BINTI MASAWE - PART 02 - SIMULIZI YA MAPENZI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 14 พ.ย. 2023
- Baada ya Jackline Masawe kutimuliwa na mpenzi wake aliekuwa anamtegemea kwa kila kitu, Je atachukua jukumu gani.?
Kurudi kwa mama yake.? au ataendelea kupambana na maisha yake, yote hayo majibu yake yapo katika sehemu ya pili ya simulizi nzuri ya mapenzi inayoitwa Binti Masawe. - บันเทิง
BINTI MASAWE PART 03, BONYEZA HAPA th-cam.com/video/FZ24kG-H3ZU/w-d-xo.htmlsi=DXZ2TcXMKFcHqKDt
Jmn jmn
@@irenewilfred7767 8pp!demain
.
Ank j uyounaempa kijiti chako chasauti kutumia jinalako atumuelewi atakidogo sautiyako nisautiyako2 ata simliziikiwa mbaya sautiyako inaipendezesha inakuwa nzuri
p❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Msijisaaulishe nimewah like zangu jamen,😂😂😂😂😂
Mtunzi Lisa mwaka na anko jay mumetufunza mengi asante na KAZI zenu nzuri mubarikiwe nakazi zunu🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪
Oh! Histoire choquant! Merci à toi Anko jay c'est une leçon dans la vie much ❤❤❤❤❤❤ from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
We nee to reach their 1million subscribers let's show love for ankojay simulizi please ❤❤❤
🙏 Amen
Watano Leo Anko jay umeweza mpaka unaweza Tena ❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥😂anko jay ww ulingi kweli😂😂
Sijachelewa ,naombeni like zenu wapendwa❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Yaan siku hizi nilikua naamka mapema naangalia anko j kama ameleta muendelezo .....asante anko j ❤❤
Ohooooooo mauwa yako Anko jay mapesa 🎉🎉leo nitawapikia waarab chakula kitamu😂😂😂
Oyoooooooo❤❤❤❤❤❤❤ lisa ni lisa tuuuuu akunaga kopiyake
Hana kbs labda azaliwe
Ankol jay asanti sana kwa simulizi zako lakini naomba hutupe ratiba ya simulizi ya X 😢😢😢
Bloo umetish
Mbona mahend some kina anko Jay anko Jay kwa kujisifia umetisha au wewe ni muhaya nini maana sio kwa mi sifa hiyo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Asante sana ankojay kwa simulizi tamu,mwendelezo, tunashukuru,vp simulizi ya x part 7
Mashallah tabaraka Allah anko Jay shukran kwa muendelezo wa binti masawe 🎉🎉🎉
Halloo watching from Kenya..thanks alot ankojay the story is so touching 😢😢😢 nmejipata nikilia weeh😢
Duh mashaallah wana familiar wa anko Jay dk 5 tu comments zimejaa 😅😅tunakupenda sana anko wetu 🎉🎉Allah azid kukupa afya njema uzidi kutuburudisha❤❤
🎉🎉🎉❤❤❤
Nmeangaika kutafuta simulizi hii nilikuwa siioni jmn nmechelewa kucomment nawakt nilikuwa online 😂😂😂❤❤🎉🎉.
😂😂😂😂😅pole yako Kuna. Watu hawalali hapa mwenzgu 🎉😢🎉😢
😂😂😂😂😂
Jana nimehaha mnooo sikuiona leo ndio naipata saiz
@@user-ui6rf8yx7s Imeletwa saa hizi
@@mwanamisikifogo869pia
Asante sana anko Jay huu mwezi kwa kweli ni raha tupu mambo yako ni mazuri sana hadi raha moto moto mpaka moto tena hongera sana anko Jay family tuzidi kupambana na kasi hii tukiomba mungu azidi kutubariki sote anko Jay family Amin
Asant sana ankojay mung akupe umri mrefu na weny mafanikio mema 🎉🎉🎉🎉
Team gulf oyeee Ankojay much love
Oyeeeeeeeee
Thanks akojay kwa sehemu ya pili
Tunaenda nayo
Kah huyu auntie ndo anafunza mwanae nn?😢😢 Thanks Anko Jay na Dada Lissa mwala mbarikiwe sana na muishi maisha marefu ili mzidi kutuelimisha ❤❤🎉🎉
Asante part 2 mungu akubariki kwa simulizi nzuri
Kitu tayr na hamsemi 🙄🙄kazi haziend sababu ya simuliz za Ankojay !! Ialatunakupenda😂❤️❤️
Kaaah hapan kwa kweli yani ndani ya dakaki 43 watu 150 kweli simulizi ni tamu kam nini sijuwi enjoy from kenya 🇰🇪 💖 😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤😅 yani wanaitwa wanaume
Kenya 🇰🇪🇰🇪 pamojaa
Lissa weeee Jamani simulizi zako hua ziko moto
Ankojay tuna kushukuru kwa mwendelezo mungu akubariki sana
Nimekuwa watatu jamni❤🎉
Hongera😂😂
Nipeni lake zangu jemeni kumbukeni tumeanza pamoja mpaka tamati ❤❤❤❤
Nimefurahi sana wa mwendelezo big up anko j ❤❤❤❤
Asante Ankojay 🙏🙏 kwa sehemu ya pili 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 pamoja❤❤❤❤
Kenya 🇰🇪🇰🇪 hoyeee 🎉🎉
Hoyeeeeeeeeeee 🎉🎉🎉
Hakika hii simulizi nilikuwa naisubili kwahali na mali asante sana ankojey wetu tunakupenda sana
❤❤❤❤ ya tatu jaman Anko jay usiicheleweshe hii ni presha 😂😂😂
Waoooh, anko nipee mauwa yangu❤❤❤
Asante nko jay ubarikiwe jamani wapenzi wa anko jay Birthdat yake inshalah tuchabgisheni elfu tano tano tumpe anatuletea hadithi nzuri tulokuwa mbali tupo. Job tunasikiliza anko jay twambiye tarehe yako ya kuzaliwa inshalah
🙏
Tutajiye tarehe yako
Asant sana anko jay tup muendelez wa x bas
Apo sasa na hope X ipo njiani pia maana hii yaisha sai tu🎉🎉🎉
Nipeno like zangu
Mambo kipenzi anko j,hapa sasa umeniweza😊😊😊
Nimejifunza kuhusu kuw musafi mda wote 👌
Sana sana
Daa nimechelewa sana kukomndi maan hi simulizi nimeitafuta sana ila salut kwa anko
Woyooooo. Tupo mjengoni jamani ❤❤❤🎉🎉🎉Ahsante Anko jay kwa muendelezo wa simulizi yetu nzuri na tamu
I'm a dected to your story ankol j😊😊😊❤❤❤
thanks🙏🙏 Kwa kuiachia❤
Asante kaka nakuelewa sana
Namuelewa sana saaana
Nimewai pia top five🎉🎉🎉
Kenya 🇰🇪 like jameni anko j oyeeee❤❤❤
Tuko pamoja Kenya 🇰🇪🇰🇪
Nimeingia mjengoni thanks anko jey
Karibu mjengoni tupo sote
Anko jay asante sana much love bro, hongera kwa walio na wazazi ambao wapatapo changamoto wanaweza kuwakimbilia
Nimewah like zangu
❤❤❤❤nilikuwa nasubri kwa hamu sana
Nimejikaza leo😂😂nipewe🎉yangu
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asante sana anko j kwa kazi nzuri ❤❤🎉
yani paka huruma jamani maisha kamahaya yawe somo kuwanawake tusije tunakurupuka kuolewa jamani
Asante anko kwa simulizi tam
Tamu sana ❤❤❤
Leo nimewah na mimi❤❤❤❤
mmmmh watu mkovizr kwa kuwa online thank you anko jay 💪💪
Waoo! Bonge la story 🎉🎉🎉❤❤
Kazini kwangu
Sasa hivi kilakitu stop! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣eh I se asikwambie mutu 😂😂😂 haya let's go in part 2
Kwa kweli hii story very nice hongera mtunzi lisa na msimulizi ancojay kwani hutamani isishe❤❤❤❤
Nashukuru kweli nimeingoja kweli 🤣much love from Kenya ❤️❤️
Watu mpo fasta 😂😂🎉🎉❤❤ asante anko kwa muendelezo
weee Anko J ww 😂😂 umenifanya nimeaibika leo 😂😂 😂😂
ᵂᵉˡˡ ᵈᵒⁿᵉ ᵐʸ ᵈᵉᵃʳ ˢᵒᵐᵉᵒⁿᵉ ᵗᵒ ᵏⁱˢˢ ᵐʸ ᶜᵒᵐᵐᵉⁿᵗ❤❤❤🎉
Mmwaaaah
@@tausimussa6553 💋💋💋💋
Jamn Jack ameish kwa shida ad nimeogop kwer wanaume wanabadilika jamn yaan maisha hay tuwasikilize San wazazi wetu tusiwe wakaid😱😱😱😱
Sana
Shukurn 🙏 Ankojay❤
Nimeitafuta hii part 2 siipati 😂😂
Lisa mwala na anko jay mungu awape amani yamioyo yenu
Jamani nimekuwa wa 4 leo ❤❤❤❤
Jamani part 3 plz anko j
Congratulations for anko jay kwa mwendelezo♥️♥️♥️♥️
Vile nimengoja ❤️❤️♥️♥️♥️
Merci beaucoup ankojay 🇧🇮
Much love ❤❤❤ anko jay🎉🎉🎉🎉
Waah wanaume hawapendiki kweli😢
Wana kigeugeu sana
Simulizi tamu san 😊😊😊
Thanks anko jay ❤❤❤❤
Leo nimewai jamani😂😂😂😂😂🎉
Thanks again ankojay kwa simulizi nzuri sana ya binti masawe part 2🎉🎉🎉😊😊❤❤❤
Wamwisho miyeeeee anyway let's go tanks I
Jay
Asnt anko wetsuuuu💃💃💃
Penda sn ❤❤❤💃
Asante anko jay ❤❤❤
Kiboko cha ulimwengu ni kikali sana
Mungu atupe kusikiliza mawaidha ya watu wazima
Asante kaka mungu akubariki ❤❤❤❤❤❤❤
Anko jay hii muvi ilete muendelezo leoleo nitanunua kwa rial 10 fasta ilete nikutumie pesa maana nitamuuuuu ❤❤❤❤
Ni nzuri sana hii story duu
In 5 minutes 30ppl are in,,,mnalala humu 😂😂😂,,ila asante jay kwa part two twakupenda mno❤🎉
Yale 😂😂😂😂yaliotupata Jana ilibidi tu tulale humu humu 😂😂😂😂tumekesha
Nyie tuambiane basi😂😂 maana sio poa
WA kumi na tisa👌👌
Woyooo tukopamoja❤❤❤🎉
Pamoja saaaana
Much love ankooo❤❤❤
Ancle j ahsante nazifurahia Sana simulizi zako❤
Finally anko amefanya ile kitu though ametuchelewesha ila tunaelewa anko kesho tuletee ex mana sai tumebakiza hii na ex moyo mweusi imeisha❤❤❤❤
iii ndo kboko ya wanafunz wanao ingia kwenye mausiano bila kufkilia
Asante kwakuleta mwendelezo akika ni smuliz nzur n nimejifunza mengi kupitia maisha aló yapitia jack
Asante anko jay
Meisubir kwa hamu 🙏
Story nzuriii sana jmn ankjay ubarikiwe nmeenjoy kuisikiliza
merci bcp anko jay vrt tu me manque,j'aime votre voix yani we mkaka ndagukunda,from burundi
Niwai❤❤