#kivumbi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • #kivumbi "VITA CHADEMA" VIONGOZI WAMVAA LISSU KUPOKEA MSAADA WA CCM CHAMA CHAGAWANYIKA

ความคิดเห็น • 120

  • @crisantisindani3830
    @crisantisindani3830 25 วันที่ผ่านมา +2

    😁😂😂🤣Bado mtasema CCM ndiyo mfano wakuigwa saafi👍👍kumbe CCM ndiyo familia kubwa safi sana kazi iendelee

  • @umlaith5202
    @umlaith5202 24 วันที่ผ่านมา

    Akizitumiya tutamsimanga maisha yake😂😂😂😂
    Mwambiye azikata kwenye Jukwaa la chadema..

  • @AnteloSanga
    @AnteloSanga 25 วันที่ผ่านมา

    Kwa akili yangu napokea maana ni wapenzi /mashabiki wangu mungu awabariki , hamuwezi juaa maisha yangu anaye jua ni Mungu alienacho huongezewa amina.

  • @mohamedimuhinga9064
    @mohamedimuhinga9064 25 วันที่ผ่านมา +1

    Killa mmoja anamtafuta kwenye Kona mwenzake mimi yangu macho tu makonda oyeeee

  • @dentomedicalresourceslimit4602
    @dentomedicalresourceslimit4602 25 วันที่ผ่านมา +6

    Mmeanza majungu tena? mnajipeleka wenyewe Kibra! Kukubali 5.3m zilizochangwa na wananchi wa CCM si kosa. Mbona huyo huyo Lissu kachangiwa kununua gari jipya mna uhakika ni michango ya wananchi wa CHADEMA tu. Maendeleo hayana Chama!!!!!!

    • @LassonDominick
      @LassonDominick 25 วันที่ผ่านมา

      Maendeleo gani kwenye upinzani wewe😮

    • @charleslukumai7875
      @charleslukumai7875 25 วันที่ผ่านมา

      Mbn pia yanayozungumzwa hayaendani na kichwa cha habari?

    • @jesaminzo
      @jesaminzo 25 วันที่ผ่านมา

      Mlimvunja miguu kwa risasi zile zaidi ya 16, na MUNGU akamponya, leo mnamchangia hiyo hela ina thamani gani? Kama mnampenda kweli si waliomshambulia watafutwe?

  • @LucasSwagara
    @LucasSwagara 24 วันที่ผ่านมา

    Hata akipewa msaada wa pesa hakuna kinachobadilika!

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 24 วันที่ผ่านมา

    Kumeanza kuchangamka sasa CCM niwakongwe kwenye siasa
    Kumchangia hera lisu

  • @Landisy
    @Landisy 24 วันที่ผ่านมา

    Lisuuuuu oyeeeeee jaman kuchangiwa Lisu sio kosa wana ccm nao ni watu et ukitoa tu ccm na machawa

  • @IsayaMpalanzi-qu7iv
    @IsayaMpalanzi-qu7iv 22 วันที่ผ่านมา

    Kwa hili ccm naielewa sana ni mfano wa kuigwa

  • @crisantisindani3830
    @crisantisindani3830 25 วันที่ผ่านมา

    Ukweli CCM sisinimafundi wa siasa nimeshuhudia wanatolea mfano CCM, CCM oyeee

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 25 วันที่ผ่านมา +2

    Umekidhakidhalikisha chama kama ni kweli

  • @filexkivuyo8383
    @filexkivuyo8383 25 วันที่ผ่านมา

    Kwaiyo kuchangiwa siyo kosa kule kuna watu wana mpenda kuliko mliko chadema

  • @Wamoyothenumberone
    @Wamoyothenumberone 24 วันที่ผ่านมา

    Ccm wenyew wanalindana saaaaana,kaka umesema kweli japo ckujui,kweli nikulindana

  • @senonline2356
    @senonline2356 26 วันที่ผ่านมา +3

    Kwakweli daah

  • @filexkivuyo8383
    @filexkivuyo8383 25 วันที่ผ่านมา

    Inabidi mboe awachunguze nakuwapa onyoo kwenye chama make kwamtazamo huu mtazofisha chama

  • @suzysam6002
    @suzysam6002 26 วันที่ผ่านมา +3

    Mbona nimeangalia mwanzo mwisho sio alikopewa na kupokea jamani kabla ya kucoment chochote sikiliza kwa makini , kichwa cha hbr kingine kinachoonywa kingine mmmh tuamke tunapotezewa yaliyotokea mbeya shauri yenu

  • @DamasAmos-ue2gh
    @DamasAmos-ue2gh 20 วันที่ผ่านมา

    Wambie aowajinga wana tukatisha tamaa

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 25 วันที่ผ่านมา +2

    Niseme jambo CCM ni watu kama watu wengine na tunashirikiana nao kwenye maisha ya kawaida isipokuwa chama chao ndiyo tatizo.

  • @filexkivuyo8383
    @filexkivuyo8383 25 วันที่ผ่านมา

    Mm binafsi sijasoma lakini kwahili lisu ajakosea. Mana kaomba msada wamtuu yeyote

  • @user-uq7kk4dw2o
    @user-uq7kk4dw2o 26 วันที่ผ่านมา +1

    Aaaaaaah inashangaza sana, hatujaerewa

  • @Wamoyothenumberone
    @Wamoyothenumberone 24 วันที่ผ่านมา

    Umesema ukweli baba

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 25 วันที่ผ่านมา

    Tabia ya Msigwa

  • @danielkanso
    @danielkanso 24 วันที่ผ่านมา

    Duuu kumbe chadema ni wengi hivi na watu wenye akili kubwa

  • @uziasinkamba7380
    @uziasinkamba7380 25 วันที่ผ่านมา

    Jaribuna kuwa watulivu kabla ya kutangaza mamba yennu

  • @MichaelNgalea
    @MichaelNgalea 24 วันที่ผ่านมา

    Hoja hizi hazina msingi, ni mawazo yako tu unataka kuforce mambo ya kipuuzi. Au upo nyuma ya msigwa tukuchomoe hapo fasta

  • @igulug5450
    @igulug5450 25 วันที่ผ่านมา

    Hawa siyo chadema ni watu wawapi

  • @zabronmdoe4398
    @zabronmdoe4398 25 วันที่ผ่านมา

    Umoja Acha wivu

  • @filexkivuyo8383
    @filexkivuyo8383 25 วันที่ผ่านมา

    Mule ccm kuna wanao mkubali nakuna hambao hawamkubali napia chadema kuna wanao mkubali nakuna ambao hawamkubali. Kwaiyo kuchangiwa siyo tatizo mbaya ange pokea rushwa na ushadi ukamilike kwayo apo amna tatizo chapeni kazi. Acheni kelele zakili fupi

  • @JovinPeter
    @JovinPeter 25 วันที่ผ่านมา

    Upo sawa kamanda

  • @addymsola4625
    @addymsola4625 25 วันที่ผ่านมา

    Mtavurugana sana

  • @mutalemwajohanes-kx9dj
    @mutalemwajohanes-kx9dj 26 วันที่ผ่านมา +8

    Mbinu za wana CCM ni za kitoto sana na hamtafaulu uwezi kuibomoa CHADEMA inalindwa na Mungu tu

    • @BrunoRufulenge
      @BrunoRufulenge 25 วันที่ผ่านมา

      Nyie mshaboka token apa Chama masikin kazi zenu nikelele2

    • @BrunoRufulenge
      @BrunoRufulenge 25 วันที่ผ่านมา

      Pesa ahmna ndo mahana mapiga kelele mwenywe pesa apigi kelele

  • @hssanrubota3891
    @hssanrubota3891 26 วันที่ผ่านมา +1

    Kusema ukweli nchi kuja kupata kiongozi mkweli mwaminifu mzalendo anayefanya kazi kwa ajili ya wananchi kama walivyo akina Traule labda aje Mungu wote kuwachunguza k makini kila mpiga kelele awe kiongozi au si kiongozi anagongea debe tumbo lake na familia yake

  • @johnkaliwanje434
    @johnkaliwanje434 25 วันที่ผ่านมา

    migogoro, ugomvi, chuki, na mambo yote yasiyo maana hayana nafas kabisa CHADEMA

  • @mozesjoseph7630
    @mozesjoseph7630 25 วันที่ผ่านมา

    Hivi jamani. Wanachadema. Niwaombe. Niwaombe. Jaribuni. Kumuangaria. Tundurisu. Atakubarije. Kupokea. Msaada. Wa masimango. Kwa chama. Chake. Yani. Risu. Anakubari. Kupokea. Michango. Ya masimango. Kwa chama chake. Chadema. Mangarieni. TU durisu.

  • @LwatikojohnHauza
    @LwatikojohnHauza 25 วันที่ผ่านมา

    Uko ni kujishusha na kuonyesha mazaifu ya chama so fea bora uombe chama chako kikupe kunatisha tamaa wenzio

  • @donaldprimus9847
    @donaldprimus9847 26 วันที่ผ่านมา +4

    Sioni sababu ya kuanza kupoteza muda juu ya Lissu kupewa hela Kinachofanyika hapo ni kufuta yale yaliotokea Juzi kutaka kuwatoa kwenye reli

  • @AminaKyungu
    @AminaKyungu 25 วันที่ผ่านมา

    Hv nyie wawape nchi hii kweli sijuil

  • @DanielNjonje
    @DanielNjonje 25 วันที่ผ่านมา

    Mi naona lisu yupo sawa

  • @daudimaembe3360
    @daudimaembe3360 25 วันที่ผ่านมา

    Sasa hapo Lissu anahusikaje ninyi watu

  • @shukraningetta2809
    @shukraningetta2809 25 วันที่ผ่านมา

    Hakuna haja ya kulumbana hata kama mm nikipewa napokea lakin kwao siend kunashida gan

  • @user-in3jp5jw4p
    @user-in3jp5jw4p 25 วันที่ผ่านมา

    Ivi mi sielewi upinzani wa tz kumbe upinzani wetu mpaka kwenye maendeleo?tuacheni fikra potof chadema act ccm ncr mageuzi wote ni watanzania ukikosa maendeleo ccm ukiyapata act kuna shida gani

  • @wiliamjoseph9009
    @wiliamjoseph9009 25 วันที่ผ่านมา

    Dhamira njema unayoisema ni ipi? Msiwe mamluki bwana,acha kiniboa aise!!

  • @YusufSwaibu
    @YusufSwaibu 25 วันที่ผ่านมา

    Kwahiyo unataka kulia au ulitaka upewe ww

  • @johnkaliwanje434
    @johnkaliwanje434 25 วันที่ผ่านมา +1

    moja ya jambo nasubir ni kuona Awadhi Juma anasimama mahakaman kujibu tuhuma kama mlivyosema, pls tubaki kwenye reli yetu chadema

  • @Revelation1412.
    @Revelation1412. 25 วันที่ผ่านมา

    Duuh.. Sasa mnakiua chama chenu iweni na hekima 🙏🏾

  • @filexkivuyo8383
    @filexkivuyo8383 25 วันที่ผ่านมา

    Kwaiyo kama umechoka chadema hama. Namanisha hata ccm kunawatu wakija mkoani kwangu lazyma niwape kura kutokana na utendaji wao wakazi

  • @frankphiri9132
    @frankphiri9132 26 วันที่ผ่านมา

    .mmmmmm hapo Km kweli sioni cha kuhitafiliana fanyeni yapite maisha haya hata haifai kuonyeshana vidole hakuna kotu kizuri km kuvumiliana kichukuliana kuna mitego mingi ya kiwaviruga msipokuwa waangalifi mtawapoteza watu kwa vitu ambavgo si vya msingi sana mengine jifunze kunyamaza as aleader

  • @user-sk6ly4oj9c
    @user-sk6ly4oj9c 25 วันที่ผ่านมา

    Ila kwa kaka lisu hiyo hela aipokee ila Aite wandishi habari pesa hiyo ccm awape watoto yatima

  • @EllyElly-nf4rx
    @EllyElly-nf4rx 25 วันที่ผ่านมา

    Sasa huu ni ushauri wa ndani wa viongozi, kufundana kwa nini mnatuma huku mtandaoni?

  • @user-ji1mq4sk1n
    @user-ji1mq4sk1n 25 วันที่ผ่านมา

    Hapo kwenye lugha ya kitaaramu

  • @user-ld3sm3jt4x
    @user-ld3sm3jt4x 26 วันที่ผ่านมา

    Mmmmmh tutaona mengi

  • @RaviShija
    @RaviShija 25 วันที่ผ่านมา

    hvi pesa nyie mnaijua au mnaleta masiara? siasanazofanya ni kwa ajil mpate pesa sasa lisu pesa znakuja azkatae hizo siasa za chuki za nn

  • @johnkaliwanje434
    @johnkaliwanje434 25 วันที่ผ่านมา

    moja ya mbinu ya kivita ni kumtumia mtu wenu kutengeneza migogoro ndan, tuwe watu kamili tusimame mikakati yetu

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 25 วันที่ผ่านมา +1

    Mateso yote uliyopitia CCM leo unapokea mili 5 ndio kwel chadema hawana uwezo wa kuchangia mil 5

    • @bonnymakuke3153
      @bonnymakuke3153 25 วันที่ผ่านมา

      Kwani wote waliochanga waliusika kwenye hayo matatizo!! Chadema ilisha sema Hawa ccm wa chini wate ni misukule2 hawajui watendalo Sasa kama waneamua kuchanga ulitaka lisu hakatae wakati wameweka wao wenyewe adi kwenye account yake!!.?

  • @christineaimtonga9872
    @christineaimtonga9872 26 วันที่ผ่านมา +1

    Lisu asichukue hiyo ni mbinu za kuzalilisha chadema hamshindwi kumpa hiyo oesa watakuwa na chakusema siku za kampen

  • @HajiSimba-mq7tp
    @HajiSimba-mq7tp 26 วันที่ผ่านมา +1

    Kiongozi una upeo mkubwa usimuamini mtu maana ndani ya chadema wako wa ccm na watoa siri pia wapo vile vile ndani ya ccm wapo pia chadema

  • @user-si3ts1px8z
    @user-si3ts1px8z 25 วันที่ผ่านมา

    Ivi neno la kiingereza ndio kitaalamu? Kiswahili ninini?

  • @ndaroGamba
    @ndaroGamba 25 วันที่ผ่านมา

    Pumbafu na Jinga sana wewe liccm Jinga umetumwa na mimacho yako!.Tunakujua mbwa wewe!

  • @EliaoniTerry
    @EliaoniTerry 26 วันที่ผ่านมา +1

    Jana nilisema Nita komenti Leo kuhusu ccm kumchangia lissu kule mwanza hadharani. Ni hivi: wangemchangia kitu kikubwa zaidi kama wangewaleta waliompiga risasi ambao ccm ndiyo iliwatuma, pili msaada huo umetolewa kwa kejeli kwa chama chake kwamba kimemtelekeza kikiongozwa na mwenyekiti Mbowe, tatu msaada huo kwa nini haukutolewa wakati akiwa hospitalini Nairobi na ubeligigi? Je ni kweli kwamba chadema na mwenye kiti Mbowe imemtelekeza Lisu kiasi cha ccm kumwonea huruma na kuzungusha bakuli? Maoni yangu, LISSU AKIPOKEA HIZO HELA ATAKUWA AMEKUBALIANA NA CCM KWAMBA CDM IMEMTELEKEZA NA KUNA WEZA KUIGAWA CHADEMA. VINGINEVYO HELA HIYO ITENGENEZEWE HOJA YA KUWAJIBU CCM.

    • @user-ef2ln1mx3s
      @user-ef2ln1mx3s 25 วันที่ผ่านมา

      Mimi naona pesa ni shetani lissu umebeba imani za watanzania ukikubari izo milioni Tano za Wana ccm na fedhea uzalilishaji waliotumia kukuchangia pesa kama masimango ikixichukua. Basi wewe na msigwa lenu Moja na litakua ni jibu .tosha na vyama vya upinzani utakua umechangua kuviua na wewe ndio mwisho wa.jina.lako la kisiasa nakuomba lissu usichukue izo pesa ni za moto na za kukiua chama labda kama unataka kua mgombea binafsi

  • @dottomatola5905
    @dottomatola5905 25 วันที่ผ่านมา

    Leo ndio umejua endelea kupambana mwenda kwao aogopi giza

  • @georgemwaikusa4451
    @georgemwaikusa4451 26 วันที่ผ่านมา

    Kwani kaomba

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 25 วันที่ผ่านมา

    Kwanini hamkufurahia kupokea pesa kutokana kachangiwa na Ccm Kumbe Msigwa mkweli

  • @andrewassey5108
    @andrewassey5108 26 วันที่ผ่านมา +3

    Siamini kama Msigwa amefanikiwa kumrubuni mpendwa, jasiri,na shujaa wetu LISSU.

  • @user-wg9jl7bp6x
    @user-wg9jl7bp6x 25 วันที่ผ่านมา

    Huelewwki

  • @charlesseba2000
    @charlesseba2000 25 วันที่ผ่านมา

    Kweli haingii akilini mtuhumiwa akuchangie fedha, Lissu unatakiwa kujitafakali

  • @s.flavor38
    @s.flavor38 26 วันที่ผ่านมา

    Unafaa kuwa Mwenye kiti

  • @user-lm3lt7xx6l
    @user-lm3lt7xx6l 25 วันที่ผ่านมา

    Ccm hawakuwa na nia ya kusainia ccm hana shida ya kuchangia ccm wanapesa za serekal za kutosha mm naungama na jamaa kweli ccm wamefanya kitu kuzalilisha kwamana lisu hana pesa ya kununuwa gari wala kutengeza.

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 26 วันที่ผ่านมา +1

    Nani kawatuma Wacha azile hizo pesa

  • @user-id6xo9td6k
    @user-id6xo9td6k 26 วันที่ผ่านมา

    Unaiacha M5 kivipi,wakati kwenye siasa hskuna Adui.wa kudumu

  • @dillonfoya
    @dillonfoya 25 วันที่ผ่านมา

    CHADEMA tusifanye makosa tulimuomba Mh. Lissu asitumie gari lililotobolewa na risasi na kumuahidi kumnunulia gari mbadala jambo ambalo mpaka Leo hatujaweza kufanikisha kwa hiyo kama wakati wa ugonjwa alichangiwa na wote Leo tunakataa nini Mh.Lissu kupokea mchango uliotolewa na upande wa pili.

  • @user-rh5zr1vk1w
    @user-rh5zr1vk1w 25 วันที่ผ่านมา +1

    Mh asiichukue hiyo 5m nikudhalilishwa. Ila awashukuru hao wananchhi wana ccm kumtambua kua ni kiongozi wa ki_ taifa!

  • @MwapololoMc
    @MwapololoMc 25 วันที่ผ่านมา

    Chadema mna jiferisha wenyewe hayo yalikua ya kikao cha ndani hamto weza kbs mziki wa CCM

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 26 วันที่ผ่านมา

    Ingelikuwa kapewa helkopta ungesema hayoo

  • @jamesbayo1910
    @jamesbayo1910 26 วันที่ผ่านมา

    Lisu kupokea Msaada kutoka ccm na tuache hisia isiyo na mshiko.

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 25 วันที่ผ่านมา

    Mwacheni lissu achukue pesa mbona mbowe anajilimbizikia mali kupitia chadema mnakaa kimya?

  • @TumainiMaswanya
    @TumainiMaswanya 25 วันที่ผ่านมา

    Mh. Mbowe milele hadi mungu amchukue

  • @DoA-q1b
    @DoA-q1b 26 วันที่ผ่านมา

    Mimi naona haina shida kuchukua hiyo Hela yupo sahihi tu

  • @wiliamjoseph9009
    @wiliamjoseph9009 25 วันที่ผ่านมา

    Acha ujinga huo bwana,watu tumeumizwa halafu unajenga mianya ya kuleta migongano

  • @josephmantago2837
    @josephmantago2837 25 วันที่ผ่านมา

    Hv 5m mh Lisu zitakufaa kwa lipi mbona kama unaondoka kwenye misingi yako unadhani ccm leo ndo wameona thamani yako walikushambulia wao walikupora ubunge walikunyima pesa ya matibabu walikunyima kiinua mgogo chako leo wanasimama kumnanga mh mbowe kisha wanakupa pesa na ww unapokea kuwa mkweli kama unaungana nao tujue ili tuishi kama yatima hatuwezi kukung:ng:ania maamuzi ni yako

  • @user-zq8vf4kj8b
    @user-zq8vf4kj8b 25 วันที่ผ่านมา

    Hunalolote

  • @ramadhanmgonja1698
    @ramadhanmgonja1698 26 วันที่ผ่านมา

    Hii clip ilikuwepo hata kabla ya Lisu kuchangiwa wameunganisha story tu

  • @suleimanalkindy5731
    @suleimanalkindy5731 26 วันที่ผ่านมา

    ..."disvalue" (devalue)

  • @user-ef2ln1mx3s
    @user-ef2ln1mx3s 25 วันที่ผ่านมา

    Watanzania walichangia milioni mia na kitu atuwajui na awakumdhalilisha wala awasemi chochota lao ni michango tu leo ccm na msigwa wanatoa kauli za kumufanya lissu aonekani ni dhalili ukikubali mimi kama mimi nachoma kadi cdm kwani wasaliti watakua niwengi. Ndani ya vdm nitasema Ata lissu basi nabaki na kanisa au msikiti sio chama

  • @TumainiMaswanya
    @TumainiMaswanya 25 วันที่ผ่านมา

    Ina maana ccm hawana hela hadi kufikia kuwachangisha wananchi wa yonge na masikini? Msingwa anatafuta sifa kwani kumsakama mbowe. Mh. Mpotezeee atapiga kelele atachoka.

  • @user-vh2hl2xp8l
    @user-vh2hl2xp8l 26 วันที่ผ่านมา

    Wacha achukue hata wakati wa uchaguzi wakikuonga chukua chako na piga kura umpendae ni siri yako

  • @deuskamugisha3627
    @deuskamugisha3627 26 วันที่ผ่านมา

    Na wew peleka hoja zako kweny vikao vyenu Sasa huku kweny midia unapata faida gani?

  • @YohanaMgulu-h8f
    @YohanaMgulu-h8f 24 วันที่ผ่านมา

    Muongo ww vaa vizr tisheti ya mchana!inategemea thamani ya mtu itapatikana kwa sili!?rrushwa ufisadi vinafanyika kwa siri ila yote yaliyo haki hufanyika hadharani!ukifanya ufisadi na mamboyote ya kificho ukiumbuka lazima itakuwa hadharani!hahaahhhh tenhetenheee.

  • @anthonymgina3893
    @anthonymgina3893 25 วันที่ผ่านมา

    Hata wewe una makosa hayo mazungumzo usinge toa hapo jwenye mtandao ya kijamii. Kingine hela haikataliwi kama unepewa pasipo mashariti yoyote.

  • @MussaMadata-u5u
    @MussaMadata-u5u 26 วันที่ผ่านมา

    Mbowe milele sasa

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 26 วันที่ผ่านมา

    Hata mimi nisingeiacha pesa.acheni maneno wamempa kwa nia njema lakini nyie mmetafsir vibaya

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 26 วันที่ผ่านมา +1

    Ccm wametupiga kombora mlipuko mkali Sasa acha tufarakane tundu lissu vs mbowe
    Binafsi mm nasimama na mbowe

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 26 วันที่ผ่านมา

    Unafanana na mpina kuongea

  • @michaelmlyuka6032
    @michaelmlyuka6032 25 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona kichwa cha habari hakiendani na maelezo

  • @danielshauri6390
    @danielshauri6390 26 วันที่ผ่านมา

    Hakuna upinzani Tanzania

    • @user-ny8jf7mn5h
      @user-ny8jf7mn5h 26 วันที่ผ่านมา

      Hii kripu ni ya muda sana sio kwaajili ya tundu lisu Kama ni wafatiliaji wa TH-cam

  • @user-nq6sk4vz5e
    @user-nq6sk4vz5e 26 วันที่ผ่านมา

    Hakuna mzalendo kama kisu kwenye chama mwamba alipigwa risas na akaendelea nasiasa ndani yachadema hv huyu kenge anaweza

    • @KANUMBAMASINDE
      @KANUMBAMASINDE 25 วันที่ผ่านมา

      watu ubadilika sawa nayeye ni binadam aso kasoro ni mungu

  • @danielsinda
    @danielsinda 26 วันที่ผ่านมา

    Yeye amepewa achukue hajawaomba huo niwivu

    • @paulokunyanja9886
      @paulokunyanja9886 26 วันที่ผ่านมา

      Wacha lissu achukue si wanajikomba

  • @twahirabasi9765
    @twahirabasi9765 26 วันที่ผ่านมา

    Lissu anasema CCM mbaya ila cha ajabu pesa yake anaiona tamu

    • @suzysam6002
      @suzysam6002 26 วันที่ผ่านมา

      Ulimwonà wakati anapokea

    • @user-ti8fn1wn1w
      @user-ti8fn1wn1w 25 วันที่ผ่านมา

      Acha upumbavu lisu chapati kuura kwa chadema tu hata ccm wanao mpenda wanampa

  • @AwinaNassoro
    @AwinaNassoro 26 วันที่ผ่านมา

    kwani kuna shida gani Lisu kupokea msaada cha kuangalia kwa nini ifike hatua hiyo? inamaana viongozi wameshindwa kulindana na kushirikiana wako kwenye maslah ndo maana wanapingana sana.
    mifumo mibovu haina maslah ya nchi kisiasa TATIZO HAWASOMEI UONGOZI

  • @eugymark
    @eugymark 26 วันที่ผ่านมา

    Haya yangetakiwa yasemwe kwenye internal meeting na siyo kutuletea kwenye Public....Hapa ndo mnazidi kuji expose. Ujinga mtupu!!!