SAKATA LA KARIAKOO NA TRA MAKUBWA YATAJWA, AONGEA YOTE YALIYO MSIBU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @barakadanieli1440
    @barakadanieli1440 ปีที่แล้ว +4

    Samia anatia mikataba mikubwa ya mikopo kutoka kwa wazungu Koo ili madeni ya wazungu yalipwe lazima tu raia tuumie maana Samia anapenda sifa Sana na Cha ajabu anakopa akiamini wananchi watambanwa walipe Kodi na wakilipa Kodi zinapingwa nawalaji sasa unafili Nini kifanyike ?
    Maana wakipunguza Kodi madeni ya wazungu watalipa na Nini
    Wapigaji nao wataishije na wamezoea kupinga?
    Rais mwenyewe mpigaji

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 ปีที่แล้ว +3

    Kaka anaongea point Sana Serikali haingalii mbali ,walaji niwengi Sana ndiyomaana Magufuli alikuwa hataki ujinga km huu

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 ปีที่แล้ว +2

    Tumekosa ajira tumejiajiri bado ni shida...

  • @NeemaSelemani-dy6ul
    @NeemaSelemani-dy6ul ปีที่แล้ว

    Mheshimiwa Rais kweli hicho kiti ni kikuu lakini unabaraza lako hapo hebu fanya jambo kazi kweli iendelee❤❤

  • @saminamohamed2862
    @saminamohamed2862 ปีที่แล้ว

    Kaongea vzr sana

  • @benjaminmiselya2622
    @benjaminmiselya2622 ปีที่แล้ว +1

    Bado wenye nyumba za wageni kodi ya kitanda😃😄😂😃😄😂🤣😁😄

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 ปีที่แล้ว

    MAMBO YA STOO NI MIPAMGO YA MFANYA BIASHARA MWENYEWE. JE KAMA UTAAMUWA KUWEKA MIZIGO YAKO NYUMBANI JE NAYO INAKUWAJEE?

  • @MbarakSoud
    @MbarakSoud 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe hiyoooo rohoooo mbaya hayoooo ni maandeleo ya Tanzânia yetu wachina ni watu wa bei poaaaa

  • @estermwakatundu3028
    @estermwakatundu3028 ปีที่แล้ว

    Safi Sana mmetutetea na sis WA Hali ya chini km litafanyiwa kazi umeongea point sana

  • @NyageMachiya-ns7se
    @NyageMachiya-ns7se ปีที่แล้ว +1

    Chezilando unaakili sana ndiyo maana ni mfanya biashara,hawa viongozi wetu sijui huwa wanadhani wametoka mbinguni na hawazijui shida za watu wao badala yake wanasoma maandishi tu hawaendi kukukusanya mawazo ya watu walioko kwenye mazingira halisi da! One day yes

  • @NyageMachiya-ns7se
    @NyageMachiya-ns7se ปีที่แล้ว +1

    Chezilando unaakili sana ndiyo maana ni mfanya biashara,hawa viongozi wetu sijui huwa wanadhani wametoka mbinguni na hawazijui shida za watu wao badala yake wanasoma maandishi tu hawaendi kukukusanya mawazo ya watu walioko kwenye mazingira halisi da! One day yes

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa kajieleza vizuri mno

  • @Kipotaboemanuely-et6mq
    @Kipotaboemanuely-et6mq ปีที่แล้ว +3

    Jaman tunateseka kweli wafanya biashara, Mimi walinikamata na kunizungusha kwenye gari Yao siku nzima Tena nilikuwa mjamzito ila awa watu wamezidi

  • @naomisanga6980
    @naomisanga6980 ปีที่แล้ว +1

    Wekaka no 1 nimekuelewa sana

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 ปีที่แล้ว

    HARUTAKI WACHINA WOTE WAONDOKE NCHINI KWETU HATUWATAKI KABISAAAAA

  • @yohanakisoka6377
    @yohanakisoka6377 ปีที่แล้ว +1

    0:24

  • @NeemaSelemani-dy6ul
    @NeemaSelemani-dy6ul ปีที่แล้ว

    Good job tunaipenda nchi yetu. Kweli💪💪💪💪💪💪💪.

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 ปีที่แล้ว

    WACHINA HATUWATAKI ,WACHINA WAMEZIDI WAONDOLEWE HAPA , BORA KUFANYA KAZI NA WAZUNGU LAKIN SIYO WACHINA ,WAONDOLEWE HAPA TZ HATUWATAKI

    • @Mobmob2013
      @Mobmob2013 ปีที่แล้ว

      Ukisikia wamesaini mikataba yenye masharti nafuu unafikiri hizo lugha ni zakawaida? Acha waje mpaka tukome

  • @venantrugabela6798
    @venantrugabela6798 ปีที่แล้ว

    Sheria zinatungwa Bungeni.

  • @aishaalhabsi21
    @aishaalhabsi21 ปีที่แล้ว

    ndio maana tanzania masikini haishi kwa sababu ya kuzulum watu

  • @NeemaSelemani-dy6ul
    @NeemaSelemani-dy6ul ปีที่แล้ว

    Daaaaaaaaaaa tunauhuru kweli kuzungumza tumeaminiwa na tukawaamini viongozi top. Level. Na low level jaman 💪💪💪..

  • @agnesssanga6544
    @agnesssanga6544 ปีที่แล้ว

    Akili nyingi saana brooo

  • @thelight-ur3oi
    @thelight-ur3oi ปีที่แล้ว

    Daah huyu jamaa anaona mbali sana

  • @yohanakisoka6377
    @yohanakisoka6377 ปีที่แล้ว

    0:24