NAINGIZA ZAIDI YA MILIONI 24 KILA BAADA YA MIEZI MITATU YA KUVUNA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 42

  • @danielkembo2177
    @danielkembo2177 5 ปีที่แล้ว +3

    Hilo li mziki linsdistort information mnayotaka kuideliver... Mbn mnakuwa Kama hamjaingia darasan

  • @masechuoriginal2576
    @masechuoriginal2576 21 วันที่ผ่านมา

    Kuna watu waongo jamani duh!

  • @danielkembo2177
    @danielkembo2177 5 ปีที่แล้ว +4

    Background yenu hiyo sijui mziki gani huo mnaweka.... Hatuskii kinachoongelewa tunaskia tu Husla poor channel

  • @ndodeyevenas5284
    @ndodeyevenas5284 3 ปีที่แล้ว

    Hahaha nitasema ukweli daima sipendi kudanganywa

  • @nankodyasteven2858
    @nankodyasteven2858 8 ปีที่แล้ว

    big up sana mwana

  • @TEACHER.CLEOPHAS
    @TEACHER.CLEOPHAS 3 ปีที่แล้ว

    Hiyo kelele jaribu kupunguza next time so that you concentrate on the topic. Thanks.

  • @shambadarasamkusi4449
    @shambadarasamkusi4449 6 ปีที่แล้ว

    Good

  • @patricknchimbi2978
    @patricknchimbi2978 ปีที่แล้ว

    Hayo makelele ya mziki ya nini? Inakera kwel kwel

  • @mariakayana2417
    @mariakayana2417 8 ปีที่แล้ว +3

    Mimi nishaanza na nakaribia kuvuna ila tatizo wateja bado unaweza kunisaidia kwa hili DJTEE

    • @Therealjoh
      @Therealjoh 8 ปีที่แล้ว

      sorry nashida waweza nichek whatssap 0719968222

    • @mariakayana2417
      @mariakayana2417 8 ปีที่แล้ว +1

      +Joel Sanga 0717577350 nichek nikuonganishe group ujue zaidi kama unashida

    • @christinamelikioli9201
      @christinamelikioli9201 2 ปีที่แล้ว

      @@Therealjoh Kaka unanunua? matikit.ninaoyo yapo vizuri san

  • @omarychediel1307
    @omarychediel1307 6 ปีที่แล้ว

    Mm natamani nilime kwakweli

  • @castongasi5421
    @castongasi5421 6 ปีที่แล้ว

    Naomba Namba yako ya simu nimenunua eka moja nataka kulima

  • @faizebrahim338
    @faizebrahim338 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa anaonekana kama anatunga tu
    Milioni 12 sio kitoto

    • @NeemaKmussa
      @NeemaKmussa 5 ปีที่แล้ว

      Wewe matango yanalipa wewe fikiria nipate kimoja tu 500

  • @evakiwia1052
    @evakiwia1052 4 ปีที่แล้ว +1

    Muziki umezid jamani

  • @marygabriel6657
    @marygabriel6657 8 ปีที่แล้ว

    weka namba ya sim please

  • @mariahaponga6988
    @mariahaponga6988 7 ปีที่แล้ว +7

    upo mkoa gan nataka kufanya kilimo cha tikiti

    • @fareedufahamu8893
      @fareedufahamu8893 6 ปีที่แล้ว

      Mariah Aponga safi sana kiongozi uko wapi na ntakupataje?

  • @veronicambutua2028
    @veronicambutua2028 6 ปีที่แล้ว +1

    The music is boring

  • @SeaRockinvestments
    @SeaRockinvestments 8 ปีที่แล้ว +2

    HONGERA

  • @mohaisha
    @mohaisha 4 ปีที่แล้ว +1

    Sasa nyimbo zanini makeleleeee tuu

  • @karatasinyeusi707
    @karatasinyeusi707 6 ปีที่แล้ว

    natafuta soko la tikiti ,tikiti langu limekaribia kutoka hapa mkuranga

  • @annahockson1427
    @annahockson1427 7 ปีที่แล้ว

    kaz nzr

  • @davidkadutha6441
    @davidkadutha6441 8 ปีที่แล้ว

    Unayauzaje kwa mfan tkt moja au unaza jumla Qa shamba!

  • @richardmichael7708
    @richardmichael7708 6 ปีที่แล้ว

    Laki5 sio mtaji kitotoo

  • @njeshkaris7951
    @njeshkaris7951 7 ปีที่แล้ว

    congrants uku side gani naeza para hio ukulima

  • @esterjacob9649
    @esterjacob9649 7 ปีที่แล้ว

    hongera sana kaka, bt ninahitaj msaada wa ziada kuhusu hiki kilimo, plz nitafute whatsap kwa no hiz
    0768900976

  • @marygabriel6657
    @marygabriel6657 8 ปีที่แล้ว +2

    ninamaswali mengi nikuuloze

  • @fedrickisse2330
    @fedrickisse2330 9 ปีที่แล้ว

    Mwaka huu lazima nitusue kwenye matikiti

    • @djtee255
      @djtee255  8 ปีที่แล้ว +1

      HONGERA SANA SHUJAAZ VIPI USHAANZA

    • @larickmtui2852
      @larickmtui2852 7 ปีที่แล้ว

      DJTee 255 djtee me nimkulima natokea Kilimanjaro Tanzania VIP niubganishe na wateja huko kenya

    • @zainabshabani7076
      @zainabshabani7076 6 ปีที่แล้ว

      DJ TEE nataka kufaham kuhusu soko la passion nihunganishe ikibidi

    • @christinamelikioli9201
      @christinamelikioli9201 2 ปีที่แล้ว

      Kaka naomba uniunganishie wateja nimeivisha tikiti ni nyingi San na ziko vizuri mno namba