"SASA JICHANGANYENI, MSHINDWE KUSEMA NA MIOYO YENU, HAPA KUNA WATOTO WAREMBO SANA", QUEEN SENDIGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 6

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kati ya wakuu wa mikoa wanao piga kazi Tanzania hii na hawasikiki ni huyu mama ukitaka kuniamini waulize watu wa sumbawanga walisha mkumbuka❤❤🎉 much love Sendiga daughter

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs 3 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu mama anapiga kazi ile mbaya me namkubali sana i seeeew

    • @Muharram-c5n
      @Muharram-c5n 3 หลายเดือนก่อน

      Nakubaliana na ww mana amechangamka na anaongea kwa kujiamini

  • @AlfaCharles-e8h
    @AlfaCharles-e8h 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndomkuu wa mkoa mwanamke no1 anaepiga kaz, anawazid mpak wanaume, mungu ibariki tz

  • @yoelandrea1133
    @yoelandrea1133 3 หลายเดือนก่อน

    Yuko juu mno akili nyingi kweli

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 3 หลายเดือนก่อน

    Duh siyasa zinatiya woga ona huyu mkuu wa mkoa nywele zinalika kichwani juu ya siyasa kuwa kali hadi nywele zinalika nasiyasa.ongera kwakujenge,shule nzuri.