAlzinab
    @ZinabAlzinab 4 หลายเดือนก่อน +4

    Watanzania acheni umalaya huku omani

    • @Suburo767
      @Suburo767 4 หลายเดือนก่อน

      Koma so wote

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 4 หลายเดือนก่อน +3

    🤣 🤣 🤣 Mke wa mzee mushashi hongera sana 😅😅😅😅

    • @mishigwan6598
      @mishigwan6598 4 หลายเดือนก่อน +1

      Na wewe tuonyeshe huyo kijana wako

    • @shakilasharifa9
      @shakilasharifa9 4 หลายเดือนก่อน

      @@mishigwan6598 😃amekufa 🤭😆👏

    • @faumarley5707
      @faumarley5707 4 หลายเดือนก่อน

      @@mishigwan6598 ana mtaka uyo mzee ndo ndo ndo na hampati 😂

  • @tabutabu8900
    @tabutabu8900 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwahiyo hujui kiarabu babu akitaka kukutomba mnaongea lugha gani hahahaha mbavu zangu mie jinga kwel hili kila kitu nje nje eboooo huna sir ama hujapata kungwi😂😂😂😂😂😏😏😏

  • @WahidaHilaly
    @WahidaHilaly 4 หลายเดือนก่อน +8

    Nasemajeeee nasemajeeee Mume anae Na anatamba nae tukaneni ad mchoke Hakuna tusi jipya Kama umebahatika kupata maboss wazur mshukuru mungu

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 หลายเดือนก่อน

      🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎉🎉🎉🎉

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s 4 หลายเดือนก่อน +3

    Unawaonya wasitake pesa zawatu mbona ww umetaka pesa za kibabu😂😂

    • @aboudijaaboudija
      @aboudijaaboudija 4 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂amenichosha huyu dada aisee

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa hiyo ulitaka aolewe bure ?😮

  • @HusnaX-u6q
    @HusnaX-u6q 4 หลายเดือนก่อน

    Uko sahihi dada tunapitia mengi sana

  • @sophiayBakali
    @sophiayBakali 4 หลายเดือนก่อน +1

    Oman sehemu gan mimi niko Muscat

    • @mishigwan6598
      @mishigwan6598 4 หลายเดือนก่อน

      Oman Ndiyo Nchi Muscat ni Wilaya kama Unavyoona Tanzania kuna kinondoni Magomeni

    • @mishigwan6598
      @mishigwan6598 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kwahiyo Wewe upo ndani ya Oman kitongoji cha Muscat

    • @zulekhasaud483
      @zulekhasaud483 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@mishigwan6598😂😂😂

  • @aishaabdul9287
    @aishaabdul9287 4 หลายเดือนก่อน

    No pain no gain

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 4 หลายเดือนก่อน +5

    Tena san hana khaya mam mjinga huyu

    • @raghad.2801
      @raghad.2801 4 หลายเดือนก่อน +2

      Kweli mjinja

    • @raghad.2801
      @raghad.2801 4 หลายเดือนก่อน +2

      Mjinga kabisa

  • @VirginiApeter-oo9qe
    @VirginiApeter-oo9qe 3 หลายเดือนก่อน

    Mnatuharbiaa sisi jamanii tuliopoo oman

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 4 หลายเดือนก่อน +16

    😅😅😅😅😅😅😅Ww uliolewa kwa maslai ya watoto wako. Umetapeli Ndiyomaana ukaswekwa ndani 😅😅😅😅 njoo bibi Oman uje ulee kazee ka watu

    • @SalimSalim-wp3zx
      @SalimSalim-wp3zx 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 jaman wabongo

    • @OmanOman-dd5qk
      @OmanOman-dd5qk 4 หลายเดือนก่อน

      Sijui kama paspot yake awezatena India Oman mpaka kusindikizwa na polis

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 4 หลายเดือนก่อน +11

      Hta kam kizee ni wake jaman Alhamdulillah kaolewa hta kma ana vituko vyake tumuombee kheri tu.

    • @AlHamra-k4u
      @AlHamra-k4u 4 หลายเดือนก่อน +3

      @@RitbayRitbay Mmmmh ndoa yake ajiombee mwenyewe na kutengeneza na kuzidisha ibada chaajabu kabila hilo hilo aliloolewa nalo anawananga km mbilimbi. Apunguze maneno ulimi unaumba

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@AlHamra-k4u wallah hyu binaadam wa ajabu ndio maana nikasema tumuombee maaneno yke ni ya uwongo mtupu unabaki kusikiliza kumuombea tu maana kma zimepingua akili zke.

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 4 หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo lako stori ya mwanzo haiendani na unayoongea ss😂😂

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 4 หลายเดือนก่อน +1

      KWELI KABISA NENO MUME HALIKUWEPO WALA NDOWA YY KATAJA MABOSI NA MAAJENTI 2 HAELEWEKI HUYU DADA VP MKE WA MTU APIGWE BLOC NA MTU MWINGINE????

    • @cheiknamouna2058
      @cheiknamouna2058 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@salimmalaka256 Ubalozini wako sawa kumkatalia yeye anajisifu bure hajui waarbu huyo

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hio ni Kutongozwaa !! 😮

  • @QUEENBEEOG
    @QUEENBEEOG 4 หลายเดือนก่อน +3

    Matatizo ni mengi kuliko raha bana kadama fanya mchezo nn😂😂 hakuna kuishi kama home kazi tu ni tatizo yani kabla ya kusemeshwa maneno ila kazi ni tatizo ww ku enjoy sasa madam ajiwezi hata kufanya kitu yani hawa warabu wa ovyo sana mm kuna mda na fanya massage baba eti mama yupo tu kajikalia yani bwana eeeh tupamnane tu pesa haiji kirahisi pesa ngumu ukuina mtu ana kula pesa take tulia ujui kaipaje team strong 2025 tujuane wallh nimechoka mwakani nijiludie zangu miaka miwili inatosha mtaji nikiendelea nitakufa nitatumia pesa yote hospital 😂😂😂😂😂 sometimes na lala naota nafanya kazi yan ivi hakuna huko connection za kazi za nje jaman tusaidianeni

    • @ArafaAmirAmir-ci7ld
      @ArafaAmirAmir-ci7ld 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

    • @mariamkibindo1741
      @mariamkibindo1741 4 หลายเดือนก่อน +1

      Shoga angu Kaz zipo ila uwe na Viza yako ndio utapiga pesa sana ,pole kwa majukumu ya kazi tupambane TU Mimi nilikuwa ndani na tulikuwa wawili ila nikamaliza nikatoka nje kwa viza yangu madukan ,so Kaz ziko ila uwe na Viza yako ili usije pata matatizo kama wakimbiz,au wazurulaji

    • @QUEENBEEOG
      @QUEENBEEOG 4 หลายเดือนก่อน

      @@mariamkibindo1741 uko nchi Gani bby nikutafute mm namaliza mkataba mda simrefu siwez endelea nitakufa 😂😂😂

    • @mariamkibindo1741
      @mariamkibindo1741 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@QUEENBEEOG Oman

    • @QUEENBEEOG
      @QUEENBEEOG 4 หลายเดือนก่อน

      @@mariamkibindo1741 connection sasa unayo ya kazi za nje visa siyo tabu na visa bei Gani

  • @SaidHaarith
    @SaidHaarith 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani dada angu umenifurahisha kueleza ukweli yaani endelea kuedili na ubalozi wanatukandamiza km hawatujui nini tunapitia majumbani

  • @faumarley5707
    @faumarley5707 4 หลายเดือนก่อน +2

    globaltv basi tena jaman ina tosha maana uko tunapo endea atatupiwa majini adi kwenye saaaleko 🤣🤣 maana roho zinavo wauma kila wanavo comment wanaona aitoshi,

    • @Naw89
      @Naw89 4 หลายเดือนก่อน +1

      😂

    • @SaidLikando-ny4fu
      @SaidLikando-ny4fu 4 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅

  • @SemeniJuma-x8i
    @SemeniJuma-x8i 4 หลายเดือนก่อน +2

    mtangazaji nae hujapoaaaa

  • @hawamafuru6791
    @hawamafuru6791 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wee zann mwogope mungu ww kama hukufanikiwa ni wewe usitufanye wote tuonekane tumekuja kudanga omani et uwezi toboa kwa pesa ya halali ww ndo ulikuwa na pigo hizo sema yanayo kuhusu usituvunjie heshima sie tuna ishi na upwilu afu unasema kutembea na maboss unakosea Sana ebu weka maneno mengine akiba mana utaaribu

    • @tabutabu8900
      @tabutabu8900 4 หลายเดือนก่อน +2

      Mshenzi tu huyu bibi na Minyama yake ya shingo Isha legea mdangaji mkubwa huyu na domo lake refuuu kama mamba😂😂😂😏😏

  • @morisgonzalo
    @morisgonzalo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa saut ka captain ingekua poa angekua pale jahazi

  • @BawajeeSialkot
    @BawajeeSialkot 4 หลายเดือนก่อน +1

    Zipo changamoto cn tu

  • @Asma-m1j
    @Asma-m1j 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ninacho jua kazi zipo nyingina tunachoka, ila mwarabu umuanze ubaya lakini kwa ufupi siwa baya kivile

  • @hafsa05adil32
    @hafsa05adil32 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona akitaka kuogey Unamkataaa kauli kwakumuulizaaa swali jengin

  • @Julyoman
    @Julyoman 4 หลายเดือนก่อน

    Mh jaman

  • @zaituniallyjuma8845
    @zaituniallyjuma8845 4 หลายเดือนก่อน +1

    siyokweli hakuna kuzichapa

  • @TatoOman-s5t
    @TatoOman-s5t 4 หลายเดือนก่อน

    Kwakweli wakutangulixwa ni mungu Tu tupo tunapeleka siku mbele 😂

  • @mwanaibrahim2444
    @mwanaibrahim2444 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumzima ovyo tu. kujionesha kama nayy kaolewa na mwarabu Hana lolote wanaosema unatamaa pia hawajakosea

  • @salwamohammed4787
    @salwamohammed4787 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tunaisubiri kwa hamu

  • @minamina8024
    @minamina8024 4 หลายเดือนก่อน

    Pumzika tena Dada

  • @miriammgina
    @miriammgina 4 หลายเดือนก่อน +2

    Alikuwa akitamba sana huyo😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @aminakasim1198
      @aminakasim1198 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 หลายเดือนก่อน

      Katambee naww huna nyota hata yakuolewa na bangele kwa rial 50 tu wivu wivu ni sumu utakumalizaaa

    • @mariamkibindo1741
      @mariamkibindo1741 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@dorcaskidoti249😂😂😂😂mbona Bangali 😂

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 4 หลายเดือนก่อน

      Katambe na ww km rahisi 😮

  • @MdOmane-yg9gi
    @MdOmane-yg9gi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza nikupe hongera dada. Na pole kwa ulioyapitia. Anaongea ukweli kuhusu ubalozi tunakandamizwa sana kifupi hawana msaada

  • @AishaAishaa-yz7ys
    @AishaAishaa-yz7ys 4 หลายเดือนก่อน

    Halo Omani sipaerewagi

  • @Muna-t7m
    @Muna-t7m 4 หลายเดือนก่อน

    Tena.. Nyeee.. Mnoolewa. Na.. Vizee.. Warabu.. Mnatutia.. Aibu. Sie. Tunotafuta. Maisha.. Ya.. Halali. Huku.. Nyeee.. Mkome. Kujadanga.. Shez..

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 4 หลายเดือนก่อน +1

    Uzuri hausemwi.watu wanatakakazi.ataishi sawa na Mwenyenyumba..Hizi ni husuda zenu..nyumba kubwa utafanya kazi yote kila siku? Umekuwa ROBOTI?

  • @faoziyaziyaa8443
    @faoziyaziyaa8443 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe ni muongo ndiomana ukawa mwizi kazi imekushinda mwizi mkubwa wewe umemuibia mume wako ukasafirishwa wewe kwenda huko huingii tena huko

    • @tabutabu8900
      @tabutabu8900 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 kumbe mwizi ameiba Tena 😂😂😂😂😂

    • @liljammacha7806
      @liljammacha7806 4 หลายเดือนก่อน

      Mhhj! Acha uongoo

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 4 หลายเดือนก่อน +1

    Zanini ndg pambana km utapata hiyo hiqama ya ndoa sawa usipopata sawa ongea na mumeo awe anakuja tz na kurud oman fanya biashara endeleza wanao kusoma wanaosema ni muongo / mdangaji / tapeli umefata pesa kwa babu wapambane na wao wafike ulipofika ww km rahis 😂😂wajue kabisa nyota yako iko juu wapambane na wao wafike ulipofikia ili waache kaz ya kusugua hammam😂😂

  • @salwamohammed4787
    @salwamohammed4787 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman mupo mwakosa huku

  • @ayshaaysha2165
    @ayshaaysha2165 4 หลายเดือนก่อน

    Dd kweli km ww muomani ziko nyumba gorofa tatu mfanyakazi mmoja au wawili

  • @hafsa05adil32
    @hafsa05adil32 4 หลายเดือนก่อน

    Umemulizaaaa kuhus ubalozi anaogey na kuhadisiy km unaikat unarusha

  • @QUEENBEEOG
    @QUEENBEEOG 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ubalozini mbona wana ongea kiarabu kina haro joha kina mzee suleiman kina mzee ally jaman au mm sijaelewa na ubaloz na passport kuzuia ina usisna nini mmmh au ulikuwa tayar una kesi za kazi na mashitaka yakawa ubalizini maana na wazo kitabu chako walikioataje na kitabu anakuwa nacho boss au mm ndo sielewi vizur maana hadi ubaloz kupata kitabu haya ngoja

    • @MariyamMohamedi
      @MariyamMohamedi 4 หลายเดือนก่อน

      Huyu ajent wake bi joha na ndiobalokuwa na pasport yake ndio maana

    • @mariamkibindo1741
      @mariamkibindo1741 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mbona bi joha anamsaidia sana watu labda huyu alikuwa tayar Kuna makosa fulan labda ndio maana passport yake ikawa huko balozin na hakupata msadaa

    • @hawamafuru6791
      @hawamafuru6791 4 หลายเดือนก่อน +2

      Kiukweli huyu dada ana boa et huwez toboa kwa pesa ya Alali Ina Mana wote tuonekane huku tunadanga kama yy ?😢

    • @QUEENBEEOG
      @QUEENBEEOG 4 หลายเดือนก่อน

      @@hawamafuru6791 kutoboa na pesa ya ukadama nilizima uandae nusu ya pesa kujitibia 😂😂 ila nilivyo muelewa watu wengi huisintynao Toka njee ni lazima kutoboa bila kujuwa katika utafutaji Kuna kufel pia Oman niliingia ila nilifel nililudi nyumbani kama nime ludishwa na kimbunga hidaya Yani ngija ngija Sina hata mia na ubalozin nikikaa miez mitatu nauli yakunutoa airport nilikuwa na kielf kumi changu nilisafiri nacho na mzee ally wa ubalozini nae akania elf 20 ikawa 30 ndo pesa nilivyo ludi nayo ila siwez ongea vibaya coz nimoja ya utafutaji Kuna ku fel na kufanikiwa hata kidogo now nipo iraq mm siwez wazungumzia warabu vibaya sana japo mmh maana najuwa umasikini wangu ndo unanitesa

    • @QUEENBEEOG
      @QUEENBEEOG 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@mariamkibindo1741 wale nao hawatabitiki bana Yani watu wa ubalozini bana kwa majungu sasa Yani tabu tupu

  • @MMo-ty3cl
    @MMo-ty3cl 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kaongo haka kamekaa mjengoni mpaka kakanogewa leo anajifanya ubalozi nyokooo nyokooo

  • @SabiamSuleimanmtwalo
    @SabiamSuleimanmtwalo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dada zanin sas ivi msharaha ni 120kwa wazohefu wagen 100

    • @MariamMarco-z7r
      @MariamMarco-z7r 4 หลายเดือนก่อน

      WAGENI 80 dada Mimi nalipwa 80

    • @hamzasalum613
      @hamzasalum613 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@MariamMarco-z7rpole sana mimi nilianza nahiyo ila badae waliniongeza

  • @FaridahFemy
    @FaridahFemy 4 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda tu Zanini ila wewe ni zahabu usiogope kuchomwa moto naanini zahabu ikichomwa moto huzidi kung"aa

  • @QUEENBEEOG
    @QUEENBEEOG 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa nn mume yy mwenyewe asisimamie ilo swala la haki zako coz izo ni haki za mke na yy ndo mwenyeji au why kila kitu ww coz ubalizi hauwezi kuzuia haki zako kama mwenye mali kaamua kushika pindo

    • @Naw89
      @Naw89 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe hujui ubalozi kuna majanga mengi sana pale kwa ambae hajawahi fikwa na majanga hawezi fahamu hili

    • @QUEENBEEOG
      @QUEENBEEOG 4 หลายเดือนก่อน +2

      @@Naw89 sikumsikiliza Hadi mwisho coz vipande vilikatwa ila now nime muelewa ubalozini nimekaa miez mitatu kwa halo joha pale na kwa mzee Suleiman mziki wa pale siyo wa kitoto Yani pia wale watu malanyingi wao na warabu sawa TU

  • @BawajeeSialkot
    @BawajeeSialkot 4 หลายเดือนก่อน

    💃💃💃💃

  • @bibiejuma5094
    @bibiejuma5094 4 หลายเดือนก่อน

    Mumeo nakulindia mimi huku

  • @MerryJacob-w2n
    @MerryJacob-w2n 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kabla ya iqama lazima upate vyeti vya ndoa ww sio muoman vyeti vinakuwa viwili

    • @SalimSalim-wp3zx
      @SalimSalim-wp3zx 4 หลายเดือนก่อน

      Vinapatikana wapi

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@SalimSalim-wp3zxItoke Tanzania alafu inakuja huku inapigwa muhuri kwamba tyr hpo mwanaume anakuja kukuchukua tyr.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 4 หลายเดือนก่อน +2

      UKIOLEWA YULE SHEHE ALIEWAFUNGISHA NDOWA ANAWAPA BARUWA YAKE KAMA KAWAFUNGISHA NDOWA NA LAZIMA WAWE NA VITAMBULISHO VYAO AWAJUWE MAJINA YENU NA URAIA WENU ILE BARUWA YAKE MNAIPELEKA WIZARA NDIO MNAPEWA SHAHADA ZA NDOWA HATA KAMA NYOTE NI WA OMANI LAZIMA MUWE NA VYETI VYA NDOWA.

  • @zaituniallyjuma8845
    @zaituniallyjuma8845 4 หลายเดือนก่อน

    walifuga ndoa yamkeka au

  • @BbqVcl
    @BbqVcl 4 หลายเดือนก่อน +2

    Uso umempala kama tako la mzee wewe ukufata kazi ulikua malaya

    • @reginampogole6072
      @reginampogole6072 4 หลายเดือนก่อน +2

      tuta kuchukulia atua na ayo matusi yako

    • @Muslim-gs6rn
      @Muslim-gs6rn 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @ComredOisso
      @ComredOisso 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hongera dada wanao kutukana Ni wivu tu

    • @Sumaiya-h7m1p
      @Sumaiya-h7m1p 4 หลายเดือนก่อน

      Wivu dadyaaaaaa matusi ya nini sasa😅😅😅

  • @QUEENBEEOG
    @QUEENBEEOG 4 หลายเดือนก่อน +1

    Le o natuma comment nyingi ila ubaloz jau aisee nilisaidiwa ila nyie 😂😂 ubalozini shikamoo kutoboa wapi hskuna kutoa kwa mshahara wa laki tano sota saba hakuna kitoboa labda ufanye na vingine niko zangu iraq napigana vita ila oman nime pita jaman

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 หลายเดือนก่อน +1

      Iraq mshahara ni ngap nilipata visa uko ila daaah Agent alizingua nikaghaili

    • @QUEENBEEOG
      @QUEENBEEOG 4 หลายเดือนก่อน

      @@dorcaskidoti249 dollar 250 mia tatu Hadi mia nne kutokana na nyumba ila kianzio kwa mgeni haishuki hapo labda ipande ni dollar 250

  • @Fatma99-ve7ys
    @Fatma99-ve7ys 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa yamemkuta

  • @salamalsawaqi1206
    @salamalsawaqi1206 4 หลายเดือนก่อน

    E muongo hakuna mtu anagorofa tatu na hata kama gorofa tatu kutakua na wafanyakazi wengi nyinyi watanzania waongo sisi tunawafanya kazi wahindi na hawana maneno acha kuwavunjia wenzio riziki mimi ni muoman nimefundiswa na mfanya kazi anaroho nzuri ukiwa mjeuri utasumbuka

    • @aboudijaaboudija
      @aboudijaaboudija 4 หลายเดือนก่อน

      mjinga sanaa huyu dada

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 หลายเดือนก่อน

      Hakuna ghorofa 3? Usiongeee vitu hujui nimekaa Fanja nyumba ghorofa 3 baba mama wtt 7 unakataaa nn sasa ebu uko

    • @JanethJaneth-b5f
      @JanethJaneth-b5f 4 หลายเดือนก่อน

      MIMI NAKAA NYUMBA GOROFA 3 NAMFANYAKAZI NIPO PEKEYANGU

    • @salamalsawaqi1206
      @salamalsawaqi1206 4 หลายเดือนก่อน

      @@JanethJaneth-b5f afadhali kua peke yako❤️

  • @Fatma99-ve7ys
    @Fatma99-ve7ys 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ww dadaaaaaaaaaa uliona Mali za watu zikakuchanganyaaaaaaaa ndio ukakubali kuolewa na babu kizeeeeeee

  • @hawahamisihamisi6038
    @hawahamisihamisi6038 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tunao soma coment like hapa tujuane mashaghala oyeeeeh😂😂😂

  • @تاتوالمعمري
    @تاتوالمعمري 4 หลายเดือนก่อน

    Huna jipya zanini unahikashifu kama una upendo mbona hukufanyiwa bataka ya mke acha tamaa utakufa pabaya washashi hawana shida n wewe

    • @rayahamisi118
      @rayahamisi118 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kwaani kakulia chako eee😊😊😊