"SOMBA WOTE WANAOFANANIA NA WIZI WEKA NDANI" - RC MWANRI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 509

  • @chambotz9352
    @chambotz9352 5 ปีที่แล้ว +83

    Huyu jamaa mchekeshaji mnzuri sna kama umegundua hilo gonga like

  • @Danisijo
    @Danisijo 5 ปีที่แล้ว +624

    Kama unaweka mb kwa ajili ya kuangalia videoclip za huyu mzee tujuane hapa.

  • @saleheinnocent7636
    @saleheinnocent7636 5 ปีที่แล้ว +72

    Kama unaamini mwanri ni zaidi ya Bashite sema fire🔥🔥🔥🔥

  • @bilaliadam6015
    @bilaliadam6015 ปีที่แล้ว +6

    Once a leader always a leader #Aggrey_mwanry

  • @efelimwambije708
    @efelimwambije708 5 ปีที่แล้ว +15

    Njoo mbeya mkuuu utandaji wako uko vizuri sana.... Hongeraaa mkuuu

  • @edwardmachumu2440
    @edwardmachumu2440 9 หลายเดือนก่อน +11

    Dah huyu mwamba hachoshi kumtazama 😛😛😁😁 saivi 2024 mwezi wa 4

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 5 ปีที่แล้ว +29

    Aise kama unaona uyu jamaa anafaa kupewa uraisi wa jamuhuri ya muungano wa TANZANIA gonga like

    • @husseinzaidi788
      @husseinzaidi788 5 ปีที่แล้ว

      kabisa

    • @d.a.t3383
      @d.a.t3383 5 ปีที่แล้ว

      Unafikiri uraisi ni rundika ndani tuuu weeeee kuna multipurpose issues u need to be aware of

  • @emmanuelmganga6248
    @emmanuelmganga6248 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mwamba yupo vizuri anafaa kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania huyu ni kama JPM kabsa hongera kwa kazi zako nzuri huhurumii mtu anapofanya kazi kinyume na maelekezo au kinyume na raman ya kazi pongezi Sana mkuu wa mkoa wa tabora

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว +10

    Asante san kiongozi wetu kwa umakini wako kwa mari za uma mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe

  • @big-h-official
    @big-h-official 4 ปีที่แล้ว +4

    I always sweat when I listen to this guy mwanri

  • @mr.salmini3384
    @mr.salmini3384 5 ปีที่แล้ว +194

    😂😁😀😁😂embu eleza ulivyomgombeza.... Kama hujacheka unayako😁😀😁😂😂

  • @dutchsafari7562
    @dutchsafari7562 5 ปีที่แล้ว +91

    Ulimgombeza Ulimgombeza ebu Eleza ulivyomgombeza msiniangalie kwa hurumaaa mimi nabeba dhamana hapa.. Mbona una ni itikia kinyongee ... Namkae chonjo ....twende hukuuu..twende kwenye maji
    hahahhaha role model wangu huyu kabisa

    • @edsonmunuo7112
      @edsonmunuo7112 5 ปีที่แล้ว +1

      sure ananitoa stress saana mheshimiwa

    • @rehmadamian8020
      @rehmadamian8020 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂 yaan stress zote zinaisha

    • @d.a.t3383
      @d.a.t3383 5 ปีที่แล้ว

      Umesahau machooo yko wapi

    • @imamuhemedi4387
      @imamuhemedi4387 5 ปีที่แล้ว

      Dutch tz

  • @baragatimaingu5623
    @baragatimaingu5623 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutunzeee Baba....

  • @akimmbwego797
    @akimmbwego797 5 ปีที่แล้ว +6

    GOD BLESS U RC

  • @allenmrema2919
    @allenmrema2919 5 ปีที่แล้ว +25

    dah! hii serikali ni ya washujaa tofauti na ya nyuma kabisa, congratulation Pdt MAGUFULI

  • @abumusabmusab3771
    @abumusabmusab3771 4 ปีที่แล้ว +9

    Km umesikia " eleza ulivyowagombez gonga like

  • @dainesigebo7019
    @dainesigebo7019 5 ปีที่แล้ว +4

    Asante mkuu wa mkowa nimecheka sana 😥😥😥😥😥

  • @ismailhassanyanihuyukichec6942
    @ismailhassanyanihuyukichec6942 5 ปีที่แล้ว

    Rc umetisha wote sukuma ndani

  • @charlesryoba7499
    @charlesryoba7499 5 ปีที่แล้ว +7

    Mama yuko vizuri kama kakumbuka alivomgombeza safi sana mama

  • @HamisZuber-n5z
    @HamisZuber-n5z 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂❤❤ Kiongozi bora matendo, mungu, akupe maisha malefu,

  • @dr.erickjmazyala8905
    @dr.erickjmazyala8905 5 ปีที่แล้ว +23

    msiniangalie kwa huruma …mimi nabeba dhamanaaah! Piga kazi mkuu wangu wa mkoa mpaka wakuelewe hao!

  • @omarymamaa7595
    @omarymamaa7595 4 ปีที่แล้ว +2

    Mkuu wa mkoa tabora ni mfano wa kuigwa huyu ni magufuli wa tabora big up sana

  • @ismailmashimba3470
    @ismailmashimba3470 5 ปีที่แล้ว +4

    Muheshimiwa RC hao no kuwachota na kuwasukuma ndani

  • @noahmwakatoga3711
    @noahmwakatoga3711 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamani Uyu MZEEE Namkubari Sana

  • @ayubusaiba7972
    @ayubusaiba7972 5 ปีที่แล้ว

    daaah mzee noma
    acha like yako twende sawa

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 5 ปีที่แล้ว +1

    Ebu eleza ulivyomgombeza hahahahhahahahhahaha.......huyu Mzee hapana......kazi nzuri mkuu wa tabora

  • @syekiwaryoba3211
    @syekiwaryoba3211 5 ปีที่แล้ว +2

    Noma sana RC babora

  • @wachugypsumtz5089
    @wachugypsumtz5089 5 ปีที่แล้ว

    Kama na wewe upenda utendaji kazi wa RC huyu kama mimi gonga like tujuane😀😀😀😀Ulimgombeza .. 😀😀😀

  • @sadockalfred6750
    @sadockalfred6750 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda baba humuonei mtu natamani uwe wazir mkuu

  • @kevinjackson6884
    @kevinjackson6884 5 ปีที่แล้ว

    Nakukubali mkuu upo vizuri

  • @sadiqnasir9278
    @sadiqnasir9278 4 ปีที่แล้ว +1

    raisi mtarajiwa kaza sn baba hayo ndo maendeleo bless

  • @chrisally9600
    @chrisally9600 5 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri sana huyu mzee anayoifanya .

  • @hafidhyakoub5350
    @hafidhyakoub5350 5 ปีที่แล้ว +4

    Dah noma yaniii huyo jamaa hadi raha

  • @barakanyambele4673
    @barakanyambele4673 5 ปีที่แล้ว +2

    Shikamoooo RC

  • @mudimawe8861
    @mudimawe8861 5 ปีที่แล้ว

    yani mzee magu sijui hawa watumishi kaoteswa na mungu

  • @munezeroroger6526
    @munezeroroger6526 3 ปีที่แล้ว +2

    Wote ndani baba,hakuna mchezo

  • @awadhially1384
    @awadhially1384 5 ปีที่แล้ว +2

    Sukuma ndani hakuna kuangaliana kwahuruma.

  • @mwamvuajumanne6090
    @mwamvuajumanne6090 5 ปีที่แล้ว

    hahaha kata hela zao kama mmemwelewa Mwanri gonga like.

  • @freddymello3227
    @freddymello3227 5 ปีที่แล้ว +20

    "Ulimgombeza!,ulimgombeza?eleza ulivyomgombeza..."
    mzee mtata huyu!!

  • @xaviermethewxaviermethew7727
    @xaviermethewxaviermethew7727 5 ปีที่แล้ว

    Umetisha mkuu Saluty

  • @peterkingili5305
    @peterkingili5305 5 ปีที่แล้ว +12

    Jmn mm nyumbani tabora lkn huyu RC kiboko ya mabishooooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂 angaria naefanania weka ndani #kanyaga wote

  • @reganngoo8571
    @reganngoo8571 5 ปีที่แล้ว +11

    Kama anafanania wote sukuma ndani watajua uko ndani

  • @dr.erickjmazyala8905
    @dr.erickjmazyala8905 5 ปีที่แล้ว +1

    safi saana! kamata kamba mwenyewe!

    • @d.a.t3383
      @d.a.t3383 5 ปีที่แล้ว

      Soma huko

  • @chariuskiita8942
    @chariuskiita8942 5 ปีที่แล้ว

    jamaa ni mzalendo Mungu ambariki

  • @kichenjekichenje2072
    @kichenjekichenje2072 ปีที่แล้ว +1

    Huu ndio utawala tulioutaka.Sio huu wa kurembuliana macho

  • @princemujuni9803
    @princemujuni9803 5 ปีที่แล้ว +15

    Mimi huyu mkuu wa mkoa naamin yupo hata kwenye awamu ijayo aisee.

  • @kijangapeter5135
    @kijangapeter5135 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu dingi ni noma sana aisee

  • @amarido12
    @amarido12 5 ปีที่แล้ว +28

    Inatakiwa Mtu akiiangalia hospitali aseme hapa ntapona, sio mtu akiangalia majengo tu anajiuliza hapa ntapona kweli 😂😂😂😂

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 5 ปีที่แล้ว +19

    Hyu mkuu wa mkoa anabidi apelekwe Dar kusimamia miradi, sio Makonda. Mh Raisi naomba asikilize hili wazo langu

  • @mtungifrance4228
    @mtungifrance4228 5 ปีที่แล้ว +25

    Ukivuka salama na hyu mzee baba bac popote ww utafanya kazi!!

  • @Nesphore1
    @Nesphore1 5 ปีที่แล้ว +3

    Kama Wakenya WANGEKUA Na RC kama hawa kumi, sai tungekua mbali sana.

    • @JophasJohn-oh8zu
      @JophasJohn-oh8zu 10 หลายเดือนก่อน

      Nchi yenu ya Kenya ni tajiri sana ila wizi ndo mwingi yaani pesa inaingia mifuko ya watu wachache najivunia kuwa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @samwelmdeme9159
    @samwelmdeme9159 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimeikubali iy xogeen. Nipit

  • @charlesmushi2305
    @charlesmushi2305 5 ปีที่แล้ว +15

    Ebu eleza ulivyomgombeza😂😂😂😂

  • @evaristerelias7373
    @evaristerelias7373 5 ปีที่แล้ว +18

    Kaka Millard habar zako ziwekee tarehe bas

  • @uswegemwapongo
    @uswegemwapongo 5 ปีที่แล้ว +5

    Na mkae chonjo, mimi sioni choo hapa, hebu nisomee huko ngapi .huyu mzee ni noma

  • @jamalajamala2336
    @jamalajamala2336 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah miongoni mwa viongozi wanaonifurahisha sana, jamaa ni mchapa kazi sana

  • @TheBroskis662
    @TheBroskis662 5 ปีที่แล้ว +24

    JPM muongez mshahara huyu mkuu wa mkoa

  • @mashalaelisha3430
    @mashalaelisha3430 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana. Tutaelewana tuu

  • @hassanmkungile6021
    @hassanmkungile6021 5 ปีที่แล้ว

    Mzee noma sana

  • @gigotz1755
    @gigotz1755 5 ปีที่แล้ว +63

    Eleza ulivyo mgombeza

  • @brayo001
    @brayo001 5 ปีที่แล้ว +46

    Huyu bwana mtupe sisi wakenya tumpe Mombasa County aisimamie

    • @rubondopharmacy
      @rubondopharmacy 5 ปีที่แล้ว +1

      Lipieni tu tutawapa

    • @freddymello3227
      @freddymello3227 5 ปีที่แล้ว

      brian lawrence ,Andikeni barua ya maombi tutawapa!!huyu hata uraisi anafaa sana!!

    • @justinwakudat6792
      @justinwakudat6792 5 ปีที่แล้ว

      Mchukuen tu hamna shida

  • @simbavevo7318
    @simbavevo7318 5 ปีที่แล้ว +8

    Tukiwapata viongozi kama hawa 100 tu tanzania basi tutakuwa mbali

  • @chirrakibona4962
    @chirrakibona4962 5 ปีที่แล้ว +2

    uyu mzee konkii sarutii mzee baba

  • @fidelistitus5775
    @fidelistitus5775 5 ปีที่แล้ว +46

    Mkuu nakushauri ukiwa unatembelea katika site ambazo bado zinaendelea na construction uwe unavaa helmet kwa usalama wa kichwa chako!
    Ni ushauri tu!

    • @charlesboniphace2343
      @charlesboniphace2343 5 ปีที่แล้ว

      Ushauri mzuri sana ndugu,me nafikiri engineer ndo angetakiwa kumpa muongozo kuhusu uvaaji wa helmet

    • @fidelistitus5775
      @fidelistitus5775 5 ปีที่แล้ว +1

      @@charlesboniphace2343 labda wanaogopa maana huyu mzee ana beat la nguvu

    • @yusuphsimon8151
      @yusuphsimon8151 5 ปีที่แล้ว

      Anhaaa we jamaaaa

    • @d.a.t3383
      @d.a.t3383 5 ปีที่แล้ว +1

      Engineer mwenyewe hajavaa kiu salama lakini alimgombezajeeee utacheka sana eti nilimgombeza nikamwambia..... Mhhh ss na yy agombezwe kwa kutovaa hvs helmets boots rundika ndani nikosa kubwa kama makosa mengine tuu

    • @poulsaid3915
      @poulsaid3915 5 ปีที่แล้ว

      Hahahahahah

  • @abdallasabour5034
    @abdallasabour5034 5 ปีที่แล้ว +6

    Tufanye vipimo
    Utasomeshwa hapo, huyo alikua anachukua matofali achana nae huyoo. #SUKUMA #NDANI, #WOTE

  • @allyyassin5090
    @allyyassin5090 4 ปีที่แล้ว +1

    Namkubali xana huyu kiongoz

  • @rhodamaganga8308
    @rhodamaganga8308 5 ปีที่แล้ว +4

    Daaah hapo sasa ndo unaanza kujinyea msomaji hoi engineer hoi duu! Baba punguza hasira duuuu utatuua sikonge (wangaluka

  • @nurdinnswebe1905
    @nurdinnswebe1905 5 ปีที่แล้ว

    Sawaaa mzee waendeshe mbaka wanyeee kuma hao

  • @jimisonpius8100
    @jimisonpius8100 9 หลายเดือนก่อน

    nimekumiss mzee gombea aisee

  • @mwamvuajumanne6090
    @mwamvuajumanne6090 5 ปีที่แล้ว

    jaman mb zangu zinaenda kihalali.Mwanri unanifurahisha

  • @eliudemmanuel4450
    @eliudemmanuel4450 5 ปีที่แล้ว +8

    Wanakuangalia kwa hurumaaaw😃😃😃
    Mkuu hao hawajaolewa,,!

  • @yusufwewe8600
    @yusufwewe8600 3 ปีที่แล้ว +2

    Hi

  • @renatusmisigaro6332
    @renatusmisigaro6332 5 ปีที่แล้ว +56

    Nimependa namna engineer anavyo gombeza nataman aje anigombeze na mm!!

    • @emmanuellisso4346
      @emmanuellisso4346 5 ปีที่แล้ว +3

      😂😂😂 shenzi sana mtoto ww,ety aje akugombeze

    • @naamohamed9964
      @naamohamed9964 5 ปีที่แล้ว

      😃😃😃😃😃

    • @raheemamkambha6013
      @raheemamkambha6013 5 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣we nyau kweli🤣

    • @gracesongelael631
      @gracesongelael631 5 ปีที่แล้ว

      Hahahaaaaaa unatamani kugombezwa na wewe 😂😂😂😂

    • @mariamismail9878
      @mariamismail9878 5 ปีที่แล้ว

      Renatus Misigaro nice

  • @binfarouq733
    @binfarouq733 5 ปีที่แล้ว +3

    Kata hela, rejesha nondo, Weka ndani

  • @godfreymushi5125
    @godfreymushi5125 5 ปีที่แล้ว

    Uyu mzee kiboooko

  • @godfreybasalenge3778
    @godfreybasalenge3778 5 ปีที่แล้ว +1

    Hatari

  • @dr.erickjmazyala8905
    @dr.erickjmazyala8905 5 ปีที่แล้ว

    safi safi saana!

  • @janethjustin5256
    @janethjustin5256 5 ปีที่แล้ว +9

    Eleza ulivyomgombeza 😁😁😁😁nimecheka jaman

  • @movinotieno2503
    @movinotieno2503 5 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda video hii

  • @dahkitambosanapazi8354
    @dahkitambosanapazi8354 5 ปีที่แล้ว

    Doh injinia kapata shida sana

  • @mangalilikilawe6788
    @mangalilikilawe6788 5 ปีที่แล้ว +2

    Eleza ulivyo mgombeza
    Dhuu kazi sana hiyo ata huyo mama yupo makoni ase kajitahidi

  • @lamsonkaminyoge5720
    @lamsonkaminyoge5720 5 ปีที่แล้ว +1

    Iyo kweli mzee hayo ndo Mambo ya msingi

  • @dalianakerefu490
    @dalianakerefu490 5 ปีที่แล้ว

    Unaweza ukaacha kazi walai

  • @akimudominik1582
    @akimudominik1582 3 ปีที่แล้ว +2

    Kamata hao wote sukuma ndaan😂😂😂😂😂🇹🇿🇹🇿

  • @jmm1840
    @jmm1840 5 ปีที่แล้ว

    Mheshimiwa J.P.M hapa RC umechaguwa

  • @shabaninenga3449
    @shabaninenga3449 3 ปีที่แล้ว +4

    Twende ukuuuuuuu🤣🤣😂🤣😂🤣

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 5 ปีที่แล้ว +3

    Jamaa kafiti kwenye hii nafac,Magu aliona mbali kumteua

  • @deusdeditswebe8930
    @deusdeditswebe8930 5 ปีที่แล้ว

    Kaka Daniel tumejuana...

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama anafania sukuma ndani😂😂😂😂

  • @samwelimashaka8997
    @samwelimashaka8997 5 ปีที่แล้ว +14

    A huyu father noma, eleza jinsi ulivyo mgombeza

    • @billalphilip5776
      @billalphilip5776 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂dada alimgombeza akitabasam

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 ปีที่แล้ว +1

    Ulimgombeza ....eleza ulivyomgombeza 😂😂😂😂

  • @joelmlavi400
    @joelmlavi400 5 ปีที่แล้ว +2

    Ulimgombezaa ulimgombezaa.. Em sema ulimgombezajee😀😀..
    Huyu mzee anatakiwa apelekwe mikoa wanayojifanywa wao n korofii akanyooshe pipooo😅😅

  • @samwelmdeme9159
    @samwelmdeme9159 4 ปีที่แล้ว +1

    Niach nichukue mwenyewe tofar

  • @evodykalala509
    @evodykalala509 5 ปีที่แล้ว +3

    Daaah watu wana roho ngum hata hawacheki

  • @sospetermathias4253
    @sospetermathias4253 5 ปีที่แล้ว +3

    Shikamo manri mwakani napendwkeza uletwe mwanza

  • @mwakaproductionbombardier4203
    @mwakaproductionbombardier4203 5 ปีที่แล้ว +32

    Nampenda sn huyu mkuu, lazima nimalize mb zangu nikiona post zake.

  • @olivajackson1128
    @olivajackson1128 5 ปีที่แล้ว

    uko juuuu baba💪💪💪💪

  • @tegemeamhagama1080
    @tegemeamhagama1080 5 ปีที่แล้ว

    Noma sanaaaaa

  • @mohammediallykaboza5862
    @mohammediallykaboza5862 5 ปีที่แล้ว

    Haha safi sana mkuu

  • @halunakuyela4769
    @halunakuyela4769 5 ปีที่แล้ว

    Somaiyoooo jeshi