MWANZO MWISHO: VILIO NA SIMANZI MAZISHI YA ABIRIA WA MV NYERERE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ก.ย. 2018
  • Leo Sep 23, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza mazishi ya Kitaifa ya miili ya watu 09 katika kijiji cha Bwisya, walofariki Sep 20, baada ya Kivuko cha Mv. Nyerere kuzama ndani ya ziwa Victoria kisiwa cha Ukara Wilaya ya Ukerewe Mwanza.

ความคิดเห็น • 325

  • @rozinahamisi84
    @rozinahamisi84 5 ปีที่แล้ว +41

    Like kama pia wewe umetoa machozi pindi miili inapoingizwa kaburini tuwaombeeni dua wenzetu wametangulia mbele za haki hatujui sisi tutaiyaga dunia kwa namna gani😭😭😭😭

    • @juhudihussein1551
      @juhudihussein1551 5 ปีที่แล้ว +1

      Rozina Hamisi 😭😭😭😭😭😭

    • @zubedaswaleh5158
      @zubedaswaleh5158 5 ปีที่แล้ว +1

      inalillahi waina ileihi mngu awalaze pema

  • @juliusmbogoma882
    @juliusmbogoma882 5 ปีที่แล้ว +21

    So sad....huu ni msiba wa taifa, Serikali iangalie upya vivuko vyote vilivyobakia ili maafa kama haya yasije yakatokea tena...Mungu azipumzishe kwa amani roho za marehemu wote waliofariki katika kivuko cha Mv nyerere...pole kwa wafiwa, pole WATANZANIA

  • @kenusmasingo1770
    @kenusmasingo1770 5 ปีที่แล้ว

    Poleni sana ndugu na dada zetu watanzania kwa yote yaliyomfika. Naomba mwenyezi Mungu awe nanyi kwa huu wakati mgumu. POLENI TENA SANA TAIFA LA TANZANIA KWA UJUMLA. MOLA AWE NANYI.

  • @mzeesabhos9984
    @mzeesabhos9984 5 ปีที่แล้ว +1

    Tuwaombee mungu ndugu zetu waliopoteza maisha like kama na wewe umetokwa na machozi

  • @edsonmwambokela2865
    @edsonmwambokela2865 5 ปีที่แล้ว +6

    Poleni sana wanamwanza na poleni sana watanzania tunakuomba he mwenyezi Mungu aziweke roho za marehemu mahali pema peponi Anina

  • @christmasmachele5589
    @christmasmachele5589 5 ปีที่แล้ว +6

    Raha ya milele uwape Eeh Bwana na mwanga wa mbinguni uwaangazie wapumzike kwa amani Amina

  • @bahatisiyengo5973
    @bahatisiyengo5973 5 ปีที่แล้ว +1

    Ee mwenyez Mungu tizama roho za waja wako ........Utujalie roho ya uvumilivu na ujasiri wa kuendelea kuishi katika imani yako hasa katika kipindi hiki kigumu. Mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa amani .Amina

  • @reginablaysius4039
    @reginablaysius4039 5 ปีที่แล้ว

    Eeeeehe mungu tujalie mwisho mwema PUMZIKENI kwa AMANI ndugu zetu wote wa mungu kwake tutarejea

  • @bijumakassim3697
    @bijumakassim3697 5 ปีที่แล้ว

    Pole Sana wafiwa na watanzania kwa jumla... machozi yamenimwaika kwakweli hii ajali haito saulika Mungu awatie nguvu katika kipidi hichi....Allah awaeke pema palipo na waja wema Amiin.

  • @farajacharles193
    @farajacharles193 5 ปีที่แล้ว +8

    Daa ! Very painful but tumwachie Mungu

  • @mbwanalau57
    @mbwanalau57 5 ปีที่แล้ว +10

    Kuishi nibahati
    Kufa nilazima
    So Tuombe mungu
    Kilawakati emen

  • @happyjacob5176
    @happyjacob5176 5 ปีที่แล้ว

    Eee Mwenyezi Mungu,wape nguvu watoto wako,were mungu ndio mfariji was kweli.Bwana ulitoa na Bwana umetwaa jina lako litukuzwe.Amen

  • @emmanuelmziray1073
    @emmanuelmziray1073 5 ปีที่แล้ว

    Mungu tuhurumie sisi Watu wako.
    Hii ni ajali ambayo haikuweza kuzuilika. Mungu ndiye mtoa uhai na uzima wa mwanadamu.
    Juhudi za serekali zinapokelewa na juhudi zote za serekali zinaonekana. Hii ajali ni muhimu kwetu kutukumbusha ya kwamba maisha yetu ni ya muda hapa duniani. Basi mwanadamu amua leo UUMCHE BWANA MUNGU MUUMBAJI WETU. Amen

  • @halimahamisi2523
    @halimahamisi2523 5 ปีที่แล้ว

    Poleni sana ndg jamaa na marafiki mlio kutwa na msiba. Ni pigo kubwa sana kwa kila mtu. Sote kwake allah tutarejea

  • @judystan5159
    @judystan5159 5 ปีที่แล้ว

    Waah!!kwa kweli kifo hakina huruma,ardhi/kaburi nalo halitosheki limemeza watu wengi na bado najua mimi pia linaningoja siku yangu ikifika Mola awafariji ndugu na jamaa wote wa waliofiwa,amen.

  • @angelengandi7897
    @angelengandi7897 5 ปีที่แล้ว

    Eeeeh mwenyezi Mungu zipokeye roho zawo na huwalaze mala pema peponi wapumzike kwa amani amina.

  • @kinaramlay9954
    @kinaramlay9954 5 ปีที่แล้ว

    Ee Mwenyezi Mungu Baba wa Rehema na Upendo wapokee ndugu zetu katika Ufalume wako wa Mbinguni wakapumzike Milele. Tunawapenda Sana ndugu zetu. Wamekuita Sana hiyo siku na ukawaitikia nakuwaoumbatia. Na pia Mungu uendelee kukumbatia Familia zao wakajazwe nguvu zaidi. Amina.😭😭😭😭😭😭😭😢😢😢😢😢

  • @jacklindaudi9038
    @jacklindaudi9038 5 ปีที่แล้ว +30

    Ehee mwenyezi mungu tuangalie waja wako ss tusamehe dhambi zetu

    • @tumtumkhan3115
      @tumtumkhan3115 5 ปีที่แล้ว

      Amiin ya Rabby

    • @iblahimupaskali5445
      @iblahimupaskali5445 5 ปีที่แล้ว

      poren wafiwa

    • @robertjovene
      @robertjovene 5 ปีที่แล้ว

      Ehee mwenyezi mungu tuangalie wajao wako ss tusamehe dhambi zetu, wapumzishe kwa amani, Na roho zama remix zilazwe mahalipema peponi ( Amina )

    • @carolinebega4741
      @carolinebega4741 5 ปีที่แล้ว

      polen sana

  • @elizabethmuya4180
    @elizabethmuya4180 5 ปีที่แล้ว

    Sending our deepest sympathies and condolences from Kenya,may God heal the nation of Tanzania and all the families affected by the Mv Nyerere ferry disaster.Wishing you the grace of God and His peace that surpasses human understanding.

  • @emmanueldutuleo3992
    @emmanueldutuleo3992 5 ปีที่แล้ว

    Watanzania nawapenda sana naomba tuwe wote wakati wamajonzi kama huu na wale watakao tumia ajari hii kujipati kiki kwa masirahi yake au chama chake naomba akamatwe na kupewa adhabu kali kwani ajali nikitu ambazo hazinaga kinga mungu ndio kiongozi wa yote apewe sifa kwa ukuu wake amina

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 5 ปีที่แล้ว +1

    Nmelia .....hadi kumshkuru ALLAH........mungu atujalie mwisho mwema n.a. awaruhum narhum 😭😭😭😓 musiba huu wallahi

  • @maureenwangati6593
    @maureenwangati6593 5 ปีที่แล้ว

    OH God this is so sad. Thank you for this video it shows how Tanzania cares for its people. May those mothers and families be comforted. That was very difficult to watch.

  • @tamimumbwana9236
    @tamimumbwana9236 5 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana wafiwa wote.
    Mwenyezi mungu azilaze mahala pema peponi roho za ndugu zetu hawa waliotangulia mbele ya haki
    Innalilah wainna ilaihi rajihuni.

  • @bentaachieng4286
    @bentaachieng4286 5 ปีที่แล้ว +5

    Poleni sana ndugu zangu watanzania Mungu awafute machozi wakati huu mgumu

  • @faithblessedmwai9342
    @faithblessedmwai9342 5 ปีที่แล้ว

    Poleni Ndugu zetu Watanzania

  • @ghislainbahirwe846
    @ghislainbahirwe846 5 ปีที่แล้ว

    Eh Mungu twahitaji faraja toka kwako hongera sana kwa taïfa la wa tanzania

  • @aisharajabu6139
    @aisharajabu6139 5 ปีที่แล้ว +3

    Eee mwenyezi mungu wapokee waja wako na uwape malaz mema ,ameen

  • @Lifetoday517
    @Lifetoday517 5 ปีที่แล้ว

    Poleni Tanzania, Mungu awape nguvu ya kuhistahimili machungu

  • @abdallahomari8680
    @abdallahomari8680 5 ปีที่แล้ว

    Eemola wasamehe mauti wetu nauwarehemu woote nauwaweke pema palipo nawema wako waliotangulia, Amin, allahuma ighfirlauhuma warahmhuu wamasaknuhu fill janna

  • @matridantapula4865
    @matridantapula4865 5 ปีที่แล้ว +4

    Pumziko la milele uwape ee bwana wapumzike kwa aman amina

  • @zuenasalim7136
    @zuenasalim7136 5 ปีที่แล้ว +24

    Tumrudie Allah jamani.hii ni dalili za sku za mwishoooo..watu watakufa kwa makundi.😭😭😭

    • @lukaschris4961
      @lukaschris4961 5 ปีที่แล้ว

      😭😭😭😭😭😱😱😱😱😱 Eeeh mungu wapumzishe mahali pema Kama niazabu shateseka Sana mungu baba 😭😭😭😭😭

  • @janethgatoni5981
    @janethgatoni5981 5 ปีที่แล้ว +6

    Yoooo inauma kueli poleni wafiwa woooote

  • @ashaally6648
    @ashaally6648 5 ปีที่แล้ว

    Munguazilaze rohozamarehem Maharapema peponi

  • @Babybaby228
    @Babybaby228 5 ปีที่แล้ว

    So incredibly sad. The loss of so many. Rest in Peace to those who passed and bring healing to the families and friends who lost loved ones. Those who are responsible for this negligence should have charges pressed.

  • @babymamaoman6676
    @babymamaoman6676 5 ปีที่แล้ว

    Dah mungu wangu tanzania yangu jaman 😭😭😭😭 pole san

  • @alujessy210
    @alujessy210 5 ปีที่แล้ว

    poleni sana watanzania mungu awape nguvu, mi ni mkenya lakini sote tu ndugu moja

  • @norahkimuyu9097
    @norahkimuyu9097 5 ปีที่แล้ว +2

    My condolences to all Tanzanians....

  • @williamrange220
    @williamrange220 5 ปีที่แล้ว

    Marehemu wapumzike kwa amani, poleni sana wafiwa mungu awape nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu mlichonacho

  • @marck3dd414
    @marck3dd414 5 ปีที่แล้ว

    mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponiii....polen kwa wote mliopoteza ndugu zenu mungu akapate kuwatia nguvu katka kipnd hiki kigumu....

  • @dorenntongani755
    @dorenntongani755 5 ปีที่แล้ว

    Nashauri kwenye vivuko idadi ya abiria mizigo pamoja na magari vibandikwe sehemu za wazi ili kila mtumiaji aone na kujua kabla ya kufanya maamuzi ya kupanda. Mungu walaze pema peponi ndugu zetu.

  • @fatumatembo5694
    @fatumatembo5694 5 ปีที่แล้ว

    mbele yao nyuma yetu mungu aliwapenda zaidi ndio kawachukua mwenyewe

  • @rukiaramadhan9905
    @rukiaramadhan9905 5 ปีที่แล้ว

    Mungu awalaze mahali pema peponi Amiinaa. Pole kwa Taifa nzima.

  • @raymondkaswaga8334
    @raymondkaswaga8334 5 ปีที่แล้ว

    Heaven could’nt wait for you

  • @zulekhaamiri972
    @zulekhaamiri972 5 ปีที่แล้ว

    Pole tanzania kwaujumlaaa mungu atupe nguvu

  • @myshem5341
    @myshem5341 5 ปีที่แล้ว

    Poleni sana nduguzetuu wafiwa Kwa msiba Mkubwa usio saulika mungu awape nguvuu Na imani

  • @carenadiyo5490
    @carenadiyo5490 5 ปีที่แล้ว

    Poleni ndugu zetu mungu awatie nguvu

  • @lidyaalmasi9575
    @lidyaalmasi9575 5 ปีที่แล้ว

    Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi amina.

  • @foziaabdullah9053
    @foziaabdullah9053 5 ปีที่แล้ว

    Inalillah wainaillayh rajighuna poleni sana wafiwa pamoja na tanzania hili nipigo kubwa sana kwa taifa letu

  • @yasminakinyi2934
    @yasminakinyi2934 5 ปีที่แล้ว

    Poleni mandugu zetu from kenya

  • @nusaibahassan5842
    @nusaibahassan5842 5 ปีที่แล้ว

    Allah Awahifadhi Ndugu Zetu Inna Lilahi Wainna Ilahi Rajiun

  • @naomindungu9350
    @naomindungu9350 5 ปีที่แล้ว

    May God give strength to the Familys that r affected.

  • @shabanimkilindi4161
    @shabanimkilindi4161 5 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu aradhe roho zao mahari pema

  • @sakinaabdallah7677
    @sakinaabdallah7677 5 ปีที่แล้ว +5

    innalillah wainnalillah Rajuun hakika msiba mkubwa sana dah Allah awa samehe madhambi yao Ameen yarabby

    • @asteriambwei95
      @asteriambwei95 5 ปีที่แล้ว

      Tusamehe bwana mungu twaomba wapokee kwenye pumnziko LA milele

    • @floriank.stephano8193
      @floriank.stephano8193 5 ปีที่แล้ว

      duh hili jika hatar Eerrtgg

    • @barakalelya7198
      @barakalelya7198 5 ปีที่แล้ว

      duh hili jika hatar Eerrtgg

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 5 ปีที่แล้ว +1

    mungu awapumzishe kwa amani na awasamehe makosa yenu yote, akawape pumziko jema.Amina.23.09.18.

    • @ashamusaa100
      @ashamusaa100 5 ปีที่แล้ว

      Kilichopangwa na Mungu mwanadam hawez kizuia pumzikeni kwa Amani wapendwa wetu mbele Yao nyuma yetu AMEN

  • @lovelynnadia7238
    @lovelynnadia7238 5 ปีที่แล้ว

    Ooooh Mungu wangu this is very painful rest in peace all.

  • @somiaal8019
    @somiaal8019 5 ปีที่แล้ว

    Eeeh mungu awatieguvu watanzania waliopoteza jamaa zao 😢😢😢😭😭😭nikiwa mkenya naomboleza nyanyi wapendwa inauma sana ndooo

  • @queenbabitoh9332
    @queenbabitoh9332 5 ปีที่แล้ว

    Dunia ni duara tena yaisha mungu awe na wao

  • @Godsdaughter5315
    @Godsdaughter5315 5 ปีที่แล้ว +1

    Oh nooo😭😭😭😭😭😭

  • @lilykanevergiveup2282
    @lilykanevergiveup2282 5 ปีที่แล้ว

    My condolences to the families.. may their souls rest n peace

  • @rabieshamed7670
    @rabieshamed7670 5 ปีที่แล้ว

    Innalilahi wainnailahi rajiuun Allah wasamehe marehem wetu wote

  • @Soso-qx5tz
    @Soso-qx5tz 5 ปีที่แล้ว

    Poleni sana ndugu zetu katika kipindi hiki kigumu.. mola awafariji na kuwapa nguvu.

  • @gladwelldaughterofzion9884
    @gladwelldaughterofzion9884 5 ปีที่แล้ว +1

    So sad may there soul rest in peace

  • @dzelbahnijmb1765
    @dzelbahnijmb1765 5 ปีที่แล้ว

    pole sana.

  • @asiazuberi9722
    @asiazuberi9722 5 ปีที่แล้ว +4

    Poleni sana wafiwa wote allah awape subira kwa kipindi iki kigumu

    • @sendekakimani3825
      @sendekakimani3825 5 ปีที่แล้ว

      Mungu awape nguvu.awa ponye miyoyo.

    • @queengee988
      @queengee988 5 ปีที่แล้ว

      Heeeeeeeeeeeeee😭😭😭😭😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😭😭😭

    • @beatricepaul6193
      @beatricepaul6193 5 ปีที่แล้ว

      poleni wafiwa, Pole kwa taifa zima la Tanzania, pole kwa wazazi na jamaa wa hawa wotee. inauma sanaaa ila hakuna aijuaye kesho. mda wote tujitakase kwa kutubu dhambi

  • @neemathomas8608
    @neemathomas8608 5 ปีที่แล้ว

    inauma sana,,pole Tanzania

  • @StephenKasolo
    @StephenKasolo 5 ปีที่แล้ว

    RIP ndugu Zetu watanzania

  • @shekilashekilaabudulha5038
    @shekilashekilaabudulha5038 5 ปีที่แล้ว

    Mungu awalaze mahal pema pepon Amin

  • @zahrakazungu5026
    @zahrakazungu5026 5 ปีที่แล้ว

    Mola awalaze mahali pema peponi palipo na waja wema niuchungu but atuna kubali kazi yake Mola ainaga makosa poleni wafiwa

  • @michaelmmbaga1570
    @michaelmmbaga1570 5 ปีที่แล้ว +1

    Nikiangalia tena hii video inazidi kuniumiz nakumbuka pind hii Mel inazama mm ndo nilikuw namzika mpenz wng niliyempenda san ,nimeamn kifo kibaya naumoa mno na sitosahau , ukifiwa ndo unajua maumiv ya kifo daah pumnziken kwa aman

  • @lyanjohn4825
    @lyanjohn4825 5 ปีที่แล้ว

    nimelia kama mtoto,haki inauma sana.May their souls rest in eternal peace

  • @kurusumukaneza9289
    @kurusumukaneza9289 5 ปีที่แล้ว

    Dajhhhh mungu zilaze roho zawaja kwausalama hadi machozi yamenitoka kwakweli

  • @chinekeechinekee903
    @chinekeechinekee903 5 ปีที่แล้ว

    So sad may they rest in peace.my condolences to their families

  • @husnatgamaah1335
    @husnatgamaah1335 5 ปีที่แล้ว

    Inna lillah wainna ilayhi rajiun😢😢😢

  • @pamphiliangyl2441
    @pamphiliangyl2441 5 ปีที่แล้ว

    Na mungu awape moyo familia zao

  • @victorkivuyo8514
    @victorkivuyo8514 5 ปีที่แล้ว +1

    NAWAPA POLE WOTE WALIOFIKWA NA MSIBA, MY NAME, MR BOB SOSY A,K,A KATIA. FAYA SINON, ARUSHA

  • @obedmlule5863
    @obedmlule5863 5 ปีที่แล้ว

    Mungu azipumzishe roho za marehemu waliotutangulia amin

  • @souvenirweber7169
    @souvenirweber7169 5 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😭Pumzikeni kwa amani

  • @vitrecktandika6450
    @vitrecktandika6450 5 ปีที่แล้ว

    yesu ukawe faraja kwawafiwa wote

  • @norahkimuyu9097
    @norahkimuyu9097 5 ปีที่แล้ว +4

    Poleni sana

    • @perissimiyuperissimiyu616
      @perissimiyuperissimiyu616 5 ปีที่แล้ว

      Poleni sana watanzania pia sisi wakenya tunalia na nyinyi mungu ailaze roho zao pahali pema peponi

  • @hawata7614
    @hawata7614 5 ปีที่แล้ว

    Innalillah wainali rajiun emung bb wahifadhi pahali pema peponi

  • @victoriachesco35
    @victoriachesco35 5 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭pole ndugu wafiwa Pole TANZANIA

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 5 ปีที่แล้ว +2

    It's so sad lkn mipango ya mungu haina makosa mlale pema

  • @simonpasua428
    @simonpasua428 5 ปีที่แล้ว

    Mungu uwarehemu ndugu zetu wapumzike kwa Amani.

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 5 ปีที่แล้ว

    Eee Mungu uwape nguvu wale wote walio fiwa na ndugu jamaa na marafiki.

  • @melodyjunior2687
    @melodyjunior2687 5 ปีที่แล้ว

    so painful but God knows why

  • @chimamychimychimamy8482
    @chimamychimychimamy8482 5 ปีที่แล้ว

    Ee Mungu tulinde natuepushe na mafa nautusamehe dhambi zetu

  • @innocentnkya5916
    @innocentnkya5916 5 ปีที่แล้ว

    Mungu awapokee waja wake😭🙏

  • @mimahsaid2326
    @mimahsaid2326 5 ปีที่แล้ว +5

    daah inauma ila kaz ya mungu aina makosa ..r.i.p😢😢😢

    • @aminasalum7058
      @aminasalum7058 5 ปีที่แล้ว

      Uwiiiiiiiiiiiii ewe mwenyezingu wasamehe wajawako wahifadhi na uwaongoze njia yaheli amina sisi sote tutalejea

    • @mimahsaid2326
      @mimahsaid2326 5 ปีที่แล้ว +1

      Amina Salum amiiin kwa sotee yaraby

    • @aminasalum7058
      @aminasalum7058 5 ปีที่แล้ว

      In Sha allah

  • @deniswakoli224
    @deniswakoli224 5 ปีที่แล้ว

    poleni sana watanzania

  • @sesliadiamondmalya7056
    @sesliadiamondmalya7056 5 ปีที่แล้ว

    Ee Mungu. turihemu sawasawa na fadhili zako

  • @mercykhasiala
    @mercykhasiala 5 ปีที่แล้ว

    Aiii,aiii poleni sana dungu zetu waa

  • @zenamohammed2623
    @zenamohammed2623 5 ปีที่แล้ว

    INNA LILAH WAHINNALILAH RAJIUN""Sisi ni wa mola na kwake tutarejea allah awape kauli thabiti

  • @swaivale8657
    @swaivale8657 5 ปีที่แล้ว

    Jaman poleni sana dah😢😢

  • @isayayohana6165
    @isayayohana6165 5 ปีที่แล้ว

    mungu awape wepesi katika wakatihu mgumu wapemdwa

  • @OmanOman-iv6si
    @OmanOman-iv6si 5 ปีที่แล้ว +9

    Naomba wachunguze vivuko vyote

    • @ellysukuro4638
      @ellysukuro4638 5 ปีที่แล้ว

      Oman Oman kwel kabisa

    • @godynzasule2666
      @godynzasule2666 5 ปีที่แล้ว

      mungu azilaze rohozamarehem haomaharipema peponi

  • @helenamusa432
    @helenamusa432 5 ปีที่แล้ว

    Inalillah wainailaih rajiun pollen tz

  • @mymunalubanga1476
    @mymunalubanga1476 5 ปีที่แล้ว

    Na mungu awatie nguvu waliofiwa

  • @annndungu2011
    @annndungu2011 5 ปีที่แล้ว

    Ewe mwenyesi mungu wape imani waliofia huzuni kweli.

  • @countwellvugutsa.polemzeeq4086
    @countwellvugutsa.polemzeeq4086 5 ปีที่แล้ว

    so painful let RIP

  • @assanimkeyo5839
    @assanimkeyo5839 5 ปีที่แล้ว

    Eeeeh mwenyezi mungu ulie umba mbingu na arthi nakuomba upokee roho zahawa ndugu zetu walio tuacha