MAMA AMWAGA MACHOZI MBELE YA WAZIRI SILAA MGOGORO wa ARDHI na MWEKEZAJI WA LUKONDE - MOROGORO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ค. 2024
  • MAMA AMWAGA MACHOZI MBELE YA WAZIRI SILAA MGOGORO wa ARDHI na MWEKEZAJI WA LUKONDE - MOROGORO
    Wananchi katika kijiji cha Kikundi Wilayani Morogoro Mkoani Morogoro wamemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwaonea huruma juu ya ardhi yao ya asilia inayomilikiwa na Mwekezaji wa Kampuni ya Uluguru Cooperation ambaye ameshindwa kuiendeleza.
    Wakizungumza katika mkutano wa kijiji wa tarehe 09/07/2024 mbele ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa wananchi hao wamesema kuwa wamekuwa wakifanyiwa vitendo vya fedheha ikiwepo kupigwa na kuchomewa makazi yao na mwekezaji huyo .
    Aidha Waziri Silaa amewataka wananchi hao kuandika barua ya maombi ya ardhi huku akiwasihi kuacha kujiundia kamati ili kuchangisha kuratibu mazoezi ya ardhi.
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 14

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  20 วันที่ผ่านมา

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 20 วันที่ผ่านมา +1

    BILA KUBADILI SHERIA YA UMILIKI NA UMILIKISHWAJI KUBADILISHWA HLI HALITA ISHA MPAKA KIAMA.

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 21 วันที่ผ่านมา +2

    Subhanallah mwenyezi mungu ona hiki kilio

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 21 วันที่ผ่านมา +4

    duh nmejikuta natokwa machozi maskini bibi wa watu

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 20 วันที่ผ่านมา +1

    Daah kusema kweli nchi ina sikitisha 😢

  • @HashimYahaya-hd3zm
    @HashimYahaya-hd3zm 21 วันที่ผ่านมา +2

    Waziri uyo bibi msaidieni

  • @seyfullahonlinetv
    @seyfullahonlinetv 21 วันที่ผ่านมา +2

    قل جاء الحق وزحق الباطل

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 21 วันที่ผ่านมา +3

    wazili slaaa mwenyew alitaka kulia mpaka akaweka miwani yake ya tinted vizuli ashaona hiii mimavi ila kwasababu kazi yake yeye Nikumtetea mama inabidi afanye ivo2

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 20 วันที่ผ่านมา +1

    Watu wameongeseka. Hee kutoka.mln 10nhafi mln 61

  • @josephminja7953
    @josephminja7953 21 วันที่ผ่านมา +1

    Inasikitisha sana 😢

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 20 วันที่ผ่านมา +1

    Hv kweli tumefikianhapa!!! CCM inawajali weupe tuuu. Hee!!!? Mnavunka nyumba za watunetu wavamizi ?!! Ina.maana ni wakenya au warundi? Mmekosa.kabida.mbadala?!! Weupe ndio uwekezaji kutunza.mpori? Hajalima miaka.3.wananchinwapewe vipande.walime.mazao. ta muda

  • @mamasuleman7322
    @mamasuleman7322 20 วันที่ผ่านมา +1

    Watoto njoo na vikindu Kijiji Cha kazole serikali ya Kijiji ndio michezo yao

    • @mamasuleman7322
      @mamasuleman7322 20 วันที่ผ่านมา

      Ni mekosea sio watoto ni waziri

  • @stellahbethord9321
    @stellahbethord9321 20 วันที่ผ่านมา

    Tembea vijiji vyote vya morogoro mbaka uko ifakara mana kuna watu wanatumia mamlaka yao kutesa watu kuna baba zetu wanateshwa mahakamani kwajili ya haki zao