#SISI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 พ.ค. 2021

ความคิดเห็น • 36

  • @rwandaafrika6173
    @rwandaafrika6173 3 ปีที่แล้ว +7

    ASANTE sana Ben Mwanatala ubarikiwe kwakweli RAIS wetu Mpendwa J.p Magufuli Tutamkumbuka Daima hapa kazi tu

  • @rosemarymsulwa203
    @rosemarymsulwa203 3 ปีที่แล้ว +5

    Ahsante kwa hili Ben. Sisi ni wazalendo👏👏👏👏🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @roseeuphrase3853
    @roseeuphrase3853 3 ปีที่แล้ว +5

    Pumzika kwa amani Rais wetu mpendwa Hayati Dr John Pombe Joseph Magufuli kwa maono yako.

  • @emmanuelmkama3000
    @emmanuelmkama3000 3 ปีที่แล้ว +6

    Miradi ya karne hii. JPM ni visionary leader.

  • @malikkb6444
    @malikkb6444 3 ปีที่แล้ว +3

    Mimi ni mzalendo na nachangia kujenga nchi yangu ya Tanzania..Viva JPM, Viva Samia Hassan, viva Tanzania

  • @ericktom7919
    @ericktom7919 3 ปีที่แล้ว +7

    Am glad you guys are back to bring us hot things in terms of infrastructural development going on in tz....watching from kenya RIP magu...😥😥😥😥😥wish you were alive to witness what's going on....i love you hayati John Joseph Pombe Magufuli.

  • @roseeuphrase3853
    @roseeuphrase3853 3 ปีที่แล้ว +5

    Sisi ni wazalendo

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 3 ปีที่แล้ว +3

    Juhudi na Maono za Kiongozi Shujaa na Shupavu JPM. Unakua Rais miaka 10 hata kukarabati Meli moja huwezi, hata kununua Rada moja ili Anga la Nchi yako lisiwe Undercontrol ya Nchi nyingine huwezi afu wajitia kimbelembele, kuchekacheka hovyo kama mdangaji mitaani au kicha anayeona jalala jipya.

  • @wilsonjuma6885
    @wilsonjuma6885 3 ปีที่แล้ว

    Kweli, sisi ni wazalendo , nawashukuru Sana Ben, kazi yenu ni nzuri Sana.
    Uzalendo wenu uzalendo wetu.
    Moja ya chanel makini Sana ,

  • @carolyneogall8967
    @carolyneogall8967 3 ปีที่แล้ว +1

    Namuomba mungu sana asaidie chinch yetu

  • @emmanuelmkama3000
    @emmanuelmkama3000 3 ปีที่แล้ว +1

    Good combination between Sudi and Ben

  • @emmanuelnsubuga8390
    @emmanuelnsubuga8390 3 ปีที่แล้ว +2

    Mr ben, you left trc?
    Am emma from uganda

  • @baccobille
    @baccobille 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi..tuendelee kujenga nchi sababu hatutajengewa na mtu.

  • @J4UPro
    @J4UPro 2 ปีที่แล้ว

    Mwanaume Magufuli hatariiiii sana

  • @elizalutiga6287
    @elizalutiga6287 3 ปีที่แล้ว +2

    Rip JPM

  • @gosbertrwezahura3645
    @gosbertrwezahura3645 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii ni kazi ya Rais Magufuli. Apumzike kwa amani. Huyu mama sina uhakika kama ataweza lakini namuombea maana kufanikiwa kwake ndo kufanikiwa kwetu sote. Sijamsikia anasema sisi ni matajiri na nchi yetu inajiweza. Huenda ni mfuasi wa siasa za Kikwete za kutembeza bakuli na kulialia.

    • @janeulo4388
      @janeulo4388 3 ปีที่แล้ว +1

      anaenda tu IMF

  • @janeulo4388
    @janeulo4388 3 ปีที่แล้ว

    Tz munafanya projects kuliko nchi yangu ya kenya na nafurahia sana kuona hivyo

  • @mukambi3278
    @mukambi3278 3 ปีที่แล้ว

    DART Mbagala pia tuna hamu na kujua maendeleo yake, hakuna anyefanya kuonesha huo mradi.

  • @benmwanantala1315
    @benmwanantala1315 3 ปีที่แล้ว

    mnaweza kutoa maoni kupitia namba hii ya watsap..0627868530...SISI NI WAZALENDO TUPO KWAAJILI YENU.

  • @charleskhan7491
    @charleskhan7491 3 ปีที่แล้ว +1

    Tutamkumbuka

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 3 ปีที่แล้ว +8

    Where have you been Ben?? Afadhali ume anzisha hiki kipindi hiki ya kutonyesha miradi alio acha mpendwa wetu baba yetu hayati Mh John Pombe Magufuli kweli tuta kukumbuka daima huyu ulie tuachia siye baba kageuza ndege mwendo kasi 😢

    • @Pharadge
      @Pharadge 3 ปีที่แล้ว

      wivu tu

    • @beaugosseadam6831
      @beaugosseadam6831 3 ปีที่แล้ว

      @@Pharadge Watu toka mwambao wa bahari ni wavivu wa fikra na kuona mbali. Vitu vingefanywa kati ya miaka 30 (Mwinyi, Mkapa, Kikwete wote kipwani kipwani) vimefanywa na kuanzishwa 2015 - 17/03 /2021. Almost 30 big Projects in progressing or achieved. Sio mipasho ya sasa ni vijisamiati vya hovyo

    • @Pharadge
      @Pharadge 3 ปีที่แล้ว +1

      ​@@beaugosseadam6831 unajisumbua kuwatukana watu ambao walishatukanwa sana na wala hawapati presha kwakuwa washamba kama nyinyi walikaribishwa sana mjini na hao watu wa mwambao na wanaishi mpaka kesho. wewe wa mwambao wa pori kuwa na akili zako za kingombe ngombe ili uendeshwe. kupewa uhuru wa kuongea kwenye mtando ushajiona unaweza kujilinganisha na hao uliowataja hapo. uwashukuru kwa kuwapa wezee wako ruksa (angalau wakaweza kuishi kama binadamu kipindi cha awamu ya pili), wakafanikisha ubinafsishaji (angalau ndugu zako wakapata ajira awamu ya pili) wakawajengea ndugu zako shule na zahanati za kata na ajira kibao ndugu zako wakaweza kukusomesha licha ya stress ulizonazo ya kutokuajiriwa , usijali amekuja mama kuwafariji angalau mtapata kazi, mmeshakua na uhuru wa kubwata mitandaoni na mambo mengi mtafanyiwa na najua mtawatukana sana lakini wala hawana muda na nyinyi

    • @beaugosseadam6831
      @beaugosseadam6831 3 ปีที่แล้ว

      @@Pharadge Mifano yako nimeipenda mno. Kama una rafiki yako akikutukana moja kwa moja achana naye huyo sio rafiki. Akikwambiza ukweli bila jenga, kwa Akili yako timamu mrukiye na umkumbatie kwasababu kakupa mchango mkubwa wa kufanikisha mambo yako.

    • @junioryasin5306
      @junioryasin5306 3 ปีที่แล้ว

      @@Pharadge watu wa pwan bhna sjui tatzo taarabu sana na vijembe vimewajaa kichwan kulko kufkria mambo ya maana

  • @stephensandiko6049
    @stephensandiko6049 3 ปีที่แล้ว

    Ila uzalendo umepotea kwa sasa

  • @dicksonkilupa6881
    @dicksonkilupa6881 3 ปีที่แล้ว

    NIMEFURAHI SANA KUSIKIA WATANZANIA WANAHUSIKA KUFANYA JAMBO KUBWA KAMA HILI LA UJENZI MKUBWA BASI UZALENDO UENDELEE. NA RAISI WETU UTUSAIDIE KUFUTA KODI KIGAMBONI BRIDGE

    • @mimifineliving2022
      @mimifineliving2022 3 ปีที่แล้ว

      Hizo kodi ni kwa ajili ya maintenance ya bridge hata nchi zilozoendelea zinalipa hizo kodi

  • @charleskhan7491
    @charleskhan7491 3 ปีที่แล้ว

    Ben mwanantala

  • @roidysimchimba7103
    @roidysimchimba7103 3 ปีที่แล้ว

    Ulichokoseah ben ni kuweka picha ya Hugo mama maana hawez kitu yye anaongozwq baada ya kuongoza nchi

  • @charleskhan7491
    @charleskhan7491 3 ปีที่แล้ว +1

    Tt