#61 -

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 56

  • @abdullahalkindi6641
    @abdullahalkindi6641 หลายเดือนก่อน +2

    Asanteni sana dongo na mau kwa kazi nzr...mnaweza..napenda kazi zenu..ni nzr na zinaburudisha ...msikae sana muwe mnatutolea kazi mpya

  • @Asili
    @Asili  หลายเดือนก่อน +12

    Karibu kuangalia kazi nzuri ya HADAA

    • @AbubakarNassor-i1u
      @AbubakarNassor-i1u หลายเดือนก่อน +1

      Mau tumekaribia na tunajitahidi kuzitizama kazi zako ila tunauliza wale kina mwinyi mpeku, naomba, kiswabi, makunde, goro na wengineo mbona siku hizi huwashirikishi katika kazi zako na tumemiss kuwaona.

    • @AbubakarNassor-i1u
      @AbubakarNassor-i1u หลายเดือนก่อน +1

      Ombi letu tunaomba uwarudishe na wao muwe pamoja katika kazi zenu kwani tunafurahi kuwaona mukiwa pamoja na umoja ndio kila kitu.

    • @YangaSimba
      @YangaSimba หลายเดือนก่อน +1

      Naomba arud🎉 Makunde ,makame,Kachara

    • @KhadijaAkida-h2x
      @KhadijaAkida-h2x หลายเดือนก่อน

      Mau kuku walizaaa amaa weee asaa watakaumalizee vya dongoo 😂😂😂😂ungemslizaa nyimbo zoteeee 😅😅😅😅😅 endelea kuimbaa ety mjimaa makubwaa ua ekaaa

    • @saidmwinyi7062
      @saidmwinyi7062 หลายเดือนก่อน +1

      Naomba yuko wapi

  • @khamiswapemba9019
    @khamiswapemba9019 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi mzuri mau na hongera sana endelea kutoa kazi mzuri ww pamoja na team yote hakika tukiwezeshwa tunaweza

  • @adamseif535
    @adamseif535 หลายเดือนก่อน +3

    Dah mbavu zanguu❤

  • @aliiyvuai116
    @aliiyvuai116 หลายเดือนก่อน +7

    Tuleteeni na kiswabi jamani tunampenda sana. Tunajiskia furaha tukimuona katika film zenu

  • @hafia.056
    @hafia.056 หลายเดือนก่อน +2

    Kwetuu hukoo bwana mdogo wangu Mau😅😅😅😅😅 hongera baba lkn vipi apo aaaSuger ama muwaa sweet eeeee 😅Twendeee kazi Youngs Africans. Swaffy apo kaka man eeeee hayaa 😅

  • @abdullahalkindi6641
    @abdullahalkindi6641 หลายเดือนก่อน +2

    Mau mjanja ha ha ha ha haaa 😂😂😂 dongo kakuweza umekutana na mjanja kuliko ww..mbona shetani karuka kule..ungekaa tu na pepo la uongo ukaona vp dongo akaviramba vyote..chezea mpunga kwa kuku weee..

  • @saidasaid5855
    @saidasaid5855 หลายเดือนก่อน +4

    Mi nlijuwa tu kwa utoweaji ule lazma chake atakuwa mroho😂😂😂😂

    • @Allybinamour
      @Allybinamour หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 หลายเดือนก่อน +5

    Mau mlete kiswabii tumemisssss

  • @binmasoud4150
    @binmasoud4150 หลายเดือนก่อน +1

    Dah! Yaan Dongo unavokula unazidi kumuumiza😅👍

  • @محيالدينسليمان-ج9ح
    @محيالدينسليمان-ج9ح หลายเดือนก่อน +3

    Aaah leo jamaa yngu kampatika..... Pepo kanaruka pima kumi... 😂😂😂

  • @alibinjuma793
    @alibinjuma793 หลายเดือนก่อน +3

    Leo very creative clip

  • @HarithAlyhamadi
    @HarithAlyhamadi หลายเดือนก่อน

    Ila uyo mkewake dongo mzuri mashaallah

  • @Jamal-v1p5b
    @Jamal-v1p5b หลายเดือนก่อน +3

    Kazi nzuri

  • @KhamisBuda-d8t
    @KhamisBuda-d8t หลายเดือนก่อน

    Mkongwe mau wallah unanikosha Sana kwa Zanzibar hamn mpizan😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @a.856
    @a.856 หลายเดือนก่อน +3

    Kiti mwisho kanyamaza kuimba😅

  • @hafia.056
    @hafia.056 หลายเดือนก่อน +2

    Mau hapo swaffy sugar muwaa sweet potato mbatata viazi 😅😅😅yellow and Green oyeee let's saying all wananchi oyeee hayaa 😅😅😅

  • @MaryamAbbas-o1c
    @MaryamAbbas-o1c หลายเดือนก่อน +2

    Hiyo mijicho ss ilivotolewa😂😂😂

  • @Allybinamour
    @Allybinamour หลายเดือนก่อน +2

    😅😅😅 pepo lazima aingie mitini kwa tonge takatifu za dongo.
    ila nimemiss surual ya dongo jamany.

  • @BinsalumHaj
    @BinsalumHaj หลายเดือนก่อน +2

    Maua yangu nimewah wa kwanza le🎉

  • @Abuukhudhaifa
    @Abuukhudhaifa หลายเดือนก่อน +2

    Maashallah

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp หลายเดือนก่อน +2

    😂😂mijicho kamfika kwa dongo 😅ungekaa tu dongo akakisozoo❤😂😂

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂mau nyimbo zimeisha......

  • @hedaya-e9j
    @hedaya-e9j หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤ tupo pamoja

  • @hamadmaliki0029
    @hamadmaliki0029 หลายเดือนก่อน +2

    Alikua akichumia maekani 😂

  • @YangaSimba
    @YangaSimba หลายเดือนก่อน +2

    Mau mjanja😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AliOchu
    @AliOchu หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂mau

  • @zuhuraomar8849
    @zuhuraomar8849 หลายเดือนก่อน +2

    Mtihani

  • @njirundwiga3631
    @njirundwiga3631 หลายเดือนก่อน +2

    Tuko pamoya👍

  • @fatimaharoun-np8uv
    @fatimaharoun-np8uv หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂kimekuramba bwana mau

  • @zakomone7672
    @zakomone7672 หลายเดือนก่อน +2

  • @AbdulHamid-jc5pt
    @AbdulHamid-jc5pt หลายเดือนก่อน +1

    muongo wey sie wamtambile uyo?.

  • @BinNaseer
    @BinNaseer หลายเดือนก่อน +2

    Safi 😂😂

  • @AzizaJuma-p7x
    @AzizaJuma-p7x หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤

  • @fundibare3645
    @fundibare3645 หลายเดือนก่อน +1

    Vq

  • @simaimati4447
    @simaimati4447 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂

  • @Seamansailor11
    @Seamansailor11 23 วันที่ผ่านมา

    ▶︎ ●──── 5:35
    Nimeona nisi comment kwa maandishi nitume tu voice😂

  • @ArafaOmarsalim-c6m
    @ArafaOmarsalim-c6m 3 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mayaashassan3918
    @mayaashassan3918 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂mau

  • @HajraOmar-g1c
    @HajraOmar-g1c หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @nurdinmatula8020
    @nurdinmatula8020 29 วันที่ผ่านมา

    😂