UST. MBOGO: WAISLAMU TUNATUMIA MAJINI KWA WEMA, AKINA NDACHA WAKRISTO HUTUMIA MAJINI KUPOTOSHA DINI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
  • HUYU HAPA USTADHI SULEIMAN MBOGO AKIONDOA WINGU KUHUSU TUHUMA ZA WAKRISTO KWAMBA WAISLAMU HUWA WANAWATUMIA MAJINI KATIKA MAISHA YAO YA KILA SIKU

ความคิดเห็น • 93

  • @PeterObiri-wj1iz
    @PeterObiri-wj1iz 3 วันที่ผ่านมา

    Mbogo my name is Peter, Asante kwa mafunzo mazuri pia Simulizi Asante kwa jitihada ya kujaribu kusawazisha hizi dini bila mapendeleo. MBOGO SHUKRANI ya kipekee kwa ujumbe wa mwisho ambao umeutoa kwetu, hakika mm mkristu bila ubaguzi nawafuatilia channel zenu wote waislamu ili kujifunza. Asante sana Mungu nawe akuinekanie uone nuru siku moja ujiunge na wakristu siku moja kabla siku ya kiama.
    Wale wakristu na waislamu wa matusi tafadhali rudi shule mkuje au mjifunze Maadili mema ndii mkubaliwe kwa makala kama haya juu hapa ni darasani Kisha jiamrie. Asalam aleikhum walamtulahi wabarakatu

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 6 วันที่ผ่านมา +1

    mashallah sheikh Mbogo kuwafundisha haki wajuwe uwislam ❤❤❤ nikupongeza sana sheikh wangu ❤

    • @SoosanOman
      @SoosanOman 4 วันที่ผ่านมา

      Yaaan mashetan yaliumbwa. Na Mungu Msiba kwel huu😢

  • @hassanhashiym815
    @hassanhashiym815 5 วันที่ผ่านมา

    Simulizi soma hiyo aya vzuri hayo maneno ni ya Kiswahili paulo alimtuksna mungu usikatae hilo

  • @hassanhashiym815
    @hassanhashiym815 5 วันที่ผ่านมา +1

    Ibilisi ni mmoja tu ndie alie hukumiwa tayari.

  • @JohnLorunyu
    @JohnLorunyu 6 วันที่ผ่านมา +1

    Majini ni waislamu

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 6 วันที่ผ่านมา +3

    Uislamu ni dini ya majini mapepo wachafu 100% 72:14 waislamu wanajichanganya katika kuwatetea ndugu zao

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 5 วันที่ผ่านมา

      Umesikia yanayonukuliwa/ynayosomwa na Mwl. Mbogo au ndo unajitia hamnazo Kwa Kupenda Miujiza ya Uchawi/Ushirikina (Ukafiri) ktk Jina la Yesu?!🙌🤫🙆

    • @innocentndikumana8928
      @innocentndikumana8928 3 วันที่ผ่านมา

      @@prochesernest5439 andiko uwislam nidini yamajini

    • @innocentndikumana8928
      @innocentndikumana8928 3 วันที่ผ่านมา

      unajuwa mana ya ukristo munazidi kupoteya

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 3 วันที่ผ่านมา

      @innocentndikumana8928 waliopotea ni waislamu kumfuata huyo allah na mtume wake ni wauongo maana wameipinga biblia

    • @innocentndikumana8928
      @innocentndikumana8928 3 วันที่ผ่านมา

      @@prochesernest5439 uwislam njo dini yahaki we kafiri awujuwi cocote wende ukare nguruwe usubiri kwenda motoni

  • @tsumamartin6878
    @tsumamartin6878 6 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli ndacha alivyowaambia waseme majini ni waislamu

  • @PendoKalama-rn8pf
    @PendoKalama-rn8pf 6 วันที่ผ่านมา +3

    Hakuna jini mzuri

    • @hassanhashiym815
      @hassanhashiym815 5 วันที่ผ่านมา

      Wee pendo wehu ni Aya gani inasema majini wote ni wabaya? Ama maneno hayo umetoa kanisani?

    • @chaco1466
      @chaco1466 5 วันที่ผ่านมา

      @@hassanhashiym815nitajie JINI MZURI😅

    • @PendoKalama-rn8pf
      @PendoKalama-rn8pf 5 วันที่ผ่านมา

      @hassanhashiym815 kama aya ingekuwepo basi ingetokana na Quran kwakua hiyo ndo inajuana na majini vizuri....na upande wa wakristo ni kwamba sheta Ali asi ,,sasa kama unasema kuna jini zuri bas muwe munaabudu majini maana hilo ndo lengo kubwa kwa jini kuwa karibu na mwanadamu na kujifanya mwema

    • @SoosanOman
      @SoosanOman 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@hassanhashiym815 hakuna majin wazur madanganywa na hiy Quran 😢

  • @bustedislam3578
    @bustedislam3578 5 วันที่ผ่านมา

    Huyu mzee ameshindwa kuonesha andiko linalosema kuna majini wazuri. Ni hatari sana kwa hii dini ya marehemu Muhammad. Achaneni na majini

  • @hassanhashiym815
    @hassanhashiym815 5 วันที่ผ่านมา

    Tatuzo la ukristo hauna elimu ya majini ndio shida yote. Yaani ukimuliza mkristo majini ni viumbe gani hawawezi kutoa majibu ya kutosheleza, na pia hawajui kama majini wameumbwa kumuabudu mwenyezi mungu kama binadamu. Na ndio maana baadhi ya majini watainhizwa motoni sasa hapo wakristo munatakiwa mufikirie kwani majini baadhi ya majini wataingia motoni? Jibu ni kwasababu wao pia ni kama wanadamu wengine Wana abudu mungu na wengine hawaabudu this means wanajua mema na mabaya na ndio maana watahukumiwa, tatizo ya wakristo hawajui alafu ni wabishi

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 5 วันที่ผ่านมา

    Kuna Msemo/Misemo husemwa "Watu Wabaya/Ogopa Watu "
    Je, kwa Msemo huo/Misemo hiyo iaminike Watu wote ni Wabaya/Wa Kuogopa?!
    📌Hivyo wapo Watu Wabaya/Wakuogopwa na Wema/si wa Kuogopwa laakin Wote ni Watu .
    Na Kadhalka Majini wapo Wema na Wabaya laakin wote (Wabaya na Wema) wote ni Majini.

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 5 วันที่ผ่านมา

    Hata baadhi ya BinAdam/Watu (Makabila) wapo Waovu/Waasi na Wema.
    Jini Muovu/Muasi huwaingia (huwadhuru) Watu/BinAdam na Mali zao/wanavyo vimilki.
    Mfano; Majini Waasi/Waovu (Mashaiytwan) ni Wezi, huiba Mali/Vitu vya BinAdam (Dhahabu, Pesa, Nguo nk) hupotea, Walevi, Wazinfu, Wachawi/Washirikina, hupenda Ugomvi/Kupigana, huwa na Khasira/Ghadhabu za Kupitiliza, Mashoga na Wasagaji, huwaangilia Watu/Kimwili wakiwa Usingizini (Tereza nk wa Mfano wake 🙌) hawafanyi lbada za Kumuabudu MwenyeziMungu, hupenda Shari zaidi, hupemda Matusi/Kutukana.

  • @kassimothman666
    @kassimothman666 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mm shekh Mbogo nimekua namfatilia lkn inapokuja suala la binaadamu
    @kumtumia jini
    @kuoa ama kuolewa na jini
    Hapa hakuna ukweli wowote kwa sbb hakuna mtu anaemfahamu jini huyu ni mwema na huyu sio mwema ama atokeze mtu atuletee dalili zake kama anazo

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 6 วันที่ผ่านมา

      @@kassimothman666 wew unawakana waislamu wenzenu majini mapepo wachafu mashetani? Kuwa mpole mtume wao majini kawasomesha majini Quran

  • @geofreymulei5695
    @geofreymulei5695 6 วันที่ผ่านมา +1

    Yaani quran Hina maanjabu Sana hebu muulize huyu jamaa kama wakona huuwadui wo wote na shetani juu inakaa wanaelewa sana😮

  • @mohamed459mselem8
    @mohamed459mselem8 6 วันที่ผ่านมา

    Kuna watu hajui kitu alafu wabishi, jini kiumbe kama walivyoumbwa binaadam, kuna wazuri na wabaya, wana dini zao pia, wacheni unyangaliwanga

  • @josephgandama8087
    @josephgandama8087 6 วันที่ผ่านมา

    Aise simulizi hapo safi mfumo unao kutumia saiz, tunajifunza kujua uisilam maana wanajificha sana na Elimu Yao ya majini. Aise tuwaombee sana Hawa watu

    • @ShabaniWabiga
      @ShabaniWabiga 6 วันที่ผ่านมา

      Kiviti

    • @Ummunajma-i2c
      @Ummunajma-i2c 6 วันที่ผ่านมา

      Makanisani wanakemea pepo kila kanisa.
      Kwani hao pepo ni akina nani km sio majini waovu.?
      Nyie vipi?

    • @jamesombaso9493
      @jamesombaso9493 6 วันที่ผ่านมา

      Ni wenye wanatoka msikitini, wanafukuzwa​@@Ummunajma-i2c

  • @geofreymulei5695
    @geofreymulei5695 6 วันที่ผ่านมา

    Wah😅 huyu jamaa wa manjini duuh wamefanya watu wengi kua vichwaa mitaani 😢

  • @moshajexplore
    @moshajexplore 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yaani analazimisha eti wakristo wana majini 😂😂😂. Na kitabu chake feki😂

  • @kennedykimutai2298
    @kennedykimutai2298 6 วันที่ผ่านมา

    Yaani huu muda wote mwalimu ameshindwa kutaji jini mzuri ni adithi tu anatoa za hapa na pale muda uende mumalize,hakuwa anaona kipindi kikiisha nusra mwenywe ataamatishe kipindi

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 5 วันที่ผ่านมา

      Sikiliza Maandiko ya Vitabu usifanye Kupotezea.🙌
      Wachawi/Washikina (Makafiri) wakubwa nyie Kwa Kupenda Miujiza ktk Jina la Yesu !!!🤫🙆
      Mnaangamia Kwa Kupenda Miujiza ya Uchawi eti ktk Jina la Yesu 🙌

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 5 วันที่ผ่านมา

    Je, Adam na Hawa hawajasamehewa hata Wana wa Adam turithi hiyo eti DHAMBI YA ASILI ?!🙌🤫🙆

  • @bitsanjE
    @bitsanjE 3 วันที่ผ่านมา

    Uyu ni mganga wa kienyeji

  • @alerts9917
    @alerts9917 6 วันที่ผ่านมา

    Mnatumia majinn kwa uzuri na Mohammed alikataa msitumia majinn bali mwamini allah awaje mnayatumia tena

  • @PasserbyMan-ju8ky
    @PasserbyMan-ju8ky 4 วันที่ผ่านมา

    Uislamu auruhusu KUTUMIA majini ,ila waislamu wanawatumia kwa maslahi Yao binafsi.
    Hii ipo katika dini zote watu hutumia maandiko vibaya kujihalalishia mambo kwa maslahi Yao,
    Swali,JE ukristo unaruhusu ushoga?
    Ukisema laa utanijibu kwa Nini ndoa zao zifungishwe makanisani.

  • @Ummunajma-i2c
    @Ummunajma-i2c 6 วันที่ผ่านมา

    HATA MAKANISANI MAJINI WANAZUNGUMZA KTK VICHWA VYA WANADAM.NDIO WANATUMIWA BWANA SISIMIZI. AU WANAKEMEWA ILI WAMTOKE MTU?

  • @hassanhashiym815
    @hassanhashiym815 5 วันที่ผ่านมา

    Simulizi kama waona kusema hivi ni kumsifu mtu nenda ukamsifu mama samia mbele yake uone utakavyo fanywa. Na huyo ni mtu tu je mungu?

  • @kaderbakshamin2345
    @kaderbakshamin2345 6 วันที่ผ่านมา

    Haya hapo quran ilikuwepo?

  • @josephgandama8087
    @josephgandama8087 6 วันที่ผ่านมา

    Na waumini wao hawaijui dini Yao na wamewapoteza wengi du, niwakuwahurumia. Wanajiandikia tuvijitabu twa ovyo2 du!

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 6 วันที่ผ่านมา

    Sufi hapa ndio wanaharibu..muna balaaaaa

    • @jamalAlly-p2y
      @jamalAlly-p2y 6 วันที่ผ่านมา

      Wewe si uko sawa na hawa wapagani maana ndio waliokufundisha upagani wakiwahabi hebu fuatilia history yachimbuko lenu

  • @jamalAlly-p2y
    @jamalAlly-p2y 6 วันที่ผ่านมา

    Wewe biblia huisomi jini kwenye biblia niyule aliempiga iskanda na himenayo ili wasimtukane mungu yaani katika ukristo jini linatoa adhabu ili wakristo wasimtukane mungu hebu fuatilia vizuri

    • @Joh-j9s
      @Joh-j9s 6 วันที่ผ่านมา

      Tupe aya tafadhali😢😢😢

  • @alerts9917
    @alerts9917 6 วันที่ผ่านมา

    Hamshirikiani na mnashiriki na wao musikitini 😅

  • @OmarKhamis-c4x
    @OmarKhamis-c4x 5 วันที่ผ่านมา

    Simulizi mbona unalazimisha kumpata mtu mwema ndani ya gereza? Wewe elewa kuwa majini wema wako hatakama hawatajwi kwa kazi zao.

  • @maspedimaspedi1720
    @maspedimaspedi1720 6 วันที่ผ่านมา +1

    mbogo umewamaliza hio video watai delete Hawa hawapendi haki Hawa 😂😂😂 siku zote waislamu wachawi wafuga majini kumbe wakristo ndio wachawi wakubwa😂😂😂😂😂😂😂

  • @dulasele-ud8cw
    @dulasele-ud8cw 6 วันที่ผ่านมา

    Kondoo walopotea bwana wanaleta utashi wao wakiakili zao bila kujua uzito wa mwenyezingu :na ndomana wanasema mungu anamtoto kisa nini kazaliwa bila baba hii yote ni kwasababu ya kutokujua uzito wa neno mwz mungu :: lakini wewe mkirsto mbona haujiulizi : maji unayokunywa yameumbwa na nini? udongo unao ukanyaga umeumbwa na nini?? anga ilokua juu imeumbwa na nini?? Upepo umeumbwa na nini?? Samaki ndege wanyama milima vyakula tunavyo kula ivi vyote vimetolewa wapi adi vikawa apa duniani na ndomana anaitwa mwenyez mungu maana yake ni mueza wa kila jambo manabii kwetu sisi ni kama walimu wetu yesu kuja bila baba tafsili yake ni mwenyezi mungu nimueza wakufanya chochote kwaiyo ukiingiza mshangao ukaona sio jambo la kawaida inamana bado haujui neno mwenyez munguu au aujui neno mungu linauzito

  • @bustedislam3578
    @bustedislam3578 5 วันที่ผ่านมา

    Swali: hivi mwafuasi wa marehemu Muhammad majini na watu wataingia wote peponi? Je majini waislamu nao watapewa wanawake huko? Naomba majibu

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 5 วันที่ผ่านมา

      Mashoga (Wansopewa Barka Makanisani) nao Watapata Unyakuo wa Yesu?

    • @bustedislam3578
      @bustedislam3578 5 วันที่ผ่านมา

      @alhadajjmohammedsmith9042 1 Kor 6:9-11
      Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi. Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu.

  • @sacrificethatsaves
    @sacrificethatsaves 6 วันที่ผ่านมา

    Ati majini? Mashetani? Nyinyi ndio maana ata mnakana kifo cha Yesu msalabani, ndio muwe na uhusiano na mambo ya Giza

  • @alerts9917
    @alerts9917 6 วันที่ผ่านมา

    Sasa unaeza amini aje majinn na hauyaoni na jinn kubwa ni shetani dah hapa waislamu wako kwa mtego mabaya hata Mohammed aliwaonya wasiombe msaada na wao ndo utumia majini kufanya uganga

  • @kajinjirashid5590
    @kajinjirashid5590 6 วันที่ผ่านมา

    Someni si mlaumu tu..someni..

  • @salehemimbi1895
    @salehemimbi1895 5 วันที่ผ่านมา

    Hili jamaa chizi kweli,hata halijui quran

  • @WilliamJamanda
    @WilliamJamanda 5 วันที่ผ่านมา

    Siezi kuwa muislamu abadan yani majini hao mashetani ninyi mnawatumia

    • @babazungu3180
      @babazungu3180 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Bakia huko huko usije

  • @JohnAwinda
    @JohnAwinda 5 วันที่ผ่านมา

    Sisi wafuasi wa yesu we blv in only bible vitabu za barabara plz soma kwa msikiti. Bt islam ni Quran na hadithi za moha tena sahihi so wacha jokes mwalimu mbogo

  • @nixonwalei7402
    @nixonwalei7402 6 วันที่ผ่านมา

    you Muslims don't know that you are among paganist of the ancient history...... mnaishi namajini upand mwingine mnaonekana kuwa majini wyapo mazuri na yapo mabaya... hakuna jini mzuri.... kumbuka kwamba hakuna kiumbe chochote kitakacho zidi uzuri wa mwenyezi MungU... Jini ni njia nyingine ya kuabudu masanamuuuuuu.

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 6 วันที่ผ่านมา +6

    Acha uongo shetani wewe majini wa kikristo hakuna hata kidogo majini ni waislam tu

    • @Skeletonking2116
      @Skeletonking2116 6 วันที่ผ่านมา +2

      Majini yalikuwepo kabla ya Uislamu. Yalitumiwa mpaka na Solomon Kwa mujibu wa bibilia. Sasa iweje yawe maislamu. Na ukisoma vzr bibilia utaona kuwa miongoni mwa majeshi ya Mungu mbinguni baadhi ni mapepo Kwa mujibu wa bibilia.

    • @hafidhissa4405
      @hafidhissa4405 6 วันที่ผ่านมา +1

      Sasa Majini walijiumba wenyewe? 😅😅😅 ww mmoja wapo unafuata mashetani kwa maana wewe ni kafiri

    • @godsonishengoma5378
      @godsonishengoma5378 6 วันที่ผ่านมา

      @@hafidhissa4405 Mungu hakuumba klcho kbaya... Baada ya dhamb kuingia kptia baba ye2 Adam,viliharbka vingii! Hata Mungu bada ya kmaliza kuumba,aliona kila alchokfanya klikua chema! Malaika woote mbngun walkua wema,.. Shetan alpotaka ktwaa nafas ya Mungu,akafukuzwa yey pa1 na malaika alowalaghai ktk kukamilisha mpango huo.. Bada ya hapo,malaika hao waas,ndo wametengeneza majin na mapepo.. Fatlia vyema mwsho wa kla jini mnaemuita mwema,huwa n mbaya saana 7b huja km malaika wa nuru,kmbe n chui ktk ngoz ya kondoo!

    • @SaidIsmail-f1j
      @SaidIsmail-f1j 6 วันที่ผ่านมา

      Shetani anampa cheo muunin dah laana tullah

    • @RajabuKikoti
      @RajabuKikoti 6 วันที่ผ่านมา

      Elimu ya Majini Wakiristo hawa wabandia hawaijui kabisa maskini, ingewapasa wasipinge wala wasikubali, ingekuwa ni busara zaidi kwao, kwasababu nikujizalilisha kutolea maelezo jambo usilo na Elimu nalo..

  • @georgeobiero2444
    @georgeobiero2444 6 วันที่ผ่านมา

    I believe you were asked to give Islamic view on jinns but you have rushed to portray Christians in a negative light.Besides the books you are reading are not recognized books in Christianity. They are books that reflect some people 's views. I believe you have a ring in your finger what is it for? Come clean instead of creating doubt while using diversionary tactics .In other words you are wallowing in deceit.

    • @kennedykimutai2298
      @kennedykimutai2298 6 วันที่ผ่านมา

      You're absolutely 💯 right on this Mr George

    • @daawaonlinetv4486
      @daawaonlinetv4486 5 วันที่ผ่านมา

      Do not reject even the truth that is clear in broad daylight. Also try to open your mind to receive new knowledge for you rather than just getting the traditions of your church leaders that don't follow the biblical texts.

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@kennedykimutai2298Not only Ring Finger is Devil's Worshiper. 🙌
      Some Ring Finger is just for Decoration only