DR.MWINYI AING'ARISHA MICHEWENI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • #ikuluzanzibar #jifunze in advance#juug #wasafitv #juu media#jufe#alfatah

ความคิดเห็น • 13

  • @waheeda5138
    @waheeda5138 3 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah Allah azidishe neema ndani ya kijiji chetu🤲

  • @SuleimanSalim-ql3ny
    @SuleimanSalim-ql3ny หลายเดือนก่อน

    Mimi siyo mfuasi wa chama bali nilikuwa mfuasi wa marehemu Maalim seif ALLAH amfanyie wepes nakusudia kusema Wapemba muungeni mkono mwinyi CZ anaihurumia Pemba km ilivyokuwa anataka iwe Maalim

  • @suweidsuweid9521
    @suweidsuweid9521 4 หลายเดือนก่อน

    Gud work. Dr.mwiny..we cee & appreciate ur effort

  • @abdullmbarouk304
    @abdullmbarouk304 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera maruzuku pambaneni na kijana wako

  • @himaryamhaidar5612
    @himaryamhaidar5612 4 หลายเดือนก่อน

    Dr Mwinyi oyeeee 5 tenaaaa

  • @SuleimanSalim-ql3ny
    @SuleimanSalim-ql3ny หลายเดือนก่อน

    Mbali na usisiem wake ila anaihurumia japo kdg Pemba tofaut na walio mtangulia

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 หลายเดือนก่อน

    Jamaa zako zote wanapinga hizo.wamekaa kama wanga mana mwanga hapendi maendeleo japo kidogo.nafsi imejaa choyo na hao hao ndio wa mwanzo kutumia na kuharibu

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube 4 หลายเดือนก่อน +1

    Eneo la micheweni ndio eneo la mpango mkakati kwa pemba katika kila nyanja

  • @Pemba680
    @Pemba680 4 หลายเดือนก่อน

    Ni bandari aw tuta😄?

    • @hajiabdalla5772
      @hajiabdalla5772 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe ulikuwa mwanga kwa roho mbaya ya kwa nini

  • @RamadhaniMussa-xs5uk
    @RamadhaniMussa-xs5uk 3 หลายเดือนก่อน

    Sisi hatuli majengo punguza bei ubwabwa

    • @hajiabdalla5772
      @hajiabdalla5772 2 หลายเดือนก่อน

      Fanya kazi acha uvivu

  • @NoufelSalim
    @NoufelSalim 3 หลายเดือนก่อน

    Bandari au kibandari