NATALIA part 02 : SIMULIZI YA MAPENZI, By Ankojay

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 294

  • @elizabethmuhati8758
    @elizabethmuhati8758 8 หลายเดือนก่อน +8

    Asante anko jay simulizi tamu anko nangojea bint Lisa part 54 heeko kwKo

  • @Annette27079
    @Annette27079 8 หลายเดือนก่อน +3

    Ankojei chukua maua 🎉🎉yako for your good job

  • @crestian8343
    @crestian8343 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli mapenzi shikamoo bt ukweli huweka mtu huru hongera ankojay kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @mariamahmad8261
    @mariamahmad8261 11 หลายเดือนก่อน +10

    Jaameni m Lisa part 5

  • @PhoebeWafula-d6c
    @PhoebeWafula-d6c ปีที่แล้ว +6

    Asante ankojoy nimepata Niko na furaha sana😍😍😍😍😍

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 10 หลายเดือนก่อน +14

    Kwa wale mtakoenda mbinguni kila mtakaemuona jehanam atakuwa yuko huko kihalali kabisaaa ,Natalia wee ni mbaya sanaa

  • @MeryChristopher-r6y
    @MeryChristopher-r6y ปีที่แล้ว +10

    Asante sana anko j,,yaan simulizi zako zimenifunza mengi na mengi nimesamehe kwenye moyo wangu nanimejisamehe mwenyewe pia.asante kwa kila simulizi yako

  • @MarkJames-nz3dr
    @MarkJames-nz3dr 9 หลายเดือนก่อน +10

    Nme mchukua Natalia sanaaa

    • @vailethaboubakar1884
      @vailethaboubakar1884 6 หลายเดือนก่อน +3

      Ni mbwaaaaaaaa😂

    • @VictoriaFuka-iz6fi
      @VictoriaFuka-iz6fi 5 หลายเดือนก่อน +1

      Nimelichukia sana hili linatalia Lina roho mbaya alitakiwa awe na mwisho mbaya bhn mi sijampenda awe na mwisho mzuri kwanza kanikera kinazi

  • @hellenrichard9731
    @hellenrichard9731 ปีที่แล้ว +6

    Me sio mpenz wakukoment but nakukubali Sana ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +1

      Ahsante sana

    • @AishaSalumu-h6f
      @AishaSalumu-h6f ปีที่แล้ว

      ❤❤❤❤❤

    • @vailethaboubakar1884
      @vailethaboubakar1884 6 หลายเดือนก่อน

      Ankojay umetisha sanaaaaaah jamn😂 unajua unajua unajua tena mkuu sina pingamiz na wew axee🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @missmontana856
    @missmontana856 ปีที่แล้ว +9

    Dee aja deserve uwo unyamaa 😢uyu Natalia alitakiwa awe na mwisho mbaya akumbuki dharau za Roby sijaipenda Dee kumiaa akustaili💔💔

  • @deusdeodavid5360
    @deusdeodavid5360 9 หลายเดือนก่อน +6

    Dem jambazi alafu stori inaisha yeye mshindi 😂😂 stori mbovu

  • @winifridatairo6660
    @winifridatairo6660 ปีที่แล้ว +7

    Ni kwambie tu ukweli Natalia,,
    J hajakuaharibia maisha ila umejiharibia mwenyewe kwa ujinga wako😅😅😅

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว +2

    Hongera mmm! Shost we noma umepambana aseee💪

  • @FurahaBishari
    @FurahaBishari ปีที่แล้ว +4

    natalia simulizi yake ni tam kweli anko jay asante sana tuna kupenda zaidi jay

  • @MagrethyFraha
    @MagrethyFraha ปีที่แล้ว +9

    Jamn wow leo cku yangu umeifanya ianze vzuli nakupenda anko j mungu akusaidie uzidi kufanikiwa katka kazi yako

  • @CiciliaBoke-f7j
    @CiciliaBoke-f7j 10 หลายเดือนก่อน +6

    Asante sana Ankojay kwa simulizi nzuri sana ubarikiwe sana na kazi yako ❤❤❤❤

  • @FatmaHassankhamisi
    @FatmaHassankhamisi 10 หลายเดือนก่อน +2

    Shukran anko jey simulizi tamu my 🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @elizabethbarasa5832
    @elizabethbarasa5832 ปีที่แล้ว +4

    Aki hauna Asante, eeeeh mahali umetolewa alafu unawafanyia hivo??Huna Shukrani kabxa.

    • @DorcasMuomba-gd3sw
      @DorcasMuomba-gd3sw 8 หลายเดือนก่อน

      Shukrani ya punda ni teke (yaani huyu binti anatia asira hadi sina hamu yakuifuatilia zaidi (yaani Natalia hana akili nzuri kurudi kwa mtu aliye mtelekeza na alitamani amue mwanae

  • @IreneMallyMally
    @IreneMallyMally ปีที่แล้ว +4

    nc anko j nakufalia sana

  • @MarkJames-nz3dr
    @MarkJames-nz3dr 9 หลายเดือนก่อน +6

    Natalia ana boa jmn😢

  • @jessicammamy
    @jessicammamy ปีที่แล้ว +7

    God bless for the writing the stories they are so good for us we are outside of country when you listen the story like this you feel blessing and you know there is true love and thank you so much uncle Jay😊😊😊😊

  • @heriethmozes8151
    @heriethmozes8151 ปีที่แล้ว +3

    Mapenz nihisia ❤❤❤Asante anko j

  • @matridamgani8862
    @matridamgani8862 ปีที่แล้ว +6

    Leo kuwah thanks uncle jy

  • @florenceakothotieno3673
    @florenceakothotieno3673 ปีที่แล้ว +5

    Asante sana ankol j,ww ndio wanitolea hasira za hawa warabu

    • @aminaballong231
      @aminaballong231 ปีที่แล้ว

      Na wanajua kutupa hasira acha tuinjoy tu kwakwel na sauty zuuuuri ya kijana mzur anko j

  • @SilviaMangazini
    @SilviaMangazini ปีที่แล้ว +4

    Nice story mungu akubariki katika kazi Yako nampnda sana simulizi Zak anko jay

  • @DorcasMuomba-gd3sw
    @DorcasMuomba-gd3sw 8 หลายเดือนก่อน +7

    Uyu Natalia alikuwa anatakiwa aazibiwe na apate mwisho mbaya maana huyu dada anadharilisha wanawake (yaani nikama anapepo na laana

    • @VictoriaFuka-iz6fi
      @VictoriaFuka-iz6fi 5 หลายเดือนก่อน +1

      Nikweli alitakiwa awe anamwisho mbaya ili apate funzo la maisha Lisa mwalla anatakiwa kuandika str ya mtu ambaye ataishiwa na mwisho mbaya ili ajifunze khaaa sio mtu anaishia mwisho mzuri

  • @JanetGao-j2x
    @JanetGao-j2x ปีที่แล้ว +3

    Ahsante sana kwa simulizi nzuri sana na inaelimisha ❤

  • @ikissygonta8817
    @ikissygonta8817 ปีที่แล้ว +3

    Asante kwa simulizi nzuri Anko jay.

  • @JacklinBeatus
    @JacklinBeatus 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mmmmhu hakupend huyo, utajuta cku moja

  • @aminah9557
    @aminah9557 ปีที่แล้ว +11

    Mm simlaumu Natalia namlaumu D kwa kufoce mapenzi mahali usipopendwa

    • @رحيمهزيزو
      @رحيمهزيزو ปีที่แล้ว

      Sasa kama haupendi mtu mbona unandamana nae

    • @esthermugoli4527
      @esthermugoli4527 ปีที่แล้ว +2

      Yes my dear ni roho njo inapenda musimlamu Natalia love is not by force period

    • @DesteriaMakumbuli
      @DesteriaMakumbuli 8 หลายเดือนก่อน

      Angeacha tu maigizo yake asinge angemkataa tu mapema

    • @DesteriaMakumbuli
      @DesteriaMakumbuli 8 หลายเดือนก่อน

      Asingemkubalia wakati hampendi

    • @VictoriaFuka-iz6fi
      @VictoriaFuka-iz6fi 5 หลายเดือนก่อน

      Angemwambia ukweli ila asingemuumiza mkaka wawatu hizo nitamaa tuh mapenzi tuh hata kama ndo kapenda sio Kwa kiasi hicho

  • @mildredalivitsa1186
    @mildredalivitsa1186 ปีที่แล้ว +3

    ❤nimejifuza mengi Sana dada Natalia be blessed and pole sana kwa misukosuko ulio pitia.

  • @RosemaryMassawe-p6l
    @RosemaryMassawe-p6l 11 หลายเดือนก่อน +2

    Jaman N kali sanaa

  • @fatumahamedi4467
    @fatumahamedi4467 11 หลายเดือนก่อน +2

    Asante kwa simulizi nzur anko jay

  • @zahrababygarl1568
    @zahrababygarl1568 ปีที่แล้ว +5

    Asante sana Anko jay unayopitia ndio mimi niko kwenye hii hatua sijui nimchague yupi😢😢😢😢

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 ปีที่แล้ว +4

    Asante sana anko Jay mungu akubariki sana

  • @LizaLiza-v2m
    @LizaLiza-v2m ปีที่แล้ว +3

    Asante tulioko oman umekua faraja kwangu

  • @DorcasMuomba-gd3sw
    @DorcasMuomba-gd3sw 8 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu Natalia alikuwa hanaakili tena ni mtu asiye rizika

  • @wilkisteradhiambo3072
    @wilkisteradhiambo3072 ปีที่แล้ว +7

    Thank you so much my dear Anko Jey,nilikuwa nimesubiri sana

  • @Slaypookie2309
    @Slaypookie2309 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana kwasimulizi nzuri sana

  • @رحيمهزيزو
    @رحيمهزيزو ปีที่แล้ว +7

    Simulizi ni 🔥🔥🔥 sana ,pia natalia nakupa pole kwa yaliyokukuta mwisho kupoteza mtoto but dennis naye hakua amekukosea hata siku moja mbona ulifikia mahali pa kufanyie mtu kibaya ambaye hajakufanyia kosa na kama ulikua haupendi mbona ukamua kuishi naye nakapoteza vitu vingi juu yako.heri mtu kama haupendi usisubutu kuchukua kilicho chake

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 ปีที่แล้ว +5

    Hii simulizi ni tamu hata kuliko samaki changu 😂😂😂😂...BIG RESPECT TO YOU ANKO JAY 🫡🫡😊

  • @zawadtwahirusuleyman1392
    @zawadtwahirusuleyman1392 ปีที่แล้ว +4

    Cjachelewa sana ❤❤❤❤Anko jay

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 ปีที่แล้ว +28

    Yan like Zen mi wakwa1 ahsante Anko Jay kwakweli simulizi hii ni 🔥🤭😂🤣🤣🤣

    • @BakaryKiboko
      @BakaryKiboko 11 หลายเดือนก่อน

      Benad,kamil,membe

  • @puritydhahabu4464
    @puritydhahabu4464 ปีที่แล้ว +4

    Wakwanza jamani tena asante ankojay nilikua naingojea kwa hamu na hamu mungu akubariki

  • @AminaMuhammadkuzenza
    @AminaMuhammadkuzenza 9 หลายเดือนก่อน +3

    Eti vita ya mapenz upuuzi gani huo tena utyumwa tyu kwakwel

  • @CleopatraDhaje
    @CleopatraDhaje ปีที่แล้ว +4

    Leo umenifurahisha sanaaa

  • @issanuru9552
    @issanuru9552 ปีที่แล้ว +5

    Ila watu 😂😂hampati nilifikiri ntakuwa wa kwanza kumbe yoooòoo...

  • @nadrasalum6039
    @nadrasalum6039 ปีที่แล้ว +4

    Nimewahi 🥳🥳

  • @nackymrutu1869
    @nackymrutu1869 ปีที่แล้ว +2

    Asante anko j Mambo🔥🔥🔥🔥

  • @rauhiyasuleiman4626
    @rauhiyasuleiman4626 8 หลายเดือนก่อน +2

    Sw natalia upo na msimamo, ila uwo ni msimamo wa kipuuzi maan had kwa mdhalilishaj

  • @JawahirMadar
    @JawahirMadar ปีที่แล้ว +4

    Ivi kweli huko ktk hiyo dunia hakuna selkali matukio ya vitisho eti mna kaa kimya 😮😮

  • @hamidabaliyanga2584
    @hamidabaliyanga2584 11 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran Sana Ankojay ❤❤🎉🎉🎉

  • @FatmaMohd-sj7kc
    @FatmaMohd-sj7kc ปีที่แล้ว +5

    Asante Ankoj Kwa tupenda nasi tunakupenda sana😘😘😘

    • @MwajumaRajabu-v4c
      @MwajumaRajabu-v4c ปีที่แล้ว

      Nzuri Sana Asante sana anko j kwa simuliz tamu

  • @IreneDonard
    @IreneDonard 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbn kama movie 🎥 jmn Natalia simuamni kabsa yan

  • @roznaaa5995
    @roznaaa5995 ปีที่แล้ว +4

    Shida natalia hunashukurani umelelewa wew na mtoto wako

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 ปีที่แล้ว +4

    Mmmmmh robby pia ana makosa but wanaume ndio sabab ya kuharibu maisha ya wanawake weng😢

  • @FrankJuma-g6r
    @FrankJuma-g6r 3 วันที่ผ่านมา

    Ise Anko jey simuliz ni nzur sana

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤❤ Asante San 🎉🎉

  • @NadiaMukeshimana
    @NadiaMukeshimana 2 วันที่ผ่านมา

    Nashukuru mungu sana wewe uriceza na mume utapata

  • @laveenamuscat4959
    @laveenamuscat4959 ปีที่แล้ว +2

    Nachekaga tu hapo unaposema nyie🤣🤣

  • @nindymuruga4798
    @nindymuruga4798 ปีที่แล้ว +4

    Hatimae Natalie kaweka wazi ukweli wake na mambo yamenyooka nasikitika tu kupoteza mtoto wao.

  • @Hannahmuchoki12
    @Hannahmuchoki12 ปีที่แล้ว +4

    Much love ankojay ,never disappoint 🔥🔥❤️❤️

  • @christinekanza5394
    @christinekanza5394 ปีที่แล้ว +2

    Simulizi ni tamu thanks 🙏🙏

  • @MaryMary-kq3nh
    @MaryMary-kq3nh ปีที่แล้ว

    Asante sana Anck jy yina burudika kweli kweli❤️❤️❤️🔥🔥🔥🇨🇩

  • @sadikituji-rd5od
    @sadikituji-rd5od ปีที่แล้ว +2

    Sawa Asante Anko J

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante sana Anko jay..wacha nienjoy simulizi yetu nzuri na yenye mafunzo.ama kweli moyo ukipenda haushauriki 😢😢wewe moyo wewe utatupeleka basipo ingilika😂

  • @NadiaMukeshimana
    @NadiaMukeshimana 2 วันที่ผ่านมา

    Naomba mungu mutoto wa Batu naye ayishi naye apendwe

  • @حمدانالحويطي-م8ك
    @حمدانالحويطي-م8ك ปีที่แล้ว +1

    shukrani anko jay kwa kazi safii

  • @rachypsalms2869
    @rachypsalms2869 ปีที่แล้ว +2

    Thank you Anko Jay, 😍😍😍😍

  • @jackyjacob2105
    @jackyjacob2105 ปีที่แล้ว +2

    Thank you very much anko Jay much love from Kenya 🇰🇪

  • @soniblessed7815
    @soniblessed7815 ปีที่แล้ว +3

    Thank you very much anko jay much love from saudi

  • @mohammedjuma1543
    @mohammedjuma1543 ปีที่แล้ว

    woow sio kwa kufuraha hii niliyo nayo yaani full moods 😂😂😂 kwa simulizi za anko jay tu...... thnx alot may God you Ameen

  • @tabiasalum3381
    @tabiasalum3381 ปีที่แล้ว +1

    Tunakupenda sana ❤❤❤

  • @CarolinaMunis-y2k
    @CarolinaMunis-y2k 25 วันที่ผ่านมา

    Natalia ana roho mbaya sana nikwann asimpende uyo kaka wawatu jmn ,Natalia hafai kusaidiwa kabisa,

  • @sawamisawami6766
    @sawamisawami6766 ปีที่แล้ว +3

    Asante anko j ❤

  • @shantellekwamboka7444
    @shantellekwamboka7444 ปีที่แล้ว

    Simulizi tamu sana,hv bn enjoying and each day am making new step,but niulize hivo sasa yule rafiki yake Nathalia alienda wapi,ansante sana bablove,Anko Mapesa n sisi wasilikizaji🎉

  • @rehemablandina782
    @rehemablandina782 ปีที่แล้ว

    Wooow!!!aki nimependa hii simulizi I wish ingeendelea hadi isipokuwa na mwisho 😂😂😂😂❤

  • @BijouxKikwindi
    @BijouxKikwindi ปีที่แล้ว

    Asatesana anko kwakweli hi simulizi yako nizuri sana na mungu azidishe kuku bariki thank you so much 🥰🇺🇲

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว

    Ha ha haaaa naona Robby hamjui X
    X ni noma asinge thubutui kuacha familia yake ikae ovyo ovyo!

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 ปีที่แล้ว

    Umeyakoroga Natalia,uyanywe sasa😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @CeciliaChuwa-q2k
    @CeciliaChuwa-q2k ปีที่แล้ว +2

    Asante sana ank j

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว

    Mwenzio mi nasave 😂😂😂😂 siogopi wala mini

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 ปีที่แล้ว +1

    True love thank you so much ankojey ❤❤❤❤❤

  • @elizabethlucky8200
    @elizabethlucky8200 ปีที่แล้ว

    Asante kwa simulizo imekua yenye mafunzo mazuri sana thanks ankojay ❤❤

  • @FatmaMohammedAliphan
    @FatmaMohammedAliphan หลายเดือนก่อน

    huyu natalia ni muuwaji 😢😢😢😢cjampenda kabisa 😢 kanikera mnooo😢

  • @AAa-it7nx
    @AAa-it7nx ปีที่แล้ว +3

    Asante Sana

  • @LéontineVyizigiro-j9b
    @LéontineVyizigiro-j9b 8 หลายเดือนก่อน +1

    Anko tunaomba Lisa ya50 Natalia anatuuzi

  • @FurahaBishari
    @FurahaBishari ปีที่แล้ว

    asante piya anko❤❤❤

  • @CarolinaMunis-y2k
    @CarolinaMunis-y2k 25 วันที่ผ่านมา

    Natalia tamaa mbaya msika mawili Moja upo nyoka

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 ปีที่แล้ว

    Nimeingia kwa sehemu yapili sai nikiwa nimeanza leo sehemu ya kwanza thanks ankojay❤❤❤❤

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 ปีที่แล้ว +1

    Thanks kkangu tuko pamoja❤❤❤❤

  • @samsungoman5626
    @samsungoman5626 ปีที่แล้ว

    Asante sana ank j kwa simulizi zako nzuri tuna enjoy

    • @bakarifatuma5004
      @bakarifatuma5004 ปีที่แล้ว

      Asante sana ank j Kwa simulizi zako nzuri tuna enjoy

  • @ndayisabaneema9514
    @ndayisabaneema9514 ปีที่แล้ว +3

    Thank you Ankojy

  • @mariethamasika9125
    @mariethamasika9125 ปีที่แล้ว +3

    Thanks alot anko....Mungu akubariki🙏🙏🙏

  • @mishymorgani5828
    @mishymorgani5828 ปีที่แล้ว

    Ankojay, sauti inakauka jamaniiii, jitaidi uwe unamwagilia moyo kidogo huku unasimulia jamaniiii 🤣🤣❤️

  • @رحيمهزيزو
    @رحيمهزيزو ปีที่แล้ว

    Wap vigelegele kwa anko jay🥰🥰🥰🥰

  • @zuhuranadahhinda1366
    @zuhuranadahhinda1366 ปีที่แล้ว

    Lazima nimalize viporo vyote nakupenda anko j simulizi nzuri nyie

  • @AnnitahMwende-x9f
    @AnnitahMwende-x9f ปีที่แล้ว

    Aki anko jay nakupenda sana juu ya kutuelimisha sisi watu wako

  • @NadiaMukeshimana
    @NadiaMukeshimana 2 วันที่ผ่านมา

    Napenda celline sana

  • @mishymorgani5828
    @mishymorgani5828 ปีที่แล้ว

    Eeeh, Ankojay izo mbinu zakivita jamaniiii.. Na kumbuka mimi nilimtumia Skio 🤣🤣weee mpka Leo sisikii vizuriiii, Skio lakushoto

    • @Neema-d2i
      @Neema-d2i 10 หลายเดือนก่อน

      Ulitumiaje?