DIWANI AINGIA KWENYE 18 ZA RC TABORA, "NANI MWINGINE ANAWASUMBUA HAPA?"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • #CgOnlinetv
    Mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha ameagiza Polisi kukamatwa kwa Diwani wa kata ya Ufuruma Wilayani Uyui kwa tuhuma za kutafuna pesa za wakulima wa Tumbaku katani humo
    Rc Chacha amechua hatua hiyo ya kumkamata Diwani huyo jana 29 Aprili alipokuwa akizungumza na kusikiliza kero za Wananchi wa Kata ya Ufuruma kijiji cha Chesa.

ความคิดเห็น • 10

  • @abdulisike8320
    @abdulisike8320 3 หลายเดือนก่อน

    TABORA MPYA MKUU WA MKOA HONGERA SANA MUNGU AKUBARIK SANA HAWA WATU HAWANA UCHUNGU NA WENZAO .PIGA NYUNDO WOTE WAJANJA WAJANJA. Name. abdulisike from zanzibar .TABORA kwetu.

  • @MohamedyHmtasha
    @MohamedyHmtasha หลายเดือนก่อน

    Naomba nisaidie nambayako ya cm mueshimiwa ?

  • @ndolepeter2770
    @ndolepeter2770 3 หลายเดือนก่อน

    Kaka inyooshe Tbr unafki umezidi na majungu.

  • @MohamedyHmtasha
    @MohamedyHmtasha หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa nakuomba mimi unisaidie ninachangamoto yakuhusu tumbaku

  • @MashakaMapelani
    @MashakaMapelani 3 หลายเดือนก่อน

    Wanyooshe hao kama agilei mwanly

  • @simoncarlos-gi4cv
    @simoncarlos-gi4cv 4 หลายเดือนก่อน

    Njoo Sikonge Kuna madudu

  • @Mwigaa95
    @Mwigaa95 4 หลายเดือนก่อน

    Nimeona jina la magono nimekumbuka miaka ya 2007 hao ndio walikuwa ndio wakulima wakubwa sana kwenye ulimaji wa zao la tumbaku mkoani tabora 👏🏻👏🏻👏🏻😄😄😄🔥🔥

  • @ramadhaniyusufu5216
    @ramadhaniyusufu5216 4 หลายเดือนก่อน

    jamani mbona kama katebha

  • @makanyakasheshela6507
    @makanyakasheshela6507 4 หลายเดือนก่อน

    Diwani kala mkubeto

  • @msukafrancis324
    @msukafrancis324 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona mtendaji wa kata makazi kaachwa?