Dr. Hussein ungewapata MaWarizi watano tuu tokea hapo mwanzo kutoka ACT Wazalendo basi ungekuwa huna wasiwasi kwenye Serikali. Sifa kubwa kwa Waziri Nassor AlMazroui kutoka ACT Wazalendo kwa uwaminifu kwenye kazi yake.
Usipitali zinajengwa kweli lakini huduma hakuna wagonjwa wa Sugar kila siku wana okotwa barabarani kwa sababu hawana uwezo kununua vipima sugar ilitakiwa wa gonjwa wa sugar wapewe bure ili wanapotembea njiani wakijisikia tafurani waweze kujipima sugari
Nimechelewa kuchangia nilimuamini sana huhu ila ndio mnafiki lazima ajitokeze kapigwa sana huyu na mm namuahidi Mazurui nitampinga milele tayari anaonesha ndio walokua wanamzunguka Malimu Seif
Kwahiyo hamna la kusema sasa Kila mmoja mazurui mbona mlipo mpiga hamkumpa pole Wala kwenda kumkagua ninachokiona kwenu CCM ni unafiki TU na ni watu wa sifa yaani msifiwe TU mkikosolewa manongwa
Jamani ni ushamba mkubwa😂😂😂😂 Aibu khasa kwa hapo Zanzibar mtu kusema hivyo……akodi mabasi kwa ajili ya watu kwenda kutizama 🏥 hospitals imekuwa kama makumbusho… amakweli spitali zimekuwa kitu cha AJABU hapo Unguja na Pemba. 😂😂😂
Nyie kwasababu mna maslahi yenu ktk ccm muna mabiashara yenu hamuna wasi wasi na maisha yenu jee hamu wafikirii watu wasio kuwa na kitu hata mlo mmoja mtu unamshinda makodi makubwa makubwa mkisha pata nyie ndio watu wote wamepata?
Hayo yote. Kama unataka Wana Wanchi wawe radhi basi uchaguzi uwe wa haki hapo Zanzibar. Kama unavyo sema wewe Muislam. Na unajuwa hapo Zanzibar siku za uchaguzi kunakuwa vita. Watu wanaomba uchaguzi uwe wa haki na salama bila yakuuliwa Wananchi na atakae shinda ndio ashike Nchi.
Mungu akubukumu wew nadir nenda kwenu humo India toka Zanzibar yetu
Njaa na tamaa inakufezehesha
Msimchezee mbungooo Jussa hamumuweziii
WACHA UJINGA JUSSA NANI KWENYE NCHI HII. SI BASI TU
Babu wew nadir nenda kwenu India ukaabudie mbuzi
Wewe mwrnyezi mungu atakuhukumu hapa hapa duniani watu wote watakuone wewe mnafiki mkubwa zalimu
Wewe chawa ,,usiniharibie siku
Wazanzibari kiu ni kuwa na Zanzibar yenye mamlaka kamili kk
Kwani Mazrui hataki mamlaka kamili?
Wewe nadir mnafiki mwishowako mbaya
Wewe kumbaro ndio mwenye ubaguzi nakila mzanzibar anakujua umepewa unaibu uwaziri umebaki kusifia kila pabovu
JUSSA NDIE KUMBARO MKUBWA MUUZA VYUNGU ONZA NA YEYE KWANZA
Kichwa km belungi
Mazrui anajitambua
Mwacheni asifu Waziri ni kutoka ACT wazalendo.
Nyinyi kk nadir mnajua dhati kwamba viti mulivyokalia kwamba hamukukaa kwa ridhaa ya wananchi wa Zanzibar
Dr. Hussein ungewapata MaWarizi watano tuu tokea hapo mwanzo kutoka ACT Wazalendo basi ungekuwa huna wasiwasi kwenye Serikali. Sifa kubwa kwa Waziri Nassor AlMazroui kutoka ACT Wazalendo kwa uwaminifu kwenye kazi yake.
Nadir shika adabu yako tafadhali,maana sasa unazidi kutovukwa na adabu,jitathmini
Usijitie kutaja mungu wajulikanwa
Mazrui kasema yote hayo kwasababu ya kuogopa CCM isije kumpiga na kumpoteza tena ... Hasbiyallah waneemal wakeel
Hahahaha kumbe dozi kk nadir huwa zinawafikaaa 😂😂😂😂
Zuzu huyo ajijenga kwa mwabwana zake.
Usipitali zinajengwa kweli lakini huduma hakuna wagonjwa wa Sugar kila siku wana okotwa barabarani kwa sababu hawana uwezo kununua vipima sugar ilitakiwa wa gonjwa wa sugar wapewe bure ili wanapotembea njiani wakijisikia tafurani waweze kujipima sugari
Nimechelewa kuchangia nilimuamini sana huhu ila ndio mnafiki lazima ajitokeze kapigwa sana huyu na mm namuahidi Mazurui nitampinga milele tayari anaonesha ndio walokua wanamzunguka Malimu Seif
Wewe Kallie ukalale
Kwahiyo hamna la kusema sasa Kila mmoja mazurui mbona mlipo mpiga hamkumpa pole Wala kwenda kumkagua ninachokiona kwenu CCM ni unafiki TU na ni watu wa sifa yaani msifiwe TU mkikosolewa manongwa
Wewe Nadir lazima umsifu Mwinyi kwasababu alipoingia tu Juma wa Juma kapotezwa ukae wewe ... funika kombe shetani apite
Hayo hakufanya mwinyi kk aliyefanya ni rais dkt Samia suluhu Hassan na sie mwinyiiii
Asante Rais wa Muungano wa jamhuri ya Tanzania 🇹🇿 Samia Suluhu.
Mazurui aogopa kuchapwa
Mazrui kama anampigia kampeni mwinyi
Mabasi wakodiye wewe kumbaro mjinga
😂😂😂😂😂 maajabu ya Zanzibar baada ya Beit la Jaibu. Hizo Spitali.
na ww ni miongn mwa wtu wanafiki wanao tia chuku n ubaguzi ktk nchi yetu
Duuuuu
Kumbaro kumbaro unampongeza mtu kwa maslahi
KUMBARO MKUBWA JUSSA
Unataka kukodi mabasi wakati jimboni kwako watu hata mlo mmoja hawapati
Jamani ni ushamba mkubwa😂😂😂😂 Aibu khasa kwa hapo Zanzibar mtu kusema hivyo……akodi mabasi kwa ajili ya watu kwenda kutizama 🏥 hospitals imekuwa kama makumbusho… amakweli spitali zimekuwa kitu cha AJABU hapo Unguja na Pemba. 😂😂😂
Nadir yuko wapi Juma wa Juma? Usituletee porojo hapa
Nyote wafanya biashara marogi
Muongo kumbaro
MKWELI NANI. TULIAMBIWA TUTAFURAHI SIKU MBILI TU. MBONA HUKUMWAMBIA NI MUONGO
Wewe hiyo sekta unayo ongoza kipi kipya wizara zenye kufanya vizuri sana zote mbili mawaziri ni ACT wazalendo
Mambo gani kazienu unaguzi tu Pba hamuifanyii haki
Aah huyu
Hujielewi ww unouza znz Kwa kupewa uwazir haliyakua watu wanateka kwanjaa ww umeshiba unaju tunaishi vipi jilewe ww acha ujinga unashadidia TU tumechoka na ccm kilasiku Barabara kula basi kamazinalika
Lakini ww unam domo sana ww ukisimama kwenye majikwaa una ubaguzi bakuzi falini hivi jamii ina kupenda lakini anglia mdomo wako
Imekua Ajenda Rasmi sasa
Nyie kwasababu mna maslahi yenu ktk ccm muna mabiashara yenu hamuna wasi wasi na maisha yenu jee hamu wafikirii watu wasio kuwa na kitu hata mlo mmoja mtu unamshinda makodi makubwa makubwa mkisha pata nyie ndio watu wote wamepata?
Munafikiria matumbo yenu na familia zenu Tu hao wengine waende wapi na hapo ndio kwao?
Ukiwemo ww huna hata sifa ya uongozi jambazi ww
Haya yote wanafanyiwa wazanzibara kwasababu wao ndio wenye nchi sasa .. wazanzibari wote wanahama kwa dhulma ya kusudi ili nchi iwashinde wahame kwao
Hayo yote. Kama unataka Wana Wanchi wawe radhi basi uchaguzi uwe wa haki hapo Zanzibar. Kama unavyo sema wewe Muislam. Na unajuwa hapo Zanzibar siku za uchaguzi kunakuwa vita. Watu wanaomba uchaguzi uwe wa haki na salama bila yakuuliwa Wananchi na atakae shinda ndio ashike Nchi.
kama siw alie kua saa zotee anawachamba ccm leo umepewe cheo yanakutoka tuh
Huyu jamaa ndume la kuwili saivi anasifia serekali
Watu wa Chaani tunakuuliza Nadir YUKO WAPI JUMA WA JUMA?
Muuaji ,unakula dhulma tu ,ila itakutokea puani io , na akili zenu za kuku izo
Wewe Nadiya mwisho wako mbaya tunawalakin kuhusu wewe
WELL DONE. DEPUTY MINISTER, KEEP IT UP
Wewe ni Mjinga namba moja kazi yako matusi tu jifunze kutoka Kwa wenzio Fisadi wewe ni Muislam mbona unasema uongo fisadi wewe nyamaza