Mwenyenzi mungu akubariki Sana mwalimu dacha hadi hawa wabudu dini amurudie mwenyenzi mungu kwa hakika KAZI unayo maana hawatakuelewa kwa maana walimkataa hadi yesu Mwenyewe
Mwenyezi Mungu anasema: Na walio kufuru wanasema: Wewe hukutumwa. Sema: Mwenyezi Mungu anatosha kuwa shahidi baina yangu na nyinyi, na pia yule mwenye ilimu ya Kitabu. --ar_Ra`d 43
Ata kuseme roho wa kweli ni Muhammad,yesu amesema atanena yanayotoka kwake,yesu amesema atakufa ,mbona Muhammad akatae hakukufa ,iyo si maneno ya yesu , Muhammad anakataa maneno ya yesu,hawezi kua msaidizi
@ Sisi Waislamu hatuna shida ya kutafuta dalili kutoka Bibilie kuthibitisha kama Muhammad ni Mtume zinatutosha ziliomo ndani ya Quruani na ziko nyingi, nakupa moja wapo: Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na walio pamoja naye wana nguvu mbele ya makafiri, na wanahurumiana wao kwa wao. Utawaona wakiinama na kusujudu wakitafuta fadhila na radhi za Mwenyezi Mungu. al_fatH 29 karibu sana kwenye Uislamu
Kila nafsi itaonja mauti....mtume alikuwa mwanadamu hakuwa mungu.....na mitume wengine wote walio kufa,,,Ibrahim , Musa,,,daud ..na wengine walikufa...Sasa wewe mtume kufa ndio inakusumbuwa? Na Kuna wale hawakufa....kama yesu,,,na wengine waliochukuliwa wakiwa hai
Waislamu mlituchokoza wenyewe kipindi hicho wakristo tulikuwa hatufuatilii udhaifu uliopo kwènye quruani .siku hiz kwa sababu quruani inaandikwa kwa kiswahili tunaisoma . Uislam syo dini ya Mungu ni dini ya kishetani kama zilivyodini nyingine kama frimasoni , hindu , budha na nyinginezo
@@joachimluhamo3042 yani wapo kama wanne wanawanyoosha kuna xmum ni shida na mwalim chaka uwiii hawapumui mwanzo ilikuwa wanahangaika na biblia sana sasa wanatukana tu kwa comment
Yesu alituambia Nabii wa mwisho wa Mungui ni yeye Mwenyewe!! Matayo 21:37 "Mwishowe akamtuma mwanae kwao akisema, ‘Bila shaka watamheshimu mwanangu." Lakini waislamu wamedanganywa wasiamini Yesu ni Mwana wa Mungu wakababaishiwa yesu feki kwa jina issa bin maryam!! Yohana 3:18 "Amwaminiye yeye hahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakumwamini Mwana pekee wa Mungu.
Yesu alicema yule atakaye kuja ni roho wa kweli naye atanitukuza mimi,sasa tukiangalia mutume muhamadi sifazake hajawai mutukuza yesu hata maramoja,badala ya kumutukuza yesu anamudhalilisha,anasema yesu sii mwana wa mungu,na yesu anasema mimi ni mwana wa mungu,muhamadi anakata mungu hana mutoto sasa huyu muhamadi sii roho wa kweli no,
@@pascalvirgilio7208 19:30 Qur-ani Yule mtoto akasema:Hakika mimi ni mja wa Mlmungu,Amenipa kitabu,na amenifanya Nabii,na amenifanya nibarikiwe popote nilipo,na ameniusia sala na zakka maadam nihai,na ameniusia kumfanyia wema mamaangu wala hakunifanya niwe jeuri muovu,na amani ipo juu yangu siku nilipozaliwa na siku nitakapokufa na siku nitakapofufuliwa kuwa hai,huyu ni lssa bin Maryam,hii ndio kauli ya hakki ambayo wakristo wanaifanyia shaka
Nyinyi makafri Mohamed ni mtume wa Mungu ukubali ukatae yeye ni mtume wa Mungu tu hata Yesu ni mtume wa Mungu japo wayahudi hadi leo hii hawajamkubali yesu ni mtume wa Mungu wanadai mtoto wa zinaa ukifika kwa wayahudi useme habari za yesu utafukuzwa siku hiyo hiyo
Unamlazimishia MUNGU mutume mpakaji Wa watoto Jina ata adabu Jina heshima Kwa mwenyezi MUNGU. Eshimu MUNGU Bo's Wacha kumpa mtume kafiri mpakaji Wa watoto. Muwaji
WAISLAMU WAKILAZIMISHA MUHAMMAD NDIYE ROHO WA KWELI ATAKUJA BAADA YA YESU...BASI PIA WAKUBALI YESU NI MUNGU MANAKE HUYO ROHO ANATUMWA NA YESU!! Yohana 16:7 Lakini nawaambia kweli kwamba kuondoka kwangu ni kwa faida yenu kwa maana nisipoondoka, yule Msaidizi hatakuja kwenu. Lakini nikienda nitamtuma aje kwenu. KILA SIKU TUNAWAAMBIA YESU NI MUNGU NA ISSA BIN MARYAM SIO YESU KRISTO !!
Wamezibwa akili na mungu wa dunia hii. 2 Wakorintho 4:4 Kwa upande wao, mungu wa dunia hii ametia giza akili za wasioamini, ili wasione mwanga wa Injili ya utukufu wa Kristo, ambaye ana sura ya Mungu.
@@JohnOuya-w7j Waislamu hutetea uongo....inakubalika kwa ajili ya allah (TAQQIYAH).....mungu wao hana uwezo wowote ule wa kujitetea. Ndio manake ukiritadi, ndugu zako wana haki ya kukuuwa badala ya wakuwachie Mungu siku ya kiama akuhukumu!!
Ndacha anauliza YESU aliacha kitu gani mpaka Muhammad aje??? Embu tumuulize Yesu, Je uliwaambia wanafunzi wako mambo yote??? Yesu anajibu hivi, Hata bado nikali ninayo mengi ya kuwaambia, lakini hamwezi kuyastahimili hivi sasa. Yohana 16:12 Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote; kwa maana hatanena kwa shauri lake mwenyewe, lakini yote atakayoyasikia atayanena, na mambo yajayo atawapasha habari yake. Yohana 16:13 Je ni lini mambo hayo tutapata habari zake??? Yesu anasema Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke, kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu; bali mimi nikienda zangu, nitampeleka kwenu. Yohana 16:7 ZINGATIA. Usije ukasema eti huyo roho, ni Roho Mtakatifu, ni MUHAMMAD (S.A.W) kwa maana Roho Mtakatifu Yupo hata kabla Yesu Hajazaliwa, alipokua hai Yupo, lakin Roho huyu sharti Yesu aondoke ndo Aje, Yesu asipoondoka huyo msaidizi haji, Hapa kipindi anatabiliwa Yohana, Roho mtakatifu Yupo, Kwa sababu atakuwa mkuu mbele za Bwana; hatakunywa divai wala kileo; naye atajazwa Roho Mtakatifu hata tangu tumboni mwa mamaye. Luka 1:15 Hapa kipindi anataviriwa Yesu, Roho mtakatifu Yupo, Basi alipokuwa akifikiri hayo, tazama, malaika wa Bwana alimtokea katika ndoto, akisema, Yusufu, mwana wa Daudi, usihofu kumchukua Mariamu mkeo, maana mimba yake ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu. Mathayo 1:20
Roho siyo nafsi mzee roho ni hekima ya Mungu mwenyewe unaweza pia kusema ni Mungu mwenyewe kwamba, roho wa Mungu, roho ya Mungu, Roho Mtakatifu, roho wa kweli (sentensi zote hizo ina maana ya kitu kimoja).
Wewe ndio kafiri... Mtu yeyote ambaye anasema mungu Yuko na mtoto ni kafiri..wewe hata hufwati mafindisho ya bibilia....mkiambiwa msile nguruwe mnamkula, bibilia iliwaambia msujudu....na mrukuu.mnapiga magoti ..huoni mnafanya kinyume Cha maandiko
Hatima ya makafiri ni hii kama Qur’aan inavyo sema: Hakika wale walio zikataa Ishara zetu tutawaingiza Motoni. Kila zitapo wiva ngozi zao tutawabadilishia ngozi nyengine ili waionje hiyo adhabu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye hikima. --an_nisaa' 56
Nyinyi Wakristo mpaka sasa hamuelewani kuhusu Mungu wa kumuabudu, Katoliki laabudu miungu mitatu ( Trinity ) na Wasabato pamoja na Jehova’s Witnesses wanapinga hilo wanasema huo ni Ukafiri, Wasabato na Katoliki wanaamini kama Yesu ni Mungu wakati Jehova’s Witnesses wanasema kama huo ni ukafiri.
Mwz mungu ametuumba ametupa akili akasema tumwabudu na akatuacha huru kwaiyo shauli yako kama utafaulu au utakufulu lakini haki ipo wazi na batiri ipo wazi
Kweli kama Mungu Allah atampata kwasababu anampinga ila Mungu wa kweli atamlinda nyie kaeni na Mungu wenu wa Majini Allah ambaye ni Shetani huo ndio ukweli mtake msitake mmepotezwa na Majini.
Hivi ni binadamu gani aliyeishi pangoni zaidi ya waganga kienyeji wenye mizimu ya asili, Muhammad alikuwa na mapepo au mashetani au majini maana hao kwa asili ya jamii ya binadamu wote wanaamini pangoni ni kwa majoka, bundi, popo, mashetani, na majini.
@@abedihussenikhalfan4007 hauna mafunzo ya ukristo yanayofunza kua Yesu ni Mungu na hakuna mkristo WA ukweli anayesema Yesu ni Mungu kwaivyo soma maandiko vizuri na utaelewa.
SIMULIZI WAUKIZE MASHEKH KAMA QURAN ALISHUSHIWA MTUME AKIWA NA MIAKA 40 NAKUENDELEA NA AKIWA KWANZA NA MKE MMOJA KWA NINI QURAN INASEMA OENI MMOJA AU MWISHO WA NNE SWALI NI JE KWANINI MTUME MOHAMED ALIOA WAKE 11 MPAKA ANAKUFA ?! JE ALIPINGANA NA MANENO NA AMRI ZA MUNGU!? kwenye QURAN!??
Kwa maelezo ya "roho wa kweli" dah Ndacha muongo sana. Kapiga porojo nyingi kutuaminisha kwamba neno hilo sio Mtume Muhammad SAW kwa kuchanganya baina ya roho mtakatifu, roho ya Yesu na hiyo roho wa Kweli. Lakini kutetea hilo andiko ameshindwa
Sisi Waislamu zinatutosha dalili za Quruani ambayo ni maneno ya Mwenyezi Mungu zinazo thibitisha kama Muhammad ni Mtume wa Mungu. Someni aya hii moja, lakini ziko nyingi kwenye Quruani: Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na walio pamoja naye wana nguvu mbele ya makafiri, na wanahurumiana wao kwa wao. Utawaona wakiinama na kusujudu wakitafuta fadhila na radhi za Mwenyezi Mungu. Alama zao zi katika nyuso zao, kwa athari ya kusujudu. al_fatH 29
sisi wakristo atunaga dalili tupo na kweli yote ndani ya biblia straight forward,biblia imenyooka bhana,Mungu wa biblia anajisemea mwenyewe asemewi na mtu kama vile mungu wa quran!
@ Nyinyi Wakristo mpaka sasa hamuelewani kuhusu Mungu wa kumuabudu, Katoliki laabudu miungu mitatu ( Trinity ) na Wasabato pamoja na Jehova’s Witnesses wanapinga hilo wanasema huo ni Ukafiri, Wasabato na Katoliki wanaamini kama Yesu ni Mungu wakati Jehova’s Witnesses wanasema kama huo ni ukafiri. Sasa nyinyi mnaabudu Mungu yupi?
Hapo kwenye "roho wa kweli" ume uliza swali vizuri bwana simulizi lakini jibu lake ana kimbilia kwenye Quran 😅😅😅. Atumbie andiko lake kwenye bibilia. Akaja kuchanganya baina ya roho wa kweli na roho mtakatifu. Roho wa kweli ni mtume Mohammad SAW. Roho mtakatifu ni malaika Jibril. Akaja kuchanganya kwa kutumia maandiko yenye neno roho sasa ilimradi asijibu swali 😂😂😂
Sasa kama maandiko yanasema Roho wa kweli atakaa nanyi milele na wakati Mohamed alishakufa kwahiyo waislamu wanamaanisha roho Alishakwishakufa? Unajua waislam msituchanganye na mizimu yenu! Mtuache na yesu wetu!
@kaderbakshamin2345 hakuna kujipa matumain Mungu akija haangilii uislam wenu,wenyewe ni njia ya kuzim mnajisumbua kutetea waarabu na wao hata hawawajui
SIMULIZI, NAOMBA MUULIZE NDACHA.MWANZO 16-12 INAZUNGUMZA HABARI YA ISMAIL INASEMA HIVI; Naye atakuwa kama punda-mwitu kati ya watu,mkono wake utakuwa juu ya watu wote na mkono wa watu wote utakua juu yake,naye atakaa mblele yao ndugu zake wote. je? ndugu wa ismail ni akina nani? na kama ni isaka wapi katika biblia kumeeleza habari ya ismail kuwa mbele ya ndugu zake wote au kusudio la hilo andiko ilikua ni nini? kuna mkono wake kuwa juu ya watu wote na mkono wa watu wote kuwa juu yake naomba majibu kwa ndacha.
Ndacha anafundisha hadi unajisikia utukufu wa Mungu unakushukia .sio waalimu wa kiislamu wao hutumia mafundisho ya uongo wakibadilisha vifungu vya biblia ili kuilinda dini yao ya kiislamu
Waislamu wanachanganyikiwa roho wa kweli eti ni mohamed mara ni gabrielle 😅. Yesu yeye mwenyewe aliposema mtapata roho wa kweli aliwambia wanafunzi wake wongonje jerusalem hadi wapate yeye kwani walikua wanangoja mwahamedi 😅
Kuna ishara zanaletwa na kuruan mnakazi ninyi sasa hy mtume wenu anafaida gani umekuja kufanya nini yesu yeye wa mwanzo na wa mwisho hy mnamwita muhamed wawap tena
Sheikh kimweri tunakuomba ukamnyooshe kafiri ndacha kaitetee dini ya haki inshaallah huyu kafiri hana hoja ni makelele tu katumie hekima huenda yeye akawa black board kwa wengine kusilimu kwa idhini ya Allah
Ndacha mnafiki mkubwa wewe,kama ulisoma kitabu cha Maisha ya Nabii Muhamad,ktk kitabu kile kuna miujiza mingi ya Muhamad,mbuzi mgonjwa alitoa maziwa mengi,ngamia wa siraka alidodomea na mengineyo.leo unabisha Muhammad hakua na miujiza
Sasa amuumbue wakati huyo ndacha hana dini kitabu wala nabii alietumwa kwao maana ukristo na yesu ni vitu viwili tofauti yesu mpaka anaondoka haujui ukristo au ana anaandiko huyo ndacha wenu yesu aliwahi kuingia kanisani? Au aliwahi kuendesha ibada zinazoitwa misa au hata hio rosary mnazozivaa anazijua?Maana dini hana kisha anazungumzia ya mtukufu wa daraja bw mhammad s a w nyinyi kina ndacha endeleeni kuineza biblia ilioanzishwa na wazungu na dini yenu mpya ambayo huyo yesu wala haijui kamwee wewe unachotakiwa uendelee kumsema tu vibaya bw mhammad s a w sisi waislam hatushangai yaani utakua sawa nawale maqaafir wa makka
Hilii kijamaa nikiongo balaa Yesu amesema mm nikionndoka atakuja roho wa kwerii ww unasema yuko ndani yenu ndio majibu hayo kafiri bwana anabaki kuwa kafiriii 2
Manabi wote walitumwa na Mungu......kutokana na madai yako "Yesu amesema mm nikionndoka atakuja roho" YESU NI MUNGU kama yeye ndo anamtuma roho ambaye ni muhammad kwa akili zako. Yohana 16:7 Lakini nawaambia kweli kwamba kuondoka kwangu ni kwa faida yenu kwa maana nisipoondoka, yule Msaidizi hatakuja kwenu. Lakini nikienda nitamtuma aje kwenu.
Makafiri munapoongea msisahau nukuu zenu andika linasema nitakapoondoka ndio roho wa kweli atakuja jiulizeni kwani wakati yesu yupo duniani je roho mtakatifu hakuwepo kwa imani yenu maandiko yenu yanasema huko kuzaliwa kwa yesu tu kulipatikana kwa uweza wa roho mtakatifu inamaana roho mtakatifu yupo kitambo hata yesu hajazaliwa kwa hiyo hakusubir yesu aondoke ndo yeye aje tumieni akili kidogo
Yohana 16:7 Lakini nawaambia kweli kwamba kuondoka kwangu ni kwa faida yenu kwa maana nisipoondoka, yule Msaidizi hatakuja kwenu. Lakini nikienda nitamtuma aje kwenu. KAMA MUHAMMAD NDIYE, ROHO,,,,YESU NI MUNGU...MANAKE MANABII HUTUMWA NA MUNGU... KAFIRI NI MUISLAMU - YUDA 1:4
Mwenyenzi mungu akubariki Sana mwalimu dacha hadi hawa wabudu dini amurudie mwenyenzi mungu kwa hakika KAZI unayo maana hawatakuelewa kwa maana walimkataa hadi yesu Mwenyewe
Mwenyezi Mungu anasema: Na walio kufuru wanasema: Wewe hukutumwa. Sema: Mwenyezi Mungu anatosha kuwa shahidi baina yangu na nyinyi, na pia yule mwenye ilimu ya Kitabu. --ar_Ra`d 43
Ata kuseme roho wa kweli ni Muhammad,yesu amesema atanena yanayotoka kwake,yesu amesema atakufa ,mbona Muhammad akatae hakukufa ,iyo si maneno ya yesu , Muhammad anakataa maneno ya yesu,hawezi kua msaidizi
@ Sisi Waislamu hatuna shida ya kutafuta dalili kutoka Bibilie kuthibitisha kama Muhammad ni Mtume zinatutosha ziliomo ndani ya Quruani na ziko nyingi, nakupa moja wapo: Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na walio pamoja naye wana nguvu mbele ya makafiri, na wanahurumiana wao kwa wao. Utawaona wakiinama na kusujudu wakitafuta fadhila na radhi za Mwenyezi Mungu. al_fatH 29 karibu sana kwenye Uislamu
Ndacha ni mwalimu mzuri sana anaweza kuwafundisha wote
😂😂😂 haeleweki
@@karimuabdala3234wewe ndo humwelewi kwa sababu ya itikadi zako
@@karimuabdala3234 wajinga husema hivo
Mungu akubariki
Hamna mwalimu hapo jamaa anapindisha maneno
@@abdallahhamisi45 towa kapindisha aje
Roho wa kweli tulie ahidiwa anakaa na sisi ata milele bt Muhammad kafa kwa hivo siye
Kila nafsi itaonja mauti....mtume alikuwa mwanadamu hakuwa mungu.....na mitume wengine wote walio kufa,,,Ibrahim , Musa,,,daud ..na wengine walikufa...Sasa wewe mtume kufa ndio inakusumbuwa? Na Kuna wale hawakufa....kama yesu,,,na wengine waliochukuliwa wakiwa hai
Asifiwe Yesu mwana wa Mungu alie hai
Waislamu mlituchokoza wenyewe kipindi hicho wakristo tulikuwa hatufuatilii udhaifu uliopo kwènye quruani .siku hiz kwa sababu quruani inaandikwa kwa kiswahili tunaisoma . Uislam syo dini ya Mungu ni dini ya kishetani kama zilivyodini nyingine kama frimasoni , hindu , budha na nyinginezo
Ndacha lugha haelewi.Anasoma atakavyo yeye.
Ukweli Una Uma Sana hiyo ni kweli kaka
Qur'an haina mapungufu wewe au nyinyi ndio munamapungufu yenu ya kibinadamu
@@joachimluhamo3042 yani wapo kama wanne wanawanyoosha kuna xmum ni shida na mwalim chaka uwiii hawapumui mwanzo ilikuwa wanahangaika na biblia sana sasa wanatukana tu kwa comment
Mmh ww utakujaelewa cku moja ukitolewa roho ila ndugu yangu njoo katika uislam
Yesu alituambia Nabii wa mwisho wa Mungui ni yeye Mwenyewe!!
Matayo 21:37 "Mwishowe akamtuma mwanae kwao akisema, ‘Bila shaka watamheshimu mwanangu."
Lakini waislamu wamedanganywa wasiamini Yesu ni Mwana wa Mungu wakababaishiwa yesu feki kwa jina issa bin maryam!!
Yohana 3:18 "Amwaminiye yeye hahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakumwamini Mwana pekee wa Mungu.
Sasa yesu, nabii au Mungu, au mtoto wa Mungu mbna hamuelewek
@@mudighurayra
Kuna Yesu Kristo na issa bin maryam...wewe unaongelea kuhusu issa....toka huko
@@mudighurayra😂😂😂😂
@@wakeshojanakwahiyo yesu ni nabii wa mwisho wa mungu
@
Naam.....alipofanyika mwili, akaja kama Mwana, Nabii, Mwalimu. mchungaji etc - Yohana 1:14
Uislam ni mzigo niwabishi kuliko kawaida,na waongo sana,na wanatukana sana ,WAISLAM roho wakweli sio marehem muhamad mzinz ni roho mtakatif
Yesu alicema yule atakaye kuja ni roho wa kweli naye atanitukuza mimi,sasa tukiangalia mutume muhamadi sifazake hajawai mutukuza yesu hata maramoja,badala ya kumutukuza yesu anamudhalilisha,anasema yesu sii mwana wa mungu,na yesu anasema mimi ni mwana wa mungu,muhamadi anakata mungu hana mutoto sasa huyu muhamadi sii roho wa kweli no,
Soma Qur-ani uone inavomtukuza nabiì Issa au kwaakili yako kumtukuza ni kumwita mungu??
Toa AYA inayosema muhammad inayomtukuza Yesu?
@@ZayyanaBamunitatizo Hawa hawasomi ila wapo kwa ushabiki, wakristo wengi biblia hawaijui
@@pascalvirgilio7208 19:30 Qur-ani
Yule mtoto akasema:Hakika mimi ni mja wa Mlmungu,Amenipa kitabu,na amenifanya Nabii,na amenifanya nibarikiwe popote nilipo,na ameniusia sala na zakka maadam nihai,na ameniusia kumfanyia wema mamaangu wala hakunifanya niwe jeuri muovu,na amani ipo juu yangu siku nilipozaliwa na siku nitakapokufa na siku nitakapofufuliwa kuwa hai,huyu ni lssa bin Maryam,hii ndio kauli ya hakki ambayo wakristo wanaifanyia shaka
@@samxx411 ndio maana wanachoambiwa na wachungaji wao wanafata,wananunulishwa mpaka mapapai ya upako
Ndacha uko sawa endelea kuwachoma kwa neno la MUNGU hata kama wanakejeli songa zaidi mbele
Ndacha ndie babalao waislamu
Nyinyi makafri Mohamed ni mtume wa Mungu ukubali ukatae yeye ni mtume wa Mungu tu hata Yesu ni mtume wa Mungu japo wayahudi hadi leo hii hawajamkubali yesu ni mtume wa Mungu wanadai mtoto wa zinaa ukifika kwa wayahudi useme habari za yesu utafukuzwa siku hiyo hiyo
Unamlazimishia MUNGU mutume mpakaji Wa watoto Jina ata adabu Jina heshima Kwa mwenyezi MUNGU. Eshimu MUNGU Bo's Wacha kumpa mtume kafiri mpakaji Wa watoto. Muwaji
WAISLAMU WAKILAZIMISHA MUHAMMAD NDIYE ROHO WA KWELI ATAKUJA BAADA YA YESU...BASI PIA WAKUBALI YESU NI MUNGU MANAKE HUYO ROHO ANATUMWA NA YESU!!
Yohana 16:7 Lakini nawaambia kweli kwamba kuondoka kwangu ni kwa faida yenu kwa maana nisipoondoka, yule Msaidizi hatakuja kwenu. Lakini nikienda nitamtuma aje kwenu.
KILA SIKU TUNAWAAMBIA YESU NI MUNGU NA ISSA BIN MARYAM SIO YESU KRISTO !!
Wamezibwa akili na mungu wa dunia hii.
2 Wakorintho 4:4 Kwa upande wao, mungu wa dunia hii ametia giza akili za wasioamini, ili wasione mwanga wa Injili ya utukufu wa Kristo, ambaye ana sura ya Mungu.
😅😅😅 muhamadi hawezi kua roho uwongo wawaislamu
@
WITHOUT LIES, ISLAM DIES!!
@
Uongo kila kitu...Mungu awanusuru!!
@@JohnOuya-w7j
Waislamu hutetea uongo....inakubalika kwa ajili ya allah (TAQQIYAH).....mungu wao hana uwezo wowote ule wa kujitetea.
Ndio manake ukiritadi, ndugu zako wana haki ya kukuuwa badala ya wakuwachie Mungu siku ya kiama akuhukumu!!
Ndacha anauliza YESU aliacha kitu gani mpaka Muhammad aje???
Embu tumuulize Yesu, Je uliwaambia wanafunzi wako mambo yote??? Yesu anajibu hivi,
Hata bado nikali ninayo mengi ya kuwaambia, lakini hamwezi kuyastahimili hivi sasa.
Yohana 16:12
Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote; kwa maana hatanena kwa shauri lake mwenyewe, lakini yote atakayoyasikia atayanena, na mambo yajayo atawapasha habari yake.
Yohana 16:13
Je ni lini mambo hayo tutapata habari zake??? Yesu anasema
Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke, kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu; bali mimi nikienda zangu, nitampeleka kwenu.
Yohana 16:7
ZINGATIA.
Usije ukasema eti huyo roho, ni Roho Mtakatifu, ni MUHAMMAD (S.A.W) kwa maana Roho Mtakatifu Yupo hata kabla Yesu Hajazaliwa, alipokua hai Yupo, lakin Roho huyu sharti Yesu aondoke ndo Aje, Yesu asipoondoka huyo msaidizi haji,
Hapa kipindi anatabiliwa Yohana, Roho mtakatifu Yupo,
Kwa sababu atakuwa mkuu mbele za Bwana; hatakunywa divai wala kileo; naye atajazwa Roho Mtakatifu hata tangu tumboni mwa mamaye.
Luka 1:15
Hapa kipindi anataviriwa Yesu, Roho mtakatifu Yupo,
Basi alipokuwa akifikiri hayo, tazama, malaika wa Bwana alimtokea katika ndoto, akisema, Yusufu, mwana wa Daudi, usihofu kumchukua Mariamu mkeo, maana mimba yake ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
Mathayo 1:20
Ndacha anajichanganya ikisha hayupo kutofautisha roho mtakatifu na roho wa kweli. Mi nadhani yupo kiubishi zaidi kwa vile ni uislamu
tulia na majini wako apo!
Roho siyo nafsi mzee roho ni hekima ya Mungu mwenyewe unaweza pia kusema ni Mungu mwenyewe kwamba, roho wa Mungu, roho ya Mungu, Roho Mtakatifu, roho wa kweli (sentensi zote hizo ina maana ya kitu kimoja).
Roho mtakatifu ndiye Roho wa kweli, tulia ufundishwe
kifipi 😂😂😂
slam imebaki kuzikwa, juzi wanasema eti mtume wao alipaa mbinguni, uislam kwishaaaa
Mwalimu Ndacha hiyo aya huwezi kuibadilisha hata ukataka wajisumbua itabaki hivo hivo roho wa kweli ni MUHAMMAD (SAW)
akili zako zimejaa mavi,roho wakweli ni nani mjinga ww!
Na amekufa kwa sumu
Mohamed naskia kaburi lake yalindwa hadi leo, jameni musitete marehemu anangoja kuingia motoni,mpinga kristo
Waislamu ndio makafiri wanapinga kauli tangulizi ya bibilia uislamu ni ukafiri ni vile hawajui
Ongea Kwa maandiko, tuonyeshe maandiko, na kama anae kuja baadae ni muongo basi hata Yesu amekuja na Injiili baada ya Musa na Tourati yake
Wewe ndio kafiri...
Mtu yeyote ambaye anasema mungu Yuko na mtoto ni kafiri..wewe hata hufwati mafindisho ya bibilia....mkiambiwa msile nguruwe mnamkula, bibilia iliwaambia msujudu....na mrukuu.mnapiga magoti ..huoni mnafanya kinyume Cha maandiko
Hatima ya makafiri ni hii kama Qur’aan inavyo sema: Hakika wale walio zikataa Ishara zetu tutawaingiza Motoni. Kila zitapo wiva ngozi zao tutawabadilishia ngozi nyengine ili waionje hiyo adhabu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye hikima. --an_nisaa' 56
Ishaga gani za kuzin na kitoto,au kusilimisha shetan,
@ Hamna aya moja ndani ya Qur’aan inasema hayo mawili uliyo yataja
Nyinyi Wakristo mpaka sasa hamuelewani kuhusu Mungu wa kumuabudu, Katoliki laabudu miungu mitatu ( Trinity ) na Wasabato pamoja na Jehova’s Witnesses wanapinga hilo wanasema huo ni Ukafiri, Wasabato na Katoliki wanaamini kama Yesu ni Mungu wakati Jehova’s Witnesses wanasema kama huo ni ukafiri.
wakristo tunajivunia huyu mwamba mwalimu wa walimu bwana francis-ndacha,akuna muislamu duniani anawezana na ndacha akuna na hapatikani!
Ndio mwisho wa upeo wako wa kufikiria apo
@badruseif1318 ww mwenyewe unafikiria nini kama sio kusafiri kwenda maccah kubusu jiwe jeusi full stop,mijinga mikubwa!
Duh!kumbe wakristo hakuna wasomi
@ZayyanaBamuni waislamu ndio amuna wasomi ndio maana mnabaki mnaoa kila kutwa!
@@JeanMuzaliwa-bs6qh ndio Akili yako ilipoishia apo hulaumiki
Mwz mungu ametuumba ametupa akili akasema tumwabudu na akatuacha huru kwaiyo shauli yako kama utafaulu au utakufulu lakini haki ipo wazi na batiri ipo wazi
Wewe ndacha utaenda kujuta mbele ya mungu wewetafuta sifa zawatu❤
Atakae juta ni wewe maana upo kwenye njia ya kuzimu
Mbn ajute na anasema kweli ,
Mhamadi haezi kuwa roho wa kweli kisha na maana Ana dhambi
Kweli kama Mungu Allah atampata kwasababu anampinga ila Mungu wa kweli atamlinda nyie kaeni na Mungu wenu wa Majini Allah ambaye ni Shetani huo ndio ukweli mtake msitake mmepotezwa na Majini.
Sikiliza hoja acha makasiriko
"Atanena yote atakayoyasikia"kiimani ya kigalatia roho mtakatifu nae ni nafsi ya mungu swali mungu ananena yake au anayoyasikia
Hujaelewa aliyosikia kwa yesu maana yeye yesu ndo alimtuma
Ndacha anapata shida Sana kubambanya , kuokotaokota vipande huku na kule na kuchanganya
Ungefunguka akili ungetoka huko kwenye njia ya kuzim
Anajitungia tafisiri
@@abdallahhamisi45 tutabak hivihivi hakuna mtu aliumbwa akaambia din yako ni hii usijitaid kufundisha uongo
@@abdallahhamisi45 How are you Mr stone kisser? 😂😂
@@abdallahhamisi45 Ametunga gani hiyo au amesoma?
Mwenye kuelewa akwelewe mwenye jazba abaki nayo neno limefika
Hivi ni binadamu gani aliyeishi pangoni zaidi ya waganga kienyeji wenye mizimu ya asili, Muhammad alikuwa na mapepo au mashetani au majini maana hao kwa asili ya jamii ya binadamu wote wanaamini pangoni ni kwa majoka, bundi, popo, mashetani, na majini.
Hujasoma historia ndugu wanadamu tuliishi mapangoni kabla yakujenga nahata baada yakujenga tulienda kupumzikanna nawengie waliendelea kuishi
Wakristo hamna hoja za kumpinga Mtume Muhammad mnalazimisha tu,hoja dhaifuuu
Mtatushawishi vipi tumfwate nabii ambaye anagonja hukumu kama kama sisi wanadamu
Hatuwez kuacha njia ya uzima tufuate njia ya kuzimu
Wee utaangaikaa ujui
Kwamtazamo wangu naona ndacha anatumia mawazo yake mwenyewe kichwani kwamaana yule wakiislamu alikua anafundisha kielimu na ushadi
Msimulizi nijibuni swari kwamjibu wa imani yenu Yesu ni mngu je mtume wa mwisho ni nan
Shida iliyopo ni kuzungumzia jambo lisilopo mezani.
@@abedihussenikhalfan4007 hauna mafunzo ya ukristo yanayofunza kua Yesu ni Mungu na hakuna mkristo WA ukweli anayesema Yesu ni Mungu kwaivyo soma maandiko vizuri na utaelewa.
nenda masjid ukawaulize vipufu wenzio masheikh wako watakujibu!
Wewe Jeanmzaliwa, ni kweli hamna andiko kwenye Bibilie Yesu kasema Kama yeye ni Mungu na kama kunaandiko tuonyeshe
hakuna mwisilamu atakupali 😂😂😂😂😂
Ndacha uwelewake wa lugha ni changa Moto.Hajui lugha.
SIMULIZI WAUKIZE MASHEKH KAMA QURAN ALISHUSHIWA MTUME AKIWA NA MIAKA 40 NAKUENDELEA NA AKIWA KWANZA NA MKE MMOJA
KWA NINI QURAN INASEMA OENI MMOJA AU MWISHO WA NNE SWALI NI JE KWANINI MTUME MOHAMED ALIOA WAKE 11 MPAKA ANAKUFA ?! JE ALIPINGANA NA MANENO NA AMRI ZA MUNGU!? kwenye QURAN!??
Ndacha mwalimu na hiyo elimu bila kua naroho wa Mungu huwezi elewa utapinga 😂😂😂 waislam mpooo nyie hamna elimu kwa habari ya rohoo
Nyie mkataeni tu Nabii Muhammad ila huo ndo moto wenu Wakristo kosa hilo tu sisi hatubagui mitume wala manabii kwetu wite tunawapend na kuwaamini
Ndacha Ivi wajua mana ya Masiah
Jamani musimfuate ndacha atakuingizeni motoni siku ya kiama
Kweli kabisa
Nyie ndomtaingia motoni mamajini yenu mudy halikuwa mzinzi kambaka hadi bint wa miaka 9 hangekuwa mwanangu kafanyia ivyo ningemkata mabao mudy mpaka hangejuta
@@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl Unadalili gani kama sisi Waislamu tutakwenda Motoni? Lete dalili tuisome sio warusha maneno ya hasira
Kwa maelezo ya "roho wa kweli" dah Ndacha muongo sana.
Kapiga porojo nyingi kutuaminisha kwamba neno hilo sio Mtume Muhammad SAW kwa kuchanganya baina ya roho mtakatifu, roho ya Yesu na hiyo roho wa Kweli.
Lakini kutetea hilo andiko ameshindwa
Duuu kweli kuna watu vichaa yani anatoa maandiko na ushahid bado huelewii
Roho mwenyewe anatoa maneno kwa yesu anatuletea sisi wafunzi wake
@@nicholousmtemi3902Yesu hana roho?
@@nicholousmtemi3902kichaa ni wewe usielewa maelezo ya ndacha. Yeye amekataa hilo andiko bila hoja. Ametumia maandiko mengine tofauti na hilo kujibia
Hii nguruwe iko kila mahali 😂😂😂
Sisi Waislamu zinatutosha dalili za Quruani ambayo ni maneno ya Mwenyezi Mungu zinazo thibitisha kama Muhammad ni Mtume wa Mungu. Someni aya hii moja, lakini ziko nyingi kwenye Quruani: Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na walio pamoja naye wana nguvu mbele ya makafiri, na wanahurumiana wao kwa wao. Utawaona wakiinama na kusujudu wakitafuta fadhila na radhi za Mwenyezi Mungu. Alama zao zi katika nyuso zao, kwa athari ya kusujudu. al_fatH 29
sisi wakristo atunaga dalili tupo na kweli yote ndani ya biblia straight forward,biblia imenyooka bhana,Mungu wa biblia anajisemea mwenyewe asemewi na mtu kama vile mungu wa quran!
@ Nyinyi Wakristo mpaka sasa hamuelewani kuhusu Mungu wa kumuabudu, Katoliki laabudu miungu mitatu ( Trinity ) na Wasabato pamoja na Jehova’s Witnesses wanapinga hilo wanasema huo ni Ukafiri, Wasabato na Katoliki wanaamini kama Yesu ni Mungu wakati Jehova’s Witnesses wanasema kama huo ni ukafiri. Sasa nyinyi mnaabudu Mungu yupi?
Huyo ana hoya Kila wakati wakimbia miadhara Bure kabisha
Hivi roho anakufaa kweli😂😂😂
Ndasa anaijua sana Biblia
Ndacha Bado sanaaaaa
Huna jpya
Anapindisha maneno ya Quran muongo sana jamaa
Nyie ndo mnapindisha maneno yan yesu hamtabir maudy takataka ile nyie waislam endeleeni kuswaria mudyi nakumuombea msamaa kwa mungu
Hana jipya kama mtume wako mjinga 😂😂
@@moshajexplore Mtume wangu ndo kipenz Cha mwenyez mungu hana baya choyo chako tu ndo tatzo
@@AliJuma-eg8tq kijinga Ana dhambi
Mungu muongoze huyu ndacha akika anapambana na nawatu wasiyo taka ukweli
Yani maandiko yanasomwa ila bado hawaelewii na wanabisha
Kama wewe,,,maana ndacha ni SDA....hawaweki msalaba kanisani...hawasherehekei kirisimasi ..na wewe je
Leo ndio nasikia ndacha akibabaika
Hata hautawahi kubali mtume wako ni mbakaji 😂😂😂
@ sababu hujui mana ya manabii ata usiongee mana wew unaolewa unahoa na yesu hakua na bibi inamana wew pia usiwe na mke kama kweli ukifwata manabii
@@Khalidmghosi Ungetoa andiko alikuja kuoa ama amesema tusioe
@@Khalidmghosi wewe ndiyo haujui maana ya nabii. Ungetuambia Muhammad alitabiri nini ili awe nabii
Mtakukuluka lakini Mta Kiri wenyew
Hapo kwenye "roho wa kweli" ume uliza swali vizuri bwana simulizi lakini jibu lake ana kimbilia kwenye Quran 😅😅😅.
Atumbie andiko lake kwenye bibilia.
Akaja kuchanganya baina ya roho wa kweli na roho mtakatifu.
Roho wa kweli ni mtume Mohammad SAW.
Roho mtakatifu ni malaika Jibril.
Akaja kuchanganya kwa kutumia maandiko yenye neno roho sasa ilimradi asijibu swali 😂😂😂
Nyie waslam mmefungwa namajini msitambue ukwer wewe biblia nalikitabu lenu lamajini wapi nawapi nyie waislam subirni tu mwende kuzm tu
Hapo hapo mbele aliendelea kusema huyo roho wa kweli haonekani na ataishi milele sasa Muhammad haonekani
@@nicholousmtemi3902haya je hilo andiko kajibu?
@@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hlndio unacho jua tu
Sasa kama maandiko yanasema Roho wa kweli atakaa nanyi milele na wakati Mohamed alishakufa kwahiyo waislamu wanamaanisha roho Alishakwishakufa? Unajua waislam msituchanganye na mizimu yenu! Mtuache na yesu wetu!
Kuna shida kwenye kukariri na hadithi na maswahaba nk. Vurugu za kutosha. Imani iliyosambazwa kwa upanga siyo mchezo !!
@@richardnganya2311kwakweli kuuelewa uislam ni mzigo,unatakiwa ule matunda na mbogamboga akili itulie
@SimuliziZone Ikikupendeza,,Wakutanishe Mwalimu Kada na huyu ndacha ,kama vile ulifanya ndacha na mbogo
Muhammad alitumwa na majini mashetani mapepo wachafu na ndio waliomkaba pangoni ushaidi ni yeye kusema amechezewa na mashetani
Ndacha hana elimu hata kidogo ingawa anasoma kwa walimu wa kiislamu
Ndacha acha kupotosha watu kwasababu ya masilahi yako utachomwa wewe shauri yako
Hata akimkanaa Mungu alimteuwa ndacha atasaidia nini
Ndacha acha kupoteza watu kwa usanii wako unapindisha hizo aya iko siku utajuta uliyokuwa unayafanya kupotosha watu
Wakujuta ni nyie mlio potezwa na mtume mzinz,njia ya uzima ni yesu,na sio mud ninjia ya jehanam
@Furahinikatkabwana endeleeni kijidanganya mungu akupeni umri muyaone huko mbeleni
@kaderbakshamin2345 huwez kutoa mtu kwenye nusu aende kwenye giza,na wala siwez fuata watu wanaosilimisha mashetan
@kaderbakshamin2345 hakuna kujipa matumain Mungu akija haangilii uislam wenu,wenyewe ni njia ya kuzim mnajisumbua kutetea waarabu na wao hata hawawajui
Poleni sana subirini wakati ufike
Wenzako wengi wameacha hizo tabia na wameona ukweli sio wewe mmoja na usanii wako
Hii ndio sifa ya kafiri ili uwe kafiri ni lazima uwe mpingaji wa Mungu sasa hatutegemei kafiri kuwasifia mitume wote
SIMULIZI, NAOMBA MUULIZE NDACHA.MWANZO 16-12 INAZUNGUMZA HABARI YA ISMAIL INASEMA HIVI; Naye atakuwa kama punda-mwitu kati ya watu,mkono wake utakuwa juu ya watu wote na mkono wa watu wote utakua juu yake,naye atakaa mblele yao ndugu zake wote. je? ndugu wa ismail ni akina nani? na kama ni isaka wapi katika biblia kumeeleza habari ya ismail kuwa mbele ya ndugu zake wote au kusudio la hilo andiko ilikua ni nini? kuna mkono wake kuwa juu ya watu wote na mkono wa watu wote kuwa juu yake naomba majibu kwa ndacha.
Ndacha bwana anaulizwa anachukia sasa analazimishq tuerewe lakini pia anajikanyaga mm simuerewi kabisa
Ndacha anafundisha hadi unajisikia utukufu wa Mungu unakushukia .sio waalimu wa kiislamu wao hutumia mafundisho ya uongo wakibadilisha vifungu vya biblia ili kuilinda dini yao ya kiislamu
Waislamu wanachanganyikiwa roho wa kweli eti ni mohamed mara ni gabrielle 😅. Yesu yeye mwenyewe aliposema mtapata roho wa kweli aliwambia wanafunzi wake wongonje jerusalem hadi wapate yeye kwani walikua wanangoja mwahamedi 😅
Ndomana hukienda kwenye nchi za kiislam ukioji vitu kama ivi unachinjwa hatak kabisa huoji
Shida qurani uijui na utaka bira kuijua kiswahiri hujui
Kweli kama vile mtume wako ambaye hajui kusoma na kuandika 😂😂😂
Kuna ishara zanaletwa na kuruan mnakazi ninyi sasa hy mtume wenu anafaida gani umekuja kufanya nini yesu yeye wa mwanzo na wa mwisho hy mnamwita muhamed wawap tena
Fanya mpango wakutane
Ndugu zangu wa isram kuwen seriously kama Biblia kusoma hachen maana mnafos kuwa Muhammad kuwa ni Roho dah kwel ndugu zangu
NDACHA SAWA KWA UELEWA WAKO BASI TUAMBIE WEWE ROHO ANENAE KWA MUJIBU WA ANDIKO HILO NI NANI
Mbona kaelezea roho anayenena ni kwetu sisi
Lakini Yohana Mbatizaji alikufa kabla Yesu hajafa
Simulizi leo umemueza huyo muongo mkubwa hana hata haya huku akijaribu kudanganya zaidi huyu jamaa ni iblisi mwenyewe
Kama kuna kitabu hujichanganya basi ni bibilia, huku inakubali huku inakataa
Sheikh kimweri tunakuomba ukamnyooshe kafiri ndacha kaitetee dini ya haki inshaallah huyu kafiri hana hoja ni makelele tu katumie hekima huenda yeye akawa black board kwa wengine kusilimu kwa idhini ya Allah
Inabidi awepo mwalimu na huyo ndacha ndo tutapata mantiki
Ndacha analalamika na kushutumu tu aonyeshi madai yake
Sasa huyu mtangazaji mwenywe pia ni mgalatia,,kwa nini asingemueka pamoja na huyo shekhe Kimweri
Kwani nyinyi wakristo yesu ni nani kwenu
Mungu
@@davidbarnabas-e8f😂😂😂😂😂😂😂. Nabii wa mwisho ni nani?
Ndacha mnafiki mkubwa wewe,kama ulisoma kitabu cha Maisha ya Nabii Muhamad,ktk kitabu kile kuna miujiza mingi ya Muhamad,mbuzi mgonjwa alitoa maziwa mengi,ngamia wa siraka alidodomea na mengineyo.leo unabisha Muhammad hakua na miujiza
😂
Simulizi ndacha ana ongea bila dalili yote yote ya ushahidi ana toa kichwani kwake hana lolote muongo mtupu
Wakutanishe tupate hoja zilizoshiba
Waabudu mashetani kazi mnayo kwa hiki kichwa.
Waadhili wote wa kiislam wapotezwa, sijui nini kitawaokoa.
Ndacha ni Messi wa Wakristo
kiboko cha waislam huyo waislam waongo sn
Hakika husikilizi
😂😂😂changamka kama kimweli wewe toa madini tukusikie unaboa huna lolote wadangaje wagalatia wenzako😂😂😂huyooo
muhamad muongo sana yupo motoni sasa
Waislamu ni wajinga wanatafuta Muhammad kwa Biblia aiii Hao wamechanganyikiwa..potelea mbali na majinni yenu!
Sasa amuumbue wakati huyo ndacha hana dini kitabu wala nabii alietumwa kwao maana ukristo na yesu ni vitu viwili tofauti yesu mpaka anaondoka haujui ukristo au ana anaandiko huyo ndacha wenu yesu aliwahi kuingia kanisani? Au aliwahi kuendesha ibada zinazoitwa misa au hata hio rosary mnazozivaa anazijua?Maana dini hana kisha anazungumzia ya mtukufu wa daraja bw mhammad s a w nyinyi kina ndacha endeleeni kuineza biblia ilioanzishwa na wazungu na dini yenu mpya ambayo huyo yesu wala haijui kamwee wewe unachotakiwa uendelee kumsema tu vibaya bw mhammad s a w sisi waislam hatushangai yaani utakua sawa nawale maqaafir wa makka
Sipendi makafir wanavyo mkosea heshima nabii wa mwisho wa umma huu Muhamad s a w
@@qwerqasd8597 MAKAFIRI NI WAISLAMU- YUDA 1:4
MUHAMMAD SIO MTUME....
CHAGUA KORAN 46:9 AU YOHANA 14:6 KAMA UKNAZO AKILII
@@qwerqasd8597muhamad ni Nabii alietumwa na shetani
@@qwerqasd8597akili imejaa kinyesi eti nabii wa mwisho nyie mnashida gani?
jitaidi kula vizuri ili akili zako zitumike vizuri maana sio kila kinacho itwa chakula ni chakula no!
Hilii kijamaa nikiongo balaa Yesu amesema mm nikionndoka atakuja roho wa kwerii ww unasema yuko ndani yenu ndio majibu hayo kafiri bwana anabaki kuwa kafiriii 2
shetani mkubwa ww,ata akili una ww!
Roho wakweli sio mtu bana wee enda uko
@@KevinAtito achana na wao majini!
Manabi wote walitumwa na Mungu......kutokana na madai yako "Yesu amesema mm nikionndoka atakuja roho" YESU NI MUNGU kama yeye ndo anamtuma roho ambaye ni muhammad kwa akili zako.
Yohana 16:7 Lakini nawaambia kweli kwamba kuondoka kwangu ni kwa faida yenu kwa maana nisipoondoka, yule Msaidizi hatakuja kwenu. Lakini nikienda nitamtuma aje kwenu.
Ukikubali anayoyasema obviously utabatizwa! Ndipo uendelee kuwa msikitini lazima ukatae ukweli!
Makafiri munapoongea msisahau nukuu zenu andika linasema nitakapoondoka ndio roho wa kweli atakuja jiulizeni kwani wakati yesu yupo duniani je roho mtakatifu hakuwepo kwa imani yenu maandiko yenu yanasema huko kuzaliwa kwa yesu tu kulipatikana kwa uweza wa roho mtakatifu inamaana roho mtakatifu yupo kitambo hata yesu hajazaliwa kwa hiyo hakusubir yesu aondoke ndo yeye aje tumieni akili kidogo
Yohana 16:7 Lakini nawaambia kweli kwamba kuondoka kwangu ni kwa faida yenu kwa maana nisipoondoka, yule Msaidizi hatakuja kwenu. Lakini nikienda nitamtuma aje kwenu.
KAMA MUHAMMAD NDIYE, ROHO,,,,YESU NI MUNGU...MANAKE MANABII HUTUMWA NA MUNGU...
KAFIRI NI MUISLAMU - YUDA 1:4
wakafiri duniani ni waislamu!
@ Ukweli mtupu!!
Juma nongwe anaumwa kila wakati yani Ana uchungu kama mwanamke wa kuzaa