ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
MFAHAMU ANNA WA JUA KALI ALIYETAPELIWA HELA ZA HARUSI NA IZZO BIZNESS
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 1 พ.ค. 2021
- Kutana na Mwigizaji Godliver ambaye ametamba Kwenye tamthilia mbali mbali ikiwemo tamthilia ya Jua Kali ambayo mule ndani anaitwa Anna, ambaye kapitia misuko misuko ya mapenzi. Hapa AyoTV amefunguka mengi ya kumfahamu Bonyeza PLAY kumtazama.
Sasa hii ndio interview🤝, waingizaji wajifunze kupitia huyu dada Anna. Hana bwebwe zakujishauwa nice one. Love from Germany 🇩🇪🇩🇪
Asante sana
Sorry dada unaishi ujerumani sehem gani
Unaweza kuwa jirani yangu
@@Itsst4ra maybe me niko Berlin
@@Itsst4ra mrembo upo sehemu gani ?
Ohooo Mayra mama Karina Mrs majid gumbo kwa kweli upo vizuri sana mungu akuzidishie zaidi ya hapo habibty.
❤️❤️❤️ nakuona kabisaa kwenye maono yangu.... naamini ipo siku kwa mapenzi ya mungu nitafika huko.
Most talented female actress i know,,,,,
The best actress av seen recently...she is soo real...her skills are soo good...nampenda sana jamani...amenifanya nikaipenda jua kali..coz of her
Wanasababu ya kujifunza kitu toka kwako unajielewa sana dada Anna
Yani uyu Dada nibonge la msaniiii😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Ambao tulikua hatumjui huyu dada gonga like
Linajua Kuigiza Hili Dada Aiseee....We Amu Njooo Nikuage😂😂😂😂......Umesikia Tunalima Huku
Wooow hyu dada mamkubali mnooo so cute ❤️na anajua kuigiza hongera dada
Kiukweli huyu dada namkubali sana kiufupi anaweza sana,mwenyezi mungu akupiganie katika kile ambacho unakipenda.
Unafanya vizuri sana keep it up Anna😘
Daah huwez amin leo nimesililiza entaview ya mtu mpaka mwisho my sis ur star like u
Mpenzi wake Beka, hakuna sehemu ameigiza nikaacha kupendezwa na uigizaji wake. You are a true star
Sio uyu mpenz wake beka yupo kweny pazia anatumia jina LA brenda
Anaongelea Beka watamthiliya ya haikufuma cyo Beka muimbaji
Mungu ataendelea. Kukupigania said na zaid uko vizur kwanza hana skendo mbaya hata uvaaji wake anajiheshim pia nakupenda sana mayra mrs gumbooo
Kama kawaida yako unaongea htr we love u
Mayra, mama karina, mrs majid, mrs salum ndani ya uhuru
Huyu dada cjaona mfano wake ako na kipaji kikubwa xaana yaani akilia kama ana cheka anachanganya yaani Mashallah, dada Anna uko powa big LOVE from Kenya.
Nampenda saana G.. Tangu siri ya Mtungi...Uku kwenye Haikufuma beka amekuroga mama.. Be blessed 😘😘😘
Hahahahaha Yan beka anaboa🤣🤣🤣🤣
Hhhhh
Godliver godlian anafanya vizur Sana anaingiza saut Kama valden sultana kwenye sultan na kwenye etrugrul pia saut ya mama etrugrul anawakilisha yeye shivangi pia nagnee aliweka saut yeye na nyingine nyingi Sana Yuko vizur Sana uyu mwanamke jamani noma🔥🙌🥰
Mama Kalina nakupenda bure muhaya mwenzangu wa Katoma Mungu azidi kukupa afya na maisha mema🙏
Hats mie nampenda saana Hana malingo na ulimbukeni Kama wasanii wengine wa kike natani afike anakotaka
Kasema muhaya imn wahayaya gonga laik
Dada yangu mayla nakupenda Sana katika uingizaji ,wako harfu sasa napenda uingize na faridi kila sehemu mke na mme,natamani siku nikuone tu nikukbatie
Yessss Anna nakukubali zaman tulikua tunaangalia akina wema akina jakline na Irene na kusema hawa n wasanii wakubwa lakini sasa wamepoteza ,wewee Anna ndie mtegemez wetu katika sanaa ya uigizaji kwa sasa pambana zaidi na zaidi epuka tu. Skendo chafu na umtangulize Mungu I love you anna
Nakupenda sana dada Anna, Yani hata ongea Yako inakutambulisha umeokoka, hongera sana
Huyu anatakiwa awe hollywood huko na manetflix.
Nilimpenda kwenye Uhuru una gharama zake
HONGERA SANA...NAKUKUBALI SANA.NIMEKUFAHAMU KWENYE JUA KALI.
Siri ya mtungi ulikuwa my favorite actress mpaka sasa ubarikiwe sana
Anna anasimama na mungu Kila konaa alipo yupo, ajishaui ye a ajal Kaz zake mwenyew yupo simple
Waoooh nimependa kumfahamu zaidi waooh love you Anna ( juakali)
Nakupenda dada anna🥰🥰🥰🥰
Nakupenda dada anna🥰🥰🥰🥰
Nampenda sana huyu dada jamani,Mama kalina
Kwel unafanya kitu kutoka moyoni ndio maana hukosei... kaz nzur bbygal❤️❤️...yan unavaa uhusika adi raha, kifup hauboii
Umejibu vizuri saana, uhandishi ni ur real profession
Nilikuelewa kwenye Uhuru na gharama zake
Muaya hongera sana dada kwakutuwakilisha
Mm nakupenda from Kenya nakuaminia htr.tena uliniumiza mbavu w na yule doctor
Nimempenda hajichubuwi huyu dada nampenda kwenye uigizaji
Wee nawe ongea point
Dah ' kweli Sanaa mwanzo ni mgumu sana 😪🤦♀️uwii naijuwa sana ila hongera sana !!!! anna
unajua DADA,HONGERA SANA
I love u 😍 Anna from 🇺🇸❤️💯🥰
Jamani ,mayla, au mama faridi nampenda sana huyu kwa kuigiza yaani huyu ni fundi
Sanaaa yaani alikuwa ananifurahisha Tena Ile ya uzeeni
Kiukweli Yuko vizuri
Sanaaa anajua uyu dada jmn🤗
Nakupenda sana Dada Anna
Hongera Sana mwaya
Nimefurahi kukufaham anna
Huyu anajua sana namfahamu vizuri sana
Unajua sanaaaa lakini unaeza fanya vyote unasauti tamuuuu unaweza pia kuwa kwenye screen Yani full package na shule imo.. Matamshi Yani duh umenyoookaaa 👏👏👏👏
NAMPENDA SANA KUPITIA HALI ANAYOPITIA, ANAVYOISHI NA BI.ZAI KAMA MTOTO MKUBWA
Mimi nipo Tanzania naomba kuongea na dada anna naomba kuonana na huyu dada please mtangazaji nakuomba Sana hili unisaidie brother
Nenda Instagram, tafuta: @godliver_gordian
Mimi nakujua kama mrs Cheche wa mtungi... hayo majina mengine baadae😂👊🏾
Nomoo
Unaongea vizuri mpaka nimekuonea wivu hongera
Nakupenda we Dada
Nakupenda sanaaa❣️❣️
Hongera xan dada
Yan uyu dada kwenye jua kali ananitia hurua et nusu nilie
Nampenda uyu jmn, kwanza anajua kuvaa vzr
Daah nampenda huyu dada
Nakukubali sana dada
Uko vzr mumy
Anna anajua sana jua kali
Jua kali nzuri sana😘😘
Uhuru nakuelewaga sana pale ulivo track cm ya mmeo
Waooo cogratulation
Yani huyu dada jaman tangu nimemjua hanaga ujingaujinga na skendo za 💩💩 kama wenzake, love u G😍
Esther wa Beka, Mama Carina
Hahaha ninunue jaman albat
yaani ww dada na kupenda sana 💕💕 wajuwa ma sha Allah 🇴🇲 from 🇹🇿
Nimekupenda bure alafu ni kama tumefanana sura😀😀
Yan Kwenye falamu ya Aisha tulikuwa wote jaman UZIKWASA moja dah 🙏🙏🙏
hongeraa saaan mmy hata ongea yako tuu ni kwamba unajua unachokifanya.
Huyu Dada ukimuona kwenye siri ya myungi ndio utajuwa anakipaji cha kipekee
Manshallah 🧡🧡
Love dad anna
Safiii ni wakujiamini🥰🥰🥰
Dada anajua sana hasa pale beka anapomwambia akaagwe aaaaah dada fundi
Itoshe kusema tunakupenda sana
Nimei pause video nijue kama,ametaperiwa kwenye filamu au maisha halisi?
I love you❤
Unanivutia sana dada kwa sanaa yako
Kweli dear Kama Mimi kunavitu matukio yako yananiliza sana jamani
Hongera sana Dada
Nice
Anna❤❤❤
Jomon my kipenzi kumbe ww n Muhaya jmn Dada angu nakufatilia sana na nakufatilia sana kwa uigzaj wako wew n Dada unaependa kaz yako na kwa moyo mmoja nataman niwe kama ww nutazd kukupenda japo hunifaham
Anajua sana huyu dada
Nakupenda saaana
Namkubal xna uyu dada kweny tamthilia ya siri ya mtungi akiwa mke wa cheche mtungi
Ana unajua sana
Ester unanikera na beka wako ,ila nakupenda sanaaa
❤️❤️❤️❤️❤️
Hongera sana Dada napenda uigizaji wako
Nakupenda xan
Huyu Dada anajua mnooo yaniii hadi anajua tenaaaa
Nakupenda sanaaaa Anna
She is good!
Mama Karina ... miss Majid
Anna mapenzi hhhhh tunakupenda mno
Fundi 💪
𝐻𝑜𝑛𝑔𝑒𝑟𝑎 𝑠𝑎𝑎𝑛𝑎 𝐷𝑎𝑑𝑎𝑎𝑛𝑔𝑢 𝑘𝑤𝑎 𝑘𝑢𝑖𝑡𝑒𝑛𝑑𝑒𝑎 ℎ𝑎𝑘𝑖 𝑛𝑎𝑓𝑎𝑠𝑖 ℎ𝑖𝑦𝑜 𝑦𝑎 𝐴𝑛𝑛𝑎, 𝑚𝑖 𝑤𝑎𝑘𝑎𝑡𝑖 𝑢𝑛𝑔𝑒𝑛𝑎 ℎ𝑢𝑤𝑎 𝑛𝑎𝑑ℎ𝑎𝑛𝑖 𝑘𝑤𝑎𝑚𝑏𝑎 ℎ𝑖𝑦𝑜 𝑛𝑖 𝑢ℎ𝑎𝑙𝑖𝑠𝑖𝑎 𝑢𝑙𝑖𝑜 𝑝𝑖𝑡𝑖𝑙𝑖𝑧𝑎. 𝐾𝑜𝑛𝑔𝑜𝑙𝑒 𝑘𝑤𝑎𝑘𝑜 ℎ𝑎𝑘𝑖𝑘𝑎 𝑢𝑛𝑎𝑠𝑡𝑎ℎ𝑖𝑙𝑖 𝑧𝑎𝑖𝑑𝑖 𝑦𝑎 𝐾𝑜𝑛𝑔𝑜𝑙𝑒
Asante sana namshukuru Mungu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Estar wa aikufuma mchumba ake beka😍
Wao Mayila
Ana mpenda kulia🤣
Don adela pia
Uhuru na gharama zakee
Aaah uhakikaa 😘😘