"MWANZA JIJI INA WILAYA MBILI, NAFIKIRIA KUONGEZA ZIWE TATU HILI JIJI LIWE LA MFANO" DKT. MAGUFULI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2020
  • Mgombea Urais kupitia chama cha mapinduzi CCM Dkt. John Magufuli leo amewasili Mwanza kuendelea na Kampeni za kuomba kura kwa miaka mingine mitano, wakati akiingia Jiji la Mwanza alisimama Igoma wilaya ya Nyamagana kuomba kura

ความคิดเห็น • 42

  • @venancephilbert9397
    @venancephilbert9397 3 ปีที่แล้ว +8

    Oyooooooooooh.
    Naona jpm unaotesha majani jijini...rangi ya chama inasadifu maana halisi.Great

  • @setholivier4862
    @setholivier4862 3 ปีที่แล้ว +6

    Mwenye inchi

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 3 ปีที่แล้ว +8

    Hapana hawa watu ni wa Mwanza hawajasombwa....Mwanza ninaelewa vema.

  • @lilianjosephat9151
    @lilianjosephat9151 3 ปีที่แล้ว +6

    Magu juuuu

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 3 ปีที่แล้ว +4

    Message sent

  • @felisteredward6319
    @felisteredward6319 3 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda bila Bei Magufuli

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 3 ปีที่แล้ว +4

    Mwanza Iko juuuuuuu

  • @husseinibrahim530
    @husseinibrahim530 3 ปีที่แล้ว +6

    Inzagamba yashikaga mkaya yakwe

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 3 ปีที่แล้ว +4

    Kweli hawamuwezi

  • @luluamri370
    @luluamri370 3 ปีที่แล้ว +3

    Ujumbe umefika baba ....

  • @tumainiwambura4768
    @tumainiwambura4768 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndio raha ya rais akitokea home

  • @dannyboytz2153
    @dannyboytz2153 3 ปีที่แล้ว +3

    Magufuli oyeeeeeeee

    • @aliabmugh2362
      @aliabmugh2362 3 ปีที่แล้ว +2

      Nakubali muheshimiwa kula yangu in yako

    • @tafadhalisubscribe3714
      @tafadhalisubscribe3714 3 ปีที่แล้ว

      @@aliabmugh2362 Sawaa.. th-cam.com/video/4TlVwbmMr3Y/w-d-xo.html HAUTAAMINI UTAKACHOSIKIA😱 Link! 👈

  • @madirishasimon9692
    @madirishasimon9692 3 ปีที่แล้ว

    Nakutogilwe bhabha tandulaga bhabha

  • @izengojoseph12
    @izengojoseph12 3 ปีที่แล้ว +1

    Unapofikiria kuongeza wilaya fikiria na kuongeza mshahara kwa watumishi maana wanalalamika miaka yako mitano ya uongozi utumishi kwao umekuwa ni kaa la moto

    • @johnmbatta9872
      @johnmbatta9872 3 ปีที่แล้ว +2

      Alisha sema ataongeza mishahara.

  • @hezronsylvester3733
    @hezronsylvester3733 3 ปีที่แล้ว +3

    Nilikuwepo hapo😅

    • @jameswarioba8791
      @jameswarioba8791 3 ปีที่แล้ว

      Ilikuwaje?

    • @Wastara001
      @Wastara001 3 ปีที่แล้ว

      Kaka Hezron Sylvester: tujibu ili tuzidi kufurahi

    • @ayshakayeko2043
      @ayshakayeko2043 3 ปีที่แล้ว

      Ulufaidi vp uliona maroli yanasomba wt?

    • @jameswarioba8791
      @jameswarioba8791 3 ปีที่แล้ว

      @@ayshakayeko2043 hahaha this is 2020 yaani 21century bado upo analog?

  • @thaubannaftal7265
    @thaubannaftal7265 3 ปีที่แล้ว

    Hii tabia ya khabari vipisi vipisi milad Ayo umeianza lini

  • @georgengongi1887
    @georgengongi1887 3 ปีที่แล้ว

    Wee Brenda kolo lazima ww utakuwa fisadi au una vyeti.feki

  • @ahmedelalawi6143
    @ahmedelalawi6143 3 ปีที่แล้ว +2

    Mm najiuliza ukisema mwanzo ilikuwa shida sasa najiuliza mm ccm si ipo ktk madaraka zaid ya miaka 60 . Saiv sio kuahidi vitu ccm . Wanachotakiwa waendeleze maendeleo. Watanzania akili zao finyu

    • @tafadhalisubscribe3714
      @tafadhalisubscribe3714 3 ปีที่แล้ว

      Sawaa.. th-cam.com/video/4TlVwbmMr3Y/w-d-xo.html HAUTAAMINI UTAKACHOSIKIA😱 Link! 👈

  • @robertterry8909
    @robertterry8909 3 ปีที่แล้ว +3

    Jpm namba moja Tanzania

  • @charlesmwisera7175
    @charlesmwisera7175 3 ปีที่แล้ว +2

    Wameletwa na malori kutoka sehemu mbalimbali

    • @madukaj.j.6999
      @madukaj.j.6999 3 ปีที่แล้ว +2

      Tarehe 28 wataenda wao bila malori,

    • @makelemohuya5380
      @makelemohuya5380 3 ปีที่แล้ว

      Home ng'wanawane

    • @ahmedelalawi6143
      @ahmedelalawi6143 3 ปีที่แล้ว +1

      Duuuuuh

    • @hamisimussa2228
      @hamisimussa2228 3 ปีที่แล้ว +3

      Mnajidanganya kila siku hivi WWE akili yako lisu ana uwezo wa kupambana na magu halafu hii mwanza na kanda ya ziwa hawawezi kimtupa magu uliza lowasa jibu analo

    • @tafadhalisubscribe3714
      @tafadhalisubscribe3714 3 ปีที่แล้ว

      @@hamisimussa2228 th-cam.com/video/4TlVwbmMr3Y/w-d-xo.html HAUTAAMINI UTAKACHOSIKIA😱 Link! 👈

  • @brendakolo9562
    @brendakolo9562 3 ปีที่แล้ว

    Tunataka huuru umewafuga karma mbwa watanzania

    • @rajabumilambo1761
      @rajabumilambo1761 3 ปีที่แล้ว +1

      Sheria msumeno ata ww ukifanya kosa umafukgwa

    • @gracejohn886
      @gracejohn886 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwan huuru upi uo unaoutaka Brenda

  • @raymahssirymahssir3084
    @raymahssirymahssir3084 3 ปีที่แล้ว

    Lissu modo