MUHOGO MTAMU - MAU MPEMBA NA DONGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • #MauMpemba #KomboKichwa #VitukoZanzibar
    Furahi na jifunze na vichekesho vya Mau Mpemba. Mau Mpemba ni msanii wa Zanzibar anaejulikana sana kwa aina yake ya sanaa ya maigizo kwa kutumia asili yake ya Pemba. Kwa kushirikiana na wasanii mbali mbali Tanzania, Mau Mpemba anasisimua na kuvunja mbavu za watu wengi wanaopenda aina yake ya maigizo.
    Aina ya sanaa anayofanya Mau Mpemba ni mfano wa kuingwa kwani, anatumia kile kidogo alichonacho ili kufurahisha na kuelimisha pia.
    Ukihitaji kuunga mkoni harakati za wasanii hawa ili waweze kuleta furaha kila siku katika jamii zetu, hakikisha unatangaza biashara yako au kutoa ushauri wako kupitia.
    +255 777 001500

ความคิดเห็น • 33

  • @salumhamad
    @salumhamad ปีที่แล้ว

    nice

  • @ALIALI-es3eu
    @ALIALI-es3eu 10 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @SafiaSeif-gw4ut
    @SafiaSeif-gw4ut ปีที่แล้ว

    Dongo kumbe umwiziii?😅ndongo nakupenda sn sn .unajuwa kazi yk ww na kidundo

  • @hamisidumbo1568
    @hamisidumbo1568 ปีที่แล้ว

    Team Mau ,nawafatilia sana yan video zanu zina mafunzo kedekede ,Mungu awabariki sana....wapemba wana ukarimu sana na insha allah naja kuoa uko...😊😅

  • @ALIALI-es3eu
    @ALIALI-es3eu 10 หลายเดือนก่อน

    Mahar yakipemba utayawez 😂😂

  • @pakapanya4454
    @pakapanya4454 ปีที่แล้ว

    Kweli hiyo zamani kwel

  • @mfuu9160
    @mfuu9160 2 ปีที่แล้ว +1

    Wapemb hatujuag kunyimana dongo omba bwan 🤣🤣

  • @fatumanassoro6262
    @fatumanassoro6262 2 ปีที่แล้ว

    Muko vzr

  • @abdihaji22
    @abdihaji22 2 ปีที่แล้ว +1

    Mie hisema...

  • @allyomar1758
    @allyomar1758 2 ปีที่แล้ว

    Iyo noma

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 2 ปีที่แล้ว

    Mwanamke jistiri

  • @abdallahfakih7640
    @abdallahfakih7640 2 ปีที่แล้ว

    uyo demu namjuwa

  • @nasseiral-wardy9579
    @nasseiral-wardy9579 2 ปีที่แล้ว

    Unkuja juu kweli 🤣🤣

  • @gagapiano9461
    @gagapiano9461 2 ปีที่แล้ว +2

    Msichana uliyeigiza nae mashaalah n mzur, ningekuwa mpemba ningeleta posa kwao

    • @allysuleiman6022
      @allysuleiman6022 2 ปีที่แล้ว

      Hiii wew vipi brother sasa ukiwa mpemba ndio nni sasa huu ndio ubaguzi tunauongelea ndoa nimakubaliano yawatu wawili sasa wew subiria uwe mpemba 🤣🤣

    • @mwanaishakhamis8069
      @mwanaishakhamis8069 2 ปีที่แล้ว

      @@allysuleiman6022 😁😁🇰🇪👍001 county mambasa

  • @abuumo9637
    @abuumo9637 ปีที่แล้ว

    😊😂😂😂

  • @zahoojamse6560
    @zahoojamse6560 2 ปีที่แล้ว

    Vp bro

  • @zubeirsalum128
    @zubeirsalum128 2 ปีที่แล้ว

    Kweli Pemba hakuna Tabia hiyo

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ndo tabia ya wapemba siku umekosa unakwenda unasema unapewa ruhusa sio kuiba ukawalisha haramu mke na watoto Kwa kitu ambacho ungeomba kingekuwa halali yako

  • @jdidyehuddhveor5479
    @jdidyehuddhveor5479 2 ปีที่แล้ว

    👏👏👏👏

  • @mohdsaad2736
    @mohdsaad2736 2 ปีที่แล้ว

    Hahaha eti ana uangalia tu

  • @abdullaabdullahmpakanjia2336
    @abdullaabdullahmpakanjia2336 2 ปีที่แล้ว +1

    Fundiwazidivyo chafukwa

  • @mzeevuai
    @mzeevuai 2 ปีที่แล้ว +1

    😀

  • @mfuu9160
    @mfuu9160 2 ปีที่แล้ว

  • @abdulfirstzanzibar4599
    @abdulfirstzanzibar4599 2 ปีที่แล้ว

    Zambi na muhogo Wataka nini

  • @marrowog8975
    @marrowog8975 2 ปีที่แล้ว

    E.g

  • @wardahaly4194
    @wardahaly4194 2 ปีที่แล้ว

    😆😆😆anauangalia t

  • @omarhashull3181
    @omarhashull3181 2 ปีที่แล้ว

    😀 😀 😀

  • @eyabdimaha3698
    @eyabdimaha3698 2 ปีที่แล้ว

    Hahaha

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @mudathirmkubwamselem5650
    @mudathirmkubwamselem5650 2 ปีที่แล้ว

    👏👏👏