MCH HANANJA AIBUKA NA SAKATA LA P DIDY, ACHUKIZWA NA TABIA ZA USHOGA,SODOMA NA GOMOLA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @dicksonbaya5263
    @dicksonbaya5263 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Mungu atubariki sisi sote tunaosoma comment hii🙏🙏🙏

  • @JemaMhagama-oz6me
    @JemaMhagama-oz6me 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mwandishi Toka umeshika maiki huna mna wa kumhoji jinsi anavyo ongea

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Huyu mzee angakua mwislam na mwalimu wa dini ningenda kusoma elimu ya dini kwake ana kitu sana

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 36 นาทีที่ผ่านมา +1

    Yaani huyu mchungaji kwa Biblia dahhh ni tishio sana!! Anafahamu hadi raha. Nampenda kwelikweli. Hongera ndugu yangu.

  • @Isayahekima
    @Isayahekima 10 นาทีที่ผ่านมา +1

    Dah, kweli Mchungaji umeongea ukweli mtupu juu ya kuharibu watoto wetu

  • @athumaniKijaji
    @athumaniKijaji 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Na Mimi niwatatu

  • @Isayahekima
    @Isayahekima 13 นาทีที่ผ่านมา +1

    Hananja namkubali sana kwenye swala zima la kusoma biblia

  • @JacquesMumbere-qn6br
    @JacquesMumbere-qn6br 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mimi ni wa kwanza

  • @RoseKillian-b8k
    @RoseKillian-b8k ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Very true Pastor

  • @BakarNasoro-fq4sc
    @BakarNasoro-fq4sc 47 นาทีที่ผ่านมา

    Mchungaji,,Hananja,,Upo vizuri sana kwenye hii Intavie yako*Kwa kweli Umeniumiza sana uliposema,,kama huna jibul la kijana aelekee wapi baada ya masomo,,basi huelekea kule kwa yule atakaemuelekeza *Saluti kwako,Mchungaji*

  • @simonpaulokosiando4484
    @simonpaulokosiando4484 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kuwa na Adabu na wewe mtangazaji. Sema shikamoo baba na sio habari Yako baba

    • @RoseKillian-b8k
      @RoseKillian-b8k ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huenda ni rika lake ndio maaana hanaga shikamoo kwa Pastor """

    • @IsayaMwalongo-v5m
      @IsayaMwalongo-v5m 19 นาทีที่ผ่านมา

      😂ana adabu na kajistili sjuh manin ovyo kabisa ety mwandish wa hbr ndio matoto ya elf mbil hayo Kila mty anaona analingan nae

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 นาทีที่ผ่านมา

      ​@@RoseKillian-b8khahahaha

    • @RoseKillian-b8k
      @RoseKillian-b8k นาทีที่ผ่านมา

      @@IsayaMwalongo-v5m .Hiyo ndio balaa kabisa,😃

  • @AllyRodrigue-vb9ce
    @AllyRodrigue-vb9ce 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @jostamzxkaole3113
    @jostamzxkaole3113 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🙏🙏✅

  • @sinkalasinkala2901
    @sinkalasinkala2901 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa hawa wamarekani siwenyewe ndowana bariki mfumo wandowa moja sasa kuwa fira watu imewauma nini muacheni awafire mmeya bariki wenyewe