ANNA WA JUA KALI ASIMULIA ALIVYOBADILI DINI MARA TATU “MAJINI, DUA”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • Hii ni Exclusive Interview na Goldliver Goldian maarufu kama Anna wa Juakali ambapo amepata nafasi ya kufunguka juu ya yeye kubadili dini mara zaidi ya tatu.

ความคิดเห็น • 374

  • @maendeleoleo2594
    @maendeleoleo2594 2 ปีที่แล้ว +34

    Hongera dada kwa kuchagua fungu lililo jema Mungu akusimamie🙏🙏

  • @richardkonzo5717
    @richardkonzo5717 2 ปีที่แล้ว +22

    Ni mwandamu, kumjua Mungu ni process. Leo anaweza akadhani ameijua kweli, lakini bado Mungu anampitisha kote huko ili baadaye aje kuwa mtu mzuri zaidi. Bado yupo Safarini na bado hajafika bado. Roho mtakatifu ataendelea kumuongoza hadi ataijua kweli.

  • @user-mq6lu2po3y
    @user-mq6lu2po3y 2 ปีที่แล้ว +45

    Alhamdudilah kwa neema ya Iman , alhamdudilah kwa neema ya Quran , alhamdudilah kwa neema ya uislam

  • @estherngowi8102
    @estherngowi8102 2 ปีที่แล้ว +14

    Hongera dada G karibu kwa Yesu ni kutamu balaa.

  • @tanjaniyoman3160
    @tanjaniyoman3160 2 ปีที่แล้ว +24

    Innalillhi
    wainna ilaihi raajiun...huu ndio mwisho wa dunia ..tuliambiwa watazuka manabiii wengi wauongo...Allaah atuepushe nao..

    • @dottohamisi9844
      @dottohamisi9844 2 ปีที่แล้ว +2

      AMINA INSHALLAH

    • @mealisuleiman4020
      @mealisuleiman4020 2 ปีที่แล้ว

      Amiin ishaallah

    • @georgesikazwe5914
      @georgesikazwe5914 2 ปีที่แล้ว +6

      Sabbu kawa mkristo ndo mana mnamna.mbaya acheni ushamba na.udini ninyi akiwa muislam.nd hakuna waongo..udini tu umewajaa.mnataka.dunia nzima tuwe waislam..fateni yenu

    • @georgesikazwe5914
      @georgesikazwe5914 2 ปีที่แล้ว

      Masheih nd wakweli sio?

    • @rehemaally2647
      @rehemaally2647 2 ปีที่แล้ว

      Amiin yaarabbal al'amiin

  • @vailethkinabo7961
    @vailethkinabo7961 2 ปีที่แล้ว +13

    Hongera dada kaza buti Mungu ni mwamini sanaaa

  • @lizyjonath2226
    @lizyjonath2226 2 ปีที่แล้ว +5

    Hongera sana dada Godliver
    Mungu anakupenda sana

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 2 ปีที่แล้ว +15

    Innalilah wainailih rajiun 😢😢😢

  • @jamilamanariyojamila1487
    @jamilamanariyojamila1487 2 ปีที่แล้ว +20

    Allah Anamuongoza Anayemtaka

  • @joycekaje8755
    @joycekaje8755 2 ปีที่แล้ว +9

    Hallelujah, Glory to Jesus, hongera sana dada

  • @murtoneniman9791
    @murtoneniman9791 2 ปีที่แล้ว +9

    Hongera Sana Dada Godliva kwa kufanya uchaguzi ulio bora kuliko yote kwa kumchagua kristo na kuachana na dini...Mimi ni mshabiki wako na umezidi kunifurahisha.

    • @saummohamedm435
      @saummohamedm435 2 ปีที่แล้ว

      Mbwa

    • @murtoneniman9791
      @murtoneniman9791 2 ปีที่แล้ว +1

      @@saummohamedm435 Saum Mohamedm Yesu anakupenda Sana, alafu ametufundisha upendo na kuheshimu mawazo ya wengine, ata wewe hujachelewa mpe maisha yako utaacha kutukana watu bila sababu

  • @irenemukami5735
    @irenemukami5735 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuwezeshe zaidi ,,,Kuna mema kujiunga na yesu kristo

  • @mwatimaabdallahaji2452
    @mwatimaabdallahaji2452 2 ปีที่แล้ว +1

    MTUME wa mwisho ni MUHAMMAD (S.A.W)hawa wanaojiita mitume babaisha bwege tu na watuambie wamepewa utume na nani.na hauwez kuckia sauti ya MUNGU live hujafikia icho cheo.ALLAH atuongoze njia iliyonyooka insha Allah

  • @salamabinti4185
    @salamabinti4185 2 ปีที่แล้ว +4

    Allah akuongoze nilikua nakupend ila kwahilo samahan kwakwel

    • @jellynesssemu9406
      @jellynesssemu9406 2 ปีที่แล้ว

      Ww usipompenda bado Mungu anampenda

    • @careeninnocent738
      @careeninnocent738 2 ปีที่แล้ว

      Kwani unampunguzia nini au unamuongezea nini ndio kwanza anashinda tuzo

    • @miriammwemzundu7536
      @miriammwemzundu7536 ปีที่แล้ว

      Sasa ww Mungu kwani hata ukimchukia

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 2 ปีที่แล้ว +18

    Eti mtume jamanini hii dunia sasa yaelekeya wapi jamanini kuna nabii karne hii allah atuongoze katika hili jamanini kwani mukisema mchungaji ama Padri kinaharibika kitu🙄 ati nabii daah allah atupe mwisho mwema 🙏

  • @bertharaymond2317
    @bertharaymond2317 2 ปีที่แล้ว +9

    Mungu Baba Mungu Mwana Mungu Roho Mtakatifu ndiye ngao yetu

    • @oii6zlaboshelby17
      @oii6zlaboshelby17 2 ปีที่แล้ว

      Its good but siku utakayotolewa roho tu utaanza kuona ukweli , wa Muungu baba, na muungo roho. Endelea hivohivo ,

    • @rehemaally2647
      @rehemaally2647 2 ปีที่แล้ว

      @@oii6zlaboshelby17 😂😂😂😂😂😂😂😂 nilitaka nimchambe

    • @neemaayubu1786
      @neemaayubu1786 2 ปีที่แล้ว +1

      Mimi sioni hata haja yakubishana,,, sisi sote tutarudi mavumbini,, nakila mmoja kwa imani yake,, hapo ndipo kila mmoja atajua Mungu wa kweli ni yupi.

  • @athaum05
    @athaum05 2 ปีที่แล้ว +46

    Moja ya alama za unafiki ni mtu kutokuwa na msimamo kwenye maamuzi yake!

    • @mwanaishakhamis8069
      @mwanaishakhamis8069 2 ปีที่แล้ว +5

      Huyo yuwenda Kwa maslahi yake binafsi mwenyewe

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 2 ปีที่แล้ว +2

      😁😁😁 kweli

    • @shopalareen4303
      @shopalareen4303 2 ปีที่แล้ว +3

      Swadkta mnafiki uyo

    • @aminakipande5645
      @aminakipande5645 2 ปีที่แล้ว +2

      Tena mnafki haswa mtizame mimacho yake 🤪🤣🤣

    • @mwanaishakhamis8069
      @mwanaishakhamis8069 2 ปีที่แล้ว +2

      @@aminakipande5645 Yale mato yake ni ubaranganya 😂😂🇰🇪

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu dada godliver nampenda anajua kuigiza sana ananofanya nifatilie jua kali

  • @user-mq6lu2po3y
    @user-mq6lu2po3y 2 ปีที่แล้ว +9

    Yesu sio mungu , yesu anasema katika bibilia" na uzima wa milele ni huu wakujue wewe Mungu pekee wa kweli na yesu Kristo uliyemtuma" so Kuna mungu wa kweli mbali na Kristo mbali yesu siku ya kiama ata wakana nyinyi

    • @alexvenas2699
      @alexvenas2699 2 ปีที่แล้ว

      Soma Tito 2:13-14

    • @rabeccastanleys660
      @rabeccastanleys660 2 ปีที่แล้ว +1

      Kama kitu haukijui usikijaji tuachiwe sisi na tumachoamini maana kwetu Cha tufaa Sana

    • @humairaothmn8465
      @humairaothmn8465 2 ปีที่แล้ว +1

      Ninachokiona hapa ni promo ya uyo nabii wake anayemsema..hamna lol ote...na dini za siku hizi ni biashara...na kubadili kwake mara tatu ndo utajua kwanni yesu hakuwa na mwanafunzi mwanamke..

    • @hawalufingo9983
      @hawalufingo9983 2 ปีที่แล้ว +1

      YESU NI MUNGU

    • @oii6zlaboshelby17
      @oii6zlaboshelby17 2 ปีที่แล้ว +1

      Ivi nyny wakiristo mshawahi kusikia kitabu cha Qur ani kina toleo, la kwanza, la pili au kufanyiwa marekebisho yyte, na kama hamjawahi kusikia hamjiulizi kwa nini? Pia hamjiulizi kwa nini Biblia imebadilishwa , badilishwa na ina matoleo ivi hanjiulizi kwa nn? Na pia hamjiulizi ivi Binaadamu anajua zaidi ndo akabadilisha . Mungu aliekileta kitabu hajui ? Kaeni mlitafakari hili mumepewa akili msipachikizwe pumba huko makamisani

  • @tauhidahussein3091
    @tauhidahussein3091 2 ปีที่แล้ว +1

    Daah innalilahi wainna ilaihi rajion daaaah..msiba mzito huu... Allah atujaalie mwisho mwema

  • @fatimambaruku1833
    @fatimambaruku1833 ปีที่แล้ว

    Allah akuongoze kipenz niliona interiw yako juu maisha uliyoishi ktk uislam kiukweli ulikosa fursa ya kuutambua uislam usinge toka tena milele dini ya kweli na ya kimaumbile
    Ila akipenda Mola mlez utarud na utatwawafu humu na kuzoa radhi za mola wako inshaallah

  • @mizzainallahwainailalhiraj8576
    @mizzainallahwainailalhiraj8576 2 ปีที่แล้ว +6

    Duh umekula hasara Ana 😭

  • @pudensianalyimo228
    @pudensianalyimo228 2 ปีที่แล้ว +2

    Keep it up Godliva, umechagua fungu lililo jema.

  • @salmaabubakar6442
    @salmaabubakar6442 2 ปีที่แล้ว +27

    Innallillah waina ilaih rajiun😢Allah atujalie mwisho mwema🤲

    • @mamiyfeiy
      @mamiyfeiy 2 ปีที่แล้ว

      AMIIIN YAARABIH

    • @witnesshaule3958
      @witnesshaule3958 2 ปีที่แล้ว

      Hiki.nini na nyinyi waislamu jmn au mnamchulia mwenzenu

    • @fatmaabubakar7478
      @fatmaabubakar7478 2 ปีที่แล้ว

      Amin

    • @furahaiddi533
      @furahaiddi533 2 ปีที่แล้ว +3

      Muslim people you guys should respect other people opinion musifikiri nyie tu ndo mna abudu Mungu wa kweli

    • @vonniemarry2680
      @vonniemarry2680 2 ปีที่แล้ว

      @@furahaiddi533 These people bana sijui wanajiona kina nani

  • @maryambaby8509
    @maryambaby8509 2 ปีที่แล้ว +26

    INNA LILLAH WAINNA I LAYHI RAJIUUN

    • @bahatizuberi9265
      @bahatizuberi9265 2 ปีที่แล้ว

      Haya maneno si huwa yanasemwa mtu akifariki?

    • @maryambaby8509
      @maryambaby8509 2 ปีที่แล้ว +10

      @@bahatizuberi9265 simaanishi hivyo ulivofikiria ila huu ni msiba kwa sababu yeye alikua mkristo akaingia uislam.na uislam ni dini ya kweli bila ya yeye kujielewa anasema hakuuona utukufu wa allah. kaamua kurudi ukristo ni sawa na msiba kwetu waislam mtu kudhalilisha uislam dini ya kweli. Nimeona hivyo kama nimekosea kuandika vile SAMAHANI kwa wote

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 2 ปีที่แล้ว +2

      @@maryambaby8509 yohana4:26 YESU asema Mimi ndimi njia ya kweli na uzima hakuna aendae kwa baba Ila kwanjia ya Mimi,,,,endelea kukaa kwenye iyo dini yako,,,,wenzako mamia wanabatizwa Kila siku

    • @maryambaby8509
      @maryambaby8509 2 ปีที่แล้ว +3

      @@josephwilliam5813 sawa ila usilo lijua nisawa na usiku wa kiza . Sawa ila sina tatizo na mtu kila mtu na imani yake nawapenda kwaajili ya allah 🤲🤲♥️

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 2 ปีที่แล้ว

      @@maryambaby8509 nakupenda imestupasa kupendana Kama ilivyo MUNGU alitupenda Toka mwanzo

  • @winniekicholo
    @winniekicholo ปีที่แล้ว

    Amen na MUNGU azidi kukuinua na kukutuza kwa mataifa, hakuna kitu kizuri kama kuomgozwa na holy spirit

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 2 ปีที่แล้ว +8

    Pole sn dada kumbe ata kwenyemaisha yako yakawaida huna misimamo wow ndomana lamata alikupanga jua kali. Kwaiyo ukipata tena bwana wakislam utabadili tena sindoivo pole wee

  • @SAMISAI.
    @SAMISAI. 2 ปีที่แล้ว +3

    Kwanza kanyoa mnyoo gani huyo mtumishi😂🤣🤣🤣🤣

  • @annetmbwambo9369
    @annetmbwambo9369 2 ปีที่แล้ว

    Pole Dada bado hujamjua mungu hao ni manabii wa uongo kasomo mwanzo ujifunze zaidi

  • @zawadisingano5659
    @zawadisingano5659 2 ปีที่แล้ว +1

    Doooh Alhamdulillah kwaneema ya uislam

  • @aminakhamis2276
    @aminakhamis2276 ปีที่แล้ว

    الحمد لله namshukuru الله kwaneema ya usilam الله anijaalie mwisho mwema nikiwa ktk dini yauislam .

  • @faridadondo2103
    @faridadondo2103 2 ปีที่แล้ว +15

    Duuh aisee binadam anaongea na mungu live adanganye wasio jua napia hakuna dini utabadili mara 3

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว +1

      ANA ONGEA NA SHETANI.

    • @careeninnocent738
      @careeninnocent738 2 ปีที่แล้ว

      Wewe usiojua ila waliokoka wanajua na wanaisikia sauti ya Mungu

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@careeninnocent738wanafiki wakubwa nyie sauti ya mungu mkaisikie nyie wakaa uchi na wacheza ndombolo Kila jumapili

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 2 ปีที่แล้ว +7

    SubhanAllh

  • @halimaabubakari1506
    @halimaabubakari1506 2 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe ule ukichaaa wa jua Kali nikweli eh

  • @gloryfidelis102
    @gloryfidelis102 3 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda dada zamaaa wewe ni mtumishi mkuuu

  • @user-mq6lu2po3y
    @user-mq6lu2po3y 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu kampa kibali 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jamani watu hawako sirious kbs

  • @zainabunechesa8659
    @zainabunechesa8659 2 ปีที่แล้ว +3

    Inalillah wa Inalillah Rajiuni Annah 😭😭😭

    • @jellynesssemu9406
      @jellynesssemu9406 2 ปีที่แล้ว

      Kwann waislam mnachulia Annah . Kwan dini yenu ndo ya kweli? Acha kuwa na roho ya hivyo

    • @careeninnocent738
      @careeninnocent738 2 ปีที่แล้ว

      Waislamu wanaroho mbaya mno na niwachawi balaa

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@careeninnocent738wachawi ni. Nyinyi na umeanza kwenu nyinyi kasome matendo ya mitume 3:16
      Na sumbawanga Kuna wachawi kibao na makafiri

  • @salmarwanda6578
    @salmarwanda6578 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu atakusamee sisemi mengi

  • @noorynmohammedy6063
    @noorynmohammedy6063 2 ปีที่แล้ว

    Subuhanna Allah eti Mtume kwel makafiri ni watu walio potea unaujua unabii na utume ww

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 2 ปีที่แล้ว +7

    Kumpokea BWANA YESE NDIO JAMBO KUUUU

    • @vj8313
      @vj8313 2 ปีที่แล้ว

      Andika vizuri jina la YESU pliz unajua huyo ni mfalme wa wafalme

  • @mk-ed5py
    @mk-ed5py 2 ปีที่แล้ว +2

    Eti nilimuombea akapata tunzo ata usinge muombea angepata tu jambo likipangwa na Mungu liwe linakua,iyo ni biashara unatafuta wateja

  • @hazrathassan1134
    @hazrathassan1134 2 ปีที่แล้ว +7

    Subhanallah, mhhhh Allh akuongoze mayra

  • @MaryMswadiko
    @MaryMswadiko 2 หลายเดือนก่อน

    Unajua nawashangaa sana munao juona mko wakamilifu kuliko wengine hongera dada umechagua fungu jema pia biblia inasema nifulaha kubwa mwenye dhambi mmoja akitubu dada songa mbele

  • @annamwaipopo9485
    @annamwaipopo9485 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akubariki dada 🥰

  • @zuwenatabu9176
    @zuwenatabu9176 11 หลายเดือนก่อน

    Namshkuru mungu kwa kuzaliwa muislam

  • @aminakhamis2276
    @aminakhamis2276 ปีที่แล้ว

    اينللح وانا اليه لراجعون huo ni msiba mkubwa الله atufanyie wepec sis na watoto wetu

  • @tinatomavika8250
    @tinatomavika8250 2 ปีที่แล้ว +2

    Nilikuwa nampenda sana huyu
    Ila hapa nimepunguza upendo
    Anasema hajawah muona Mungu kote huko ila alipo ndo kuna Mungu hahaha jaman jaman
    Mungu atusaidie

    • @ruihassan3389
      @ruihassan3389 2 ปีที่แล้ว

      ukimchunguz kama anajiamin sana utasem uwez alio nao kajipa yeye

  • @robikachembeho5284
    @robikachembeho5284 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana sana dada umechagua fungu jema

  • @prospermwaluvanda2996
    @prospermwaluvanda2996 2 ปีที่แล้ว +10

    Mungu yupo kazini halali wala hasinzii.

  • @eddyjuniortz2234
    @eddyjuniortz2234 2 ปีที่แล้ว +7

    Naomba namba ya huyu Dada Mtumishi na mwigizaji au Namba ya Nabii Olivia

  • @SAMISAI.
    @SAMISAI. 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa hiyo yesu hawaoni maskini wanao imba aleluya na wanakufa maskini anawaona hao tu😂🤣🤣🤣🙌🏼🙌🏼

  • @jellynesssemu9406
    @jellynesssemu9406 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen. Nimejikuta natokwa machozi 😭😭

    • @rosejuma3033
      @rosejuma3033 2 ปีที่แล้ว

      Sio mwenyw at mm 😭😭

  • @abuialmarjibi979
    @abuialmarjibi979 2 ปีที่แล้ว +7

    Mwisho wa dunia watazuka manabii wa uongo na ndio sasa Allah atupe mwisho mwema

    • @rachelmliwa9830
      @rachelmliwa9830 2 ปีที่แล้ว

      allah which

    • @arafaomari1832
      @arafaomari1832 2 ปีที่แล้ว

      Kwakweli

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@rachelmliwa9830Allah alieumba mbingu na ardhi,aliekua hakuzaa Wala hakuzaliwa,aliyekua hajawahi kufa Wala kusulubiwa na ndie mungu wa haki wa viumbe vyote

  • @abdirazak1503
    @abdirazak1503 ปีที่แล้ว

    Hata alipo islimu ulitamkq nini ikiulizwa hajuwi uislamu ni imaniya hali ya juu sana bora kufa kuliko kuacha uislamu kuji ita nabi ni kuwa sasa ni kujidhulumu hawana hat sifa ya u nabi

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 2 ปีที่แล้ว +7

    Uokoke Sasa acha wenge unapo Neno la Mungu linasema ukimkana Yesu mbele za watu nae atakukana mbele za baba yake wa Mbingun tulia Dada acha kucheza na Yesu

    • @raiye5621
      @raiye5621 2 ปีที่แล้ว +5

      Ndo mnavo jidanganya mbinguni kuna babu yenu 😅😅😅😅😅 mpo kwenye hasara kubwa.

    • @rahmaabdulla4949
      @rahmaabdulla4949 2 ปีที่แล้ว +5

      @@raiye5621 yaani hawa huwa wanajichanganya kweli yaani mara yesu Mungu mara mwana wa Mung hatawaeleweki, apoapo wanasema yesu kazaliwa 25 dc sasa kama kazaliwa huoni kuwa huyo nibinaadamu kama wewe ulivo zaliwa na mamayako nayeye anamamake na wakati kazaliwa siitakuwa kuna alie Muumba mpaka akamleta duniani. Haya swali lakujiuliza aliokuwa hajazaliwa hiidunia ilikuwa inaendeshwa nanani

    • @rukiaabdallah1132
      @rukiaabdallah1132 2 ปีที่แล้ว +2

      @@raiye5621 Umenifanyaaa nichekeeee jaman

  • @julianajchambala6954
    @julianajchambala6954 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana Dada yangu

  • @0ttii
    @0ttii 2 ปีที่แล้ว

    Mmmmmmmmmmh.haya.mm.nitabakiatu.hukuhuku.kkkt.kwangu.kwamchungaji.wangu eliona.kimaro.mungu.Amtuzee.popote.Alipo.tunamwambia.tu.kua.tunampenda.sasa.👏👏

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 2 ปีที่แล้ว +4

    Utatu upi wakati mungu ni mmoja

  • @maimunaabdalla7146
    @maimunaabdalla7146 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyo anna mwisho atakua kichaa wa ukweli,kubadilisha dini mara uislamu mara ukristo mwisho ni ukichaa tu,Anna acha mchezea MUNGU

    • @ruihassan3389
      @ruihassan3389 2 ปีที่แล้ว

      hahaha ajui

    • @arafaomari1832
      @arafaomari1832 2 ปีที่แล้ว

      Wewe umeongea hata ongea yake inamashaka

    • @tausihasheem5169
      @tausihasheem5169 ปีที่แล้ว

      Nina ndùgu yangu anabadil badil dini kma Ana now amekuwa chizi yaan dah😪

  • @veronicamhanga2548
    @veronicamhanga2548 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki, hilo ni fungu jema,

  • @hassanmirambo564
    @hassanmirambo564 2 ปีที่แล้ว +7

    Wenzetu dini yenu mmeifanya ya maigizo,Poleni sana

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 2 ปีที่แล้ว

    Mungu atusaidie, nabii sasa mmmm!

  • @evainnocent9520
    @evainnocent9520 2 ปีที่แล้ว

    Ongera sana songa mbele usisikilize maneno ya watu kamwe. Endelea mbele umechagua fungu jema mno

    • @priscanyakunga490
      @priscanyakunga490 2 ปีที่แล้ว

      Anna haijalishi wanasema nini juu ya wokovu wako songa mbele

    • @aflahabdula4084
      @aflahabdula4084 2 ปีที่แล้ว

      Nyie kweli fetu mnaakili timamu hebu jiengezeni basi na nyie pia muwe kama true acheni zenu tulizanisheni vichwa musome sio mufuate mkumbo tu

  • @saumuyahaya8789
    @saumuyahaya8789 2 ปีที่แล้ว

    Amakweli mmepotea ndugu zangu kwenu mitume bado inaendelea poleni. Mmepotea njooni kwenye uislamu ndio dini ya haki

  • @rubeaomary8548
    @rubeaomary8548 2 ปีที่แล้ว +1

    pole dada angu allh akuongoze ktk njia ya haki njia ilionyooka nao ni uislam tu poleee dada

  • @octavinaalphonce6898
    @octavinaalphonce6898 ปีที่แล้ว

    Sema umepewa nafasi fulani ndio maana
    Ila Mungu ni yule yule popote unaweza kuzama kwa wokovu

  • @gloryfidelis102
    @gloryfidelis102 3 หลายเดือนก่อน

    Ucjali songa mbele Godriver Ongozwa na Roho tu.

  • @upendojoseph469
    @upendojoseph469 2 ปีที่แล้ว

    Amina nimebarikiwa

  • @careeninnocent738
    @careeninnocent738 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen Bwana atukuzwe

  • @fatmakhamis2666
    @fatmakhamis2666 2 ปีที่แล้ว +1

    Nabii hivi huu unabii uko simple simple mpaka wanawake manabii

  • @mwanaimaabdallah7825
    @mwanaimaabdallah7825 2 ปีที่แล้ว +15

    Innalillah wainna ilah rajiuun SubhannaAllah maskin wee 😭

    • @salomecaroly5534
      @salomecaroly5534 2 ปีที่แล้ว +2

      Mnakuaga na wazimu muda mwingine jililie wewe na nafsi yako

    • @rahmaoman5122
      @rahmaoman5122 2 ปีที่แล้ว +1

      Innalilahi wainailahi rajiun 😢 huo nizaidi ya msiba tena ni upungufu wa imani alhamdullillah kwa Ne'ema ya uislam dini ilio ya haki uislam ndio dini pekee hizi zingine ni biashara tu kamazingine

    • @nasseralhabsi4121
      @nasseralhabsi4121 2 ปีที่แล้ว

      @@rahmaoman5122 hujielew peopo mkubwa weyee

    • @finah791
      @finah791 2 ปีที่แล้ว

      @@rahmaoman5122 mbinguni una uhakika wa kwenda???

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      @@nasseralhabsi4121 PEPO NI WEWE ZUTIY UNAE JIVISHA KABILA ZA WATU USHALANIKA WEWE

  • @careeninnocent738
    @careeninnocent738 2 ปีที่แล้ว

    Hallelujah halleluyah halleluyah

  • @tausiathumani9408
    @tausiathumani9408 2 ปีที่แล้ว +5

    Inalilah wainalilaah laajun

    • @aminatatu5692
      @aminatatu5692 2 ปีที่แล้ว

      Msiba ya allah tupemwisho mwema kuliko kutoka kwenye diniyangu Bora ucukuweroyangu yarabi

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 ปีที่แล้ว +4

    Hongera my dear wangu 🙏

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว +1

      UNAMPA HONGERA MALAYA MKAA UCHI

  • @suzanalucasemanuel7006
    @suzanalucasemanuel7006 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 2 ปีที่แล้ว +4

    Mhm mtihan. Haya mungu ndo AJUAYEEE.KIAMA KIKO KARBU.dalili tunazionaaa.NABII NI NANI?

  • @genarahaswile2990
    @genarahaswile2990 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusimamie tusiamini haya

  • @user-pt5xf6gc9u
    @user-pt5xf6gc9u ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi hipo mara mkristo mara muislam mara tena mlokole kesho utasikia kawa mbajuni mwishowe mpagani

  • @rahmaoman5122
    @rahmaoman5122 2 ปีที่แล้ว +4

    Nabii gani tena jamani? Ilihali manabii wote wapo kwa mwenyezi mungu? Nyie wakaa uchi ndomaana uislam unawashinda hamtaueza pasina kukuchagua mwenyezi mungu mwenyewe hiyo ni Ne'ema kubwa sana yakua muislam nyie ni kondoo muliopotea nabii mwenyewe ni machinga 🤣🤣🤣🤣

  • @reniceyohana77
    @reniceyohana77 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana

  • @swahiliandculture6599
    @swahiliandculture6599 2 ปีที่แล้ว +1

    Wow songa mbele dada

  • @yazu3007
    @yazu3007 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mnafiki 2 kwanza nabii tangu lini upuzi mwazo mwisho matapeli hawa

  • @husnamayala6219
    @husnamayala6219 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna nabii mwanamke acheni unafiki😭😭😭😭

  • @sameraakhf5605
    @sameraakhf5605 11 หลายเดือนก่อน

    Hawana sera wataishia kwenda uchi faamasiyara kujihifadhi kimwili

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭

  • @LailaLaila-kg2qd
    @LailaLaila-kg2qd ปีที่แล้ว

    Dunia

  • @mammydechocolate7697
    @mammydechocolate7697 2 ปีที่แล้ว

    Subhanna Allah,wallah nakuombea kwa Allah akuoneshe iman ya kweli na Msujudiwa wa kweli,kweli ALLAH ametaka kununionesha kuhusu wewe mana nilitaka kuonana nawe ila mhhhhh I can't

  • @ashantimoleta7798
    @ashantimoleta7798 2 ปีที่แล้ว

    Glory to God glory to God?

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 ปีที่แล้ว +3

    Hv wezetu Manabii wanazaliwa kila asbh 🤔🤔

  • @abdillahhassan8228
    @abdillahhassan8228 2 ปีที่แล้ว

    Siku zote uislamu hauuhitaji watu bali watu watauhitaji uislamu

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 ปีที่แล้ว

    MAENDELEO UNAMPOTEZA MWEZIO ALIPOINGIA KTK UISLAM ALIKUWA SAHIHI SASA KALUDI KWA YESU KAPOTEA BAADA KUMUAMINI ALLAH ANAMUAMINI MTUME YESU MMH NDUNGU ZANGU WAKILISTO MNAPOTEA ATA MTOE SADAKA KSAIDIE MAYATIMA KAMA UMUAKINI ALLAH KAZI BULE MTALIPWA HAPAHAPA DUNIANI AKHELA HAMNA KITU MOTONI

  • @careeninnocent738
    @careeninnocent738 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @rebeccamuhimba6484
    @rebeccamuhimba6484 ปีที่แล้ว

    Namba za simu jamni

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwa nn watu tunaona dini nisehemu ya majaribu

  • @user-mq6lu2po3y
    @user-mq6lu2po3y 2 ปีที่แล้ว +5

    Ao ni manabii wa uongo alowasema yesu katika bibilia, ivi Kuna manabii wanawake? Mke nabii na mume mtume🤣🤣🤣🤣🤣🤣 pepo inamengj

  • @husnamayala6219
    @husnamayala6219 ปีที่แล้ว

    Umekula hasar ww unabili dini kam chupi

  • @sportskijiwe781
    @sportskijiwe781 2 ปีที่แล้ว

    Hivi neno nabii mnalichukuliaje daah

  • @winifiridamayala166
    @winifiridamayala166 2 ปีที่แล้ว

    Mmmmh uje nakanisani kwetu maana bado kijana bado unayumba majalibu yapo mpaka siku ya mwisho sasa haongozwi naloho mtakatifu Bali loho mtaka fujo

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 2 ปีที่แล้ว

    Jitahidi kusimama na Mungu Dada