Mimi ni mkazi WA MIBONO sikonge Tabora najua Adha ya jilimo cha Tumbaku ukweli wakulima tumekuwa shamba la bibi Na tunachanganywa kama watoto, inauma sana familia kuteseka serikali isimamie zao hili linalochangia pato la Taifa, makampuni wamekuwa watapeli kiasi flani wangelima Tumbaku siku moja waone Adha yake. Jengeni mahusiano mazuri ya kibiashara
Viongozi wa wakulima Tumbaku,pamoja na wakulima wenyewe ,Tambueni hiyo ni biashara, inahitaji kuvumiliana, vurugu na kelele za aina hii hazileti maana.wakulima mnataka mpaka kupiga watu,ni aibu, Tumbaku hailiwi kama chakula vipi viongozi wa kampuni wakiamua kuwarudishia Tumbaku,subira inahitajika sana ndugu zangu .
Haujui mfumo wa malipo ya tumbaku namna yanavyotolewa kwa wakulima. Tumbaku inanunuliwa kwa USD, kisha hufanyiwa valuation kwa Tsh. Ukifika kwenye soko la tumbaku hauwezi kusikia neno shilingi, ni mwendo wa USD(Dollar) tu. Nadhan hata viongozi wao umewasikiliza vizuri katika ufafanuzi wao.
Asee tupeni mlejesho pesa zimelipwa au bado ..bashebashebashe hili ni lakwako hebu angalia hawa watu.
Mimi ni mkazi WA MIBONO sikonge Tabora najua Adha ya jilimo cha Tumbaku ukweli wakulima tumekuwa shamba la bibi Na tunachanganywa kama watoto, inauma sana familia kuteseka serikali isimamie zao hili linalochangia pato la Taifa, makampuni wamekuwa watapeli kiasi flani wangelima Tumbaku siku moja waone Adha yake. Jengeni mahusiano mazuri ya kibiashara
Kwani ni lazima kulipa kwa dola?
Nasikia dolla wafanyakazi tanzania mishahara huwa ni dolla? Au niuhuni?
Mkuu nikikutizama afya yako unawaka kuliko mkulima anaeteseka kwa jembe .Wapeni haki zao tumuogope Mungu jamani.
Wekeni kambi ndugu zangu hadi walipe hizo pesa
Viongozi wa wakulima Tumbaku,pamoja na wakulima wenyewe ,Tambueni hiyo ni biashara, inahitaji kuvumiliana, vurugu na kelele za aina hii hazileti maana.wakulima mnataka mpaka kupiga watu,ni aibu, Tumbaku hailiwi kama chakula vipi viongozi wa kampuni wakiamua kuwarudishia Tumbaku,subira inahitajika sana ndugu zangu .
Unajua kilimo wewe ? Au unaongea tu paspo kujua chochote . Kilimo ni kazi ngumu sana
Bila kuwasha moto watalala.pia wakitaka kurudisha tumbaku warudishe wanunuzi wapo wengi.tumbaku ni almasi. Nisigara hizo.warudishe mimi nakuja kuinunua keshi
Eeh tumpe mbegu atuletee kishada kama anaweza
Hawa ni.wahaya eti dolla
Haujui mfumo wa malipo ya tumbaku namna yanavyotolewa kwa wakulima.
Tumbaku inanunuliwa kwa USD, kisha hufanyiwa valuation kwa Tsh.
Ukifika kwenye soko la tumbaku hauwezi kusikia neno shilingi, ni mwendo wa USD(Dollar) tu.
Nadhan hata viongozi wao umewasikiliza vizuri katika ufafanuzi wao.
mmmmmmmh poleni sana wakulima jamani hii kazi ndo maaana magereza kilimo ni adhabu
Utasikia wakisema mjiajiri au mtafute njia za ajira 😢
Swala ladila linatoka wapi
Kinana ndiyo hafai kabisssa
Ushirika mzuri
Hii ndo serikari ya ccm inayo ongozwa na samia
Wauze mikoa na wilaya zingine muwalipe harafu mbolea ni mchanga ngorongoro loliondoooooo njombe mchanga
Utapeli utaisha
Mchangiaji wa mwisho kanifanya nianze kuchukia kilimo
Ila serikali walipeni wakulima wanapitia changamoto sana
Nchiimeuzwa nabado
Wamefilisika
Nchi imekosa kiongozi kila mahali ni dhulma...ukienda polisi wanadai pesa kama hospital.
😅
Aibu tupu.
Hadi mnatia aibu
Anatutesa sana wakulima huyu