Hiyo ndiyo upendo wa kweli kutoka moyo tana ni Ya mungu shatani halitaka kuharimbu maisha yako kwa ndungu wa damu humbu lako hili hupotea husione mungu tupu mungu akusameh dhambi za laana kutoka kwa ndugu wako
Ndio mm naweza kwani yy pia ni mtu anaiji kupewa utamu pia na elimu isiwe kigezo Cha kukosa upendo jamani ni maisha tu Ankojay na family yako mungu akuzidishee mnooooooo ❤😂
Je wewe msikilizaji unaweza kuoa au kuolewa na Muuza Kuku ( Mtu Asiekuwa Na Elimu Kubwa.? ) 😊
Anko jay vp mwendelezo wa miss abby 😢😢
Naweza na nisiweze kwann ivi ww utaweza kuoa mwanamke asiekuwa na elimu
@@merrymazuri2713mbona tayari ishatoka hujaiyona angalia vizuri
Naweza sana muhm upendo tu
Mapenzi ya kweli hayaangalii hali ya mtu,ikiwa nampenda nitakubali bila kujali
Mmmmh,mwanzo tu wa simuliz mambo ya 🔥🔥🔥 hivyo ifika katkat watu masingel watakoma ooooh
Hizi simuliz zinaamsha mapenz sana ,ambao hawajaingia ktk mahusiano wasiingie humu watachanganya mambo
Mmm mmm! Na kakaako!!
Nyege gani hizo?
Anko j kweli unayajua,😂😂😂😂eti nakooo joa mwenzzzziiii oooooh
Mh mashalah uko vizuri my love 💕 usimuache Wazir
Sister Lissa na Anko j jaman si kwa raha hizi mnazotupa nazidi kuwapenda ❤❤❤ bure vipenz
Mmasai na mpini wake haya Sasha unayaweza mtoto wew
Nzur Sanna asant ank ,,,,km ananipend jap mfukua vyoo namkubal
Ankojay uko poa Asante kwa simulizi nzuri nakupenda
Much love ,from Saudi Arabia
Asante anko nimejifunza sana katik simuliz hii❤
Ee wanawake tunapeda anae tulizicha😊
Yaan watu wako speed twende Kaz muuza Kuku kafanyaje
Leo anko umekua anko kweli nasio mujomba leo umejua kutimiz ahadi jamani ❤️❤️❤️❤️
Pole Anko Jay sauti yako leo sauti yako na sikiya una mafua leo ni nzuri sana ❤❤❤
Aiseeee nimechelewa but c xn nipeeni likes jamani za muuza kuku much love ankoj ❤❤❤
Hiyo ndiyo upendo wa kweli kutoka moyo tana ni Ya mungu shatani halitaka kuharimbu maisha yako kwa ndungu wa damu humbu lako hili hupotea husione mungu tupu mungu akusameh dhambi za laana kutoka kwa ndugu wako
Yaani umetiwa na kutolewa bikira na kaka yako kweli makubwa
Mmmh
Nitacoment after kuwartch, ili nijue kuna nn na muuza kuku❤❤❤
Mashallah anko Jay kwa simulizi mpya ya muuza kuku baraka rafiki wacha tumuone
Duuu? Hii ni kali brother and sister
Shukran sana Anko Jay na Mwandishi wetu kipenzi Cha wengi Lissa Mwalla tumejifunza, tukafurahi na kuelimika muwe blessed tu sana
Daaaah,Lisa mwala na anko j hawajawahi kosea
Penzi popote jmn kwa muuza kuku mie
Hongera Lisa mwala kwa simulizi nzuri na zakufuraisha pia Ankojay kwa kusimulia vizuri na sauti yako inavutia sana natoka KENYA 🇰🇪 na wapenda
Anko jay simulizi nizuri Sana yenye mafunzo migi asente Lisa mwalla ❤❤❤❤🎉🎉🎉
Kila siku nachelewa sijapenda hak😢😢 anko j nakufatilia sana
Eeh ankojey umenifunza kiswahili eti chips vumbi😂😂😂😂😂❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Masikini Mr t apumzike kwa Amani asate sana ako j
Ahsante uncle jay
Jaman ankoo weeeeeeee mmh hiyo migunoo
Anavyojua kuikoleza utaelewa tu
Hapo Anko Jay Kama hukumwaga sijui😂😂
😂😂😂😂
Atazira kutuletea uhondo oooh,we mchokoze tu
Daah! anko jay unakoxha kwa kwel ❤❤❤
Yaaan
Kumbe Anko Jey Jana ulikuwa unasema ukweli thanks nitarudi baadae nikimaliza simulizi
Ndio mm naweza kwani yy pia ni mtu anaiji kupewa utamu pia na elimu isiwe kigezo Cha kukosa upendo jamani ni maisha tu Ankojay na family yako mungu akuzidishee mnooooooo ❤😂
Kumbe leonimewah namba nimekuwa wa12👌👌
Anko punguz wanavyotiana kutwambia man wengine tupo sungle unatuumiz jaman 🙈🙈🙈🙈🙈💖💖💖💖
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Pole sana!!!
😂😂😂😂
😂😂😂
samahan sana unaweniambia uko singol kwann?
maana nilazima anogeshe
Yes! Ankojay kibao ❤❤❤🙏🏼nimekaribia...I'm no.1
Nimekua wa kwanza leo Kwa MARA YA KWANZA maombeni likes please
Ongera sana❤❤
@@anjelinandambuki-fi4ipAsante kipenzi
Andka vzur nyau ww
Story nzuri sana ety anko J Mungu akubarika Yan unatusisimua kwa simulizi tamu sana ety 🤍🤍
Wow nimejifuza Asante kwa simulizi nzuri jamani usimtharau mtu jamani
Na mm naomben like jamn
Nawapenda sana anko j lisa be mwala❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nimefurah sana jamaniiiii😅😅😅😅😅😅😅
anko pole jaman naona unaumwa 😢
Mapenzi ndiyo muhimu. Kama tunapendana kwa dhati hata akiwa mzibua bomba la maji taka mie nitakubali kuolewa mae tu.
Kumekucha ❤
Tena na makucha yake
❤❤❤mmmh tamu jaman
Sijawah kukoment Kwa stor zako 😂😂 Toka nianze kufatilia stor ila dah pungza miguno we kaka wengene hatuna wapenz watulizaaa😂😂😂😂😂😂❤❤
Ahahahaha 😄😄😄 sawa
Nikweli kbs😂😂
@@ankojay_usipunguze tena koleza
Anko j naomba namba yako
Mh😮😮😮 darasa la leo ni kiboko,malezi yana changamoto nyingi jamani khaaaa 😮😮
Sana,malez ni changamoto kubwa
Leo Mimi wakwanza nakupenda ankojay❤❤❤❤❤
Mmmmh kwaiyo mtu na kka ke mnatiana kaz ipo haya bora salama 🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️
Doooo
Daaah hii story tamu haki asante anko jay nimeinjoy sana
Mwe! ndiyo maana nawapenda sana Lissa Mwala na Ankojay ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wanakosha mioyo ya wasikilizaji
Asante Ank ila Leo nahisi km huko sw sauti haisikiki km nilivyoizoweya hongera na pole Kwa majukum
Pia mimi nataka lakes ❤❤❤
Nimechelewa lakini uhondo nimeukuta😂😂😂😂😂😂😂
Nakupenda San anko jay mungu akupe umri mrefu
Jaman mbona natoa uncle J 😂😂😂😂😂😂😂
Much love uncle jay from Burundi 🇧🇮
Asante sana Ankojay pamoja na mrembo Lissa mwala from Nairobi Kenya nawapenda sana ❤❤❤❤
We lov u babe ❤
Laaa haula,tobaaaa,,,Sasha umefumaniwa had nimeogopa
Anko jay kuna mda unanishinda thwabia na izi cmulizi za kudinyana ghaiii😂😂😂
Nzuriiiii
Unaweza kuolewa na mfagia barabara au mshona viatu na mkaww matajiri
Anae gawa rizki ni mungu!
Ahadi ni deni hii ya kwanza bado ya pili usitudanganye umetuadi mbili sawa anko Jay twakupenda sana kwa kazi yako nzuri hongereni sana
Mmmmm ankoje siyo Kwa kulalamika huko
Anayaweza,akiwa uwanjan anauekuwa naye anapatta utundu wote
Mapenzi hayana elimu kaka ya darasani elimika hata muokota makopo anayaweza mapenzi.
Jamaniiii 😭 😭, kizuri sikuzote hakidumu, Mr T jamaniiii
Mapenzi hayana elimu ni hisia na kurithiana
gd pwent
Kaka unajua mpaka bhas
Kupitia simulizi hii nimejifunza naweza olewa na muuza kuku
Nimekuwa wa kumi na moja 😢..leo ni muuza kuku ..Naam muuza kuku 😂😂😂😂..Ahsante Anko jay wach nisikilize huyu muuza kuku kilichomkuta😊😊
😊😊😊Asante Anko much love from Kenya, unaniburudisha kweli😊
Anko jay jman punguza bwana,,nskia mashokolo majeni ymekua mengi ynantesa khaa😅
Mashokolo yapotezee usikilizempaka mwisho
Mmasai yumo eeeh,nilijua wao ni rungu na sime kumbe hata romance wanayaweza haya mmasai twende
Mie ankj Tu ndio ananifurahisha kama yeye vile 😅😅
Pole anko kwa mafua ...asnte iwa kibao kipya
Kitaaamuuuu
Mmuza kuku Leo,tunaenza kukula miguu na minyoo za kuku😂😂😂
😂😂😂😂😂
Tam sana
Yaliyomo yamo💯 jaman maana wengine hapa tuna like na tunasikiliza Alafu kifutacho ndo Comment ✍️✍️
Kabisaaa
Tunao kubali sauti ya anko Jay tupia like hapo tujuane😊❤❤
Sauti balaa aisee😅😅😅
❤❤❤❤
@eunicemitsanze8643 balaa sio dogo hilo
❤❤❤❤❤
Ankojay tuhurumie wenzio jameni duh! Sio kwa Hali hii
Polen singel,ila tunainjoi
❤😂❤😂❤😂🎉🎉🎉🎉asante sana Lisa mwalla na anko jay. Hongera zenu
Anko nakupeda bule sauti yako inatupa faraja 😊😂
😂😂😂😂daaaah,anapigwa deki
Mungu akubariki sana anko jei maana da hiii hatali sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂
ANKO J ANAPENDA SEKTA ZA KUTIANA
😮😮😮
Doooooh
Ila ankojay unajua kunogesha😂🙃
Sana kwayu
Ana ujasiri wa kutongoza huyo sio kwa ujasiri huo alianza na kaka,akafuata mzee t sasa ni mmasai haya bibie unayaweza
Anko Jay hivi wewe haupati taabu kusimulia hizi simulizi za kuzagamuana😂😂😂 aki Mimi naumia mwenzio 😅😅😅
😂😂😂😂😂hoi taabani
Nilishajiuliza saaana haya maswali bila kupata majibu
Huko kutiana tiana huko kutatunga mimba ya kaka na dada
K ama unapenda smuliz kama iz gonga like
Ankojay wewee Pongezi kazi ya Lissa mwala nawavulia kofia kwa kujua kuniliwaza n kunifunza
Anko jay punguza miguno mi sina mume bwana nateseka 😅😅😅
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Kaaaah
kwaulivyo mrrembo utapt2
Wahoo story nzuri sanaa Dar ancle na Lisa Asante kwa hiii❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Assalam allaikum ankojay mbn mm simulizi hazinifikii kwa wakati na nipo online mda wote shida nn j😭😭
Ukiona hivyo una unsubscriber kisha una subscriber tena
Heeeee,purukushan zote za kuzagamuana nilijua zitazaa matunda ndio hayo ya mimba ya kaka
Ulikuwa malaya ana dada
Saaaana ,alitaka midude midude mikuubwa tu
Hii ni balaa
Balaaa kweli
jaman hii kk na dad ten mmmhhhh😢😢😢😢😢
Mmmmh😢😢😢
Anko j huwachi...eti k inafanya putu putu putu.😂cjui ni maneno yko ama ya muandishi
😂😂😂😂 daaa huyu kaka ni noma